Umejua kuimba Toto umenifanya Hadi nimelia😭😭😭😭😭😭unamlilia baba ako umenifanya na Mimi nimlilie Mama yangu!........ Go go go Sonia unakipaji kikubwa sanaaaaaaa
Wimbo unasikitisha sana huu machoz yananijaa kila nkisikiliza na nkikumbuka ajali aliyoipata babake Mungu amrehemu na awarehemu wote waliotutangulia na atujaalie mwisho mwema tuliobaki
Baby umeuaa, sikujua kama tuna vipaji vingi hivi katika familia chaaaiii Sonia! rest in peace George Tyson and thanks for gift (Sonia) we will cherish good memories of you forever shemeji 😭😭
Hakuna jambo gumu kama kutambua mzazi haupo nae milele . Wote waliopoteza mzazi mmoja au wote pole za dhati . Maumivu ya kupoteza baba sikia tu ila usimbiwe kabisa
hakika kweli nimelia mn wazazi wote wameshatangulia kwa mola am so sad yaskie tuu maumivu tunayopitia ila ngumu sana tunakua tunatamani ata dakika 1 waamke tuwambie neno 1 ila haiwezekani tena mie niko mbali ya Tz nawazika wazee kwa video call tuu inauma sana
Wawooooooh aiseee ww ni zaidi ya mwimbaji yaaan unajua mpaka kero penda sana ww pamoja na familia yako Mungu akutunze umtukuze yy kwa sauti yako nzuri.
So sad. Hongera sana monalisa. Hongera bibiake Natasha. Hongera sana sanaaaaa Sonia tayson💪pambana game ipo taff usikubali ku losse. Mimi ni shabiki yko no1
Jmn haka katoto kana sauti nzuri kwakwer Allah akufanyie wepesi ufike mbali zaidi Sonia na una jua kuimba Nita kushabikia kwa kwenda mbeleeee Sonia upo juu mama
Amazing song Sonia keep moving baby imeanza vzr sanaa,sauti nzur,unaimba vzr inshort unajua mama big up San and big congratulations kwa mama ake wew kwa kutengeneza bongeee la kipaji,I'm so glad for u.
Umeimba vizuri sana ila producer amezidisha sound effects .. unasauti inayojitosheleza na ni nzuri sana angeweka kidogooo. Ila nimependa uimbaji wako so talented mwaaa
Kama umemuelewa Sonia like pls
Umejua kuimba Toto umenifanya Hadi nimelia😭😭😭😭😭😭unamlilia baba ako umenifanya na Mimi nimlilie Mama yangu!........ Go go go Sonia unakipaji kikubwa sanaaaaaaa
😭
😭😭😭
Wimbo unasikitisha sana huu machoz yananijaa kila nkisikiliza na nkikumbuka ajali aliyoipata babake Mungu amrehemu na awarehemu wote waliotutangulia na atujaalie mwisho mwema tuliobaki
Baby umeuaa, sikujua kama tuna vipaji vingi hivi katika familia chaaaiii Sonia! rest in peace George Tyson and thanks for gift (Sonia) we will cherish good memories of you forever shemeji 😭😭
Hakuna jambo gumu kama kutambua mzazi haupo nae milele . Wote waliopoteza mzazi mmoja au wote pole za dhati . Maumivu ya kupoteza baba sikia tu ila usimbiwe kabisa
hakika kweli nimelia mn wazazi wote wameshatangulia kwa mola am so sad yaskie tuu maumivu tunayopitia ila ngumu sana tunakua tunatamani ata dakika 1 waamke tuwambie neno 1 ila haiwezekani tena mie niko mbali ya Tz nawazika wazee kwa video call tuu inauma sana
Asantee sana inaumza sana tena kunaafadhal abaki mmoja sio kupoteza wote
Acha kabisa
Acha tuuu
Poleni sanaaaa😭😭
Huuu mshituko nilioupata ni mm tyu.the best of de best everything onpoint
It does us good when you perform our songs which are arts in Africa 🙏
Katoto kazuri jamani na sauti ya hataree..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
And she'z got swagg...superb
Her dady rest in peace
🥰🥰 Mona kumbe ulikuwa ukipika kipaji kikubwa hivi...amazing voice...
Keep shinning Sonia
Pishi linanukia na Tumelielewa
LilianKimolaJonathan sanaaaaa
Nampa hongera Mona Lisa kumlea mtoto vizuri Leo anashine ahsante kwa wimbo I miss my dad too
Piga kelele kwa uzao wa Monalisaaaaa
Kweli malez ni mzazi akisamama kweny nafas yake
Tuna kumbukaka papa wemba
Kwa huu wimbo.
Rest in peace papa wemba
From Congo.tuta kukumbuka daima
😭😭😭 pole Sonia na familia yako kwa ujumla
💋💋💋Unakipaji mdogo angu keep it up
Eeeebana Sina la kuongea unajua music mom talented sana
Ni zaidi ya 1st singer... Tishaaa. Haichoshi kurudia kusikilizaa
Umenifanya nimekumbuka wazazi wangu good job keep it up
Usijali muombe mungu mama yako kajitoa kukusimamia ktk maisha yako na masomo yako adi pale utakapo sema bas mama
Aisee hiki ni kifaa kipya Afrika.Mungu azidi kukubariki Sonia.
aki huyu anaweza #siku tutafanya kazi aseee. Huyu mpinzani wa #NANDY say Ooh yes
Wawooooooh aiseee ww ni zaidi ya mwimbaji yaaan unajua mpaka kero penda sana ww pamoja na familia yako Mungu akutunze umtukuze yy kwa sauti yako nzuri.
Very nice Cover, modified. I cannot stop listening to it.
Hadi nimelia Jaman! Keep it up Sonia unajua sana .R.I.P George Otieno
R. I. P George Taison weweeh umeenda nyimbo nzuri sana big up mamy
Aiseeeee nimejikuta nalia Alf nikanza kucheza vocall sio za nchi hi Asanteee mtt Sonia 💕🌺
Kazi nzuri sonia saaana mungu akupiganie kipaji chako
Sonia umenifanya nilie 😭😭😭 hongera sana mama ,unakipaji mona hongera sana
Hongera mtot mzur mungu akuze kipaji chako ufike mbili
Zuchuuuuu mwenxio huyo mpeni like zake
Pole mwanangu Baba alienda Mungu akusimamie kwa kila hatua.
Sauti tamu mtoto wetu twakupe kutoka 254 keep going baby girl
Ndo tunaambiwa ukiwa binti ukipata mimba usitowe huwezi jua jamani monalisa Mungu akubariki kwa uzao wako mzuri
Wow beautiful voice sasa ukisikia kipaji ndio hiki and she is pretty and smart may God bless her and protect our daughter Amen
Amen
Ameen
great brain na tallented.....wakina nandy wajiandae ku-compete
Woi nice song and voice.I dedicate to my late mum.mom I miss you alot
So sad. Hongera sana monalisa.
Hongera bibiake Natasha.
Hongera sana sanaaaaa Sonia tayson💪pambana game ipo taff usikubali ku losse. Mimi ni shabiki yko no1
Sitoweza kusahau mwaka 2011 tukio lililo tokea usiku ule rip baba yangu kipenzi 😭😭😭💔💔💔💔
Kama sielewi alafu naelewa daaah umenikumbusha babaangu nauona umuhimu wake kilasiku rest in peace babaangu...
Nyimbo ni tamu sana unajua binti.
Hongera mdog wNgu piga kazi maneno yaache tuh
Love you my beautiful girl am here to listen you're music keep it up ❤️❤️❤️
Kipaji halisi, makofi tafadhali kwa dada Sonia
Mungu akufanye wajuu zaidi video nzuriiii
Jmn haka katoto kana sauti nzuri kwakwer Allah akufanyie wepesi ufike mbali zaidi Sonia na una jua kuimba Nita kushabikia kwa kwenda mbeleeee Sonia upo juu mama
darius was here love from kenya....
I didn't pick my father's call last night...I have to call him ASAP. Just realized how lucky I am. Thanks for ur good work.
Sonia umenifanya nikumbuke wazazi wangu wote wali inauma sana
Such a talented young girl bravooo...n to monalisa I salute u momlady...such super nurturing mom ever
Sonia wewe ni koboko yangu, Hatareee sana
Go go goo garl Mungu akusimamie mtoto mzuri
Sonia imba njimbo za injili utapiga san hel mdogo wangu nakuon nibonge muibaji wagospo
Hongera kipenz changu Sonia mamy mungu mwema atakuwezesha utafika mbali nakupenda loli
Jmn Mungu akulindee Dada Nakupendaa sanaaa
Mtoto anajua. Ameimba sana. S/o to the new talent in the game....rail on bebe
Amazing song Sonia keep moving baby imeanza vzr sanaa,sauti nzur,unaimba vzr inshort unajua mama big up San and big congratulations kwa mama ake wew kwa kutengeneza bongeee la kipaji,I'm so glad for u.
Anayejua anajua tu mtoto unajua sanaaaa mpaka unaera
Unajua mdogo angu...Keep it on 💪
Pambania maisha Sonia wangu tunakupenda sana na tunakuamini.more than margic voice.
Leo ndio nimejuwa maana hii nyimbo love you sonia
Duh...eti nimelia jaman..mtoto ana voice hatari..afu mzurii
Jaman nimelia sana hongera bby gal nice song
ooooo!!! she is so talented nakuona on top of the world music chart siku za mbeleni go Sonia
Nyimbo umeifanya kama yako wewe unaimba vizuri😙
Ni yake
Kwan ya Nani 🙄
Your Dad papa Wemba alikua mtu Wa Busara sana..ukona kipaji tiabidii utaenda mbali ..Mimi Niko Kenya napenda mziki zako..
😅😅😘nnicce voice.komaaa tunnakunggoja watanzania utuburudishe
Mtoto wa mwanamke mwenzangu, big love! Duh, umeimba, hapa ni akili na kipaji!
Unaweza, aiseeer!!!!
Congratulations Sonia nice songs
wow Nice song keep up Sonia
Nakupenda sana sonia wangu dah!
Nzur sana good baby 💓💓💓💓💓
Nimelia ,nimemkumbuka baba yangu pia.RIP Dad,unajua kuimba Sonia
Hakika umeutendea haki,hongera sana
Kuna kitu kikubwa ndan yako nakiona kabisaa 😊😊
Beauty with brain ..beauty with talent ur a blessing
Nice
My baby yani mpak kichwa chaniuma mungu akusimamie
Wapi wazee wa MASHATI ROMBO KILIMANJARO TANZANIA vip bibie kamaliza 🙌🏽
Kl
Kilimanjaro
Go go go Sonia good n nice music
Emotional,mpaka mwili wasisimka nice baby💞
Mtoto una kipaji kbs pambana 👌👍
Kazi nzuri sana Sonia,.. ila usianze mambo ya vitanda na mashuka.. mara zima taa kama wasafi. Kazia mziki wa kuishi maisha kama huu. HONGERA SANA
Go girl, Only Sky is a limit💝💝💝
Sonia katisha sana aisee ana kipaja
Duuuh! Mpaka machozi yamenitoka Mungu akutangulie my daughter
Kama umempoteza mtuako wa karbu utakua umeelewa hii nymbo .....umeniliza walay go go girl ur xo talented
Nice song sonia keep it up
Mbona nimelia 😭 ooh sorry lp u song 💋
Pumzk baba angu nltamn nngekuona lakn umeenda kabla cjakuon rest in peace dady 😭😭😭😭😭
Umeimb vzr mdg anguu hongeraaa sn👏👏👏
Unajua sana sonia mungu akutangulie
Keep it up yean usirudi nyuma mdogo wetu wa buza ni mbele kwa mbele unajuaaaa sonia
Umejua kunitoa machoz mpk na mm memkumbuka baba😭😭😭
Big up dogo unaweza sana
Waooooo🔥🔥🔥....nimeliaaaa ila dah!
Wow sonis hongera sana monalisa
Good song. Mavazi very clear
Sauti nzuri ongera dada,soniq
Huyu mtoto anaimba vizuri mkuzeni kipaji chake
Oh my world, gal your voice is phenomenal! Rest in peace GTyson.
Mashaallah mungu akutangulie uko vzr mamaa sauti voco vyote vimetulia hakika utakua mwanamziki mzr🙏
Umeimba vizuri sana ila producer amezidisha sound effects .. unasauti inayojitosheleza na ni nzuri sana angeweka kidogooo. Ila nimependa uimbaji wako so talented mwaaa
Shida yake ndogo tu vocal range
Nashindwa niseme nn ila n choz tu linanitoka 👏🏽🧚🏽♀️❤️
Daaaaaaaaah Sonia penda sana we😘😘
Nicee Sonia. All the best mama.
Oooh my God, Sonia you have a beautiful voice go girl gooo