Christian Bella - Msaliti [ Official Video ] HD EXLUSIVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 283

  • @SERAYA-AM
    @SERAYA-AM 9 месяцев назад +14

    2024 tuna zidi kuskiliza

  • @judithjoseph5199
    @judithjoseph5199 11 месяцев назад +32

    2024 bado naikumbuka

  • @EroniaEfraimu
    @EroniaEfraimu Месяц назад +8

    Nilivyosalitiwa nikaja 2024😭😭

  • @TWESIGAAKIM
    @TWESIGAAKIM Год назад +6

    @Christianbella this is a food for the soul. It's a classic that even in 2023 I still listen to it for more than 10 times . Much love from Uganda. 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

    • @mehmethe2nd
      @mehmethe2nd 11 месяцев назад

      Correct & he has never been this better since then. Never

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 8 лет назад +8

    mwana nanga Cristian yo nde lwambo Makiadi ya lelo. yaani unaimba nyimbo za maaana. sauti muzuri sana wow!

  • @athumannassor6502
    @athumannassor6502 9 лет назад +3

    Bela we mkali nyimbo zako zinamafunzo katika jamii

  • @FurahKayumba
    @FurahKayumba 3 месяца назад +3

    Ba congolais 🇨🇩 boza wapi

  • @danielurassa2762
    @danielurassa2762 10 лет назад +1

    babu ww ni noma nime kukuba sana tu uko juu ki noma men big up

  • @guyghiofa212
    @guyghiofa212 4 года назад +3

    Un plaisir de haut niveau surtout shiye benye tuna sema na kusikiya swahili

  • @tresorosoko2127
    @tresorosoko2127 7 лет назад +4

    Houuuuuummmmm mwana mboka.. I'm really proud of you big brother. Never ever give up. You know how to sing bro and your voice is perfect. Congolese talent everywhere we go. Always defend the colour of our flag ...

  • @shellamduba3066
    @shellamduba3066 10 лет назад +1

    Hata kama hawataki WE NI NOUMAAA!

  • @dinakidai4118
    @dinakidai4118 6 лет назад +2

    hii nyimbo naipenda sana kila cku naiona mpyaaa

  • @hamzaabdallah2167
    @hamzaabdallah2167 9 лет назад +1

    UKo vizuri kka tena unajuwa ileee mbyaaaa!!! Nice song,, video

  • @kamoseseqenenrekemet1681
    @kamoseseqenenrekemet1681 5 лет назад +3

    This is Brother Kamose Peace & Black Unity world wide ✊🏿❤🖤💚

  • @ismailngombo3702
    @ismailngombo3702 7 лет назад

    msaliti ni wimbo ambao unajumbe wa kweli ongera kwa kuimba nyimbo zenye ujumbe

  • @jumawaziri8155
    @jumawaziri8155 9 лет назад

    Bela umetisha unafanya kile watu wanachokiitaji uko juu kama airfoce one

  • @dannehsg978
    @dannehsg978 8 лет назад +1

    Ca c'est un travail d'un artist professionnel coup de chapeau mon frere Christian Bella pour ton boulot en Tanzanie

  • @kingjustin1334
    @kingjustin1334 Год назад

    Where are my Congolese people Love from Queensland Australia 🇦🇺

  • @placidoponera
    @placidoponera 5 лет назад

    Kumbe wew nimsaliti umenichanganyachanga mpaka namarafik zangu......
    #dAhAtari2pu
    #whyALWAYSme
    30/10/2019 bado tunaichek

  • @habarugirajeanmarieviann-qe4uf
    @habarugirajeanmarieviann-qe4uf 9 месяцев назад

    Nitayikumbuka mpaka nife❤❤❤❤❤❤❤

  • @innocentkalistus8991
    @innocentkalistus8991 5 лет назад

    Mwanamke ni Tabia nzuri,mrembo kajiulize from tz

  • @chiefmatata3733
    @chiefmatata3733 9 лет назад

    Bella wewe ni noumaaaa!siyo kosa lako labda ni makosa ya kazi.

  • @bodrymastaki944
    @bodrymastaki944 10 лет назад

    Mon grand bcp de reeeeeespect yani ongera sana kwakazi nzuri uko juu kbs

  • @princeisaac9743
    @princeisaac9743 6 лет назад

    Mwanamke ni tabia sio urembo wimbo nzuri sana.

  • @theresiameshack7885
    @theresiameshack7885 9 лет назад +2

    Nashiiiiiindwaaaaaaa jamani... iko juyuuu

  • @ibrarashid3934
    @ibrarashid3934 9 лет назад

    Kaka Bella uko juuu Sana kimzik mungu aendelee kkubariki

  • @sylvanusmatumaini9118
    @sylvanusmatumaini9118 7 лет назад

    Big up, Bella Chris, uko vizuri sana Kijana wangu.

  • @AnnaAnna-br9ou
    @AnnaAnna-br9ou 8 лет назад

    kaka uko vizuri nyimbo zako ni nzuri sana unaukonga moyo wangu shikamoo Bella

  • @robertmali9123
    @robertmali9123 9 лет назад +1

    your performance was awesome here in Arusha...BIG UP

  • @WasafiSitta
    @WasafiSitta 8 дней назад

    musaliti wimbo mzul sana ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @revomarkjackson2814
    @revomarkjackson2814 9 лет назад

    Nakukubali sana brother nyimbo zako zote zina jumbe nzuri.

  • @ruthu-vd8qb
    @ruthu-vd8qb 10 лет назад

    Hiyi Kali Sana papa christian ongera kwakazi nzuri

  • @harunakhatibu2012
    @harunakhatibu2012 Год назад +2

    The song never die has big msg to our society etc

  • @yusufubalali7501
    @yusufubalali7501 9 лет назад

    Yes! Tupo pamoja, bella upo juu.

  • @alphaxardamos6960
    @alphaxardamos6960 10 лет назад

    Congratulations brow kwa kazi nzur

  • @byaombeamedeo5000
    @byaombeamedeo5000 4 месяца назад

    Nice song mwana ya Congo

  • @MrBaraka1977
    @MrBaraka1977 8 лет назад +1

    Hapo sasa...hapo sasa...hafai hafai!! Weeeuweeeeeeee....

    • @missamobeyto8921
      @missamobeyto8921 7 лет назад

      nyimbo imenigusa sana belaa ina ujumbe Wa kweli

  • @ClaudeSadiki-o4e
    @ClaudeSadiki-o4e 5 месяцев назад

    Nakubali iyi chanson vraiment ina nipa ma fundisho mingi sana vraiment 😢

  • @mtungilandegeya6312
    @mtungilandegeya6312 10 лет назад

    Kimini ndani ya baibui ni sheedah!!!!!!!!!!

  • @christinangossi4669
    @christinangossi4669 9 лет назад +2

    brother we mkali saana...yaan mia miaaaa

  • @emiliachawala5609
    @emiliachawala5609 8 лет назад

    safi sana Bella kwa kazi yako nzuri hasa, Msaliti

  • @machozimare1076
    @machozimare1076 9 лет назад

    wanawake wengi ndo wasaliti usimuhamini mwanamke, wanawake wasasa akuna asiyekuwa msaliti

  • @antidiusegbert5562
    @antidiusegbert5562 Год назад +1

    We yet to have someone like this

  • @toshafidele5881
    @toshafidele5881 6 лет назад +1

    Mpe suscribed zake. Rumba congolaise

  • @pierrelick1739
    @pierrelick1739 7 лет назад

    sjajua kumbe we ni msaliti umezoea kuonja onja duhhh atarrrrrr

  • @brinasamuel6361
    @brinasamuel6361 11 месяцев назад +2

    Wasaliti niwengi sana hakuna mwanamke mwema saivi wote niwapumbavu kabisa

  • @wilekissinga2700
    @wilekissinga2700 9 лет назад

    Upo vizuri brother

  • @DieuaimePilipili
    @DieuaimePilipili 9 месяцев назад +1

    Ti Lelo na betaka ndule wana mwana mboka

  • @MIKOGONYAMSWA
    @MIKOGONYAMSWA 8 месяцев назад

    Ita dumu milele song aichuji braza big ap san

  • @umojakondoa6744
    @umojakondoa6744 9 лет назад

    nice song unajua kuimba sana big up

  • @ngungiwathiongo
    @ngungiwathiongo 3 месяца назад

    Christian Bella to the world 🔥🔥🔥

  • @antidiusegbert5562
    @antidiusegbert5562 Год назад

    Ndama mutoto ya nini 😎

  • @soudrashid5988
    @soudrashid5988 6 лет назад +4

    hakika nyimbo za Bella song za nguvu Sana

  • @zarinashaweji4534
    @zarinashaweji4534 6 лет назад

    Uzuri wa mwanamke sio urembo,mwanamke ni tabia

  • @boulessifofana990
    @boulessifofana990 9 лет назад +2

    Trop d'émotion respect 3

  • @Mangaya1
    @Mangaya1 11 лет назад +1

    lovely song, well done Christian.

  • @nivietamara464
    @nivietamara464 9 лет назад

    Niceeeee... Christian Bella... changing Rhumba to Bongo....love love love...mi amour #Kisses

  • @adrianchitema9835
    @adrianchitema9835 6 лет назад

    Kwakeli bella unajua na nakukubari ile mbaya

  • @gratianrweyemamu6272
    @gratianrweyemamu6272 10 лет назад +1

    Nakukubali sana Bella. Big up!

  • @mohamedibakari8021
    @mohamedibakari8021 8 лет назад +1

    nalpenda sana song hili musaliti big up ma brother bella

  • @herryfrancis549
    @herryfrancis549 8 лет назад

    msaliti hii ngoma imenogusa sana nilishawahi salitiwa

  • @williammwambire103
    @williammwambire103 8 лет назад +1

    big up bela this is the kind when am crusing from German to Poland and from to Poland to Bristol to see my my family with big egine audi a8 2014 for real l miss my mother land kenya

  • @lucresiafredrick4500
    @lucresiafredrick4500 9 лет назад

    Nashindwaaaaaaaa!

  • @wilbaldshayo1222
    @wilbaldshayo1222 11 лет назад

    Hakuna mwimbaji wa danc ninae mkubali kama huyu jmaa, kiukweli anajua sna na nyimbo zake zna nikumbusha mbali.......................

  • @neemahussein4957
    @neemahussein4957 7 лет назад

    😢😢😢nyimbo inanilinza hii daah bela ww fund

  • @salumuramazani9865
    @salumuramazani9865 4 года назад

    Mkongo mani tumika bien :🇨🇩🇹🇿.

  • @neemaney5142
    @neemaney5142 10 лет назад

    Ingekuwa poa sana kana ungeimba song nyingine ibayohusu wanaume.

  • @boboyugi5105
    @boboyugi5105 9 лет назад +2

    I like the combination of the lyrics and the guitar

  • @audadu45120
    @audadu45120 10 лет назад +1

    j adore même si je ne comprends pas les paroles mais il as juste a écoute et ce laisse emporte rumbaaaa

  • @sophiayusuph5424
    @sophiayusuph5424 9 лет назад

    Bella upo juu sn hongera kw kz yko nzr

  • @vincentobiero8203
    @vincentobiero8203 8 лет назад +1

    Bella's songs are amazing and very touching. My music library's at hom is fun try to visit it one day u will love it to the fullest

  • @jonhbukavu7488
    @jonhbukavu7488 Год назад

    ❤ merci beaucoup pour votre chason

  • @karemeramihigopatrick9812
    @karemeramihigopatrick9812 8 лет назад +13

    Rumba muzuri sana ya swahili

    • @weypiox2235
      @weypiox2235 8 лет назад +1

      All hot girls аrе hеrе => twitter.com/e932c62dc4061b5fd/status/800976871114481664 Christiаn Beееlla Мsaliti Official Video HD ЕХLUSIVE

    • @salumuramazani9865
      @salumuramazani9865 6 лет назад

      Karemera Mihigo Patrick nikweli ana juwa

  • @passynana9168
    @passynana9168 9 лет назад

    wow asante kwa wimbo wako kaka Christian

  • @petromwinyi4955
    @petromwinyi4955 6 лет назад

    king of the best melodies@obama@watoto ya Canada @tajirimubishi.

  • @benadethamahemba5373
    @benadethamahemba5373 10 лет назад

    wimbo matata ni kitu kinatokea kwenye jamii penda sana

  • @emmanueldismas5568
    @emmanueldismas5568 9 лет назад

    Upo vizuri mzee

  • @mtungilandegeya6312
    @mtungilandegeya6312 10 лет назад

    Jamaa ni kifaa sana!!!

  • @johnsonkamau4673
    @johnsonkamau4673 7 лет назад +1

    Best song ever!

  • @jumajuma6407
    @jumajuma6407 10 лет назад

    Namkubali sana yupo juuuu

  • @harunaunyambwa5766
    @harunaunyambwa5766 7 лет назад +1

    kuanzia 02:40min ni nomaa

  • @charlesamon8873
    @charlesamon8873 6 лет назад

    Bella ww ni noma ya 100/100

  • @THEGSMGSM
    @THEGSMGSM 8 лет назад +5

    beautiful song

  • @salumlinyata2114
    @salumlinyata2114 9 лет назад

    Uko vizuri bro

  • @gaudenceswai5382
    @gaudenceswai5382 8 лет назад +6

    safi sana Bella ,kamua

  • @jumawaziri4217
    @jumawaziri4217 9 лет назад +1

    Nice song!

  • @danielgodfrey2606
    @danielgodfrey2606 9 лет назад

    Kaka Bella uko poa Sana na nyimbo zko zinatuelimisha endelea na moto huo huo

  • @SmilingHandbag-ck4dd
    @SmilingHandbag-ck4dd Месяц назад

    Nyimbo ya harusi yangu nimeshaipata bado mke to

  • @sarahpaul5895
    @sarahpaul5895 9 лет назад

    Iko vzr sana nimeipenda bella

  • @FarajiJackson
    @FarajiJackson 4 месяца назад +1

    Bonge la Ngoma🙏🙏

  • @Name_tag7
    @Name_tag7 8 лет назад +1

    beautiful song Christian

  • @shabanmohamed7459
    @shabanmohamed7459 9 лет назад

    Kaka unaweza sana

  • @mbwanasuleiman9237
    @mbwanasuleiman9237 9 лет назад +1

    very good, good song,love you! 100%

  • @chidymatanga1951
    @chidymatanga1951 9 лет назад

    ndg zangu christian bela anajua muzki mud a wake uhu

  • @mcheshitv6727
    @mcheshitv6727 10 лет назад

    umetishaa kwa sanaa

  • @ramadhaniadivumibela228
    @ramadhaniadivumibela228 9 лет назад

    Kwakweli nyimbo zako zinanipendeza kwani zinapigwa bela ya kuchanganya ni mwendo wa taratibu usije ukabadilosha hii miondoko yako ya pole pole

  • @vincentmuimi2713
    @vincentmuimi2713 2 месяца назад

    My hit since 2006

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 8 лет назад

    wimbo muzuri. .ujumbe muzuri

  • @NamelessOwino-tj1if
    @NamelessOwino-tj1if 11 месяцев назад +1

    2024 naisikiliza huku nikiwa nimesalitiwa😢

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 лет назад

    Safi saaana bro kwangoma zako