Mtume & Nabii : Josephat Mwingira : Umasikini ni pepo ndugu yake na jini.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024
  • Kabla ya kuuoa au kuolewa unatakiwa kufahamu mambo ya fuatayo:-
    1.Heshima ya Baba yako na Mama yako aliyekuzaa.
    2.Kibali cha Mungu.
    3.Lazima ufahamu ndoa ni ya Mungu sio yako.
    4.Ndoa ni muendelezo wa maisha utakayo kule ulipozaliwa.
    5.Ufahamu kuhusu ndoa.
    Kuendelea kupata mafundsho mengine zaidi ya neno la Mungu,tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    RUclips : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#JosephatMwingira#MarriageDinner

Комментарии • 51