ZUCHU NA DIAMOND WALIVYOBANWA KWA MASWALI YA 'NDIO AU HAPANA'
HTML-код
- Опубликовано: 29 сен 2024
- ZUCHU NA DIAMOND WALIVYOBANWA KWA MASWALI YA 'NDIO AU HAPANA'
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
This can be the best couple in africa
I love this couple....diamond amekuwa na mabibi bt this one is the best
Eti the best
Mbona Tanasha mdogo zaidi Zuchu mkubwa
She can't match tanasha
@@felistersmejumaa5188 tanasha si mdogo, she is above 30
Hakia ya Mungu Mondi you are killing us. 🤣🤣Haka katoto ka mama Ndagote kajanja kweli.🤣🤣
Diamond you so funny you made me laugh in the whole story
Yaani zuchu hasemi lakini jinsi anavi jibebedua utaelewa tu😂😂dai anakataa lakin Zuu tumekuelewa mama😂😂😂😂😂
Baba levo uchawa utakua mpaka kwene intervew
🔥🔥🔥
Mahabba yamenoga mh🤔tutaona mwngi mwaka huu
Baba levo .Kochi la🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 .nakula✌️
Baba levo kazdi uchawaa
Ayu guys feel each other??
Mnajifeel kimapenzi each other ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nyie mnatufumb macho
KIZUCHU KINA MBWEMBWE
❤
BABA LEVO SILIPENDI
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣vigezo na masharti🤣
Sasa hii TV yenu mbona Kama Kama mmesema maswali ni yes or no mbona diamond anaelwzea
Zuchu mbona hujibu jamani
Jamani.Zuchu should read the wall.Its black and white. DIAMOND SAID BEFORE,THEY BRING THEMSELVES, THEY SHOULD BE READY FOR HEART BREAKS. OH LORD I PITTY WOMEN AROUND BIG 🌟. ##womenwesufferalot.##wecandodiffrently
I know diamond still love tanasha that's why he will not in repablic
Awa wanakulana... 😂😂😂
Ukataaji wazuchu mbona ni washongo upande em nikujibie mm yes
Sasa ilo senge uko nyuma lilifata nini mama levo
Nawewe hizo nguo nimesha kukataza
WANACHOPENDA WANAUME WENGI KWA WANAWAKE
ruclips.net/video/GqEN64oGaAQ/видео.html
Hao n wapenz jmn kusoma hamjui picha hamuoni?
🤣🤣🤣🤣
My part Zuchu mbona hujibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jmn mulipo wauliza eti siku ya wapendanao walitoka kama wapenzi Diamond bado anaongea na nyinyi munamuambia Zuu mbona haongei hadi kasema yes jmn sumungelisubiri tuu diamond kamaliza jmn lol 🤣🤣🤣
Zuchu loves daimond but daimond doesn’t love her trust the process .. zuchu utapigwa kitu kizito daimond hayupo
ANGALIA BODY LANGUAGE YA ZUCHU HAJAJIBU MASUALI YOTE KAJIBU DIAMOND TU ALIVYOTAKA YY...HATAKI KUSEMA KUA WANAPENDANA..HII NI DHAHIRI KUA YY ANAMCHEZEA TU AKICHOKA ATAMUACHA KM WENGINE...
Lil ommy:are u guys friends with benefits?
Diamond:Haaah kizungu ebu niweke kiswahili
Mila kunis&Justin Timberlake 2011:Hahahhahaha
Diamond:Inategemea mipango ya mwenyezi Mungu hii ni taasisi.
Lmao
Kizazi sana tambwe kwa maswali yako naumwa Ila nimekijkuta nacheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daah jamani ndiy nn sasa wakati ss ♥ tulijuwa mod na zu in love why so now hamuko kimapenzi what happened 😢 kwahiy mod utawachezee watoto wa watu mpka lini jamani daah nimewapenda mod wew sshv unajielewa achana na mambo ya kimila wap umezikiya mapenz yanaingiliwa ukiwa unampenda mtu ni ww to unajirudisha utoto unajuwa mod unaumiza tz yet ww 😄 to man macho yetu yanakuangaliy ww to alafu tena watuambiy hamupo kimausiyano jamani sasa nani atamuowa zuchu ulivyo mushikiliy hivyo kumvujia heshima mtoto wa kiisilam zuhura na ww umeniudhi unajiachiy wakat mod kasema anasubir kauli kwa mama yake atakuchezey mam dangote akisem yes 😄 💖 itakuwa akisema no utakoma na hapo ushavuliwa nguo hadija kopa mama mipasho kazi anayo sijuh atampasha nani sshv me simoo
Baba Levo atafika mbinguni na ambulance khaaaa😀😀😀😀
Huu wazimu alio akijibu diamond na huu umwehu ulio comment ww umenifanya nicheke hadi nisijue huko mbele kumeendelea nini mpaka ikaisha nihadithie sasa wameendeleaje.
Ila kweli kuna siku nami niliwaza baba levo ataendanda mbinguni kwa guta 😂😂😂😂 ulidhani bange wavuta pekeako tu 😂😂😂😂😂😂
Yaani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@suleimanrashid3918 hahahahaaaaaaa wewe utawasumbua sana malaika wa zamu hiyo siku😀😀😀
Ona Ivo alivo ingia ,,ni Kama Petro 😆😆😆
Hawa wanamahusiano lakini hawataki kujionesha
Huyu ashaonja huu mzigo 😋😋
Diamond is not serious kwakweli kwakumkana uku sizani Kama atamuowa kweli
Yani babalevo anampenda boss wake anatamani asaidie kujibu
Hamuna vya kikohizi sema kwel damond anamupenda zuchu by RAVARICK
Yes
Wap😏hao ,,,., Madamga, 2
We Zuchu we chizi nini MTU anakukana akijifanya na wewe unaona Kama kawaida chunga usije kujutia
Mm namuonea huruma Zuchu..Lkn lazima akubali akikataa mkataba utamuhusu nae ndio kwanza anaanza...KAJIVUA NGUO NI LAZIMA MAJI AYAOGE TU JAPO YAMOTO..ANAMTUMIA NYOTA YK MASIKINI BILA YA KUJUA
Kweli ukitaka kumuuwa nyani usimuangalie usoni bro .owa watoto wa kike utawamaliza
yaani kwa leo nimecheka kijinga duu
Ingekua mie amenikana hapo mbele ya umati urafiki huo ungefifia kabsa
Sasa akunali unafki sio wapenzi ni boss wake tu
Huyu ndiye MTU wa kwanza kugundua na kupost video RUclips
👇👇👇
m.ruclips.net/video/UaUEkA1qIZs/видео.html
Asee chawa kama chawa b.levoo😺😺
Huyu zuchu anaonrekana kama anamimba kikweli umeona wanavyo cheza kwa kusagana wahakuna aibbbu alafu hkhadija kopa alisema mtoto wake nimsalihina mbona anasagwa makalio na dai
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka jamani
Eti keki ya basidei hepi basidie tu yu 🤣
Zuchu anapanga kalata cjui anataka acheze🤣🤣
Zuchu Hana bahati coz diamond Bado anapenda tanasha Sasa hawezisema anapenda zuchu hatharani sababu Bado akona matumaini kwatanasha ilhali huku wanakulana kisiri
Eti Diamond anampenda Tanasha lol usinichekeshe
Kujua mengi kwenye maeneo ya Muziki, Chakula, Filamu na Matembezi.
Pitia RUclips yangu!
Zuchu awe makini mutu akikukata mbele zawatu acha ukaribu na yeye usije ukaumiya zaidi naona hata hapo ume umiya kimya kimya watu wakubwa tumesha ona ila Pol san💫
Jamani uyaweke maswali vizuri kwenye mstari duu, mbona Kama utakuwa umetunga mwenyewe, hapo vip
🥰🥰🥰waaacheni jamnnnnn wanapendana inaonyesha kabsa
Kiki zitaisha',
Simba ni Simba apo sawa 🙏🙏
Zuchu mbona hujibu got me haha
😂😂😂😂😂😂kwaza mcheke mie😂😂😂😂
haoo wanazagamuana mbona bira kificho
Wasenge jamani
Kajiita nasibu Abdul
Napenda mondi akiongea
Wallah nimecheka waaaatuuuu weweeeeeeeeeeee diamond kajikanyaga
Waowane2 mbna frexh
Hahahaha Simba umenichekesha Sana Yani unajalibu kutufanya tufurahi but you and zuchu Mmmmh
Yani apaa akili kuruka vigezo kibao lakn wambea tuko apa msituvurugee
Hahahahha jamaniii baba levo mnooookooooo.naniii kaonaaaa kwamba baba levo anawewesekaaa kusema umbeeeaaaa?????
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn
Inshaalhaa...! Allha kama amepanga Bac itakuwaaaa.. But kiukweli 💞💞💞
Daaah🙄🙄tabwe
Diamond u so funny 😂😂
Mbona keki ya b.day🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣nasib ci hiyo mila
Diamond platnumz walahi weh ni funny❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Haha aty apana,ndio
Ka zuchu kameabika hangekuwa Diamond angesgma yes ila Diamond ana siriya yoote ana kasirika zuchu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama Diamond angtkupenda zuchu hangekukana kskukdna bayanaa🤣🤣🤣🤣🤣
Naona Mzee chawa anavyo washa hatuliiii
Muwe mnaongea kiswahili acheni uzungu sana
Zuchu anapendeamo kua wapenzi alieona twendesawa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Washa gongana hao nyie mnajisumbua tu!
Zuchu kakataliwa na bwana wake wa ukweli hebu bonyeza hapo chini uwangalie ila usisahau Ku subscribe
ruclips.net/user/shortsj-5ikzM30_8?feature=share
huo ni ujinga hao wazini na huyo ataachwa
Kenzo I'm $
Mhh
You guys are cute together 😍
Why you guys always using dialogue while we are your fun
Mbo
So are they together or what? Can someone tell me
Mm
😂😂😂mondi maelezo kibao
I love Diamond
B
Kaka #Diamondplatnumz kajikuta #Steve nyere
Ndiyo kabisa #Binana
Yani hii ndio deny deny deny
Diamond bwanaa
😀😀😀😀
🤪🤪🤪🤪
Daah diamond 🤪🤪🤪
🤣🤣🤣 diamond you are player -boy .
I like the guy who are asking
😄😄😄