MAMA ALIYEKATAA GARI AKABIDHIWA JUMBA LAKIFAHARI NA TAJIRI CHUI MTOTO WAKE KUNA USHETANI MTUPU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #foxetv #tajirichui #MamaAkataaZawadiYaGari

Комментарии • 116

  • @NeemaNjau-e5k
    @NeemaNjau-e5k 14 дней назад +9

    Huyu mama ana shida kiroho anahitaji utetezi wa watumishi wa Mungu

  • @YustaAyubu
    @YustaAyubu 12 дней назад +3

    Mungu amlinde huyu mama

  • @mmangasalum2195
    @mmangasalum2195 11 дней назад +4

    Jamani muwe mnaelewa maelezo anasema alihamishwa bila yeye kujuwa tena akiwa amezimia muwe mnaelewa vyema msitukane TU mitandao ipo kwaajili yetu ili kutuelimisha sisi tuelewe

    • @elesianakabuje5832
      @elesianakabuje5832 5 дней назад

      Muongo uyo bhana mbona Ile siku alipata DEGEDEGE na akazinduka muda huohuo na alipanda gari akiwa na akili timamu...mmmh uyu mama apimwe afya ya akili sio mzma kbs

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 14 дней назад +4

    Hovyooo!! sawa na kuruka mkojo ukakanyaga mavi

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633
    @fatumahapesamohamedfatumah4633 14 дней назад +3

    Akk huyu mama anahitaji maombi.Waandishi wahabari nanyi ata nawashangaa.Mbona msimpeleke huyu mama kwa mtu akaombewe mnamuona kabsa anadhulumika.

  • @MariaMeku-v3o
    @MariaMeku-v3o 9 дней назад

    Nakushauri muone kuhani Musa wa atakusaidia kimaombi mtafute kwenye yuotube

  • @HappyLazaro-o5h
    @HappyLazaro-o5h 13 дней назад +1

    Msimsemee uyuu mama ajui alivoo vionaa Na anavoo vishuhudia hahaha angalieni watu so wazuriii

  • @anitamashobe6185
    @anitamashobe6185 11 дней назад +1

    Hmmmm muongo kawekwa kwenye nyumba kubwa na wanajua mkono haufanyi kazi wakamuacha bila mfanyakazi?,uongo

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 13 дней назад +2

    We mama jamaniii🙏🙏🙏🙏🙏

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g 13 дней назад +2

    Ngoja ufe we mama

  • @JaneStelzer-lk9gl
    @JaneStelzer-lk9gl 15 дней назад +2

    Tafuta mchungaji mzuri uende akuombee utatolewa kafara changamka haraka sana

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 15 дней назад +6

    Huyu mama mbona simuelewi

  • @joramjohn
    @joramjohn 14 дней назад +1

    Naomba kuuliza huyu mama mara ya kwanza alipelekew gar mwanza kwamba ndyo kwake saiv kwake tena pamekuw ubongo hii ngoma mbn siielewi

  • @SwahiliMafu
    @SwahiliMafu 13 дней назад +1

    😅😅😅😅😅😅uyu mama mungu ndio ajuae

  • @JoshuaLukumay-b3i
    @JoshuaLukumay-b3i 13 дней назад +1

    Ni mshenzi sana Kwani alishindwa kumtoa kafara hyo mama anajikoroga dana

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 15 дней назад

    Mama ni muislamu au mkristo apelekewe naombi anayoamini

  • @LovenessWaibe
    @LovenessWaibe 14 дней назад +1

    😂😂😂😂ila uyu mama kiki zimezidi,ulizimia wakati ulikaa chini vzr tu mwenyewe unatetemesha mkono?na kwenye gari ulitembea na kupanda gari vizuri tu,ah kweli peaa mbaya mama umeninunuliwa kifanya kilo we fanya

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 15 дней назад +2

    Na mbona umeambiwa usionekane tena mutandaoni ihi ya leo vipi au ni kiki😮😮😮

  • @SaidatyRamadhani
    @SaidatyRamadhani 12 дней назад +1

    Uyu mama ajielewi amsamehe tu ,

  • @SesiliaSimion
    @SesiliaSimion 10 дней назад

    Huyu mama anajua kabisa mtt frimason jaman kwann hamumuelewi heeee

  • @themagnificient1026
    @themagnificient1026 12 дней назад +1

    Hayuko sawa kiakili huyu mAma

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 дней назад +4

    MAMA WEWE ACHA KUMSEMA VIBAYA MTOTO WAKO WEWE NI MCHAWI MWENYEWE. KM NI PAKA KILA MAHALA WAPO. WEWE NENDA UKAOMBEWE TENA NI MWONGO.

  • @PascoMichael-j4t
    @PascoMichael-j4t 10 дней назад

    Wewe mama mwanao ana deni
    Uyo na masoni anakuria taimingi uyo

  • @Veni584
    @Veni584 12 дней назад +1

    Mama anatakiwa kuombewa

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 12 дней назад +1

    Hawa wanatafuta kick mwenye akili tayari ameishaelewa.

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 15 дней назад +6

    Kiki hizii tuu

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 14 дней назад +1

    Hyu mama ajiangalie anaweza kuuliwa na mwanae kwa kutoa siri na hyu mama ako na spirt ya kuona

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 10 дней назад

    Wewe mama ukaombewe hueleweki na husomeki

  • @EmmaKirua
    @EmmaKirua 11 дней назад

    Huyumama ndio mwenye shida

  • @raymondmutta
    @raymondmutta 15 дней назад +3

    Wewe mama huacha kutukalilisha ujinga wewe ndiye unamchawia mtoto wako

  • @josengumbi4029
    @josengumbi4029 11 дней назад +1

    Mmh we mama ,uwe mkweli ,mwanao atakuzila

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 15 дней назад +2

    Na bado ukapokea nyumba 😢😢 wew mama mwanao atakuuwa shaur zako

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me 15 дней назад +2

    Uondoke hapo mama hapo sio pazuri

  • @Naju645
    @Naju645 13 дней назад +1

    Gar Kagoma nyumba vip

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 13 дней назад +1

    Kichawa mama huyu muongo kiki

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 14 дней назад +11

    samaanini nimemtukana uyo mama kimoyo moyo..ulikataa gari,,kilichokufanya upokee nyumba nini!!

    • @fatumahapesamohamedfatumah4633
      @fatumahapesamohamedfatumah4633 14 дней назад

      Hakupokea alimgeuza akili.Ili akubali.Napia huyo mtoto wake amuachie dunia sio mtoto kabsa .Mbona amfanyie mamake mkono hivo surely?

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 14 дней назад +1

    Umezimia sk3 pale kwenye gar ulipandaje?

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 11 дней назад

    Njaa sana tz mujini mumesha ingia kiki tumezichoka

  • @MarkDonald-vv8mt
    @MarkDonald-vv8mt 15 дней назад +1

    Mama na mwanae wote wanawapanga wanajuana hao

  • @julieringo4360
    @julieringo4360 12 дней назад +1

    Mnafanya reheso sa ngapi...

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 11 дней назад

    Uyu mama anavibweka kama gooluck mwaka huu watu wajichetua atari

  • @richardscofeld9136
    @richardscofeld9136 14 дней назад +2

    Alaf wew mwandish wa habar nishawashtukia ,mnatupanga nyinyi acheni mamb yenu ya kifala,mama anaonekana anadanganya tu

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 13 дней назад +1

    Aende akaombewe Kwa mtumishi

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 12 дней назад +1

    Ushatekwa tayari

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 13 дней назад +1

    Waongo

  • @GasperRiwa
    @GasperRiwa 13 дней назад +1

    Mama mshamba sio nyumba mbona unakaaa hujielewai una uswahili wa vijijini

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 12 дней назад +1

    Mpeleke kwa abiud misholi,au moses magembe au katunzi aliepo dareslaam

  • @davidlumato-bz9hf
    @davidlumato-bz9hf 13 дней назад +1

    Kwanzaa ulizimia ulijua je gari inapaa huyu mama anampa Kiki mamaakz

  • @elesianakabuje5832
    @elesianakabuje5832 5 дней назад

    Yani muongo uyo mama ni muongo anajichanganya mwenyew maelezo hapana anatuigizia bhana...na pesa anazitaka vizuri anavunga tu

  • @VailethKindole-sx6rw
    @VailethKindole-sx6rw 11 дней назад

    Anaumwa. Ended kuombewa jamani

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 12 дней назад +1

    Makubwa gari kakataa nyumba kakubali

  • @julieringo4360
    @julieringo4360 12 дней назад +1

    Mmmmm watu wanatafuta umaarufu duuu

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 14 дней назад +1

    Huuu ndena unafiki

  • @J4Black-t6i
    @J4Black-t6i 15 дней назад +1

    Sasa wee tajili chui umetumia jia defu kupata pesa mama unashindwa kumu kotuloo

  • @magrethpaul2207
    @magrethpaul2207 14 дней назад +1

    Huyu mama hana busara ni kama hayuko sawa mwanae ni mzuri ila kuna mikono ya watu wengine imeingia ili asipewe raha na mwanae ila kwasababu hana imani hajui

    • @Joseph2010201
      @Joseph2010201 13 дней назад

      Duh! Kweli kuna wanawake wengine ni shidah!

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 11 дней назад

    Lkn Tanzania hayaishi mauzauza

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 дней назад +1

    WEWE KIJANA UMEJITAHIDI SANA KUMBEMBELEZA MAMA YAKO IMESHINDIKANA MWACHE LANA HUWEZI PATA. NI SAWA NA MZAZI UNAMNUNULIA NGUO YEYE ANACHOMA HAPO HUNA BAYA MWACHE NDUGU ZAKE WATAKUWA WANAMWONEA WIVU NA WANAMDANGANYA ACHANA NAYE WABAKI NA UMASKINI WAO

  • @HelenNyaulingo
    @HelenNyaulingo 12 дней назад +1

    Dada tiba turudi nyumbani iringa ilula isele

  • @HappynessJose
    @HappynessJose 14 дней назад +1

    Ngari na smu alikataa mbona pesa akubari hakiri zingingine bhana me simuelewi 😅😅nje ukipna paka za Omani sasa 😅😅😅😅

    • @HusnaSalum-p1q
      @HusnaSalum-p1q 12 дней назад

      😂😂😂😂siku moja nilikutana nalo nilipiga kelele bosi alikimbia bonge la paka kama kondoo limenenepa hatari

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 14 дней назад +1

    Mama huyu ni shauspiele

  • @hono1232
    @hono1232 15 дней назад +1

    Kwa lugha nyepesi wewe kukubali kuishi kwenye hiyo nyumba, basi umerahisisha maisha kuchezewa na hatimae umetoa kibali cha kutolewa kafara

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 дней назад +1

    WANDISHI WACHONGANISHI MNAMCHONGANISHA MAMA NA MTOTO

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 11 дней назад

    Uyuu MMA VIP haoni mwezake mmadangote yuainjoi.

  • @anitamashobe6185
    @anitamashobe6185 11 дней назад

    Umejuaje kama amekupa ugonjwa,jamani kwani mtu akiwa na.pesa ndio lazima ziwe za kiuchawi,mbona unamchafua mwanao vibaya

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 10 дней назад

    Kuna uongo gani unaendelea hapa kama maigizo

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 14 дней назад +4

    MAMA WEWE MPENDE MTOTO WAKO NA UMPE BARAKA MWANAO. WAZAZI WENYE AKILI WANAWAPENDA WATOTO WAO.

  • @NeemaKijuba
    @NeemaKijuba 12 дней назад +1

    Huyo mama ni Muongo una sema ulizima ulijuaje km gari lilikuwa linaelewa wakati ulizimia hukuwa na fahamu

  • @KazunguMataza-Tk
    @KazunguMataza-Tk 15 дней назад +1

    Siuondoke basi mama mbona ujifie hapo ukijua wazi huyo mtoto wako simzuri

  • @FlavianMtewele-f7u
    @FlavianMtewele-f7u 13 дней назад +1

    Ila kiki bwana inchi ngumu sana hii.

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 11 дней назад +1

    Hii ni unafiki tu bona unakaa apo

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 13 дней назад +1

    Utakufa mama wewe kuwa na upendo na mwanao

  • @HassanNdarama
    @HassanNdarama 14 дней назад +1

    Sasa wewe mama unamatatizo gani pesa zake hutaki,,, Gari zake hutaki ,,,,,,ilikuwa aje Kuja hapo acheni kuchanganya watu izo Kiki tu!!!

  • @ShaHusnista123
    @ShaHusnista123 14 дней назад +1

    Mama amebadilishwa akili saa ingine hajielewi mungu atamnusuru ataka kumtoa kafara ametoa siri

  • @PULKERIAIZIDORY
    @PULKERIAIZIDORY 10 дней назад

    Kwa katunzi apelekwe huko Kiji chi

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 15 дней назад +1

    Mmmm! Muongo huyo.

  • @tabithakimani981
    @tabithakimani981 7 дней назад

    Were mama wewe huamini Mingi kabatiki mwanaoo??????

  • @Elizabethnzulavoma
    @Elizabethnzulavoma 15 дней назад +2

    Kimbilia kanisani kwa kuhani musa mulete hapo husiseme cos the long last watakuchukua hendelea na kuongeha

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 11 дней назад

    Nenda kanisani mama utapona

  • @paulsamwel900
    @paulsamwel900 14 дней назад +1

    Nyie watu amn mauzui yakueleweka na hii channel yenu sitokuja ku angalia tena

  • @shukurukomba5663
    @shukurukomba5663 14 дней назад +1

    Kwani unefungwa kamba ....si uondoke

  • @MEMEMEMEMEMEMEMEMEEEW
    @MEMEMEMEMEMEMEMEMEEEW 14 дней назад +1

    WE MAMA ACHA USHAMBA ACHA KUMDHARIRISHA MWANAO ; HAKUNA KANUNI YA KUMTOA KAFARA MAMA MZAZI; HUO NI UZUSHI HEBU ENJOY HEBU FURAHIA MAISHA ;MWANAO ANAKUPENDA SANA; PIA UJUE MTOTO WA KIUME FARAJA YAKE NI MAMA; NDIO MAANA UNAONA HAYO YOTE; HEBU ACHA IZO MANENO MAMA MZURI; MUNGU WA😂MBINGU AKUPE NGUVU KIJANA TAJIR CHUI MAANA HAYO MAPITO SIOCHEZO; ILA UTASHINDA KWA HAKIKA;

  • @raymondmutta
    @raymondmutta 15 дней назад +1

    Huyo mama ndiye mchawi asidanganye

  • @LaurentAndrea-h3d
    @LaurentAndrea-h3d 12 дней назад +1

    Msimtukane mamawawatu akubali kifokwasababu ya mtoto kama wewe unakubal afanyiw hivo sio vzl

  • @AdamuLubwiga-go9kg
    @AdamuLubwiga-go9kg 13 дней назад +1

    Kiki iyo

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 13 дней назад +1

    Huyu mama nae mizengwe tu!!! Why ikubali kufanyia interview humo kwenye nyumba wewe mama chizi nini???? Ntoleee upuuzii wako

  • @Naju645
    @Naju645 13 дней назад +1

    Mama mtu mzima anaongea unafk

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 15 дней назад +1

    Mama kuwa makini sn

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 14 дней назад +1

    Ondoka basi Rudi kwako Mbona ueleweki

  • @tungarazalaurent2602
    @tungarazalaurent2602 15 дней назад +1

    Mnatafuta kik wee mama huna lolote

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 14 дней назад +1

    Basi na wewe mama mchawi basi

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 15 дней назад +1

    Ndo mn simba haoi ni kuzalisha tu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 11 дней назад

    Kiki hizo munatusumbuatu

  • @MarthaEmanuel-gb3mc
    @MarthaEmanuel-gb3mc 15 дней назад +1

    Muulizaji hovyioo huyo daimondi umeambiwa ni frms au ni ujinga wako wewe acha kufanya kazi kwa bidii ufanikiwe ubaki kuwazia watu ujinga

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 15 дней назад +1

    Huenda katumia dawa ili ukubali

  • @roseshijedi8744
    @roseshijedi8744 10 дней назад

    Ata wewe mtu wamidoa unauliza maswali unajua

  • @HasiKhosi-qh4uo
    @HasiKhosi-qh4uo 15 дней назад +3

    Mama kwisha hizo siku 3 ulikua na miungu Yao

  • @selinakansigo9465
    @selinakansigo9465 7 дней назад

    Waongo huo nimchezo sio mamayake wanapiga pesa kwa wajinga , muwe na ufaham wa ndani Sana . kapangwa

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 13 дней назад +1

    Aende akaombewe Kwa mtumishi