*_Meneja wa soda fursana afunguliwa mashtak soda ya fursana yawavunja watu wawili mbavu jijini daresalam_* USISAHAU kusabuskraib 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 👇👇👇👇👇👇👇👇 ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html
Dah nilimiss sana mziki wa hisia namna hii na uandishi wa kisanii yani unasikia kitu ambacho asiye msanii hawezi andika. Kiufupi nimependa uandishi na flow ni project kubwa sana hii. Bless up kid......shusha likes zenu mnaojua mziki mzuri
Nilikuwa nasafiri na Basi Fulani toka Arusha kuja Dar ,nilikuwa nimezinzia kwenye basi,lakini ghafla nilisikia sauti ya kukwaruza kushtuka na kucheki nikaona kijana anaimba Vizuri saaaaaana kuulizia nikaambiwa anaitwa IBra!!!!Huyu. mtoto anakipaji aiseee!!!
Mukowapi muliolaumu na kuponda kujiondoa kwa Harmonaise ktk kundi la WCB? na nani atakosa kuiona faida kujitegemea na kuwasaidia wengine? let's goooo konde gang
2:21 Na hali ya upweke siyo kawaida najuwa dhahiri kuanajinyima amani,na stress ingekuwa Kilevi me wa kulala na viatu🤦♂️🤦♂️. 3:13 Pia siwezi na silazimishi labda sina thamani huenda,kuondoka kwako kwangu mungu akaleta neema!!.😭🤦♂️. Je unamkubali ibraah?? 👇🏾👇🏾like 🇹🇿🇨🇩🇹🇿🤦♂️
Mungu hamnyimi mja wake Usinung'unike kwa utakacho kipata maana ndo unachokitafuta Umekuwa gari la taka haunaga tabaka Umekosa hadhi ya mwanamke Tulia yakufuate magari bovu
Wallah kwa hii nyimbo sijawai sikia msani hakimba kama Ibraah mungu akuifadhi harmo hajakosea kuku sign wallah yaani hii nyimbo ni motoo maneno siyakufatana nizaidi nazaidi ya Kwaru...Kwaru haijafika kwa hii nimekubali kabisa kabisa haki ww mungu tu illa swali sana muamini mungu kwakila atua Mungu zaidi kila hatua dua Allah akuifadhi
mimi ni wasafi fam lakini bado mm ni konde gang fam nawakubali wote sababu miye sichagui wala sibagui ila na heshimu kila talanta nimekutii bamdogo #ibrahtz nimekaa kitako kuuskia kila wimbo wako baada ya nyingine kimakinifu... KWELI KONDE BOY SI MPOFU ALIPOKUCHAGUA NA KAKAKO QCHILLA NDIO MA LEGEND WA ENZI ZA BABA ZETU . Show some love to this young man new upcoming star of our era....sending love from +254....
Yaani hii nyimbo nimekaa nimeiskilizia nimeipa hisia ukiskiliza mara moja huifahamu lazima uirudia kama 3 to 5. times ndo utaijua kama ni kali sanaaa hongera Ibraah kitu kimetulia
Nimekubali kbsa respect konde gang mpaka BURUNDI🇧🇮🇧🇮
Oooooh umeon mkari tupo tz 🇹🇿🇹🇿
Pamoja saaaan
Umeuwa ibra mjeshi
Wanao kubali kua konde suala la kuondoka WCB ilikua ni mipango ya muda mrefu liki hapa
Kama unamkubali ibraah na unaishi USA gonga like hapa. Konde music worldwide
Huyu dogo anajua sana zaidi ya mkubwa wake amenifurahisha
Kumbe kuchelewa kumiliki touch twakosa vitam daah weka like ya konde gang hapa
Said ally
Sanaa kaka
Kumbeee ka ibraaa kenyewe ndo hakaaa kanakotukesheshaaa.....unaweza mdogo angu🔥🔥🔥
Kanauwa
Ibraa unajua kabsa kaza buti mdogo wng. Mungu akubariki
Mimi Mkenya lakini napenda sana hizi nyimbo za Tanzania, tamu kweli kweli.
Joel Ratemo karibu Tz Joel
Joel Ratemo karibu Tz Joel
Nic
Joel Ratemo kweli,,??
Napenda Ngoma zako sanaa ibraa big up
Ibraah ni bora kati ya bora like
Wa kwanza from kenya jamani naombeni likes hata kumi leo nijione kama wengine ibrah nakutambua sana mwanangu #KondeGangForLife
Km moto umewashwa new sauti kwenye ulimwengu 💪🏽💪🏽💪🏽
Piga keleleeeeeeeeeeeeee kwa ibraaaahhh weuwee👏👏👏👏👏
Oyooooooooooooooooooo😁😁😁😂😂😂
Konde gang naaminia...ibraah msee chonjo naaminia
First touch kwenye game linatesa hadi 2024
Leo wa kwanza. Nipeni likes na mimi bana.
Good my.brothe we want money
Hii mistari kaandika Ibraah😭😭
Daaaahhh 😭
Nomaaaaa Sanaaa. Kapipo Kaua..
SoMo kwa Dada zetu.
Tunawapenda..
Wakenya tuko hapa kuangalia baba ibrah...
Gonga like tusonge....
Konde gang
Kabisa bro
Yuko vizuki
Sisi wenyew tumekukubali👌
Ebwanaaa weee yuko poa
Taree
ata sisi tushakubali Banaa ah nimeshtuka mi nakujua kama Golden boy kazi safi 254 rep kabisa
AMBAO TUPO 2024 LIKE
Mapenz bn🖕
Mtiririko wa STORY ya VIDEO ni KALI SANA...
Goma ni KALI pia💪
Hanscana amatisha sana 🔥🔥
San tu ndo ya kwnz hali iyo jee nyengn itakuaje cpatagi pich
*Mimi kama African King Huyu dogo nimemkubali saana 🤝💯 mistari, flow, vocals yani Kila kitu 10/10*
Ngoma kali
Hahahhaha sure African king nakubali hujakosea kabisa
Dogo anajua by mika mwamba
anaimba vizuri sana respect kwako #Ibraah
respect kwa #kondegang
Konde worldwide🌍🔥🔥🔥
🥰🥰🥰🥰🥰 flogate toom gota vivama sika sokobatragra lagita gida trowhta soguda lova bagatere❤❤❤❤❤
nyc saaana young tembo
Mm ni wcb damdam ila hii ngoma nikali sana narejea tena HIIII NGOMA NIKALI SANAAAAAAAAA
nipe like ya konde boy kwakumshika mkono ibrah
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Karibu kwetu
*_Meneja wa soda fursana afunguliwa mashtak soda ya fursana yawavunja watu wawili mbavu jijini daresalam_*
USISAHAU kusabuskraib 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
👇👇👇👇👇👇👇👇
ruclips.net/video/x1-jSq-yEeU/видео.html
@@ratiffahdolle9931 hajaomba kuja kwenu kasema alichosikia na kutoa sapoti yake
@@officialmrtop1018 😂😂😂😂
@@officialmrtop1018 🤣🤣🤣🤣
Dah nilimiss sana mziki wa hisia namna hii na uandishi wa kisanii yani unasikia kitu ambacho asiye msanii hawezi andika. Kiufupi nimependa uandishi na flow ni project kubwa sana hii. Bless up kid......shusha likes zenu mnaojua mziki mzuri
meenzake na marioo😂😂
Well done 👍👍👍👍
Mwana kuyataka.....
Mwana kuyaapta......
Huuu msemo mkali sana I say
Kama umeona ibla nimuandixh mzr like zangu jamni.
Nilikuwa nasafiri na Basi Fulani toka Arusha kuja Dar ,nilikuwa nimezinzia kwenye basi,lakini ghafla nilisikia sauti ya kukwaruza kushtuka na kucheki nikaona kijana anaimba Vizuri saaaaaana kuulizia nikaambiwa anaitwa IBra!!!!Huyu. mtoto anakipaji aiseee!!!
Kali sana
Isipo trend hii nyimbooo naacha kushabikia bongo fleva Go go ibraaaa u deserve
@lion east wcb wachawiiii😂😂😂😂
Usajal mdogo mdogo tu ndo kwanza cha kwanza
Na ujue kuna subscribers 3mil kw jilan hawtaki hata kuja kuona 😅
Haiwezi hii sababu mziki mzur lkn mashabiki wachache sana
Itrend amekuwa zuchu au nenda ukaangalie trending song kama hutaona za zuchu nne hahah poleni trending siyo matako kila mt anayo
Wapi likes za ibraaah and the whole of konde music worldwide..#kondegang4life
ngoma makini sana kwa ss tuliowah umizwa
Kampuni limeshajaa. "Umepitiliza Maudhi yamezidi" moyo wangu Uko mbali Na wewe😍😍😍.... Naipenda hii nyimbo sana
🦡😅😔😍😍🚵🧜
Kampuni gani mkuu ??
@@ndevundavo7798 kapu yeye anasema kampuni🤔🤣🤣
Ni faida kubwa Sanaa kuishi chinga akiwa hai
Konde music for everybody.Gonga like kama umekubali talanta wa huyu mtoto anayechipuka sasa.
MALKIA WA UMBEA HAPA.. FANYA KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU PENDWA. NIMEKUJA KIVINGINE
CARRYMASTORY 🔥
Acha niseme love from Somalia naweza pata likes Ila bila hivyo nitazuga kila sehemu
Kenya tuko locked.....💓💓💓🔥🔥🔥🔥
Ibraah anajua jamani kama umemkubali dondosha like yako tufamiane
Ametshaaa
Sanaa
Anajua saana
@@princesstatiana1016 sana
Ako juu
Wa 2024 tujuane kw like bsi 🔥🔥🔥🔥🔥
Yani kuingia tu nimeidaka ninavyo mpenda harmonazy ni sw sw na ibraah 💋💋💋
Wakwnza Leo jmni
Tumsapot na like hp zk yy
Shifa 0652250745 nicheki
Iko kaliiiii🔥🔥
Jeshiiii
Dogo fund
Umeona
Mukowapi muliolaumu na kuponda kujiondoa kwa Harmonaise ktk kundi la WCB? na nani atakosa kuiona faida kujitegemea na kuwasaidia wengine? let's goooo konde gang
Kizazi sana
Kweli kabisa
Umeonaaa
Sikuwahi kujua kwamba kiswahili nacho huwa nikigumu kiasi hiki
John Jnr hahahhahaaa
IBRAAH .. unajua dogo KAZA ✌🏿
Ibra king I'm from sharja uae upo pow sana kaka
Zuchu hakufiki at a nusu ako overrated...nakuaminia ibraah prove to her hakuwezi
Sana tu
Na mim leo kwa niaba ya ibra nipen likes😌😌
nimekubali 😊🎶
Dogo anajua kama unakubali gonga laiki hapa
huyu kijana uko na nyimbo za hisia sana na uko juu sana
Niukweli ibra
NIPATE LIKE..HAPA....this is real talent...hakuna kubishana..MESSEGE√√...KONDE GANG 100%%
2:21 Na hali ya upweke siyo kawaida najuwa dhahiri kuanajinyima amani,na stress ingekuwa Kilevi me wa kulala na viatu🤦♂️🤦♂️.
3:13 Pia siwezi na silazimishi labda sina thamani huenda,kuondoka kwako kwangu mungu akaleta neema!!.😭🤦♂️.
Je unamkubali ibraah??
👇🏾👇🏾like 🇹🇿🇨🇩🇹🇿🤦♂️
Aukosagi comment
@@yunglintz9377 hahahahaha usijali
@@yunglintz9377bro subscribe channel yangu apo basi
@@samuelibky8989 Yeah mzee baba
@@samuelibky8989 hamna shida bro pia na wewe Subcribe ku yangu hapo chini 🙏🏿
Baraka telleee Kipaji teleee
Tishaa saana Ibraah
Daaahh yamrnikuta kak mademu sio watu inauma
We mtoto nyokooo kabisa konde music for everybody
Khatib Ramadhan tena nyoko Mara mia
Khatib Ramadhan 😂😂😂😂
🔥 🔥 🔥 🔥
pliz watch ruclips.net/video/0GQaJfyWq1I/видео.html
Hahaha
Ona sasa nimepoteza mda uko kwenye Account fake weeeeeee kumbe og IPO uku
Like za *@IBRAAH* naziomba namimi hii ngoma Kali sana
😁😁🙋♂️🙋♂️
Chriss joel kilio cha wengi ni
sherehe
@Boysanny Og 😂😂😂😂😂 nawewe yamekukumba
Pole huku ndo halali😍😍😍😍😍
Hehehe
DJ_SEVEN worldwide kama umemuona Weka likes hapaaa
Nimekubari japo ni ngumu saw tu 😢😢 224
Ibra uko na support yangu. In the next few years utakuwa Moto. Nampenda mziki mzuri Kama huu.
Ibraah courge young brother
Wakwanza like zangu apo naombeni
noma sana kama ume mkubali dogo nipe like hapa
🎉🎉ziende kwa ibraah
Ningikuwona ningikutunza😭😭
Wakwanza leo nipeni zakutosha
Kama unawona uyo dogo atakuwa star gonga ap💪☝️
Kama umeerewa kama mm gonga raiki
Konde gang motoo bin firee 💥💥💥kenya tumekubalii Ibra wape dawa
Aaa tuko wakenya twakusappot apa
Guruneti lengine hili....video kalisana hii...
KONDD GANG WORLD WIDE
Sana lbra nakuombea mazri Allah akuzidishie ufki utakako
Wakwanza naomba likes zangu ausio wanaa 🤲🤲 All Konde Music Worldwide my people let keep supporting our brother Ibraah
🔥Gonga luke hapa kama🎵 unamkubal huyu dogo❤
Basi bwana
Amba mko 2025 ✊
Umekuwa gari la taka haunaga tabaka 😃👊
Nakucheki shiti
we shiti unasemaje
ruclips.net/video/46RWF7gYdwk/видео.html
Hahaha
Nice
Mtoto wa TEMBO ni 🐘🐘🐘🐘🐘🐘🔥🔥
Tenaaaa😁😁😁😁
From Kenya 🇰🇪 Governor Moses amemkubali Ibraah Harmonize Junior.. The next big thing watch this space..
daaaah! ibra umetisha kinyama mwanangu nasikiliza kila mala huu wimbo
Nakubali ibra❤❤
Kama unamkubali Ibraah goga like yako watu wa kondg
Kazi nzuri young king..Keep it up🎶 KONDE GANG 4 EVERYBODY
Mungu hamnyimi mja wake
Usinung'unike kwa utakacho kipata maana ndo unachokitafuta
Umekuwa gari la taka haunaga tabaka
Umekosa hadhi ya mwanamke
Tulia yakufuate magari bovu
Love you ❤️❤️ ibrah
Wallah kwa hii nyimbo sijawai sikia msani hakimba kama Ibraah mungu akuifadhi harmo hajakosea kuku sign wallah yaani hii nyimbo ni motoo maneno siyakufatana nizaidi nazaidi ya Kwaru...Kwaru haijafika kwa hii nimekubali kabisa kabisa haki ww mungu tu illa swali sana muamini mungu kwakila atua Mungu zaidi kila hatua dua Allah akuifadhi
I appreciate nice music...👌🏻slowly slowly u gonna be the best
First one ☝️ in Canada 🇨🇦 🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Fils Lt tumetishs wa kondegeng sisi kiboko wa Canada
Hii ya kwetuu kbsaa
Mapenzi hayalazimishwi, hauko ridhaa namimi nendaa🔥
Nimekuba yananawe ibra from somalia🌎🇸🇴
Wakwanza kucoment kwa msanii wakwanza kondegang
Kama unakubali abrah katisha kwa nyimbo hii gonga like hapo chini huyu jamaa ni Moto
Yap ni ukweli
Dah mwanangu uko na ile kitu inaitwa FULL PACKAGE 🙏🙏🙏May God bless u niqah
Huu wimbo ulinifariji sana kipindi nimeachana na mpenzi wangu
mimi ni wasafi fam lakini bado mm ni konde gang fam nawakubali wote sababu miye sichagui wala sibagui ila na heshimu kila talanta nimekutii bamdogo #ibrahtz nimekaa kitako kuuskia kila wimbo wako baada ya nyingine kimakinifu... KWELI KONDE BOY SI MPOFU ALIPOKUCHAGUA NA KAKAKO QCHILLA NDIO MA LEGEND WA ENZI ZA BABA ZETU . Show some love to this young man new upcoming star of our era....sending love from +254....
Kama unaamini Ibraah yu asili Mia zaidi ya Zuchu gonga like tukienda......
Koma kufananisha upuuzi zuchu na fundi kama huyu wa uwandishi yani dogo ni full mziki kakamilika zuchu ni anabebwa na promo uwezo 0
@@nabraofficialnabra2319 kwel kbs
Hata jimsia zao tofauti huyu mume yule mke
@@nabraofficialnabra2319 sasa mbona kabuma
@@komboomar8275 sasa mbona anaburuzwa na dem
Ngoma kali kichupa kikali
Navozidi kuskiza hii kitu ndio navomuelewa dogo! lyrics,Melody,personalityareperfect💥💥💥
Tunaenda....mbali...
.Tia bidii... zaidi..wewe...ni star,all the best
Yaani hii nyimbo nimekaa nimeiskilizia nimeipa hisia ukiskiliza mara moja huifahamu lazima uirudia kama 3 to 5. times ndo utaijua kama ni kali sanaaa hongera Ibraah kitu kimetulia