VIDEO: RC MAKONDA ALIVYOWASUPRISE WATU KWA KUWAHUDUMIA CHAI NDANI YA TRENI YA SGR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 39

  • @suleislim4519
    @suleislim4519 4 часа назад +6

    Hichi kichwa kiacheni kabisa aisee 🙌🏾

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 часа назад +4

    Makonda ndio alitakiwa kuwa makamu wa Rais...Mama samia ungefurah san ktk uongoz wako na usingehangaika sana ktk kampeni na ata kuendesha nchi na huyo anakuheshim pale ungeon anaend kinyume au kwa ukal unamuambia hapo punguza...huwez kuwa na mtu kwa asilimia kubwa mnafanana character...Si dhan mliangalia kigezo gan...Hivi kwel inatokea la kutokea mie kama Mtanzania siamin kumpa nchi Nchimbi...Watu wanamfasir vibaya makonda kwa kuwa wengi ni wala rushwa na wavivu na makonda mchapa kazi na ni matokeo na site oriented si kuzunguka ktk kiti na kupulizwa na IC

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Час назад +1

    Safi sanaa makonda upo Moto kila siku hakuna usingizi😂😂

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO Час назад +1

    Mheshimiw raisi ungemupa umakamu makonda anafeat zaid

  • @bharyasarbjit1187
    @bharyasarbjit1187 5 часов назад +1

    Well-done Mhe Mkonda Even Trump serve KFC so We should be happy with his Service its Respect to Others. God bless you Mhe.

  • @CyprianoKikoti
    @CyprianoKikoti 55 минут назад

    Safi sana Makonda

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 5 часов назад

    SAFI SANA KONDA BOY KIJANA MBUNIFU , KIJANA WA KAZI NA MFANO WA KUIGWA

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 Час назад +1

    Arusha road ni mbovu sana

  • @africanreaction8501
    @africanreaction8501 Час назад

    Iyo ndo maan ya kiongozi ni mfanyakazi wa wananchi ukipata muda una wahudumu personal hii ime kaa kitaalamu bila D2 huwezi kumwelewa 😮😮

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 4 часа назад

    Hapendagi ueshimiwa

  • @kalumunakalumuna7403
    @kalumunakalumuna7403 5 часов назад +1

    Uyo ndo makonda

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 22 минуты назад

    Makonda anafaa popotee

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 5 часов назад

    Safi 🇹🇿🇹🇿😎

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 3 часа назад

    Ukishaa kua mdudu tu, shida inaanzia hapo 😅😅😅

  • @vero57
    @vero57 4 часа назад

    Wakuu wa mikoa wengine mbona hatuwasikiiii??????

  • @MichaelEustach
    @MichaelEustach Час назад

    Mnawaacha mamakqmu wa raisi mnawapa wengine

  • @josephwilliam4727
    @josephwilliam4727 4 часа назад

    Huyo ndo makonda sasa

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 2 часа назад

    mtetez wa wanyonge

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 5 часов назад

    Uyu jamaa ni comedian bongo akuna 😂😂

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 Час назад

    Watu wanakusubir nyumban we unaenda wapi na train mzee?

  • @annammary5593
    @annammary5593 3 часа назад

    Kwan alikuwa anaenda wapi?😮

  • @Pemba680
    @Pemba680 5 часов назад

    Uyu anaishi Kwa kiki

  • @RubabaTv
    @RubabaTv 5 часов назад

    Umeona hii 😂😂😂 ruclips.net/video/VRu5N0RvO4A/видео.html

  • @HavanansiData
    @HavanansiData 5 часов назад +1

    Jamaa anapenda ku-trend

  • @High-km1dm8et9x
    @High-km1dm8et9x 6 часов назад

    Makonda ni mungu mkuu

    • @rahmasalim1989
      @rahmasalim1989 6 часов назад +3

      Wewe unakufuru kumwita makonda ni mungu mkuu. Futa kauli yako.

    • @IbrahimubakariIbrahimubakari
      @IbrahimubakariIbrahimubakari 6 часов назад +1

      Makonda nimwanadamu kama wewe

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 5 часов назад +2

      Akili huna ndo tatizo ulilozaliwa nalo wahi hospital utibiwe

    • @LORDRICKNKYA
      @LORDRICKNKYA 5 часов назад

      Mafala kama ww ndio mnaosababisha viongozi wazuri kuwahi kufa kwa kuanza hata kuwaita majina ga ukuu wakt wao ni binadamu

    • @asantechota8974
      @asantechota8974 5 часов назад

      Umeenda mbali san 🤣🤣🤣