Kweli nime jifunza kitu kupitia lawaidha iyo, kwa sababu ya Siri yangu mimi na Allah, na Siri yangu mimi na mke wangu, naumia sana kwa yote yalio nipitia😢, Allah anisamehe sitorudia tena🤲🤲☝️🕋!!!
Tatizo kwangu mimi: 1. Mama wa mtoto aliridhia kufanya kitendo cha ndoa au ilitumika nguvu? 2. Ilikuwaje ikawa Nabii wa Allah Ibrahim AS hawajui wake wa mtoto wake Ismael AS, na wake wa Ismael hawamjui baba wa waume zao? Inawezekana kwamba Nabii Ismael AS aliowa bila ya kumjuilisha baba yake Ibrahim AS?
@@AgeCare-w2h Ni Muislamu Alhamdulillah. Nimekisikia hicho kisa na nimetaka ufafanuzi kutoka kwa wenye elimu khasa kwa vile ametaja hadithi za Israiliyati na maagizo ya mtume wetu Muhammad SAW. Si vizuri kukufurisha watu kwa suala la wazi kanisa.
Elimu yenye manufaa nimejifunza mno,, Allah akujaze kheir sheikh wangu, Nakupenda kwa ajili ya Allah
Ma Shaa Allah TabarakAllah
Allah atupe subra na watoto wetu
Allah atupe subra na kila kitu
Allah atuwahifadhie watoto wetu
Ameen ya Rabby
Maa Shaa Allah ujumbe maridhawa na nimejifunza kitu kutokana na hii hadithi shukran sana jazzaka llahu kheir ❤
Subhana Allah
Shukran shekhe nimejifunza
❤nimejifunza kitu,nimejifunza kuweka siri baiana yangu na Allah
Subhanallah, mwenyeez mungu atusalim salama insha'allah.
Mashaallah tabarakallah.sheikh Allah akupe kheri.kisa safi chenye mafunzo makubwa.
Allah akuzidishie elimu nasi tuwe niwenye kufuata
Allah akuhifadhi
Mashaallah shehe wangu
Allah akbar😢
Kweli nime jifunza kitu kupitia lawaidha iyo, kwa sababu ya Siri yangu mimi na Allah, na Siri yangu mimi na mke wangu, naumia sana kwa yote yalio nipitia😢, Allah anisamehe sitorudia tena🤲🤲☝️🕋!!!
Subhanaka Allahuma Wabihaka Ash'hadu ana lailaha ila anta
Subhanallah, Allah akbar
Tabaraka Allah Rabury Aramin
Lahaula walaakuwat ilabilah subhanalla 😢😢😢😢
Allah akulipe kheir duniani ma akhera
Allah akuifadhi shekhe
Shukran
Allah akbar
Shukuran sana kwa mawaidha mazuri siri nisubira Allah akulipe shekhe ya duniani na akhera
Tatizo kwangu mimi:
1. Mama wa mtoto aliridhia kufanya kitendo cha ndoa au ilitumika nguvu?
2. Ilikuwaje ikawa Nabii wa Allah Ibrahim AS hawajui wake wa mtoto wake Ismael AS, na wake wa Ismael hawamjui baba wa waume zao? Inawezekana kwamba Nabii Ismael AS aliowa bila ya kumjuilisha baba yake Ibrahim AS?
Wewe ni muislam kweli?kama ni muislam kasome kisa Cha nabii Ibrahim na Ismail utafaham
@@AgeCare-w2h
Ni Muislamu Alhamdulillah. Nimekisikia hicho kisa na nimetaka ufafanuzi kutoka kwa wenye elimu khasa kwa vile ametaja hadithi za Israiliyati na maagizo ya mtume wetu Muhammad SAW. Si vizuri kukufurisha watu kwa suala la wazi kanisa.
Na huyo mama muhuni