Wewe muongo tena muongo sana ,enzi za uongozi wa dk Salmini Amour ndipo zilipokuja Gari Tumbatu na dereva wa kwanza mtumbatu kuendesha Gari Tumbatu kwa magari hayo ni Makame Haji Omari ndiye alifundishwa gari na mabuldozar pamoja na vijiko mwaka 1995/2000.kijana unasema uongo. Gari inapandiwa juu?si kweli, haijawahi kutokea muongo wewe, mimi nilikuwepo hapo ilipoteremshwa gari hiyo, kweli watu waliangalia tu.
Asante kwa kutufahamisha tunaishi Tanzania ila hatujua hayo
PROUDLY TUMBATU SERVANT
insha'Allah siku moja nitatembea Zanzibar
My home land♥️♥️🇹🇿💪🏾
Hawa ndio waasili wa Zanzibar sasa 💯
Tumbatu kisiwa Cha tatu kwa ukubwa ZANZIBAR
Duuh. Serikali ina la kufanya hapo Tumbatu😢
Acha uongo mwehu mmoja wee
one dai nafika zenj, naoa narud nae bara😁
Kwhio zama hzo viongozi wakenda kufanya kampeni zao hutumia gari za ng'ombe au
Tumbatu ni kisiwa cha watu asili zaid kw Zanzibar kma hujahus tumbatu uzanzibar wako wa kufoji
Nikweli kabisa hata mie bibi yangu mzaa baba ana asili ya tumbatu na amezikwa huko huko
Kisiwa chenye watu wenye misimamo
Naaam kabisa
Muongo wewe kipnd Cha salimin ndo mwazo gar kuja
Kisiwa Cha washamba serekali lazima iliangalie hili kwawakati tulionao
Mhhhhh