Don't say you're not fighting region while directly it seems that you're fighting mount Kenya region and especially Meru because of how they voted ruto
It's about time,as the governor has put it aptly,it's not about a region where muguka comes from,it's about the produce they are against, because it has ruined and continues to ruin their children.courts or no courts,this government can not force Mombasa people to allow a product that has strangled their youth.
Mamako ndio mlanguzi. Wewe wajua mugoka vizuri kweli. Nyinyi ndio munafanya Kenya iendi popote. Mazuri pia amutaki. Shetani hii. Nenda ukale mugoka uko kwenu embu. Na mukipayuka,payuka. Ata hiyo miraa tutaikataa. Endeleeni nyie
Hongereni sana wana mombasa, nafuatilia jambo hilo la mugoka kutokea Dar Es Salam
Madam Mishi Mboko..mum we don't need any negotiations with anyone.NO MUHOKAA IN MOMBASA.
Wapeleke kwingine jameni Lazima Mombasa
Hatuwalazimishii kukula funza watu wenu waache kula but kama Kuna market lazima tuletee
Mtangazaji cute
Tunajua yote unataka revenge ya wale mama pombe Yao ya mnazi alimwangwa na police alfu ukawapatia doo yao.ulisema utalipiza ndio hii sasa
What about bangi na unga
Bangi na unga wewe wajua watoa wapi..elezea tujue tuje kukamata.
@@rukiaabdul7191inatoka huko kwa joho😂
Sasa nenda ukaongee nae huyo Joho unaemshtumu.
Unga vipi maliza kwanza
NO MUGOKAA AT MSA..OO1...PERIOD NA HAKUNA ROROSI SISI NDIO TUKO!!!
Huo unga unaosema wewe ndio unaleta.
No mgokaa
Unga lazima, ugali tutatoa wapi
Thende nalo bro usiogope...
Hakuna kelele mombasa ok hatutaki mraa na mgoka
Linturi mwenyewe ni mugoka ajibu maswali ya mbolea mwanzo
Wambie hataki ukweli hawajili
Wizazi wijazo
Pwani ni kenya muguka kwa mtu mzima kila mtu ale size yake
Hatutakiii uzeni kwenuuuuuuu
Wakule wao hio muguka
Wanafiq,na wanaouza madawa ya kulevya mnawajua.
Don't say you're not fighting region while directly it seems that you're fighting mount Kenya region and especially Meru because of how they voted ruto
Weka sumu kwenu. Hata kiambu na nyandarua walipigia ruto kura wapeleke huko
Muguka is regulated by National government
So what?...we don't need it in our county...period!
@@rukiaabdul7191 Ruto is the man to determine whether u like it or not...read the constitution
@@dandee7414..Then was there a need of county governments?
Viongozi venye hawana akili kabisa duniani
Hatutaki na we uza kwemu na sigoi
Huyu governor has sign his death bench.
Wacheni unafik mbona hamuongei drugs,watoto Hawana makazi
It's about time,as the governor has put it aptly,it's not about a region where muguka comes from,it's about the produce they are against, because it has ruined and continues to ruin their children.courts or no courts,this government can not force Mombasa people to allow a product that has strangled their youth.
Tunataka cocaine na heroine muhalilishe kama mbaya mbaya
Maitishwe hakuna siku farmer(linturi) ataangalia maslahi ya watoto wa mombassa
Pwani has always been marginalized stand up for your rights my beloved friends
Muguka inaleta madhara gani? Ebu nielimishe.
TAMBENI VIONGOZI WETU TUPO PAMOJA NANYI..MUKO KWENU NO MUGOKAA 001 WAUZE KWAO MERU
Miguka haitoki meru,kenge😂.
Kenge ni wewe na mamako kuku mke wewe
@@rukiaabdul7191 mnatumia unga na cocaine kisha mnalaumu watu machizi.
Wapinge cocaine,bugizi na shisha alafu ndio ntajua abdulswamad yuko serious..ila bila sivyo hawa waarabu watatudidimiza na cocaine nk
Hatutaki mgokha na hatutaki Miraa Kenya hii,it is definately à drugs and long term user they may suffer hallucination
My question is why are they
Insited wth the people of mombasa .
Ndugu yangu, kino kizungu unakibambanda bila thabu
It's try we don't believe Linturi
Wapi hao mwasema wameadhirika.
They are too lazy to wake up from their beds.
Hatutaki mogokaa balikeeni chaafu zeno kwenu meru
Nassir ni mlaguzi wa madawa ya kulevya,anaskia vibaya madawa zake hazinunuliwi..hiyo ni siasa tayari.
Aliuzia familia yako..kama una ushahidi wa unayosema si upeleke kortini.Na kuna lazima gani kuleta Mugokaa Mombasa?..Si muuze huko huko kwenu.
Kama ukona ukweli ni vizuri uende kotini bro.mimi sitoki pwani lakini ukweli ni kwamba muguka imearibu vijana kenya nzima
Peleka muguka kwenu
Tupe ushahidi ama tutadeal na wewe kimya kimya
Mamako ndio mlanguzi. Wewe wajua mugoka vizuri kweli. Nyinyi ndio munafanya Kenya iendi popote. Mazuri pia amutaki. Shetani hii. Nenda ukale mugoka uko kwenu embu. Na mukipayuka,payuka. Ata hiyo miraa tutaikataa. Endeleeni nyie
Lintuli hajafika mboga ghasia
Mkikuyu mjinga😂.
mwapinga mugokaa na bangi, unga na bugizi hamuoni hilo