MSHINDI Wa Sportpesa Jinsi Alivyokuwa Akipanga Beti Zake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 59

  • @innocentmchome4460
    @innocentmchome4460 4 года назад +15

    Hata mimi sioni kamari hapo maana una bashiri tukio litakalo tokea Wana mahesabu tunaita probability" pia hao mnaosema niharamu kwatarifa yenu serikali inaingiza mapato haitambui hilo, hongera kaka umetoboa maisha bado mimi

  • @japhetjoseph5773
    @japhetjoseph5773 3 года назад +8

    Kwanza spot pesa mungu awabarikiiiiii mlinipa hela mshiko deilee dah

  • @nuruzebedayo7067
    @nuruzebedayo7067 2 года назад +9

    Shee hongera mnoooooo iyo siyo kamari endelea kushinda

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 4 года назад +9

    Daaah Hongera Shehe Wangu ....
    Next Time Ni Zamu Yangu ... AMEEEEEN ...

  • @davidphidelis2553
    @davidphidelis2553 3 года назад +7

    Shekhe usiwasikilize hawa hio ni njia mungu aliokupa kutengeneza maisha yako

  • @saudasalim2041
    @saudasalim2041 4 года назад +6

    Tunakuomba ALLAH mtukufu tusamehee waja wako wakosefu tuongoze njia iliyo nyooka Amiin imani yangu kufuga ndevu au kuvaa kibaraka shehee si yakuwa sheikh muonekano tu Allah atamuongoza yeye na sisi Bali kama engetaka kweli kuishim dini yake engeenda tu kawaida bila ya muonekano wa kiostadhi

  • @RaphaelJohn-qb7fo
    @RaphaelJohn-qb7fo 9 месяцев назад

    Sportpesa imekua msaada kwetu Mungu awabariki wote viongozi wa sportpesa

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 4 года назад +7

    Ustadh na kamali wapi na wapi

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 4 года назад +8

    Acha unafiki Mwenyezi Mungu Anapinga kamari huo ni mchezo wa shetani na hazina baraka yeyote.Ittaqillah

  • @mazomtilach5465
    @mazomtilach5465 3 года назад +8

    Akuna cha maesabu wew unazingua iyo bahati tuu

  • @ramiarashidikipunga9047
    @ramiarashidikipunga9047 4 года назад +3

    Ww si usitadhi kabisa,unamshirikish Mungu

  • @benitusbonifas7656
    @benitusbonifas7656 2 года назад +2

    Mm sijapta hata Mia naitafuta kwa Kasi sana

  • @BizzBayser-ue4vq
    @BizzBayser-ue4vq Год назад

    Hongera sana

  • @bkilango4265
    @bkilango4265 3 года назад +4

    Achen wivu kashinda si zake kwamba kamari ndio dhambi kuu pekee embu jifikirie ww unafanya dhambi ngap

  • @StevenRadford-hu6jv
    @StevenRadford-hu6jv 8 месяцев назад

    🎉

  • @djjeretz9621
    @djjeretz9621 2 года назад

    Safii

  • @amanipeace6007
    @amanipeace6007 4 года назад +5

    Shekhe anacheza mchezo wa jackpot mchezo wa kubahatisha lamba loloh

  • @mohamedswarehe911
    @mohamedswarehe911 Год назад +1

    Mm nilipoteza timu mbili tuu allah ata nipa ishaalah

  • @PatrickMitego-mm9cv
    @PatrickMitego-mm9cv Год назад

    Nimejifunza kutoka kwako

  • @paulpogba8595
    @paulpogba8595 2 года назад

    Huku ni tz jameni sio kenya

  • @zubedakelvin9268
    @zubedakelvin9268 Год назад

    Nataka kucheza ila sijui jinsi ya kucheza

  • @ibrahimbakari7467
    @ibrahimbakari7467 2 года назад +3

    hamna kamari maana mtu unasumbua akili kama uko kwenye chumba cha mtihani alaf next upate matokeo

  • @aloycemoshi5521
    @aloycemoshi5521 4 года назад +1

    Next was me

  • @kingsultan2223
    @kingsultan2223 4 года назад +2

    Shekheee sio vibaya kumshukuru Mola ila omba msamaha kwake manake pesa za kamaree hizo zimelaniwa mbaya

  • @josephissara3599
    @josephissara3599 2 года назад

    Je mtu akishinda tsh 500,000/= kwa mkeka wa kawaida, anarushiwa huo ushindi kwenye akaunti yake kimya kimya au anapigiwa simu na kutangazwa hadharani?

  • @sadickkinghb126
    @sadickkinghb126 4 года назад +2

    Gonga like

  • @bakariomary5781
    @bakariomary5781 3 года назад +1

    💯

  • @EmmanuelMasaka-d9g
    @EmmanuelMasaka-d9g 3 дня назад

    Mh sihuwa mnasema kuwa kamar n haramu imekuwaj shee kama huyo kacheza

  • @princerselestinny1903
    @princerselestinny1903 2 года назад +1

    sio kamali hii kucheza naa kili yako

  • @emmanuelmutunga9733
    @emmanuelmutunga9733 2 года назад

    Niaje nitumie games

  • @petermushy9883
    @petermushy9883 3 года назад +3

    Semeni kalaaniwa nyie mnavidhambi vya Siri Siri mwamba kapiga Ela ajaiba Cha mtu

  • @adrashisleyman7093
    @adrashisleyman7093 3 года назад +1

    I.b.u.tz🇹🇿

  • @MichaelKolombio
    @MichaelKolombio Год назад

    Apo uliupiga mwingi

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 3 года назад

    Kunanjia ionekanayo kwa mtu ni nzr lakini mwisho wake ni njia ya kwenda mautini (16:25)

  • @davisjoash3718
    @davisjoash3718 4 года назад +1

    Aki Matiangi

  • @mchopa0816
    @mchopa0816 4 года назад +1

    mnafiki mkubwa shekh w kutoka wap c umeriski pesa yako kuiyeka so ukikosa c imeliwa...si kamari vp waislam tuachen unafik kw tamaa z dunia

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 2 года назад +4

    Ujinga bhanaa.. ivi nyinyi mnaosema hii kamari na mnasema haram.. fanyeni bas na nyinyi mupate...

  • @pendorichard2630
    @pendorichard2630 2 года назад

    Waislamm wanafiki mnasema kamali ni haramu ovyoo

  • @ElizaNjeri-zn2nb
    @ElizaNjeri-zn2nb Год назад +1

    Kwa mujibu wa mtume wako nabii Mohammad wewe ni kafiri

  • @hassanmaestro9070
    @hassanmaestro9070 3 года назад

    Ww nd sheikh au mnafik t

  • @lamuboy387
    @lamuboy387 3 года назад

    Na atakae shinda kama hazitaki anipe mimi

  • @aishahassan582
    @aishahassan582 3 года назад

    Mh

  • @abdulabeid7949
    @abdulabeid7949 2 года назад +1

    Wacha ujinga na upumbavu. Hizo pesa ni za haramu.

  • @UmmyMussa
    @UmmyMussa 4 месяца назад

    Muongo wewe
    KAMARI NI KAMARI

  • @mujyu3438
    @mujyu3438 4 года назад +2

    ni haramu kwa muislam kucheza hizi beti

    • @johnyboniphyc792
      @johnyboniphyc792 4 года назад +1

      Ila kuzini inaruhusiwa

    • @houseboy227
      @houseboy227 2 года назад +2

      Huu ni mchezo wa kusumbua akili na probability

    • @omynizow2602
      @omynizow2602 2 года назад

      ww umeteleza bc tubia lkn usijihalalishie bet ukajitoa kwenye makosa iyo ni kamari isio na shaka hata kidogo na iyo ni haramu ila kwa vile mungu kaahidi kusamehe dhambi yoyot km utafanya toba ya kweli na kutokurejea tena kuifanya dhambi iyo bc utasamehew ila musihalalishe haramu kwa kujitoa makosani jitowe makosani kwa toba ya kweli Allah atakusamehe inshaAllah