Huu wimbo ni mgumu sana lkn mwanzo mwisho hujatoka nje ya key ikumbukwe Whitney Houston mwenyew alipozidisha madawa kun wakat alitakiwa arudie kuuimba akachemka leo we proud kuona mtz anaimba "I will always love u"
Nakuombea Kwa mungu....mimba ulishika hukutoaa..umeimba ad ikiwa na miez tisaa. Nasaa n wiki ya pili tok ujifungueee ....nasasaaa n kusaka heraa za kumtuza mtto ...... Wew n malkia piga kazi mzaz
"Kwa wasanii wa Tanzania" uko on top. The runs, the control in the breath and voice, damn I will always love you ni classic na umeitendea haki kwa level zetu lakn😃
Wangapi wamerudi uku tena 2023 ruby 🔥🔥🔥
Mimi hapa nampenda sana ruby she knows what's is made of ...much love from kenya
Ruby Mungu alimpendelea sauti nzuri jamaniiiiii🙏🙏🙏🙏🙏....Unaimba vzr kwa hisia tena umerelax mpk nakupendaaa😘😘😘😘
Ruby ur so talented sijui tatizo liko wap yaaan unasauti nzur sana saiv ungetakiwa kuwa level za mbali zaidi una sauti nzuri sanaaaa
Watu wenye vipaji ndo hawapewi sapot.
@@shaniaking7525 hakika
Tatizo mabos wanatak upwiru ndomana mtoto wa watu wanambania haonekani ila yupi vizur sana
Huu wimbo ni mgumu sana lkn mwanzo mwisho hujatoka nje ya key ikumbukwe Whitney Houston mwenyew alipozidisha madawa kun wakat alitakiwa arudie kuuimba akachemka leo we proud kuona mtz anaimba "I will always love u"
Kibongo kibongo kajitahidi, kafika atleast 15% ya Whitney, vocal range ya ruby ni naturally ndogo,ku handle hii nyimbo,all in all kajitahidi
@@kaxoghursantos2696hater
huwa sisi wabongo tunapemba kuwapa airtime watu wabov..lkn like rubby tunawaficha wakati ndo wenye uwezo..big rubby tishaaaaa mbaya
Rubyyyyyyyy am speechless for real ww ni fire umebarikiwa na kipaji from god
Always nakukubali sana kwa muziki wa live.
4me your da best in Tz 4live music!!!
Hongera dada.... Pambaniaaa ugalii kama kujifungua umeshajifungua hao wanaokusema wamekuletea hata sukarii ya uji nyooooo pambana mwayaa waja hawakosi maneno
Mbona tumbo bado kubwa mm nilijua yupo ukikoni du anamtoto gani
Love u
Xanaass
Amazing pipes from Ruby, hauna mpinzani 🔥🔥🔥🇹🇿
Wow, Amazing voice and I love you so much Ruby💕
Ruby masha allah
Ruby sauti yako natural hubani wala nini. You are the best keep it up.❤❤❤
Hatatokea vocalist kama ruby Africa❤
👊👍
Kabisa
Am telling you...labda kidgo Abby chamis anamsogelea kama atakaza buti
Rubby wewe ni mwana muziki sio intertener, hio vokol mama 🥰😍😍🇰🇪
My role model❤❤❤❤
Am still listening this at 2022,,its absolutely amazing 👏 😍
Nice voice ruby ruby iam watching from drc aka zaire
Ukweli Ni kwamba Rubby pekee ndo queen of voice East Africa 💕
Amazing voice and next level talented she's a good talented 🙌🙌🏄
Mapenzi yametuharibia msanii mzuri
I really appreciate you Ruby the best famale artist
mashallah iyo sauti❤❤❤
Nimerudi kuangalia tena2024
Mimi apa
❤🎉 tupo😂
Nakuombea Kwa mungu....mimba ulishika hukutoaa..umeimba ad ikiwa na miez tisaa. Nasaa n wiki ya pili tok ujifungueee ....nasasaaa n kusaka heraa za kumtuza mtto ...... Wew n malkia piga kazi mzaz
best vocalist Tanzania
Goosebumps!! Uyu dada anajua ni level zingine kabisa hapa bongo
For real
Ila ndo haonekani yupo vizur kuliko wanamziki wote wa like bas tu wanambania kuimva live kama hivi wengi hawawezi
Wooooo such amazing voice love you sweetheart
Tisha sana rubyyyyy penda sana mama izo ndo talent bana sio unamsikia hamisa nae anaimba fyuuuu
anaimba sensema.....hahahhaha
Wow love you so much ruby❤❤
Ur the best ruby
Wow so beautiful 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Such a beautiful voice
"Kwa wasanii wa Tanzania" uko on top. The runs, the control in the breath and voice, damn
I will always love you ni classic na umeitendea haki kwa level zetu lakn😃
Ahahahaah
🤣🤣🤣🤣
Umemalizia vizuri ety kwa level zetu lakin 😂😂😂
2025 nimekuja kuangalaia tena Ruby❤❤
Mashallah ALLAH barik
Ruby anajua kuimba kinyama, Safi Sana Ruby, 🔥🔥🔥🔥🔥👌❤️❤️❤️❤️❤️🌹🙏🙏
Jmn saut mashaallah 😍😍❤😘
Bora kulika Zuhura kopa best ✨✨✨✨✨big up mala ya kwanza kusikliza 🌹🙏🏽
Cute voice all Tanzania girl musicon no like you your best
Jman mwambien bas ruby arudy❤
Mashallah
Salute kwako😊
Ruby balaa👏👏👏
2024 niko kuiangalia tena
Ruby mwana lazima awe mwimbaji kama unahimba mzazi wawiki mbili kweli kinatoka kwa mungu kipaji chako
Mie nawaza mtoto kaja nae Au kamuacha nyumbani😃😃 Mana Akilia nyonyo itakuaje😃😃
Mm shabikiako kindakindaki siku moja wanaotembelea nyota yako mungu atawaangusha na utabaki juu
I just love her
Rubyyy 😢❤❤❤❤❤
Queen of voice Tz
❤❤nice
Queen of vocals in Tanzania❤
VERY TRUE🥰
Rubyruby🎉🎉🎉
Luv uuu
Unaweza kipenzi❤❤❤❤
Nakukubali saaaaaaaaaana
Ruby😍
Voice fundi
Msanii wa maisha yangu wallah
Blesssed
Ruby beb your fire from Kenya
Unyama mwingi 🎉🎉🎉
Hongera sana umetisha
Unaweza mama
Daah uko vizuri bibie
Hii ndo Bongo bahati mbaya
Anaweza bhn Ruby
una saut amezing san ruby
Nakukubali saana Rubby
Nimeludi kuiangalia 2024 mwe wa11 date 9
😘😘nakupenda tu
Omg God..umenisisimua
Mimi hapa
ts 2023 now, ruby 👂
Amazing artist in Tanzania
We dada ni next level kabisaaa😘ruby mtu mbad
Safi sanaruby mumgu akubariki
Hii ndiyo dizaini ya nyimbo anazotakiwa kutunga na kuimba. Aachane na bongo flavour.
Inabd mana wabongo hawamuelew coz co level zetu huyu ni level za nje
Au aimne gospel songs she will make it far
Amaizing
Wew ni zaid ya malkia😘
Hongera Ruby jamanii kumbe ushajifungua?? Mungu azidi kukupigania
Hongera ruby
weeeeee imepenya moyoni sauti nzuuri sana
She is dope❤️🌹
2023 Ruby huna mpinzani
Doh! Such a precious gem in a vicious game
Huyu dada itafika mbali sana kitafaita kama watu wakimsapoti
Sijawahi ona kabla😇😇😇
2024👍
Huyu dada Yuko vizr anaimba sana
Nakupenda sana Ruby Tz hauna mpinzani love you forever
Love u ruby
1.ruby
hongera umejitahidi mama
Naangalia leo2024
big up ruby
Huyu ndo namna one vocalist in Tz
Queen 👑👑👑👑👑👑👑👑👑
Super
Jmn Ruby ❣️
Cute voice 😍...#rubynoone1..100%
Congo inakukubali mama🇨🇩🇨🇩🇨🇩♥️💪