Aristote aingia live IG kumwambia haya Niffer baada ya amri ya Waziri Mkuu kuwa akamatwe

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 58

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 часа назад +2

    Dada anaakili mnoo nimemwelewa ....kichwa cha utafutaji safi dada hongera mana huja ua wala kutoa kafara safi msameheni mpeni onyo tu

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 33 минуты назад

    Waziri mkuu❤❤❤

  • @feizalmas
    @feizalmas 3 часа назад +7

    Duh huyu mbona katusaliti wanaume wenzie. Wanaume hatui hivi. Huyu aristote achunguzwe yawezekana anavaa bikini

  • @chancelebishopofficial2785
    @chancelebishopofficial2785 3 часа назад +6

    The true definition of wanaume Kama Mabinti

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial 3 часа назад +3

    🧭🤳 hali ya hewa siku hizi ni maumivun.
    Kwetu tupo na maandamano 🇲🇿
    Mungu amsaidie huyu mdada, maana hakuwa na niya mbaya.😢

  • @Aaaliyahh105
    @Aaaliyahh105 3 часа назад +10

    dah Mungu amsaidie huyu dada sizan kama alikuwa na nia mbaya yote yote Mungu ndo anaejua 😢

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 3 часа назад +1

      Tatizo amefanya bila kufata sheria kila kitu kina mipaka yake ususa maswala ya serikali

    • @HappyKamera
      @HappyKamera 3 часа назад

      Kweli

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 2 часа назад +1

      Wewe acha kuongea kama zuzu hivi ww wadada wa mjini huo sio utaratibu kama alikuwa na nia angefata utaratibu shida anataka kujionesha na huo anaofanya ni wizi maana mimi na ww tunaamini vp kama hela zote zinafikishwa tulia ww

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 2 часа назад

      ​@@jassonnelly3445kabisa kaka

    • @beatricejoseph2347
      @beatricejoseph2347 Час назад

      Nalo litapita ,Mungu ndiyo anajua nia aliyokuwa nayo

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 3 часа назад +4

    Kuchangisha pesa bila kibari maalum, ni kosa kisheria unaweza kufungwa kuanzia kifungo cha miezi sita hadi mwaka mmoja

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 44 минуты назад

    Kafanya kosa kubwa sana ni Kama utapeli fulani huwezi kuchangisha wananchi bila kibali c'ha serikali Kwa sababu kuna matapeli pia Wa mitandao,apeleke Hela zote sehemu husika

  • @hirizonetz9558
    @hirizonetz9558 19 минут назад

    Aristote😂😂 et neno hatukujui

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 21 минуту назад

    Akuwa na nia mbaya afu kama angekua na nia mbaya asinge sema kias gan

  • @LuluHamisi
    @LuluHamisi 19 минут назад

    Naomba kuliza kitu awo waliokuwa wanachanga pesa awapo sawa kiakili mana mnasakama sana kwamba nitapeli ilitakuwa kumuita vzur sababu jambo aliliweka adharan watu wanakuja kuingiza chuki zao binafsi,ivi tunashindwa jifunza kwa hili lilotokea tusiishi kwa chuki atujui kesho yetu ndugu zetu wameagwa leo walitaman wapate wasaa wa kuomba radhi ama kusamee aliemkosea hii dunia mapito tuachen chuki

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 2 часа назад +2

    Kingine alichokosea ni kujibu kauli ya waziri mkuu eti anashukur serikal imemjua watu wengi wameshamfahamu sijui mara ooh sijakamatwa kwnn ulimjibu ungeomba tu msamah bas

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 46 минут назад

    Jumaaa sio mzrii kweli

  • @gladnessmsolla6006
    @gladnessmsolla6006 3 часа назад +2

    Niffer ni mdada mzuri n.a. mpambanaji ila ana kiherehere

    • @mapishinarose2415
      @mapishinarose2415 2 часа назад +1

      Sanaaa anataka kila kitu aonekane yeye ndo kinachomponza ajifunze kupunguza shobo😊

    • @rosemuna5569
      @rosemuna5569 Час назад

      ​@mapindokilichomponza na masifa shinarose2415

    • @careemissa2502
      @careemissa2502 Час назад

      Wahaya wanapenda Sifa sanaaa

  • @glaqgloryaqram7511
    @glaqgloryaqram7511 3 часа назад +3

    Leo nimejua Niffer anamaadui wengi kweli

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 часа назад

    Dah

  • @EdwardKabologo-e2i
    @EdwardKabologo-e2i 31 минуту назад

    Huyu dada ameuponza bure😂 yote kwasab ya kutafuta kiki kupitia majanga😂😂

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Час назад

    Mnayazua sasa 😮

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 часа назад +1

    Dada kafanya hisani na akujuwa kama yatamfika hivi.. lkn usawa angeitwa akajieleza na akaitowa hesabu kuikabidhi Wizara usika. Sasa huyu nae Arstote ajielewi ataka kupita na upepo. Rip🕯🕯

    • @jassonnelly3445
      @jassonnelly3445 2 часа назад

      Sio hisani hiyo ni wizi hakuna mahala michango imetakiwa anachangisha kama nani kwa ruhusa ya nani sheria yenyewe inakataza kuchangisha pesa za watu bila kibali ishu ipo kwenye mikono ya serikali yeye ataingia kama nani na anasema atapeleka kwa wahanga je anawajua wote?

  • @NadjmaOsmani
    @NadjmaOsmani 18 минут назад

    Mbona watu mna wivu jamani

  • @justinemagige1439
    @justinemagige1439 2 часа назад

    Ipo hivi, ili ukuu wa wako uthibitike lazima jambo la aibu,fedheha na changamoto zikupate, Niffer asifadhaike, ni mapito anapitishwa pia kupitia hili amejua wabaya wake, naelewa hakutumia sheria ila amesaidia mambo mengi wengi wetu watanzania hatujui sheria huwa tunaangalia utu kwanza na atakuja na foundation hii itamsaidia.

  • @DevothaKimaro-ng3pg
    @DevothaKimaro-ng3pg 28 минут назад

    😂😂😂😂😂😂Ripoti😂😂😂😂😂😂😂kituo😂😂😂😂cha😂😂😂😂polisi😂😂😂😂😂isikie kwa wenzakoo😂😂😂😂😂😂

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Час назад

    bado hawajaelimika watu kibao wameliwa hela zao kwa kuwa walikuwa na mshtuko

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 2 часа назад +1

    Kama hujulikani na serikali ya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿basi niffa si mtanzania😂😂😂😂😂😂kilanga tu

  • @HellenFrank-v1s
    @HellenFrank-v1s 12 минут назад

    Huyu nae gasho

  • @HERIDZUGWEH
    @HERIDZUGWEH 3 часа назад

    Kweli ulimwengu unaweza ishi kumbe upo wengi wanao kupiga mishale

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 часа назад

    Hamna mwanaume hapa

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 2 часа назад

    Huyu jamaa hayuko sawa Kabsa kwanza huyu dada nampongeza Kwa wazo aliloanzisha

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 часа назад +1

    Sasa aristote mbona unachochea acha serikali ifanye uchunguzi

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 Час назад

    Ila aristote 😀😀😀

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 Час назад

    Hili nalo

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 3 часа назад +1

    Jumaa anauma nakupuliza 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Zuleajuma-q5n
    @Zuleajuma-q5n Час назад

    Nasku sja msikia alistote

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 3 часа назад

    Mmh

  • @nassorhemed3953
    @nassorhemed3953 2 часа назад

    😂😂😂 ana kimbelembee huyu dada 😂😂

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 2 часа назад

    Lakini ukweli usemwe . Kwanini NiFA kachangisha pesa wakati watu huku wako wanakufa?? Miye sielewi inamana gani alifanya makosa

  • @mwingadulle7400
    @mwingadulle7400 2 часа назад

    Inaewezekan hakua na nia mbaya ila amekosea kufanya ilo zoez la kuchangisha bila kibali

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 2 часа назад

    Mna uhakika Huyu ni mwana mme😂

  • @familylove5417
    @familylove5417 2 часа назад

    Serekali imekusahau ww tu mkongo shenz

  • @selestinemhimbila7570
    @selestinemhimbila7570 2 часа назад

    Wivu na chuki Mala ngapi zinachangwa ela acha roho mbaya bro

  • @JaneKabyemela-y5u
    @JaneKabyemela-y5u 3 часа назад

    Sijawai kuona watu kama wewe baba

  • @AlfarooqMuma-c3x
    @AlfarooqMuma-c3x 42 минуты назад

    Uyu jamaa ni chizi
    Kwaiyo anafurh mwenzeke kupata matatzo
    Chizi kbs uyu

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 Час назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 3 часа назад

    😂😂😂😂