Mandela kutafuta kwake haki dhidi ya wanyonge hakukumshawishi kuiacha South Africa na kukimbilia nje ya nchi sasa sijui ubelgiji kunanini au ndio kazi na dawa 😅
He Is talking in critical analysis Esp the issues of economy of trade between kenya and Tanzania and israel Hamas issue Only the great thinkers will understand him
Huyu ni tapeli wa Kisiasa yaani ni muhuni sana,Kenya anaisifia kwa kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa,hasemi ukweli kuwa Wao 2015 walisaidiwa na Kenyata kwa kuwaletea wezi wa kura na wakakamatwa huyo na Lowasa wakachanganyikiwa...na muongo mno Wakenya hawalipishwi Zanzibar kwani Uhamiaji ni ya Muungano siyo ya Serikali ya Zanzibar.....Kwa huku Tanzania huyo hawezi kusikilizwa tena.
@@alphoncewilliam4325wewe kama unafaa kwa nini haujawa kiongozi unaishia kulaumu mambo ambayo in ya kweli basis haujielewi hata kama in mpwa was RC/DC
Tundu lisu tumeshakuzoea huna jipya la kusema endelea kuongea tu lakini hutokaa kua Rais wa Nchi hii ila bila kusema hivyo huwezi kula uza maneno ili upate kula yako na starehe zako kila kitu kitapita hakuna kitakachobaki kufa ni kutangulia tu.
Lisu ni muongo sana Tena hafai kiongozi yeye anatakiwa kuwa analalamika tu ila kuongoza hafai anadanganya eti Mh Rais Samia ni Mama Tozo ni Uongo hawakupokei kwa maana ya matus ndio maana Mh Marehem Magufuri alishindwa kukuvumilia kwa ajili ya Mdomo
Lissu hapo nimejuwa kuwa ww ni mpenda haki na wewe ni mkisto wengine wanaleta udini haki haiangalii mkisto au muislam dhuruma haifai upande yoyote.maana umezungumza kuwatetea hamasi kwamba wamefanyiwa ubaya mwingi na kuzurumiwa aridhi yao (dunia haiko sawa kwasababu 2 tabaka tawala na tabaka tawaliwa wanao tawala hata kwa kudhurum hawaangalii haki nahii itaendelea kutesa binaadam duniani hatari from tanzania
Krismasi ya Mwaka 2002 Lissu alikuwa gerezani akiwatetea watu wa Kanda ya Ziwa waliokuwa na matatizo na makampuni ya madini. Wewe ndio unajua Leo kwamba ni mtu wa hakii?!
Lisuu mkazane magazeti ya Afrika mashariki yauzwe popote .Dsm Nairobi .kampara. kigari .ili magazeti ya ya Tanzania yake kifo asiliya na hivi sasa pigeni vita magazeti ya tanzania ya sinunuliwe kabisa wafungiye maandazi na wake zao watanzania msinunuwe magazeti ya Tanzania yanatumaliza kisiasa. Yote yapo ccm.siku mkikamata dora futeni yote wakauze kwa ccm
Jaribuni kufanya tafiti biashara za viongozi wanawo piga vita vyama vya. Siyasa tusinunuwe bidhaa zao watajwe kabisa bidha hii ya katibu mkuu ya mwenye kiti .hii yawaziri hii ni ya mbunge wa ccm nanyinyi viongozi wa vyama vya upinzani mnapewa rushwa ndiyo maana mnashidwa kuwataja. Tutasajiri chama chetu hatuna chama wala dini popote musitufuate.
Nimependa sana mahojiano pia hata maongezi ya mhe Lisu, swala la Israeli nashauri aliache kwa mjibu wa Biblia siria na lraq gaza yote Palestina nilamani ya nchi ya lsraeli, ndicho wanacho simamia na wanajua hivyo,kisheria Palestine hamasi inamakosa kuivamia lsraeli na kuwaua wananchi na kuwateka wengine pia lsraeli inamakosa kulipa kisasi kwa kiwango kikubwa hivyo. Nashauri tuwaache lsraeli na Palestine watayamiliza,ukumbuke vitahiyo ipo kiimani zaidi.
TAAHIRA mropokaji ambaye haijui demokrasia na uhalisia wa siasa. Huwezi kuona ubora wa Kenya kwa Tz au nchi nyingine wakatika tatizo kote ni ubepari na demokrasia
Lissu unashida. Unahoja fulani fulani ambazo zinajenga.Lakini pia unabomoa.Hii interview umeonyesha upande wa shida yako.Unaizungumzia Tanzania vibaya. Yaani ukiwa Tanzania wewe ni mtanzania ukiwa nje ya Tanzania wewe ni mkejeli wa Tanzania. Wakenya waliokutembelea hospitalini ni marafiki zako kwa kukutembelea kwa sababu Watanzania walitaka kukuua? Sijakuelewa na sitokaa nikuelewe kabisa.Una shida mahali.
Saf sana kaz nzur liss mungu akubalik.
Nimekuelewa Kiongozi, Lissu, upo vizuri.
Huyu mh kweli mpenda haki
Kumuelewa lisu ni rahisi sana kama unapenda haki,ila kama haujaumbiwa ilo lisu ni kikwazo kikubwa sana kwako
Kumuelewa lisu nilazma ujizimedata yeyeni uchochez tu nac kuliunganishataifa aflika badosana
Mandela kutafuta kwake haki dhidi ya wanyonge hakukumshawishi kuiacha South Africa na kukimbilia nje ya nchi sasa sijui ubelgiji kunanini au ndio kazi na dawa 😅
@@nasseralhabsi3569nyeemaccm mnamatatizo yakufikilia kwanini unamawazo mabaya hivyo lissu nikilema Sasa unategemea akae TZ je utamtibu, mbona hamnakumbukumbu
@@yasiniswedi8835sorry kajifunze kuandika kwanza Rudi darasani Kisha ndipo uje ulete hoja Mana ata kuandika hujui Wala kiswahili sanifu hukijui (hakuna aflika Kuna Afrika)pole
Hii ni aibu sana kwa serikali ya ccm inavyoongoza Watz kwa kutunyima uhuru
Ok njema kwayote mungu asimamie
Salute Mr President to be his excellence Tundu Antipas Lisu!
Binafsi namshukuru mungu kwakutupea tundulisu Kama zawadi Tanzania, mungu akubarikisana tundulisu.
Watu kama mimi na Lissu tumebaki wachache sana
Na Mimi nimo
He Is talking in critical analysis
Esp the issues of economy of trade between kenya and Tanzania and israel Hamas issue
Only the great thinkers will understand him
Jamaa anazungumza ukweli ,Mimi naijua Tanzania vizuri, na nmeishi Kenya pia
Lisu muongo sana Tanzania ni nchi nzuri , na tuna Amani ya kutosha wakenya kalibuni Ntanzania🎉
Amanigani wenzako wanafukuzwakwenyemaeneo yawo kubambikaraiamakesiyabure kuuawatu marisasi yahovyo
Big brain...... 🔥
Lissu absolutely absolutely genius either you like 👍 it or not
Lissu acha ujinga Domo chafu
Lisu 🎉🎉
Jasir sana lissu
Kszii hebu Fanya kazi acha kuzurura na porojo
Nyinyi mnaojaribu kumkosoa lisu hamjitambui mnafirwa
Fundi kama fundi
Tundu Lissu is one of the biggest political sell-outs in decades....kama unaichukia Tanzania kiasi hiki si UHAME
Mbona huweki wazi kuhusu kuuza meno ya tembo?
Lisu sio kweli kwamba historian ya Israel inaanzia 1948 inaonyesha hujui historia ya Israel
Huyu ni tapeli wa Kisiasa yaani ni muhuni sana,Kenya anaisifia kwa kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa,hasemi ukweli kuwa Wao 2015 walisaidiwa na Kenyata kwa kuwaletea wezi wa kura na wakakamatwa huyo na Lowasa wakachanganyikiwa...na muongo mno Wakenya hawalipishwi Zanzibar kwani Uhamiaji ni ya Muungano siyo ya Serikali ya Zanzibar.....Kwa huku Tanzania huyo hawezi kusikilizwa tena.
Lisu Fanya kazi acha kuwa mchmbuzi
😊😊
Mapungu hawawezi kumuelewa tundu
lisu anafaa kuwa raisi
Suala la Hamas akasome Biblia vizuri
Tunakuombea baba
Lisu upo sahii ww akili kubwa
Hili Jamaa cjui vip c uhamie kenya ss😂
Huyu jamaa akri hakuna anpenda kuiponda sana nchi yake hafai, hajuwi kuwa mkenya akibahatika kuingia Tz harudi
Tanzania imejaa umasikini, tüpü hane na umasikini sio tundulissu
AFAIK kua kiongozi
Tatizo waafrika wengi huwa hatupendi mitazamo chanya Makonda kwenye mikutano yake akiponda huongei ila kwa kuwa lisu ni muwazi unasema anapoenda
Huna akili.
@@alphoncewilliam4325wewe kama unafaa kwa nini haujawa kiongozi unaishia kulaumu mambo ambayo in ya kweli basis haujielewi hata kama in mpwa was RC/DC
Lissu ni muongo sana.Wapo wakenya wengi tu tz.wamewejeza ktk kilimo nk.Hata majina ni n ayo...Kahawa nk.Lissu fara kweli😢
This lissu is totally crazy😢Iam sorry😢😢
Lisu umeweka msumari kwenye kidonda wa kijani wanafoka usipime
Lisu hovyo kabisa amekalia kuipondea nchi yake t
Kwahiyo atetee waovu
@@lupyanamatimbwi8064kuma yako matakoni 😂😂
Mama tozo ni m2 mbad
Umesaidia nini na uwakili wako zaidi ya utoporo JPM mwamba
Ni sawa wafanya biashara kuja Tz kutoka Kenya, maana Wa Tanzania tume lala sana
Kama Una hoja changia Acha kutukuna anayetukana Hana tofauti na wavuta bangi na mateja ni mpuuzi Tu anaye tukana
Tundu lisu tumeshakuzoea huna jipya la kusema endelea kuongea tu lakini hutokaa kua Rais wa Nchi hii ila bila kusema hivyo huwezi kula uza maneno ili upate kula yako na starehe zako kila kitu kitapita hakuna kitakachobaki kufa ni kutangulia tu.
Mwanzo 15:7,
Lisu ni muongo sana Tena hafai kiongozi yeye anatakiwa kuwa analalamika tu ila kuongoza hafai anadanganya eti Mh Rais Samia ni Mama Tozo ni Uongo hawakupokei kwa maana ya matus ndio maana Mh Marehem Magufuri alishindwa kukuvumilia kwa ajili ya Mdomo
Porojo za lisu, hazina tija
Lissu hanaporojo isipokuwa nimtetezi ebufatilia vizuri utaelewa, lissu anasisitiza kuwepokwakatiba inayojilinda yenyemisingirafiki naraia je nikosa
Mama tozo hahaha
Mpumba vu huna maana lissu
Lissu hapo nimejuwa kuwa ww ni mpenda haki na wewe ni mkisto wengine wanaleta udini haki haiangalii mkisto au muislam dhuruma haifai upande yoyote.maana umezungumza kuwatetea hamasi kwamba wamefanyiwa ubaya mwingi na kuzurumiwa aridhi yao (dunia haiko sawa kwasababu 2 tabaka tawala na tabaka tawaliwa wanao tawala hata kwa kudhurum hawaangalii haki nahii itaendelea kutesa binaadam duniani hatari from tanzania
Krismasi ya Mwaka 2002 Lissu alikuwa gerezani akiwatetea watu wa Kanda ya Ziwa waliokuwa na matatizo na makampuni ya madini. Wewe ndio unajua Leo kwamba ni mtu wa hakii?!
Bidhaa zao tusinunuwe tususe watanzani ni mwezi moja tuu tukishilikiana maovu yote watalia machozi.
Hiki Koji TV UCHWARA KWELI!!!
Hivi Kuna maudhui gani ya picha ya video na Kile kinachoongelewa? Mmeishiwa kiakili na huu ni uhuni, Acheni umalaya
Lisuu mkazane magazeti ya Afrika mashariki yauzwe popote .Dsm Nairobi .kampara. kigari .ili magazeti ya ya Tanzania yake kifo asiliya na hivi sasa pigeni vita magazeti ya tanzania ya sinunuliwe kabisa wafungiye maandazi na wake zao watanzania msinunuwe magazeti ya Tanzania yanatumaliza kisiasa. Yote yapo ccm.siku mkikamata dora futeni yote wakauze kwa ccm
tundu lisu wewe ni zaidi ya rais wewe ni naabii
Nchi haiongozwi kimama mama ni wizi mtupu!!!Rais kama Rais Kauza nchi kwa mabeberu waarabu na wachina wanapiga mali tuu
Kichwasetitupu nakufaglia machafuko yasisachafu kama ulivyowrwe.
Tundu Lisu Jina Magufuli Limeasili Akili Yake Mpaka Apate Mwana Saikolojia Wa Kuondoa Jina Magufuli Moyoni Mwake
Pu blic coments
Mwamba
Jaribuni kufanya tafiti biashara za viongozi wanawo piga vita vyama vya. Siyasa tusinunuwe bidhaa zao watajwe kabisa bidha hii ya katibu mkuu ya mwenye kiti .hii yawaziri hii ni ya mbunge wa ccm nanyinyi viongozi wa vyama vya upinzani mnapewa rushwa ndiyo maana mnashidwa kuwataja. Tutasajiri chama chetu hatuna chama wala dini popote musitufuate.
Nimependa sana mahojiano pia hata maongezi ya mhe Lisu, swala la Israeli nashauri aliache kwa mjibu wa Biblia siria na lraq gaza yote Palestina nilamani ya nchi ya lsraeli, ndicho wanacho simamia na wanajua hivyo,kisheria Palestine hamasi inamakosa kuivamia lsraeli na kuwaua wananchi na kuwateka wengine pia lsraeli inamakosa kulipa kisasi kwa kiwango kikubwa hivyo.
Nashauri tuwaache lsraeli na Palestine watayamiliza,ukumbuke vitahiyo ipo kiimani zaidi.
Hakuna Cha Imani Hapo weka Iman Yako pembeni kinacho endelea ni unyang'anyaji Wa ardhi...
Ccm wakitangaza warabu wanaomba figo wanachama wajinga watajitokeza kutowa figo kama tulivyo zawadia bandari hayupo mwana ccm atakaye sema no no
.wote wataandamana na kuunga juhudi.
Shida anamuogopa makonda
Huyu jamaa muongo sana maghufuri alikuwa na urafiki na raila mda mreefu hata kwenye kampeni za Kenya jpm alikuwa anaenda halijuwi chochote
Ndio maan mm na siasa ni mbali mbali ni bora nifanye mambo yangu tu
Hujasikiliza kilichosemwa umekimbilia ku-comment
Kwa kutanguliza chuki za kisiasa
@@yorandayorandan4018 kweli broo
Uzalendo na diplomasia ya UCHUMI umefeli lissu huwezi kutangaza nchi yetu hivyoo ,sasa ukiwapewa nchi utaifanya jalala
TAAHIRA mropokaji ambaye haijui demokrasia na uhalisia wa siasa. Huwezi kuona ubora wa Kenya kwa Tz au nchi nyingine wakatika tatizo kote ni ubepari na demokrasia
Kenya democracy ipo juu kuliko Tanzania wewe!!mi ni mtanzania halisi nakwambia
Kenya wapo juu saana, hasa democracy
Lissu unashida. Unahoja fulani fulani ambazo zinajenga.Lakini pia unabomoa.Hii interview umeonyesha upande wa shida yako.Unaizungumzia Tanzania vibaya.
Yaani ukiwa Tanzania wewe ni mtanzania ukiwa nje ya Tanzania wewe ni mkejeli wa Tanzania.
Wakenya waliokutembelea hospitalini ni marafiki zako kwa kukutembelea kwa sababu Watanzania walitaka kukuua? Sijakuelewa na sitokaa nikuelewe kabisa.Una shida mahali.
Hata wewe unashida ya uwelewa😅
@@ayubukanani648kuma yako matakoni 😂😂
Mretea ushoga katika ubola wake
Mtetea ushenzi katika ubora wako mashoga na washenzi hakuna tofauti upo?
hili libaba lijinga sana, s ahame tu kenye nchi yetu
Urais utausikia tu kenge wewe
Urais unaugawa wewe pimbi jike. Mkiambiwa ukweli mnajisikia vibaya kenge wewe. Ni lipi la uongo analoponda, sema. Msikilize toka mwanzo-mwisho utamuelewa tu na kumpenda.
Amsikilize nani msikilize wewe shoga mwenzake
acha kuisema nchi yetu wewe
Ukweli aujifichi
Aibu Lissu Rudi Ubeljiji tu