PAPII KOCHA AONESHA UTAJIRI WAKE/ NI BALAA!/ AWATUMIA SALAMU WAFUNGWA GEREZANI
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- #Exclusive #PapiiKocha
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media
Aisee jela sio kuzuri Papii kapendeza sana Allah Akbar ni kumshukuru kwa kila jambo na kila wakati Magu Allah atakulipa kwa hili huko ulipo
Nafurahi kukuona una afya njema umebadilika,mungu aendelee kukuonyesha njia
Uko vizr kak. Hongera sn mungu akuzidishie
Papii kocha! Nafurahi sana kuona kuwa mpo huru.
*Duuh!! Kweli jela sio mahali salama jamaa amenawiri uso unaonekana sasa*
Nilianza kumpenda magufuri baada ya kumtoa papii
Kweri mungu yupo
Jamaa kapendeza
Lete bwebwe tena urudishwe jela nchi yenyewe hii Sasa hivi haieleweki
Tumemiss sauti yako wee toa ngoma please
Moja kati ya presenter bora
Uo utajiri wa papi uko wapi
Kwa Mungu.
RIP JPM
tabwe all time King
Alikua ana upara saiv kaotesha nywele😂😂
Tumemis muziki wako wa live kina mond wametuchosha na miziki yao ya komputa
Tofautisha Sina A music gala wee,nkmekujibu Kama mwanamziki wa band
Mimi mond hawezi nichosha hata aimbe na tochi, 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬 bwege ww
Nikweli kwa ulivyo inaonekana huna njaa kuliko mzee wako kiukweli anakonda ila wewe nakuona ukopowa
@travelstylish nurse 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Watuwasijurikana nayo nihofuyangu?afronsi mawazo benisanane nihofuyangu au kupewa msamahawewe na babayako ndio hofuhiyo kupigwa lisasi tundu lissu we papy nyamaza dogo tuli\
Eti sina njaaa kwel kashajisahau
Sasa ulitaka aseme ana njaa mbona huna jema
Towa vitu
Jpm
But unabadilika bro unatumia vinywaji vikari au, pamoja nakunawiri lakin hayo macho sijakuelewa
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
Long time ago pini
Kanenepa