Kuna dishi lipo hapa nimefanya vyote unavyoelekeza lkn bado yaani mvua zilinyesha ikapiga radi ndio bai bai ila king'amuzi kinawaka lkn hakioneshi chochote
Unaweza fanya yafuatayo yamkin moja wapo ikawa solution 1. Jaribu kuangalia Kama waya wa dish unapitisha Moto unaweza ukaulamba( hauna shoti kubwa Wala nikama ya betri za redio tu) 2.Jaribu kufungua recever iliyopo juu ya dish then angalia ule waya unaoingia pale Kama uko sawa kwa kufanya kuuchomoa na kuchokonoa kuondoa kutu au waya kuukangua kuondoa kutu then uifunge. 3. Kama namba 1 na namba 2 umefanya bila mafanikio jaribu kuangalia receiver nyingine kwa jiran kwa kujaribu yajiran ikifanya Kaz yamkin yako inatatizo 4. Badilisha decoder jaribishia na decoder ya jiran ikifanya kazi Basi decoder yako yamkni ikawa na kasoro. Au ukachukua decoder yako nakwenda nayo kwa jiran kujaribisha 5. Ikiwa haujafanikiwa nichek 719220216 Anza na sifur
Hakikisha umepata uelekeo sahihi wa Azam dish, hakikisha receiver yako umeiset vzr (set kwenye zero na waya Ukae kulia ikiwa unatazama jua lilipo zama) Unakaza vzr pale unapopata signal( hakikisha dish halipo kwenye mkondo wa upepo Sana.) Angalia Kama kunavizuiz mbele ya dish. Kama vyote hiv viko sawa yamkini ikawa tatizo la kiufund kwenye decoder yako.
Shukran Sana mkuu umenipa ujuzi
Tuishi humo 🙏
Big shout out zfike kwako ka mkubwa dah mbinu yako imeniokolea buku ten ya kumwita fundi sina cha kukulipa brother thanks
Karibu Sana endelea kufuatilia video zetu share na wana.
@@dmginfo2470 p1
Nimekupata mkuu Ayo.. Big Up
Shukran Sana 🤝🙏
naomba unioelekeze au kama unavideo jinsi ya kuset dish kwa mfumo wa ndani na nje kwa aina zote za madishi
Msaada Sana hii video 🙏
nawezaje kuludisha program ya zaman ambayo nilikuwa na uwezo wa kuweka flash nikaangalia vitu mana sasa iv bila kulipia aikubali
Kwangu io quality haiji kabisa lkn intensity inakuja mpka 87
LNB RECEIVER iweke vzr
Huna namba ya whatsapp tuwasiliane kaka
Ivo cjaelewa vyema tueleweshn vzur ili tipate wasaa mzur iv ytube ikizngua nicmnt tna kwaio nakuomb ndgu tusaidian
Voda ya 59060986
informative video 👍
Welcome
App gani niwekee kiongozi niidawload
Hujasaidia kupata kwa satellite finder mzee
Good idea
Vipi Kama tv inaleta kuchagua lugha, time,na baada ya hapo inaleta mambo ya antena, satellite/TP. Shida ni nini hapo
Nichek WhatsApp
Kuna dishi lipo hapa nimefanya vyote unavyoelekeza lkn bado yaani mvua zilinyesha ikapiga radi ndio bai bai ila king'amuzi kinawaka lkn hakioneshi chochote
Unaweza fanya yafuatayo yamkin moja wapo ikawa solution
1. Jaribu kuangalia Kama waya wa dish unapitisha Moto unaweza ukaulamba( hauna shoti kubwa Wala nikama ya betri za redio tu)
2.Jaribu kufungua recever iliyopo juu ya dish then angalia ule waya unaoingia pale Kama uko sawa kwa kufanya kuuchomoa na kuchokonoa kuondoa kutu au waya kuukangua kuondoa kutu then uifunge.
3. Kama namba 1 na namba 2 umefanya bila mafanikio jaribu kuangalia receiver nyingine kwa jiran kwa kujaribu yajiran ikifanya Kaz yamkin yako inatatizo
4. Badilisha decoder jaribishia na decoder ya jiran ikifanya kazi Basi decoder yako yamkni ikawa na kasoro. Au ukachukua decoder yako nakwenda nayo kwa jiran kujaribisha
5. Ikiwa haujafanikiwa nichek 719220216 Anza na sifur
Sasa akuna demonstration 😢
Mahali nilipo nasumbuka sana kwenye Signal za Azam Dish. Naweza nikarekebisha Leo baada ya mwezi narudia tena
Hakikisha umepata uelekeo sahihi wa Azam dish, hakikisha receiver yako umeiset vzr (set kwenye zero na waya Ukae kulia ikiwa unatazama jua lilipo zama)
Unakaza vzr pale unapopata signal( hakikisha dish halipo kwenye mkondo wa upepo Sana.) Angalia Kama kunavizuiz mbele ya dish. Kama vyote hiv viko sawa yamkini ikawa tatizo la kiufund kwenye decoder yako.
frequency ya dst please
Zipo kwenye dikoda yao
Lb unaset kwa namba gan
Love it✌️
Nisaidie ndgu
759060986