Listening in 2024....slept feeling low and heartbroken💔💔and in this morning the night after it's at 5:59 and I have woken up singing this song in my mind and I had to come search for it and listen to it
In 2015 I used to sing this song I got pregnant while in form four I was really stressed bkoz lack of skull fees led to everything but while I was in the same when I hear this song I used to be truly strong whatever you are going through remember the love of God 🙏 is all over you amen
Hata sasa tukiwa december 2024, upendo wa Yesu umetuzunguka. Wewe unaesikiliza wimbo huu mwishoni mwa huu mwaka, UPENDO WA YESU UKAKUFUNIKE NA KUKULINDA UFIKE 2025
UPENDO WA YESU-UPENDO NKONE Huku na huku eeh, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Kila ninapoimba, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Niwapo nimelala, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Na ninapo tembea tembea, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Hata nikiwa nakula, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Ee niwapo safarini, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Nikiwa masomoni, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Huku na huku na kule na hapo, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Anitegulia mitego ya muovu, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Hata nikiwa pekee yangu, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Na nikiwa nyumbani kwangu, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Na nikiwa kazini, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Huku na huku na huku, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Nikiwa hospitalini, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Nimezungukwa na nguvu za Mungu kama Mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Huku na huku he, kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka Mawimbi mawimbi Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
12 years now since she left us and went to meet her maker..we used to dance this song with her in church before main service😢😢😭😭😭😭continue resting in peace mam 🙏
Nakupenda. Waonekana mwenye furaha ukweli kabisa upendo wa yesu wakuzunguka,tabasamu yako -yavutia watu kwa yesu.sitaki kitu kingine ila upendo wa yesu. Happy girl,wapendeza Napenda nyimbo zako zote-your smile☺️.kweli yesu amekuzunguka
Nashukuru Upendo wa yesu umenizunguka mpaka huku arabuni nafanya kazi njema najituma kupitia nguvu za yesu ili kupata maisha yalomema na yauhalali wa nguvu za mungu nabarikiwa Sana 🙏🙏🙏🙏
Love this.i play it as many times as I can.i reflect my life from being a child,youth till now a father in my home.God is great.nothing much can be said.tears do fall.
Nimezungukwa na upendo wa Yesu hata katika magumu upendo wake unanifariji sichoki kuusikilza wimbo huu tangu utoto wng umenitia moyo katika mapito mazito barikiwe mama yng upendo Mungu ameweka kitu ndani yako ♥️♥️
Wewe unayesoma hii comment na Ku Like mwenyezi Mungu akufungulie njia na akupe lolote umuombalo kwa Jina la Yesu pokea pokea pokea.... Amen
Amina 🙏🏾
Amen, niko wa Burundi
L hlbhib
Amen
Amen
In 2024 na bado upendo wake wanitosha am a winner 🏆
Upendo wa mungu wanizunguka amen
2024!!! On 11th February who's with me
25th February we still here
27:3:2024 Glory be to God
🙏🙏🙏
Very lovely song,I ❤❤❤❤
4th June 2024.
2024, who’s listening with me today❤
2024 nipeni like zangu ❤❤❤❤🎉
I like this song so much❤❤
Sawa mama mwimbie yehova kabisa
❤
My favorite song @Emily-w8c
❤❤🎉
Jameni tunaelekea 2025 nan kama mungu , mungu siku zote🙏🙏🙏
Listening in 2024....slept feeling low and heartbroken💔💔and in this morning the night after it's at 5:59 and I have woken up singing this song in my mind and I had to come search for it and listen to it
trh 30 /08/2023 kama unaamini upendo wa mungu umefika cku ya leo naomba like yako apa haleruluya kama mawimbi
In 2015 I used to sing this song I got pregnant while in form four I was really stressed bkoz lack of skull fees led to everything but while I was in the same when I hear this song I used to be truly strong whatever you are going through remember the love of God 🙏 is all over you amen
Mwaka wa 2024 unapokaribia kuisha upendo wanizunguka
Upendo wa Yesu Wanizunguka. Who's with me October 2024❤
Me🙌🙌🙌🙌🙌🙌
December 10/2024
Who is here after 9yrs it's now 2023 ... Let's show love . Upendo wa Yesu wanizunguka
wupendo wa yesu umenuzunguka corona virus will never reach me , whoever beleive gonga like
In 2024 come praise him
upendo wa yesu wanizunguka 2023 whos with me
April 2024
My friend just died and the last video he recorded 2 weeks ago was him dancing to this song!! Rest In Paradise Allan🕊🕊
Anytime i listen to this song it's never been the same... continue resting in perfect peace Allan
Bambi may your friend rest in eternal peace
Q
@@puritychepkemoi4895pp❤p0pppp❤pp,p,p
May he rest in peace❤
2024..❤ kama mawimbi upendo WA yesu❤❤❤ wanizunguka!.
Mungu mbariki yeyote anayesoma hii!..
I dedicate this song to all my brothers and sisters in Gulf countries...mambo inakuwanga huku sio mchezo😢😢😢
Who is watching with me 2019
Sema upendo wa Yesu kunizunguka mimi
Meeee
Wanizunguka
YESU **
December 2020
2024
If you are listening to this, give your life to Christ the living God, the Immortal One
When it comes to Music, TZ people dont Play. It doesn't matter if is gospel or bongoflava.
Upendo wa Yesu wanizunguka. Who's with me 2020?
2021🙏🙏
2024
Mwezi moja baada ya leo ntaleta ushuhuda wangu hapa.
Mark my comment
Am here today 7th of June 2024, the love of God surrounds me
2 march 2024. Kama mawimbi
Listening to this during COVID19 and it calm my nerves
Hata sasa tukiwa december 2024, upendo wa Yesu umetuzunguka. Wewe unaesikiliza wimbo huu mwishoni mwa huu mwaka, UPENDO WA YESU UKAKUFUNIKE NA KUKULINDA UFIKE 2025
Upendo wa yesu wanizunguka In Jesus mighty Name Amen ❤❤❤God bless you upendo Nkone❤❤❤
Aliyemuona rich mavoko hapo agonge like hapa
UPENDO WA YESU-UPENDO NKONE
Huku na huku eeh, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Kila ninapoimba, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Niwapo nimelala, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Na ninapo tembea tembea, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa nakula, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Ee niwapo safarini, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa masomoni, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku na kule na hapo, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Anitegulia mitego ya muovu, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia
Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Hata nikiwa pekee yangu, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa nyumbani kwangu, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Na nikiwa kazini, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku na huku, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Nikiwa hospitalini, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Nimezungukwa na nguvu za Mungu
kama Mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Huku na huku he, kama mawimbi,
upendo wa Yesu wanizunguka
Mawimbi mawimbi
Kama mawimbi, upendo wa Yesu wanizunguka
Wimbo mzuri
God bless you
Kila komunyo na vipaimara huu wimbo ulichezwa sana na hata sasa upendo wa Yesu unatuzunguka
Anitegulia mitego ya mwovu,MIMI nalindwa kuliko wakuu wa dunia 2024
Nani akohapa 2024
My mum died, she would turn around dancing to this song and she would cry. Whenever this song plays I cry.
Woiyee May she Rest in Peace of Christ. Take heart
12 years now since she left us and went to meet her maker..we used to dance this song with her in church before main service😢😢😭😭😭😭continue resting in peace mam 🙏
My Dad too died let them continue resting in peace sorry
04/22/2024 who’s listening to this amazing with me
Upendo wa yesu
Let's do another video of this sensation.
Just a few days to 2025! ..upendo wa yesu wanizunguka❤❤....
ninalindwa kuliko wakuu was dunia......upendo wa Yesu wanizunguka...
Nakupenda.
Waonekana mwenye furaha ukweli kabisa upendo wa yesu wakuzunguka,tabasamu yako -yavutia watu kwa yesu.sitaki kitu kingine ila upendo wa yesu.
Happy girl,wapendeza
Napenda nyimbo zako zote-your smile☺️.kweli yesu amekuzunguka
I'm 24 i listed to this song when i was a kid, decided to look for it and I'm here mehn 2024 December from Kajiado Kenya ❤❤❤
ilikufaidi upendo wa Mungu lazima uwe mwokovu jamani, upendo Wake ni amazing love 🥰🥰🥰
Upendo wa Yesu wanizunguka🎶🎶Thankyou Jesus
Huku na huku na kule na hapa kama mawimbi wanaozunguka amina dada
Nani anapenda hii song kama mimi ,.. ❤❤❤it makes me feel good with my God❤🎉
3rd August 2024❤
Huu wimbo una mazingira mazuri sana hata unazidi ile kolabo yako na messe
Wapi likes Upendo wa yesu eeeeh,❤️♥️❤️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Upendo wa yesu milele na milele
Hata Ruto atunyanyase kenya, upendo wa yesu umetuzunguka 🇰🇪 kenya
Thank you Jesus.
Upendo wa Yesu wanizunguka 2021/21May @21:44🙏
One of the greatest gospel songs in East and Central Africa of all time🎉
Barikiwa sana,maana nikawa nimeukumbuka huu wimbo kwamaana hapa ni sehemu sahihi wa kuupata pia nimeinjoy
Mungu akubariki nyimbo hii inanibariki sana inanisogeza karibu na mungu .
11th 2024
Upendo wa yesu wanizunguka
Asante yesu❤
Nashukuru Upendo wa yesu umenizunguka mpaka huku arabuni nafanya kazi njema najituma kupitia nguvu za yesu ili kupata maisha yalomema na yauhalali wa nguvu za mungu nabarikiwa Sana 🙏🙏🙏🙏
Safi
Nashukuru mungu Kwa wimbo huu inanitia moyo mungu awabariki
Huku na huku na kule, upendo wa Yesu wanizunguka!!!
2023 Nov 19th, still the hit in my heart..... This love so tender and pure moves me to tears😢😢😢😢😢
Every morning i wake up to this song. Surely i will get to 1M views
Upendo wa Yesu wanizunguka I believe 🙏🏽
Mungu ashafanya njia Hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏽
Hii ni 2020 kama umekuja kusikia upendo wa yesu wanizunguka tujuane😍💋
tupo bado 2024 Upendo wa MUNGU unazid kutuzunguka 🥰🥰 We are blessings thanks God 🙏 💪😃
Ooooo my top song forever
Fav Gospel song🤧🙋🏾♂️
Tunaozungukwa na huu upendo this 2020 gonga like tukisonga !
This lady is so blessed,more grace woman of God, you're blessings to many
Love this.i play it as many times as I can.i reflect my life from being a child,youth till now a father in my home.God is great.nothing much can be said.tears do fall.
This reminds me the love of Jesus is everlasting 🎉
My 2024 is blessed
Here in 2024. One wonderful song thats highly underrated. Nmedance yangu yote
Being blessed with this song 24.12.2024.indeed time flies🖐️
Best everrrrr mungu akubariki mtumishi wamungu
Amen upendo wa wanizunguka
In loving memory of my love mama Dorcas Omoro.
May you continue resting with the angels, in my heart you live forever.
Kama mawimbi upendo wa yesu wanizunguka ❤❤🙏🙏
Huu Wimborne niliusikia like seven ago.❤❤❤❤❤
Nimezungukwa na upendo wa Yesu hata katika magumu upendo wake unanifariji sichoki kuusikilza wimbo huu tangu utoto wng umenitia moyo katika mapito mazito barikiwe mama yng upendo Mungu ameweka kitu ndani yako ♥️♥️
Much blessings Mungu azidi kuzibarik hatua zako 🥰🙏
We sang this song during my prayers day right before KCSE... it has always blessed me
The song will still alive from one generation to another
Wimbo huu unapenda hadi mishipa ya damu. It's quite intense.
❤❤❤❤❤❤❤anisungaa
Ninalindwa kuliko wakuu wa dunia.... This keeps me going. Blessings to you upendo Nkone
Upendo wa yesu umenizunguka.acha niringe kwa ajili yake.AMEN
How I wish everyone knew his love how it gives a feeling of comfort and everything when you have him you don't need anything else in this world ❤
"Nalindwa kuliko wakuu wa dunia!"❤
I can't imagine a better way to explain God's love than this song😍😍😍
True
God bless you always it blesses My soul
That's very true 🥰😍🤩
My late father's favourite song. Rest In Peace Dad
😭😭😭
upendo WA yesu unaninzunguka na family yangu na wote wapendwa
Upendo wako Yesu wanizunguka tangu ulipotufia msalaban Haleluyya
The love of Jesus Christ is amazing, I am thankful for him each day.
Michael otieno
Safi sana nabarikiwa
My favorite gospel artiste
This is the real gospel. Achana na huyu Embarambamba
Who else is feeling blessed this Quarantine season??
Amen Upendo WA Mungu umenizunguka nan amezungukwa Kama Mm hii 2020 nmezungukwa corona haina nafasi nkiwa coast kilifi country 003
jamn naupenda huu wimbo sana,honger mamangu kwa ujumbe mzuri,
Upendo wa yesu wanizunguka Amen na familia yangu Hallelujah
nimebarikiwa sana
Be blessed Mama.....nyimbo zako huwa ni nzuri Sana.....Nabarikiwa nikizisikiliza 😘😘 kama mpya kila siku 🙏🙏!!
Upendo wa yesu wanizunguka
Hallelujah, ni kweli upendo wa Yesu wanizunguka kama mawimbi.
Niwapo popote upendo wa yesu wanizuka amen,😍😍😍
Kama mawimbi upendo wa Yesu wanizunguka.