050 NURDIN KISHKI WAZAZI WAWILI WATAKUWA KATIKATI YA MILANGO YA PEPO SIKU YA QIYAMA 8 08 2012

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 70

  • @amjaadn4277
    @amjaadn4277 6 лет назад

    Mashallah tabarakallah sheikh nurdin kishki Allah akupe maisha marefu uzidii kutongoza kwa dini akupe janatul fridous

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 7 лет назад +2

    mungu azidi kunipa moyo wa kumpenda namayangu nababa shukrani kaka nurdini

  • @muddymkadam8820
    @muddymkadam8820 12 лет назад +5

    inshaallah mwenyezimungu akujaalie akulipe kwa kutukumbusha mwenyezimungu awarehemu wazazi wetu na awafutie madhambi yao inshaallah na atujaalie tuwe nao bega kwa bega na tusighafirike kwa lolote mbele ya wazazi wetu katka dunia hii,,,,,AAAAMIIIIIIIIIN!!!!

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 2 года назад

    Mashallah M mungu atakulipa kheri na sisi mola atujaalie iman na subra kuwalea wazazi wetu

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 года назад

    Inshaallah kher shekhe kishki nipo omani ni mtanzania namuelewa Sana juu ya mawaidha yako,ilanajutia mitandao ya kijamii imechelewa kutukumbusha faida izi,nikweli jamii inaangamia hatuna Ilimu ya dini natamani wazazi wangu wangekuwa hai ,mda mwengine watoto hatuna kauli mzuri kwa wazazi wetu ,mashekhe wetu mzidishe kutufundisha uma unapotea.nawapenda kwa ajili ya dini wote Wana kishki.

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 12 лет назад +2

    Alhamdulilah ,
    shukrani kwa mada nzuri
    kuanza ss nitanza mawasiliano na wazazi wangu ishallah
    hakika mada hii imenikumbusha na kuniamsha kwani nimekuwa nimejisahau sana
    Ya rab nijalie niwe mwenye kuwatendea wema wazazi wangi
    amin amin Amin

  • @fatmaali-nk9wb
    @fatmaali-nk9wb 12 лет назад +3

    masha"allah mungu awazidishiye wenye kutowa hutuba kama hizi @na superdaawah mungu akubariki akupe kila la kheri

  • @ummurayyanali9522
    @ummurayyanali9522 8 лет назад

    Mashallah tabarakallah mungu atuongoze katika njia ilionyoka mungu atujalie tuzidi kutii wazee wetu takbiiir

  • @jamilanassoro8408
    @jamilanassoro8408 4 года назад

    MashaAllah Allah akulipe sheikh wetu🙏🙏

  • @swidatyomary1380
    @swidatyomary1380 6 лет назад +1

    Namuomba...M/mungu atujalie tuwe wenye kuwatiii wazaz wetu..na kuwaheshim..maan hy ni pepo tulioaidiw na Allah......

  • @zungumyonly1393
    @zungumyonly1393 6 лет назад

    Allah atujaalie tuondokane vyema na wazazi wetu,,,,,, pia Allah akupe mwisho mwema sheikh wetu nurdeem kishki

  • @zennaabdullatwif7718
    @zennaabdullatwif7718 9 лет назад

    maa shaa ALLAH, ALLAH akulipe Shekh wetu Nurdin Kishki na akujaalie ww na sie umri wenye kumuabudu na kuchunga mipaka ya ALLAH azza jalla waala

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 года назад

    Shukran alaa dhawahu ja zaka Allah khery

  • @huzainahmed5737
    @huzainahmed5737 8 лет назад +1

    Masha allah Allah akuzidishia

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 4 года назад

    Jaaxak Allah kher allha akukie pepo amiin

  • @sabrinayounisaden7238
    @sabrinayounisaden7238 6 лет назад

    JazaakAllah khair shiekh.Allahu Akbar wallahi only a girl can understand what the shiekh is saying.yaa Rabbi protect and bless all mothers.

  • @iralibinismaili9346
    @iralibinismaili9346 4 года назад

    Allah akbar

  • @swidatyomary1380
    @swidatyomary1380 6 лет назад

    Hii ni pepo tulioaidiw na Allah..M/mungu atutilie wepes tuw weny kuwaheshimu wazaz wet..na kuwatendea mema.....lnshaAllah..

  • @deejjahg8030
    @deejjahg8030 9 лет назад

    Baraka Allahu fikum. Allah hatujalie sote. Allahuma ameen.

  • @nmghabura5980
    @nmghabura5980 8 лет назад

    mashallah Rabbi umri kee sii haa dheresu yaa jallatama ilma islama

  • @somoeabdallah6484
    @somoeabdallah6484 7 лет назад

    Allah atujalie tuwe wenye kuwatwii wazazi wetu inshaallah

  • @azizaasya8776
    @azizaasya8776 4 года назад

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @abdulkadir5801
    @abdulkadir5801 8 лет назад

    Mashaa Allah, Allah atuwekee masheikh wetu

  • @fatmah12mohamd46
    @fatmah12mohamd46 8 лет назад

    asalam aleikum warahmatullahi wabaraqatu..shukra shekh kwa umeniliza nami kwa mawaidha mola akujazi kheri

  • @umnajma9132
    @umnajma9132 7 лет назад

    Mashallah jazakallah khayra sheikh nurdin kishiki

  • @sadiahussein8281
    @sadiahussein8281 6 лет назад +1

    May Allah ease for your all your struggles MA sha Allah Shukran jazillah sheikh

  • @Som-Hanoolaato
    @Som-Hanoolaato 10 лет назад +1

    Masha Allah
    Baarak Allahu feekum for sharing!

  • @barackogema9059
    @barackogema9059 11 лет назад

    ahbari ya fatma mim ni muislamu na nina mitihani migumu sana kuhusiana na wazazi wangu sana mamangu mzazi..tangu mwaka wa 2008 nikiwa bado mdogo mamangu amekuwa akijaribu kuniangamiza na madawa kosa sijui...lakini nimekuja gundua kwamba alinataka nimuoe mtoto wa ndugu yake ambaye tayari alikua ameshaoleka ndoa kama mbili hivi

  • @kingbajuni6055
    @kingbajuni6055 8 лет назад +7

    Mungu atujaaliye n wenye kuwatii wazazi wetu

  • @allyomary2302
    @allyomary2302 9 лет назад

    mashall mungu akulipe kil la heri

  • @kultychuu
    @kultychuu 12 лет назад +1

    Shukran kwa ukumbusho

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 12 лет назад

    aslaamualeykum kweli tunahitaji mawaidha ya mume

  • @nuriakoto599
    @nuriakoto599 10 лет назад

    MASHALLAH MASHHALLAH AMEENNN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @ayaanradjabtv3096
    @ayaanradjabtv3096 4 года назад

    Shukran

  • @AKASHA.P
    @AKASHA.P  12 лет назад

    AMIN!!!!

  • @38wahida
    @38wahida 10 лет назад +2

    mwenyez mungu atupe muongozo

  • @AKASHA.P
    @AKASHA.P  11 лет назад +1

    HII CHANNEL SIO YA KISHKI, SO SIONI UKIJIBIWA HAPA

  • @poporamudzi5728
    @poporamudzi5728 9 лет назад

    sheikh shukran kwa daawa hii...mm ni msichana mwenye nilizaliwa ..na inavosemekana baba akanikataa sabu nilizaliwa nje ya ndoa subhanallah Allah amsamehe mamangu fil dubya wal akhera..amin...kisha nimelewa na mama na nyanyake mama na mjomba hadi sasa nina umri wa miaka 24..ila kwasasa baba yuleyule anatambua kuwa mm nimwanawe...je ninahaki ya kunfanyia hisani kama nnavo mfanyia mamangu?

  • @hidayabausi7055
    @hidayabausi7055 7 лет назад

    mashaallah shekhe wangu

    • @jokhagulam7115
      @jokhagulam7115 4 года назад

      Mashaallah Mashaallah m. Mungu akuweke yaaraby m. Mungu akupe afya njema Inshaallah Mimi nakutakia kheri Inshaallah

  • @swidatyomary1380
    @swidatyomary1380 6 лет назад

    InshaAllah

  • @mirajirama5804
    @mirajirama5804 7 лет назад

    Allah atujaaliye tuwe ni wenye kuyafanyia kazi tuyasikiayo

  • @mwanasitiathumani2366
    @mwanasitiathumani2366 10 лет назад +2

    Ameeeeen

  • @hausihalubu4849
    @hausihalubu4849 5 лет назад

    Manshalla

  • @jidalddl8787
    @jidalddl8787 6 лет назад

    Masha Allaaah

  • @fatmaali-nk9wb
    @fatmaali-nk9wb 12 лет назад

    tafadhali tuwekeeni mawaidha ya mume na mke na juu ya jirani tafadhal ikiwa itawezekana

  • @kwasidanzurik8589
    @kwasidanzurik8589 9 лет назад

    aminiii yarabi

  • @robertrugango378
    @robertrugango378 10 лет назад +1

    mimi ninaishi ncgini Rwanda lakin kuna mzazi mmoja anyemtesa mtoto wake kiasi cha kutosha na sisi wote tunajua kwamba kweli mtoto huyo alijihusisha na makosa makubwa na babake kashindwa kumusamehe. swali langu ni hili "je, ikiwa mtoto anaamua kumkimbia mzazi wake kabla hajasamehewa, itakuwaje mbele ya ALLAH.

  • @safihabiba6284
    @safihabiba6284 8 лет назад

    Masha Allah

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 12 лет назад

    AMIN

  • @hawamohammed2994
    @hawamohammed2994 6 лет назад

    mashaala

  • @bintiguzo8096
    @bintiguzo8096 8 лет назад

    mashallah

  • @AKASHA.P
    @AKASHA.P  12 лет назад

    TUTAJARIBU

  • @mohamedomar4037
    @mohamedomar4037 11 лет назад

    Shekh na kama mama wa mke hamtaki mwanaume je mke atampa talaka mumewe?

    • @nasratulole4254
      @nasratulole4254 4 года назад

      Itabidii mumuombee kujua sababu inayomfanya Kwann afanye maamuzi hayo kisha mumbelezee kadri mnavyoweza kwa hata watu wazima wenye hekima na ma'shekh ikishindikana kabisa kabisa kama umeisha muoa mpe talaka yake au kama bado ujamuoa sio sahihi umuoe maana ndoa ni baraka na baraka huanzia kwa wazazi...

  • @AKASHA.P
    @AKASHA.P  12 лет назад

    AMIN!!

  • @meyramahir9055
    @meyramahir9055 8 лет назад +2

    mashaallah

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 6 лет назад +1

    Mashallah

  • @AKASHA.P
    @AKASHA.P  12 лет назад

    AMIN.!!!