HATARI! AZALISHA DAWA FEKI, AINGIA 18 za TMDA, ATIWA MBARONI USIKU...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 47

  • @PrincesGeorge-uz7rq
    @PrincesGeorge-uz7rq Год назад

    Xhetan w mguu mmoja uyu tena anyongwe kabisa ameuwa watu wangap mpuuz mmja duh,,,😭😭😭 eee mungu atusaidie jamn

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 Год назад +1

    Mungu hawasaidie.

  • @saimonimzopola4355
    @saimonimzopola4355 Год назад +3

    Jamaa hafai huyo anyongwe tu inawezekana ht mm nilisha kunya dawa fek

  • @zammalik2956
    @zammalik2956 Год назад +4

    Hasbiya llahu waniimall wakil

    • @halimaalaraimi2721
      @halimaalaraimi2721 Год назад

      hao sawa na wauwaji hatuwa kali zinawahusu wanatia hata sembe wewe unakula dawa ili upone kumbe unakula sembe

  • @bintysaid1964
    @bintysaid1964 Год назад

    Allahu akbar😭😭😭🇰🇪 inauma kwakwel
    Mtu labdha ako na kansa anameza dawa anatarajia afuen kumbe nisawa na anayekula ugali tu
    Mtu kafanyiwa upasuaji ananunua vidonge akitarajia kupona upesi kumbe ni sawa na anayekula dona akilala akuna kitu anachopata😭😭 tuwen na huruma jaman saazingine

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 Год назад +1

    asante sana mungu za mwizi ni arobaini

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Год назад +1

    😭😭😭ameamua kujua watanzania daah

  • @hussainmasoudsubhannallah3786
    @hussainmasoudsubhannallah3786 Год назад +1

    Alhamndulillah kapatikana ndio maana tunatumia dawa na hatuponi kumbe wapo wenye kujali nafasi zao tu

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow Год назад +1

    Subhana llah

  • @monicamtui2922
    @monicamtui2922 Год назад +3

    Hakika huo ni uaji wa hali ya juu, serikali ichukue hatua kali za kisheria.

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 Год назад +1

    Yote ya yanatokea uongozi mbovu sana yaani kila kukicha majanga tu MZEE BABA huku taabu tupu

  • @hussainmasoudsubhannallah3786
    @hussainmasoudsubhannallah3786 Год назад +2

    Abisa serikali mfanye haki kweli kwenye hili anaua watu bila huruma

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 Год назад +2

    Mhh ana hatari huyo jamani

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Год назад +1

    Yani mtu anaamua kuuwa watanzania wenzio Bila huruma yoyote hata kama ndio kupambana sio kilivyo

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 Год назад +1

    Bingwa kapotea ndegeresi😂😂😂😂😂

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Год назад

    Jamani huyu mtu hebu akumbuke kuwa kipo kifo tutaacha kila kitu na tuende watupu jamani yanini kutafuta pesa kwa kuua au kuumiza wengine?

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Год назад +2

    Muuwaji kabisa Dah 😭💔

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Год назад

    aisee tz watu wengi wanajari masilai ya pesa tu hawajari hafya za wenzao na uzima waray pesa zinawatoa hutu umeona sasa huwezo wa allah urivyokuwa mkubwa mepatikana kwa kuwauwa wanadam wenzenu kwa kuwaingizia makemikari mwirin

  • @sund2553
    @sund2553 Год назад +1

    Aiseeeeeeee

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Год назад +2

    DAWA ZINATOKA KABLA YA KUPITIA WIZARANI!!! WAMEUWA WATU WANGAPI 😂😂 NA WAZAZI HAWAYAJUI ???

  • @raskinamfinangamfinangaras5120

    Duuuh 😰😰😰🤭

  • @emmanuelnyinyigwa8043
    @emmanuelnyinyigwa8043 Год назад

    Mbona hiyo biashara niya muda mwingi sana tangu kipindi cha kikwete na sio huyo tu wapo wengi kila mkoa wapo. Biashara. Mnacho takiwa ni kumuongezea nguvu ili kiwe kiwanda kamili

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Год назад +3

    Huyu ni mdudu china ni kunyongwa tunatafuta ila huyu kazidi

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 Год назад

      Kabisa ndio maana nakunywa dawa siponi kumbe ni sumu tupu jamani

  • @ashaomari7465
    @ashaomari7465 Год назад +2

    Wanauwa wagojwa kwasababu ya tamaa ya pesa

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Год назад

    Hata wakoloni walihakikisha dawa kwa ajili ya binadamu zipo sawa tatizo mapenzi juu yetu ni madogo kwa baadhi ya watu

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 Год назад +3

    Nitaendelea kutumia mitishamba

  • @babysisy-0613
    @babysisy-0613 Год назад

    Jamaa kachomoka yuko mtaani

  • @miznalamwanku7261
    @miznalamwanku7261 Год назад +1

    Ahojiwe vzr pia aoneshe anakozisambaza

    • @hiacinthanjau641
      @hiacinthanjau641 Год назад

      INGEKUWA VIZURI ALISEMA PHARMACY AMBAZO ALIWAHI KUPELEKA, NA MIKOANI ASEME AGENTS WAKE. IT IS SERIOUS!. SHAME! 😭😪

  • @maghanighanichali9519
    @maghanighanichali9519 Год назад +2

    Anyongwe tu

  • @tausiathumani9408
    @tausiathumani9408 Год назад +1

    ndio maana ukinunua dawa dukani iko tofauti na hosptalini unampa mtu kama unampa maji

    • @pendo8082
      @pendo8082 Год назад

      Mm mama yangu aliuziwa dawa feki arusha yani nilivyompeleka Dar mwananyamala tukafanya vipimo upya iligundulika dawa ni feki moja tu ndio original

  • @franciscarsongea7948
    @franciscarsongea7948 Год назад +1

    Uwi jamani Hana hofu ya mungu muuaji huyo

    • @pendo8082
      @pendo8082 Год назад

      Yan hiz denspesary naziogopa bora mtu km unaumwa nenda hospital

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow Год назад

      @@pendo8082 hospital kwenyew dawa hamna unaambiwa ukanunue halikwepek ispokuwa ni kuomba mung tu

    • @pendo8082
      @pendo8082 Год назад

      @@najmasalim-rg6ow noma

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 Год назад +1

    Anyongwe tu.

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 Год назад

    Yan uwo ni muwaji kabisa

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 Год назад +1

    Kamata wote pamoja na mke wake Kwani anajua na kutunza bidhaa hizo bandia,huku akijua ni Fake na ni hatari kwa watumiaji.
    Tusionee huruma wauaji hawa kokote walipo. Na wananchi tujitokeza kuwataja wengine kokote walipo.

    • @hiacinthanjau641
      @hiacinthanjau641 Год назад +1

      MUNGU WANGU, YAANI HUYU AMEKUWA MKATILI NAMNA HII!! AMEUA WENGI HUYU! MTU ANATUMIA DAWA FEKI! HALAFU HAPONI, NA UGONJWA UNAKOMAA! ANAKUFA!😢😢 MUNGU TUOKOE NA WAUWAJI HAWA! JE HAO WAZAZI WALIFURAHIA PESA? JAMANIIII. 😮😢

  • @miznalamwanku7261
    @miznalamwanku7261 Год назад

    Du