Mungu akubariki sana Mama yangu kwa utumishi wako Wimbo mzuri sana wimbo una neno na nguvu za Mungu Ubarikiwe mwa ujumbe mzuri Hit song 🎵 ♥️ Ubarikiwe sana Endelea kumtumikia Mungu na Endelea na huu uimbaji na Mungu akuinue zaidi viwango vya juu
Amen 🙏 Namrudishia MUNGU utukufu na heshima kwakunipatia Neema hii🙏🙏🙏❤️❤️Ninapokea kwa unyenyekevu baraka ya maombi haya yeye ni mwaminifu ataendelea kutuhudumia,ubarikiwe sana
MUNGU AKUBARIKI SAANA BILA SHAKA HUU NI WIMBO WA MWAKA MUNGU AUPELEKE MBALI ZAIDI KATIKA JINA LA YESU NI WIMBO MUHIMU KWA WOTE WANAOPITIA NYAKATI NGUMU KATIKA MAISHA YA.AMINA
Amen🙏🙏🙏Mungu wetu atukuzwe yeye mwenye uwezo wote tunakiri nakuamini nguvu zake zikutane na watu wake wakapokee Neema ya kuinuliwa tena kupitia wimbo huu wa baraka🙏🙏🙏
Hongera mama yetu, Mungu akubariki kwa baraka hii ya wimbo
For The whole year,❤❤
#Atatengenza
Mungu akubariki sana Mama yangu kwa utumishi wako
Wimbo mzuri sana wimbo una neno na nguvu za Mungu
Ubarikiwe mwa ujumbe mzuri
Hit song 🎵 ♥️
Ubarikiwe sana
Endelea kumtumikia Mungu na Endelea na huu uimbaji na Mungu akuinue zaidi viwango vya juu
Amen 🙏 Namrudishia MUNGU utukufu na heshima kwakunipatia Neema hii🙏🙏🙏❤️❤️Ninapokea kwa unyenyekevu baraka ya maombi haya yeye ni mwaminifu ataendelea kutuhudumia,ubarikiwe sana
Barikiwa dada yangu
Ubarikiwe sana bibi yangu
MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA
❤❤❤❤❤
Wakuvukia Mwaka 🙏🙏
Hongeraa❤ lovely Mom
Barikiwa kwa kazi nzuri mama
Ubarikiwe sana mtumishi
Hongera sana kipenzi kweli lipo tumaini kwa Yesu
Mungu ni mwaminifu🎉🎉🎉🎉hongeraaaaa
Honger momy 🥰🥰🥰
Hongera Kwa kazi nzuri,,,
Kaz nzur wapendwa katika bwana
🔥🔥🔥🔥
Mama hongera kwa wimbo mzuri umenibariki sana
Amen, 🙏 Ujumbe mzuri
Wimbo mzuri mtumishi wa Mungu, endelea kukaza buti utafika mbali sana
Hongera sana mamaangu kwa kazi nzuri Mungu akuinue zaidi na zaidi
Namrudishia utukufu Mungu wetu barikiwa sana
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu kwa sapoti yetu na kuendelea kuniombea Mungu wangu awabariki sana wote ninawapenda sana❤❤🙏🙏
Hallelujah 🎉🎉🎉🎉
nimebarikiwa nyimbo nzuri sana
Mungu akuinue na kukubariki
Ubarikiwe sana mama yetu mzuri Yesu akutunze tunabarikiwa sana na huduma
Bwana Yesu ni mwaminfu kwa ahadi zake yeye ❤ Amen mama
Haleluyaaaaa!
Hongera sana kipenzi,👏👏👏👏
Hakika lipo tumaini
Hongera sana mama yangu
Barikiwa
Hongera sana mama, wimbo mzuri
MUNGU AKUBARIKI SAANA BILA SHAKA HUU NI WIMBO WA MWAKA MUNGU AUPELEKE MBALI ZAIDI KATIKA JINA LA YESU NI WIMBO MUHIMU KWA WOTE WANAOPITIA NYAKATI NGUMU KATIKA MAISHA YA.AMINA
Amen🙏🙏🙏Mungu wetu atukuzwe yeye mwenye uwezo wote tunakiri nakuamini nguvu zake zikutane na watu wake wakapokee Neema ya kuinuliwa tena kupitia wimbo huu wa baraka🙏🙏🙏
Hongera sana wimbo mzuri
Barikiwa saana song nzuri saana mambo ni moto kabisa
🙏🙏🙏Amen
Wow hongera sanaa kwa wimbo mzuri sanaa
❤❤❤🎉🎉 ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara
Hongera sana mama
❤❤❤❤❤❤❤
Ubarikiwe sana dadaangu 🎉🎉🎉😂😂😂😂🎉🎉🎉waoo
Amen ❤
Hongera mumy ❤️
Hongera sana dadangu mzuri ❤. Kazi nzuri mbarikiwe sana
This Song🔥🔥❤
Be blessed mom Naomi🎉👏
Wimbo mkubwa Barikiwa sana
Hongera dada yangu,kazi nzuri na hongeren
❤❤
❤❤
🙏👏👏