Duuuuh Mungu atusaidie nchi yetu inaelekea pabaya mno Mama anaendelea na majukumu yake ya kurudi madarakani, mama Usitumie mabavu kuna maisha baada ya uongozi😢😢😢
Mama Samia angeanza na wizara ya ndani na usalama; kuongea nao km amiri jesh mkuu na mama kisha kila mkoa atoe ngombe wachome na Police wfkie wtu wao na kukaa p1 wale nyama na Rais aongee maneneo ya faraja na kutembelea kila familia iliopotelewa mtu wao. hii itakuwa mwanzo mzuri wakupoza nchi...
Huko tuendako tutasikia na waandishi wa habari wanapotea AYO TV ni alfa na omega inafukunyua habari za ndani kbx inafika pasipofikika kurahisi na wengine naipenda xn AYO TV 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mh huyu mwandishi wa ayo tv namfuatiliaga sana huwaaga ni mwandishi anamswali mazuri,hana maswali ya kiwaki, anahoji vizuri sana sasa hii tena ni hatar
Kwanza mwandishi wa habari yeyotè hii dunia anafaa kulindwa na anaruhusiwa kuchukua habari yoyote inayohusu jamii na yenye maudhui ya kimaadili...huu unafanyika ni ubabe sasaa , hamuoni hata vitani wanakua na ulinzi wa pande zote asee....hii nchi ovyo sana
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
Duuuuh Mungu atusaidie nchi yetu inaelekea pabaya mno Mama anaendelea na majukumu yake ya kurudi madarakani, mama Usitumie mabavu kuna maisha baada ya uongozi😢😢😢
Bado hamjasema, na mpaka mseme
Hii ishakua noma sasa
Da pole Sana kaka kwa misuko suko mungu awe faraja yako nyie ni moja ya watoa habari ya kweli Sana tanzania
Uhuru wa nyombo vya habar nao wanaanza kuuzima 😢
Wambea sana hiz on line media, wachonhanishi. Hakuna chombo cha Habar hapo. Hao ni wadaku wamedakwa kwa uchochez. Taahira yyote lazma atakurupuka kujb
Mzee anaogopa kupotea😂😂😂
Mama mama mama nimekuita mara ngapi 3 mungu anajua
Mbona mnakua waogaa! Semeni niakina nani wamefanya tukio Hilo? Yani Kwa uwoga huo huo ndo mwaendelea kuwapa kichwa waharifu katika hii nchi
Washahamia kwa wa ndishi habari tena 😂
Huyu mwenyekiti anaongea huku akiangalia huku na huku ni muoga balaaa .....😅😅😅😂😂😂
Hana confidence anajua kifuatacho ni nn unafikiri hajui ametikisa kibiriti😂
Uyu ni msemaji wa serikali au mwenyekiti wa waandishi wa habari
Tumeisha juwa kuwa ni awakutaka tarifa zitoke
Momba pole kaka ... hii ndio utawala wa kisheria na utawala bora ?
SAMIA MUST GOOO
Mmmmh binandam kw kujifanya wanaweza na kila mtu kuvutia kwake
Uoga ni dhambi
Ayo aporwe anatetea ccm sana makuma
Tanzania yangu ilikuwa na amani wakati wa Nyerere na magufuli Tanzania imeisha
Mama Samia angeanza na wizara ya ndani na usalama; kuongea nao km amiri jesh mkuu na mama kisha kila mkoa atoe ngombe wachome na Police wfkie wtu wao na kukaa p1 wale nyama na Rais aongee maneneo ya faraja na kutembelea kila familia iliopotelewa mtu wao. hii itakuwa mwanzo mzuri wakupoza nchi...
Taarifa nying tunapata kupitia vyombo vya habar alaf watu wachache tyu wanatka kuharibu kwa sabbu zao binafsi,plz ashughulikiwe huyo mtu
Huko tuendako tutasikia na waandishi wa habari wanapotea AYO TV ni alfa na omega inafukunyua habari za ndani kbx inafika pasipofikika kurahisi na wengine naipenda xn AYO TV 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Na ndy anatumiwa na Serikali ktk mambo yao yote
Mwenzenu anaogopa kupotezwa ukizingatia umri ndio hivyo tena
Mh huyu mwandishi wa ayo tv namfuatiliaga sana huwaaga ni mwandishi anamswali mazuri,hana maswali ya kiwaki, anahoji vizuri sana sasa hii tena ni hatar
Akili itawakaa sawa tu wabongo. mtaelewa tu
jmn,, ebu wamrudixhie vifaa vyake uy kk anajituma can you haya wanapga vta Kaz yak
Yale yaleeee yamesharudi
mtajua wenyew si makonda wenu mlikuwa mnafurahia mtaumizwa sanaa
Kwanza uyu mzee muoga hawezi kumudu hii nafasi
Mbona kama kiongozi nae anaogopa??😅😅huu ni umeingiliiii
Anaogopa kwasababu ni usiku leo ukienda kugonga mulangoni kwake kituo cha kwanza uvunguni
😂😂😂😂kajaa taharuki
Mi naona sawa tu ndo mjue muache kujipendekeza na mtende haki msha zoea kuwasifia hawapendi kukosolewa mshawazoeesha kuwasifia
Mbona anageuza geuza shingo
Zama za kale zimerudi duuu mtihani mmuludishie vitu vyake
Kwanza mwandishi wa habari yeyotè hii dunia anafaa kulindwa na anaruhusiwa kuchukua habari yoyote inayohusu jamii na yenye maudhui ya kimaadili...huu unafanyika ni ubabe sasaa , hamuoni hata vitani wanakua na ulinzi wa pande zote asee....hii nchi ovyo sana
Ccm imechoka mpaka pa mwisho tokeni andamaneni dunia ijue
Ukiona ivyo uyu mama awamtaki ao watakuwa mapolisi
Mzee anaongea inaonesha anahofu
Mzee anatetemeka sana dooooh😂
Mzee bora uogope usiwaache watoto wako. Kila kima afe kwa namn yake bwn.
MUNGU Wangu boss wake hata. Mwambie nini 😢😢camera tena wame vunja au
Duuuh
Muoga, hajiamini hana majibu, huyu sio mwenye kiti wa waandishi huyu mtumishi wa serikali.
Wewe ni mpumbavu mwenyekiti gani ni muoga hivyo au wewe fani yako ni kuchunga ng'ombe
Usisahau kanyanywa na CCM
Na mwenyekiti ni ccm
NI makonda uyo Kuna mda watanzania unakuta wanasema anafaa kuwa raisi kweli
N kwel kbsa hawez tulia tayar ameathirika kisaikolojia
Huyu mwenyekiti mtoeni hafai anakigugumizo hkutoa taarifa na muoga too much stupid
Muoga mno wamtoe hafai kuwa muwakilishi wa waandishi wa habari