Kwa Bar by Odi Wa Muranga ft. Fathermoh & Harry Craze
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Kwa Bar by @ODIWAMURANGA ft. @fathermoh & @Harrycrazetv | OFFICIAL MUSIC VIDEO
Stream: BlackMarket.ln...
#blackmarketrecords #fathermoh #odiwamuranga #kwabar
Siku hizi mimi hukula kile na dai, wallai ticha..
Siku hizi mi hushinda ndani ya ndai niki-zunguka..
Siku hizi Hadi landii huniitia form namzungusha..
Siku hizi Hadi nikichoma kindom siwezi ficha🎉🎉🎉
Niko so so ahead of my time😮😮🎉🎉..odiiii
Fathermoh always kill it but hapa Harry craze ameuwa walahi👍
ngenge ton haishi ndo inza
Noma
Verified hit.. Popote Fathermore ako is a hit❤❤❤❤❤❤❤❤❤
True
@@carolkagundah6166asilimia mia yani mia kwa mia,one hundred on top of a hundred,it is this way 100/100 true
Yarima
Exactly, yeye hunibamba sana
Bana Farthemore ni mgenje👊🏾👊🏾🔥🔥
Acha niache hii comment hapa just in case msee a like nikam kuskia hii banger tena😂
Habari sato
All the way from 255 huyu fathermoh ni balaa na gengeton kalibia zote za black market lazima aimbe mpen maua yake
HI HEMA HI HEMA,DEM AKO NA BIG DENDA BIG DENDA🔥💯
😂😂😂 i'm assuming that's ur favorite part
Mmmh😢😢😢😢😢😢😢
It's based on true story. Walai mode
Hapa n wapy ✊🗣️🗣️🗣️
Mzinga ni ngapi.
Mzinga kadhaa🎶
Odi MURANGA no.1 GENGETONE king 👑
Kwa Bar .....Trending Top 5😀😊😊
Tuishi bar 🍻 🍷 YOLO✍🏾
🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯 hapa ni wapi!!! @odiwamuranga moto kama pasi wamalize kimackenzie 🛫🛫🛫✈️
Hi wimbo imebebwa na verse ya Harry Craze
Fathermoh-king
Odi's sound☑
Harry naye ameua💯
Gengetone isharudi🔥🙌
Tamu Sana ❤
Hii ngoma haitawai expire as long as Mathematics ni subject.wajukuu wen7 wataicheza kwa club🔥
Ngoma ni fire
Harry craze effect can't be underrated....🌟🚀
Noma sana😅 farther MOH
waalai wamechomea mwalimu wa math
Hiii ni mbaaaaaaya
mtoto wa modee wa mao was just chilling..............😂😂😂
Aiii bana me napenda ODI ata apige binja hadi track iishe. Yoh Frank nakupenda regardless na me ni fan wako mbaya sana💯
Hapa n piwa!!!!
Odi wa Murang'a's voice👌 Fathermoh King and Harry Craze verse💥 Guys have you realised that gengetone is back..Hits everyday
Walai imerudi. Ile twerk down ndio sasa irudi, tupate more new artists
Gengetone inarudi lakini itakua imerudi fully Sailors wakirudi... Kwanza Miracle baby ndo kingpin Genge🎉🎉🎉
@@Nolan_kenya Shida iko ni Sailors hawaezi imba as sailors gang. Mangoma hazitakua zao.
@@callmemanyeso856 Kwa interview fulani miracle baby alisuggest wanaeza kutana wote Alf waenda wabonge na Hao wasee wa black market.. Coz no one is perfect then itakua fine.. Kitu najua watarudi
Best comment
I feel so good when this great kings find their crowns again . Odi keep it up
HARRY CRAZE is going places, great music, top notch video... .. Keep up the good work
I dedicate this to Mr. Kabue mwalimu wa math pale mŭkŭyŭi nī primary school aliniambia afadhali mamangu angezaa ngunia aishie nayo soko😂
Acha hizo
@@josephmaina6087uongo mbaya lakini siku izi nalipwa na dollar
Hii nayo ukose ku appreciate ni kiburi na hukuwa unaelewa Mao mle shuleni ... Amazing ♥️😂
Mwenye alisema...yeyeye......damn!!...alikill it..❗
Man this song always kills me😹😹😹😹😹. Wenye walisema hatuendi mbali, hapa ni wapi, NONSENSE!😹😹😹😹
youtube
hii ngoma ni fayah nimeskiza mara kama mia leo....💥💥💥
The fun thing is, kwa hii ngoma mwalimu wa math akiitwa anaitika"yea yea"😂🙌✍️✔️🇰🇪🌍
😂😂😂
😅 so captivating
❤❤❤❤my all time rapper odi wa muranga represent again here
Hapa ni wapi lakini bado napika na kuni😂 shenzi mimi😂
Wenye walisema hii ngoma haiendi mbaaliii.......hapa n wapiiii☀️☀️☀️☀️🤩❤️❤️❤️.........issa BANGER🔥🔥🔥
Mr. Umani hahaa
Hi song ni Nina💪💪💪💪😅
wangu alisema nitaenda mbali nilipata 21% nikaandikiwa very good
NYC one guys. Mmekill
GENGEEEEEEE, Lets support our own,
Wimbo imehit mbaya I love fathermoh voice❤❤❤ and odi wamuranga lazima madem wakuwe hapo😂😂😂😂
Kitu nare hii design.
Kenyan Talents Rock!!!
Iyo part ya Harry Craze😮🙌🙌
Wanjiru Chege❤❤😂 amewakilisha
Mbwaaya🎉finally
Fathermore ni kuua💯💯
Big up mbogi imeweza mbaya
Hii n kali .Wote wamekill
👌👌👌👌👌,laaaaaast part eeeiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sana❤
Odi bado ako na bass yake🔥
Hii sauti ya Odi wa Murang'a inanifanyia mavitu🥵
Nangoja apo Kwa Hii hema ...hi hem😊 liiiit❤
Noma sana .....
Hapa n wap✊ congratulation nice song
Odi wa moran'ga ni mjanja business man ata kwa😢 kolabo🎉🎉i alipick the best manze hapa hakuna mchache hope wengine watoe vitu kama hizi genge inamelody tamtam😊
Hizo beats ukiplay low volume heri usichezeshe.. Hii blast ngoma kabisa
Mwalimu wa mao sai hana kazi😂
They thought mambo imeisha lakini uhondo ndo huu!!!
fire song
Odi wa muranga you're the best,, true girl Kenya altist from Kenya love your job ❤❤❤🎉🎉😢
odiii!!!!
Fathermore ameshikilia hii kitu 👌
Harry craze!!! Wuehhhhhh..
Very lovely song!!! Great work!
😅mwoooto odi eeh sauti ⚡⚡⚡
😂😂😂😂 mode wa Chem umeskia😂😂😂
Odi wa Muranga's voice is so hot
naree👊👊
If a lie is a lie walai teacher I'm fine
My favourite guys ❤❤hii song hainitoki kwa akili
Nafeel Zzero sufuri alifaa kurusha verse kwa hii ngoma🔥🔥🔥🔥
Rest in peace to the legendary Byron the producer. Your music will forever be a testament to your talent and creativity.
Aiipapii 💔😢
RIP❤
Rip in peace
Uiii odi wa muranga the baseeee❤❤❤
Intro nayo imeweza..banger🔥🔥💯
hi ngoma man imeweza
Vibes ni lit maze
Fathermore nakupenda ❤
Kalii odi wa muranga to the moon and back
sikuizi ara nikichoma ka ndom siwezi jificha thats the dream
nko kwa bar ka na beeerrrrrr
Kazi safii mkuu. Mzuka
My G ametuamulia this damn Niko Kwa bar 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Genge ndamu ✌️
Weeeehhhhh Mwakiiiiiiii kibiritiiiiiii.... kali sana majamaa...
Hii ngoma ni kali walai ⏪▶️⏯️ ni ma rewind tu hii mtaa
fathermoh you nailed it 💯🔥🔥🔥🔥🎶,yangu haivai bra 😂
Walisema Gengetone imekufa lakini hii nini? Mwoto sanaaaaaa
Mwaki mwaki 🔥🔥🔥💯
🎉❤❤ noma hiiii
Odi wa muranga blud umeloxt wpi long tym manzeh ... Kwnza maboys wa north eastern ni funs yko sna ilete mingi mingi joh
Me listening this song everyday while my parents are mwalimu waa math 😢😂🎉 Lakini sherehe ni lazima
Video safi 💪💪
Fatgermoh lyrics were dope and harry style was dope. Odi na base ko sawa pia
Finally, the masterpiece is here🤒💥✌
🔥🔥💯 Noma apa n wapi kaboom💥