dah! cjui lin nitajua kuendesha scania kilasiku 2 fuso ila naamini ipo cku namm nitaendesha scania bado ninamda wakujifunza hata fuso nilikuwa nataman hivo na ikawa hivyo basi pia itakuwa hivyo
Hahaaaaaa u anazingua hebu cheki vizur video yako bab wengne hawajui rotation n nn na hzo button hebu niambie znatumikaje na znaitwaje na button ya pemben inatumika wakt gan
comment ni nyingi wadau wengine mnambeza sasa simngefanya nyie video mwache aelimishe utanzania umewazidi, mimi yangu ni kwamba Clourer tu ndo kaka hajaelezea
Safi sana Kaka nimekuelewa vizuri.
Ckunyingine uelekeze taratibu unahalaka sana
Please share more on how to drive this truck it's confusing me
Safi sana Bro hapo Umeeleweka kabisa
Shukran sana broo
I like it
I have understood how to drive scania
Safi sana short and clearly
thanx brooo umeeleweka mzee
Shukran kwa faida
Sema nin umetisha kinoma kak
Hukutuonesha miguuni
Nashukulu ndugu yangu umenipa somo nilikuwa naelekezwa kwa mdomo lakn ww umenielekeza kwa vitendo
thanks
Nimekuelewa mzee
Kaka umekua mwalimu mzuri kwangu
Nimekukubali kaka upo vizur
Rotation ikidai au sio mimi sijakuelewa
Hufai kuwa mwalimu
What is he saying...
hahaa hahaa duh kma walimu wangekuwa wanafundish hiv xjuy kma kuna mwanafunz angelewa
Aisee ila nikaz San 124×420 Thank you brother 😘
Asante mukubwa
Sema muwe mnafundisha na changing dwn sio up tu ili watu wawaelew vyema
You can be a teacher
Dah! ualimu kipaji
Vp
I'll kuendesha 124 420 kazi mzee wangu
Hamna kitu ni ujinga
dah! cjui lin nitajua kuendesha scania kilasiku 2 fuso ila naamini ipo cku namm nitaendesha scania bado ninamda wakujifunza hata fuso nilikuwa nataman hivo na ikawa hivyo basi pia itakuwa hivyo
Scania simple sana mzee baba
Asante kaka
Homeboy mbna kama unajikumbusha mwenyew....tulia na ueleze kwa uzur.....by R420 driver hapa
Jamaa naona nae ajatulia ata corola ajaeleza inatumikaje
Brother unafundisha vyema ila sijaelewa upande wa hi range namna ya kumtumia sprinter
Na ref inafaa kutembelea ngapi ndo utumizi wa mafuta huwe sawa?
Uko na haraka sana..acha speed tukuelewe boss
Iyo batani yaju una ishusha malangap
Hahaaaaaa u anazingua hebu cheki vizur video yako bab wengne hawajui rotation n nn na hzo button hebu niambie znatumikaje na znaitwaje na button ya pemben inatumika wakt gan
Swali zur.... hayo nilikua najiuliza pia
Me nina swali apo kaka..kwa mfano unaenda gari upo kwenye gear 12 alafu ukawa unataka kusimama gafla unafanyajee
Upomkoa gan bro
Roho safi
Au tuelezee kuhusu brock change gear up and down
Na vipi ukitaka kuzivua gia
Tuonyeshe na unavyo kanyaga cluch, VIDEO NZURI (ila umepotea sana
Crawler?
matumizi ya hizo buton kwenye kuchange down yakoje?
Nahitaji kujifunza udereva wa ma lori
Bajaj kwanza
walio elewa ni wale tu ambao washaendesha magali ya manual na sio auto bas
Dah ukovizuri, na mimi naendesha scania R440
Vp Brother
Bro Ruben naomba unifundishe jic yakupangua gia
Hakianani inhekuaga ni hivyo tu ajari sizingekua hiv
Hujui kufundisha unaenda faster alaf hizo batan Kaz yake Nini Mimi Naona unafinya tu
Ni Gear hzo mzee baba
Ndo nn sasa mm sijakuelewa chochote mama
comment ni nyingi wadau wengine mnambeza sasa simngefanya nyie video mwache aelimishe utanzania umewazidi, mimi yangu ni kwamba Clourer tu ndo kaka hajaelezea
Mbna corola hujaeleza
Jogoo vp naomba namba yk pls
Unaweka Rivas wakati buton IPO high tena
Naona unaongea ongea mwenyewe tu hapo
Asante kaka hakika umenotrit vizur natumain sitakuangusha mW ye twst
Mbona unaoongea kama shoga wewe dereva kweli wewe
Duu kama sielew vile
Sawakaka nimeona ilasijaelewakitukimoja hapokwenyerivas chiniakekunaherufi c inamaanagani?
Corolla ya kupanda mlima
@@homeoflyrics6220 kwahioukifikakwenyemlima unfamiliar gia hadija c natakaniwaambiekuwa yahoo sio
Bro ujui kufundish
mdau naomba contact yako
Naomba number yako ya simu please
kaka naomba mawasiliano yako
geofrey hezron wap ww
Pamoja Sana Kaka
Contact yangu Ni 0653172714
Ni bip Kaka
@@paschalalex6584 kwanza hakuna scania ya gear 12 hiyo ni inaitwa 6 speed over drive
Please share more on how to drive this truck it's confusing me
Duu kama sielew vile