BABA LEVO KAONGEA KWA NIABA YA FAMILIA YA DIAMOND HAKUNA NDOA PALE/ ZUCHU NA DIAMOND/ AMJIBU COY

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 11

  • @ZaZa-ck9sf
    @ZaZa-ck9sf 15 дней назад +6

    Yaani zuchu kuolewa na simba asahau atagombana na kila mtu na haolewi
    Simba huyu huyu alomacha zari kamzalia mzuri anapesa

  • @AminaOmar-m5y
    @AminaOmar-m5y 14 дней назад +1

    Anavo fanta zuchu kila mwanamke angefany kwa mpenz wake ila kwa kuwa ni zuchu ndo midomo imewakaa wazi😊

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 14 дней назад

    Kwani mnateseka mkiwa wapi??
    Zuchu ndio wa kwanza kuwa na boyfriend! Mnapayuuuka!
    Kwani yanawahusu??
    Tangazeni na ya kwenu basi mumtoe binti wa watu midomoni!!😅😅😅

  • @RehemaAbdalla-m9q
    @RehemaAbdalla-m9q 15 дней назад +2

    ZUCHU mwaneti ACHA kupenda pasipo pendwa,hayo yote mond anajia Kila kitu unachofanyiwa, ndo pigo lake, anakupiga kupitia kipindi cha mashamsham,Juma anatumiwa hayo ndo matukio ya boss wako 🙏🙏

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 14 дней назад

    Mimi bado nimeshikilia kauli ya Mange Zuchu alikosea kurudisha mabegi kujipeleka kuishi na hiyo familia haimtaki

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 15 дней назад +2

    YAANI SIJUI KWA NINI ZUCHU HAMTII ADABU HUYU DIAMOND MBONA HAWA JAMAA ZAKE WANAKUDHALILISHA SANA ZUCHU MWANANGU PENZI HILI LA UPANDE MMOJA UJUE LITAKUTESA SANA

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 15 дней назад

    Really!

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 15 дней назад

    All this negative writers here did Diamond send you all ?Tell him that Zuchu has no time for rubbish talks. She is a super star glowing. You all wait and see the outcome

  • @sofiya8286
    @sofiya8286 15 дней назад

    Nyiye waandishi mumesomea wapi

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 15 дней назад

    Mashabiki muache mihaho kwani yy zuchu asisemwe yy nani ?? Eti hapendi wakati Baki na Zari bahamisa nabenigine sibalikuwa banasemwa kuzidi hata hivyo ? Mtutoleye makelele