Kenya Kwanza leaders urge Kenyans to shun tribalism and embrace inclusivity

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Kenya Kwanza leaders urge Kenyans to shun tribalism and embrace inclusivity.

Комментарии • 31

  • @Redcatek
    @Redcatek 19 часов назад +8

    Huyu anaongelesha nani Sasa! Nyinyi ndo wakabila wabaya!! Parastatals zote, PSs wote plus soo many ministries nyinyi ndo mmejaa

  • @timothymugambient
    @timothymugambient 19 часов назад +6

    Tuwache abduction, Wizi, uongo, ujuaji, na tuombe Baba anguke ndio akuje ashinde shetani na watumishi wake huku Kenya.

    • @PatrickKimathi-x2l
      @PatrickKimathi-x2l 19 часов назад

      😂😂 ata mfanye nni kaongo ana nanafasi hapa Kenya ajifiche kwa matako ya samaki

  • @b.9811
    @b.9811 16 часов назад +1

    Shirt 👕 ya kibet imejikunja ma😂
    Hana Bibi
    Kupiga bare ndiyo amejuwa

  • @halimaissack4719
    @halimaissack4719 13 часов назад

    Thank you, our leaders, for making us feel like kenyans..president ruto hatusahau hii❤

  • @RoyalBobby-ml9xi
    @RoyalBobby-ml9xi 17 часов назад +1

    Watu wamekula kenya wakamaliza weeeuh. This was a blunder juu ya blunder

  • @anneambwere
    @anneambwere 11 часов назад

    Tell it to the birds.
    Action speaks louder than words

  • @Redcatek
    @Redcatek 19 часов назад +2

    The military should be very careful on security issues..

  • @DRAYVEEN
    @DRAYVEEN 15 часов назад +1

    Muuwaji huyu

  • @ReggaemixDjEjy
    @ReggaemixDjEjy 18 часов назад +2

    Standard six drop out 😅😅 addressing the nation

  • @fredrickmuiva1618
    @fredrickmuiva1618 17 часов назад +1

    Who is this talking who elected him faruk kibet kk mafias

  • @StevenMaina-s5d
    @StevenMaina-s5d 19 часов назад +2

    Ma brother kimani ichungwa ulikosea sana kungoa gachagua even your blood brother or sister unaeza msaliti sababu ya maslahi yako

  • @davidmutua4998
    @davidmutua4998 18 часов назад +2

    Enda wewe

  • @josephkimathi6855
    @josephkimathi6855 18 часов назад +1

    Ukabila itawahi isha milele Mkishindwa na kazi nmaanza kuongea shiet"Even Israel is for 12 tribes mimi natakanga kuitwa mkabila

  • @HFg-xk4rp
    @HFg-xk4rp 18 часов назад +1

    Ukabila tuliachia Gachieta huko kwa mulima,lakini sehemu zote za kenya tunasema tuko wamoja ndani ya super broad based government.

    • @RobertKamuri-r7r
      @RobertKamuri-r7r 17 часов назад +1

      You brain not mucus

    • @jav856
      @jav856 17 часов назад

      Not more than Kikuyus brains

    • @stanleyngugimwaniki5492
      @stanleyngugimwaniki5492 15 часов назад +1

      Na mbona wanaoongea kuhusu ukabila na gachagua anashinda wamunyoro lemme give you peace of advice use your brain not mucus stupid intelligent fool

  • @johnmusoo9578
    @johnmusoo9578 18 часов назад +1

    Nonsense, auna ukweli wewe and you not a good man at all

  • @ajerohkareithi4319
    @ajerohkareithi4319 16 часов назад

    Kwani what is the meaning of UKABILA? because it seems the meaning changed without my knowledge?

  • @AbdiAzizEsso
    @AbdiAzizEsso 19 часов назад +1

    ukweli kabisa wa coast twasema hatutaki ukabila ruto tosha.

  • @Rickiemorgans1996
    @Rickiemorgans1996 17 часов назад

    Sasa huyu ni nani?🤔

  • @HusseinShariff-j8f
    @HusseinShariff-j8f 19 часов назад

    it is true

  • @MERCY_KE-n7m
    @MERCY_KE-n7m 13 часов назад

    Mumeanza campaign mapema aje

  • @alextercisio
    @alextercisio 12 часов назад

    Nyinyi ndio wakabila wakubwa kenya hii shame on u ...ruto have been using that slogan since 2007 this time ur not going anywhere wakenya hakuna mkabila adi ike wakati mnakuja kutuabia ukabila nuguuu nyinyi

  • @lenahmwaniga1853
    @lenahmwaniga1853 18 часов назад

    Kama Hakuna ukabila, tuonyeshe watu wa Vihiga wako wapi kwa hii serikali ya bottom up? Watu wa nje ndio mlikuja kuongea Hamisi? Na mnaonelesha watu wa vijiji kingoso? Bure!

  • @HFg-xk4rp
    @HFg-xk4rp 18 часов назад

    Gachieta kazi yake kubwa ilikuwa ni siasa ya ukabila na shares kwa watu wa mulima.