Asante Yesu kwa neema ya somo hili. Neno la Ayubu 21:25 limenigusa sana na kuona umuhimu mkubwa aliotukisudia Roho Mtakatifu kupitia somo hili.. Ee Bwana achilia neema ya wengi kuja kujifunza, katika Jina la Yesu. Mungu akubariki mwalimu na uwe hodari katika Kristo Yesu.
@@JohnHeart-xs6pu hello John, umeuliza swali zuri sana, Japokuwa ukiliacha na kuamini kwa namna hii inaweza ikakufanya usifanye bidii kusimama katika kusudi ambalo MUNGU amekuitia... Mfano ukisoma haya maneno ya BWANA YESU mwenyewe amesema... "Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu." amesema...Yohana Mtakatifu 16:33 Ukisoma mstari huu utaona BWANA YESU anawaambia wanafunzi wake kanuni ya kuwasaidia nao kushinda kama yeye alivyoshinda... Yaani wawe na amani katika yeye, na kujipa moyo kwa maneno mengine wasikate tamaa kwa ajili ya hali watakayoipia kwasababu ulimwengu kuna dhiki. Kwahiyo, MUNGU ametufundisha namna ya kufanya ili nasi tushinde kama yeye. Ubarikiwe
Namuomba Mungu anisaidie nisiwe mtu wa kulalamika
Asante Yesu kwa neema ya somo hili. Neno la Ayubu 21:25 limenigusa sana na kuona umuhimu mkubwa aliotukisudia Roho Mtakatifu kupitia somo hili..
Ee Bwana achilia neema ya wengi kuja kujifunza, katika Jina la Yesu.
Mungu akubariki mwalimu na uwe hodari katika Kristo Yesu.
@@neema37_christmyredeemer
Amen amen Mama Mtumishi. MUNGU atusaidie sana!
Asante sana Mwl. Somo hili ni zuri na muhimu sana. Tunahitaji kulinda sana mioyo yetu
@@jameskiduma2553 very true Mwalimu... Hali ya dhiki inaweza kusababisha mambo magumu sana. MUNGU atusaidie sana kujua namna ya kufanya ili kushinda
Somo zuri sana hakika nimejifunza kitu, barikiwa sana mtumishi wa Bwana 🙏🙏
@@rachelluoneko6225 Amen Dada. Tubarikiwe sote
Hapa anayeshinda ni Mungu aishiye ndani yetu au sisi?
@@JohnHeart-xs6pu hello John, umeuliza swali zuri sana, Japokuwa ukiliacha na kuamini kwa namna hii inaweza ikakufanya usifanye bidii kusimama katika kusudi ambalo MUNGU amekuitia...
Mfano ukisoma haya maneno ya BWANA YESU mwenyewe amesema... "Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu." amesema...Yohana Mtakatifu 16:33
Ukisoma mstari huu utaona BWANA YESU anawaambia wanafunzi wake kanuni ya kuwasaidia nao kushinda kama yeye alivyoshinda... Yaani wawe na amani katika yeye, na kujipa moyo kwa maneno mengine wasikate tamaa kwa ajili ya hali watakayoipia kwasababu ulimwengu kuna dhiki.
Kwahiyo, MUNGU ametufundisha namna ya kufanya ili nasi tushinde kama yeye. Ubarikiwe