Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Huyu ndie msanii wangu bora ❤❤
Jamaa anaweza sana big up sana upo vizuri ❤😂
Aiii kameflow blasa❤ napenda kutoka🇰🇪🇰🇪
Umefunika kamanda wimbo bora sana kwangu
Uyu jama kashinda wotee❤❤❤
Jamaa yupo vizuri sio hawa wanaotaka Dar
Wagogo wamekufanyeje tena we msukuma utuache 😂😂
Kweli kiongozi unjua sana❤❤❤❤
Mchizi Kauwa Shoo Moja safi
Wimbo bora sanaaa
Big Up sana Jembe MAGAMBO LENGA💪
Yaaaan ktk wasanii huyu no 1 hakika huyu jamaaa ase
Wajumbe oyeeeeeee! Ccm safiiiii,
I lake man joo🎉❤
Sauti safi kama Prfsor Jay ✔️
Jamaa anajua saawa🎉🎉🎉
The guy is very good 100%
Ngoma kalii sana sema nyota 😂
Umetishaaaaa kakkaka
Nyimbo nzuri mnooo mashairi motooooo🎉🎉🎉🎉 anavina hatariiiii yupo vzr kiukweli anawashinda hata hao manguli kwenye Utunzi
Aaah kweli kabisa ulichosema❤❤
Nyimbo nzuri xana❤
Hakika huyu jamaa atafika mbali , yuko vizuri sana
True hyu ni prfsor jay wapili kbsa
Hamemshinda Diomond kwenye nyimbo yke ya Raisi 😂😂😂😂😂😂😂😂uyu Mashair yke Yana Elim kabisaa 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉ongera yke
Jamaa mwamba sana
Nakubali mzee
I've listened this banger song for over and over! Keep it up bro😊
👂kweli ukiwa nzembe kwa Samia austawi sawa sawa na umtaje yesu kwenye kikao cha wachawi 😂🤣😂🤣🫡🥷✌️
Well Talented ,one love from Kenya 🇰🇪
Kanda ya ziwa 😂😂 ni moto bati 😂😂 full mmhrmko
Sawa kumtaja yesu mbele ya mkutano wa wachawi🤭🤭🤭🤭 umetisha sana
Uko sawa kaka hongera
dar safi sana jamaa yuko viziri
Msanii anayeuza mashairi sio kubebwa na bit
Yeah mwanzo mwisho km enzi za kina professor jay
Sahihi kbs
😂😂😂😂😂😂 jamaaa anajua sana huyu
Namkubali sana magambo kiukweli huyu jamaa anajua
huyu jamaa ni motoo ❤
Safii sanaa Afandee
Ametisha❤
Kaka tatizo nyota ngoma kali sanaa
This is a banger one!
Ata mimi nimemkuli dah❤❤❤
Sandeep kavunja kuliko wote pamoja sanaa
Mwamba anajua
mm sio ccm, lkn jamaa anajua sanaaa,
😅😅😅😅😅yani nakosa lakusema jamani ni kwikwi t🙌🙌🙌💪💪💪💪💪🤷♂️🤷♂️🤷♂️🤷♂️
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 yako magambo
Magambo hoyeeeee
Sasa je mambo si haya mistar haikwami kwami❤❤❤😂😂
Magambo upo vizr kamanda mama asikuache Bure bure
Njaaaa mbaya dana
Njaa gani sasa ni muajiliwa serikalini na kila mwezi ana mshahara wake.
Wow afande jamani
Daaaaaaaah talent kali
Huyu jamaa yupo vizuri
Anahitaji
Sanaaa
🎉
Kwaeshima KK 🤴
magambo machimu big up
Umewezaaaaa sanaaaaaa
Hongera kaka
Daah
❤ magambooo
Magambo jitu LA vina
Wakurya wanapiga taarab 😂😂 Magambo weeeee karibu Tarime
Magambo mashahiri na vina vinecmamamaaa
Mimi siyo CCM ila huyu jamaa anajua sana Daaa! Sema njaa tu ndo inampeleka huko
Hiyo biashara!!
Msanii kijana makini sana Mistari ya Ukweli, Kwenye msafara wa Nyani Kuna vimnyama havikosi😂😂😂
good man
Hongera zake anajua mashallah🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yete na yote ni uvivu wa kulima 😂😂😂😂
Nyuma yake kuna wakubwa ni ngumu sana kupata chansi kupaform mwenye level hii
Ata hivyo huyu ni Askari ukweli
Unabebwa na ambulance ata kama ni upele😂😂mwamba katisha vibaya mno
Classmate
IRA bira ubinafsi huyu mwamba anajua kutunga mistari💪🙏IRA kibaya anamuimbia mtu sio sahihi Hana kurazetu kwahapo kanitia uvivu
Kuandika tu hujuwi sasa. Kasome Kwanza
Ira na bira ni nini kwani
3:22 🔥🔥🔥🔥
Wasukuma oyeeeee yombaga mwanawane wabeja sanaaaa
😂😂😂anaundishi mzur
We ndo msanii inch nzimaa
😅😅😅😅😅😅 good
🤣🤣🤣🤣🤣🤣treni yaumeme inasepa kama chatu🤣🤣🤣🤣🙌🙌
We mkali nimekubali
Hip hop for life
Machimlenga😅😅😅😢
Kabsa kaka mboge lanyimbo
Bunduki ya MBAO😂😂
😂,,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂daah wakukaya umeimba
Kasongo aone hii😂
Nyimbo YA MAANA SANAAA
yaha baba uko poa baba musukumuaaaaa
Askari polisi kwenye mkutano wa siasa!
unauwakika naunachokisema
Uyu jamaaa ni balaaa sanaa kabisaaa
😂😂😂😂😂 wachina
Eti, mti wenye matumda unapigwa mawe😂😂! hata MTI wenye manyoka unapigwa mawe kuliko mti wenye matunda.
Ama hyu n yule mtunzi w akili kids sondz😂
Dah hatariii
Noma mkali
Ney wa kiskuma
🤝
Da kaka POA san
Huyu ndo msanii sasa
Yuko vizul
Nice
Kama umemuona mtu unae mjua hapo mtaje, Mimi nimemuona Daniel chonchilio
Wachawa 😂😂😂

Wakurya wanapiga taarab 😂😂
Magambo weeeee karibu Tarime