Cha mtu mavi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 629

  • @shadrackrabison8032
    @shadrackrabison8032 6 лет назад +65

    huyu jamaa anawezea sana nafasi ya mtu mwenye pesa anauvaa uhalisia vizuri sana,Pongezi kwa timu yenu mnatuburudisha sana mashabiki zenu

  • @ibrahimfaki8723
    @ibrahimfaki8723 6 лет назад +55

    Joti ni hatari sana kwa hizi kazi za kuchekesha❤️❤️

  • @pablosun1123
    @pablosun1123 6 лет назад +136

    Wa kwanza mm Leo.. gonga like kama umekubali kazi ya Bro 💪🏾..

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 6 лет назад +1

    inaonekana wengi bado mnaishi kwa baba zenu maana mumekalia kuomba like tu hizo like tupeane tuliondoka kwa baba zetu tu mnaanzia kwangu

  • @asiasleiman1882
    @asiasleiman1882 6 лет назад +190

    Hahahahaha, Mtapata tabu sana munaotegemea Mali za Urithi, Tafuta kwa jasho lako, hebu gonga like hapo km hutegemei Mali za urithi

  • @bonusmollel786
    @bonusmollel786 2 года назад +1

    Shenzi kabisa Joti. Wew ni hatari bro

  • @kayambavitalis8700
    @kayambavitalis8700 6 лет назад +33

    Joti tutakufungulia kesi kwa kuvunja watu mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @yahayakassimu
    @yahayakassimu Год назад +1

    Sopa kiboko eti vikao vya ushauri wa maisha lazima kuwe na vinywaji

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 5 лет назад

    Ila joti nikipaji kutoka kwa Mungu,ila huwa nikiwaza eti kuna kifo duuu,napata homa gafla tutapata pengo kubwa sana,Mungu azidi kukupa nguvu na hekima na maisha marefu

  • @marymary6503
    @marymary6503 5 лет назад +1

    Kalete vinywaji tuchambe koo.... Sharab saana braza jotii.

  • @emmanuelsimwinga2730
    @emmanuelsimwinga2730 4 года назад

    Sopa huwa nakukubar sana,,,, ukiwa kam mtu mweny fedha...

  • @carolbenny3302
    @carolbenny3302 Год назад +1

    Kila mtu anamkojo wake, yule kaongezewa ufundi😂😂😂😂😂

    • @titohsang536
      @titohsang536 7 месяцев назад

      😁😁😁😁😁😁 hatari

  • @africa9481
    @africa9481 6 лет назад +51

    Mimi nina mkos sipatag like wala nini

  • @mapheneino
    @mapheneino 6 лет назад +27

    "Wape wanywe wanauwezo wa kuchagua soda hawa.. kwan wamenunua" 😂😂😂 HII KAULI konki sana Nyoko zako joti

  • @sharifusalema3448
    @sharifusalema3448 5 лет назад

    Jamaniii nampenda sana mama vandame yaani huo ubonge wake Dah ananimalizaaa sanaaa! Kazi nzuri sana funzo pia tuchague watoto kisa pesaaa haifaiii

  • @moureenmartin4125
    @moureenmartin4125 5 лет назад +5

    Cheko la huyo kaka mwenye surual nyekundu linanipaga raha jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Kipande na mama van’dame tulieni hahahahahahahahahaaa(cheko la kaka sasa)🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Keep up the good work joti na crew yako❤️❤️

  • @AngelBulashi
    @AngelBulashi 8 дней назад +1

    Joti ❤❤❤❤❤😊

  • @jacksonrambiro559
    @jacksonrambiro559 3 года назад +2

    Hatari sanaaaaa. Kunjua roho iyo wewe hahahahahahahahah

  • @jahkeyrenson4400
    @jahkeyrenson4400 6 лет назад +28

    Ahh we kaa hapo na dera lako ilo😂😂😂😂kama unacheza kiduku joti 😂😂😂😂

  • @mussamageme2748
    @mussamageme2748 Год назад +1

    Sopa nakupenda Sana brazah unajuw😂😂😂😅

  • @yonalema7442
    @yonalema7442 3 года назад +6

    Ahahahah SHATI KAMA MGANGA WA KIENYEJI 🤣😂🤣😂😂

  • @mohamedsamata9049
    @mohamedsamata9049 2 года назад

    Akitoka mzee majuto anafuatia joti kwa uchekeshaji tanzania

  • @rechaelsanita3905
    @rechaelsanita3905 2 года назад +1

    Huyu baba ako na upendeleo 🤣🤣🤣🤣

  • @kibwanaathumanikibwana136
    @kibwanaathumanikibwana136 2 года назад

    Nakubar sana jot unaweza

  • @EliasJoseph-v3x
    @EliasJoseph-v3x Год назад

    Unajua kaka nakukubali sana

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 3 года назад +1

    Hahahaaaa, naongea na nyumba, nyumba nataka nikuuze😂😂😂😂

  • @hussenimtanashati3308
    @hussenimtanashati3308 5 лет назад +1

    Fungua zote hizo ninywe Kama umesikia gonga like

  • @fatinduna3112
    @fatinduna3112 5 лет назад

    Baada ya malehemu mzee majuto, jot hana mpinzani kwa sasa

  • @ernestjohnbosco2053
    @ernestjohnbosco2053 4 года назад

    Mama vandame nakupenda bure sio siri hawa watu wanafanya vitu vizuri

  • @kherryserera9451
    @kherryserera9451 6 лет назад +25

    Kila mtu na Mkojoo wakeeeee😂😂😂😂

  • @rajabukandiranimekubaliupo9725
    @rajabukandiranimekubaliupo9725 3 года назад +1

    2021 twende sawa kama unamkubali jot😁😁😁

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 6 лет назад +38

    Ebana noma sana naombeni like basi nami leo zamu yng

  • @shaibadammashauri5861
    @shaibadammashauri5861 6 лет назад +11

    Jaman mnionage namimi bax like kama unamkubali babu etu

  • @nicholausmbilinyi3587
    @nicholausmbilinyi3587 4 года назад

    Haya ongea..ongea maskini jeuri...funguka roho wewe mwanangu...hahahaha

  • @ramadhanurassa2410
    @ramadhanurassa2410 6 лет назад +113

    wangapi wanakerwa na kuskip matangazo kama mm gonga like hapa

  • @omaryzuberi3696
    @omaryzuberi3696 4 года назад +1

    Joti ni. Baraa kwa vichekesho yuko juu🤣🤣😄😃😄😄

  • @godfreyakyoo5359
    @godfreyakyoo5359 6 лет назад +4

    Wanachagua soda wana elaaa 😁😁😁😁😁😀😀🔥🔥👏

  • @malihamusah5368
    @malihamusah5368 3 года назад

    Sopaa bana na hicho kicheko eeeh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 usiuze nyumba babu

  • @gidionmanwingi9039
    @gidionmanwingi9039 3 года назад +1

    Unapendeza ukiwa sopa na kipande

  • @alkadoalponce2849
    @alkadoalponce2849 6 лет назад

    Hapo joti umetisha kweli

  • @oswardmpaly4981
    @oswardmpaly4981 6 лет назад +13

    nyinyi nmewatoa kwenyee kiuno chang* likeee jaman

  • @zenasubeti8586
    @zenasubeti8586 5 лет назад

    amini joti ndio comedian bora hapa tz

  • @dhfhgfuuf3595
    @dhfhgfuuf3595 6 лет назад +2

    Namba one koti hakuna mwingi👍 👍👍👍

  • @davianjosephjoseph3121
    @davianjosephjoseph3121 2 года назад +1

    Hiyo inaelewekaa Beua Baba

  • @samchacha2320
    @samchacha2320 3 года назад

    Aisee Joti/Nishai huyu SOPA anajua sana yan🙌🙌🙌

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 6 лет назад +1

    Joti baba mzuri sana....lazima utafute Pesa ukiwa baba ylke...safi SNA Joti😂😂😂😂

  • @mussavictor8385
    @mussavictor8385 6 лет назад +12

    Best comedian i ever seen.....u do comedy based on realities and we laugh & replay🙌

  • @abrahamsuppy6041
    @abrahamsuppy6041 4 года назад

    Nakukubali joti from 254 kenya

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 лет назад

    Much love from +974 ...sijui kiswahili lkn nampenda Joti

  • @innocentmakala6542
    @innocentmakala6542 Год назад +1

    Kaa apo na dela lako😂

  • @mhinatitus5843
    @mhinatitus5843 6 лет назад +6

    From botswana but I understand dis guys...

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 года назад +1

    😂😂😂 Lete vinywaj tuchape KOO,,,,Ww utapak hvyohvyo na mshat wako Kama mganga wa kienyej

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 6 лет назад +28

    🤣🤣🤣🤣joti ,kipande anajiita nani insta yy kizaz jeur mwenzangu namkubali hata huyo bonge la mama namkubali insta yke anajiitaje joti tuambie

  • @ramadhanihamisi5596
    @ramadhanihamisi5596 3 года назад

    Nakukubali sana joti

  • @nurungangise9802
    @nurungangise9802 6 лет назад +2

    Kweli ktk family nyingi mwenye uwezo huwa anasikilizwa sana

  • @evelinejonas3028
    @evelinejonas3028 6 лет назад

    Umeanza vizuri imeisha vibayaaa sijaona ulicho elimisha wala kuchekeshaa baba gn huna busaraaa una unza nyumba watoto wako wakaishi wapi

  • @swalehjumah137
    @swalehjumah137 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥💯💯💯joti

  • @malengealbert8972
    @malengealbert8972 6 лет назад +17

    Kwamba kila mtu anakipimo chake ana kojo lake hahaha hahaha daah joti shikamoo aiseeeeh😂😂😂😂😂😂

  • @davianjosephjoseph3121
    @davianjosephjoseph3121 2 года назад

    Ongea masikini jeuri😂😂😂😂, nan aliyesikia mchapio wa kipande 😂😂😂huyu mzee alikuwa akikutwaa aibu badala ya huyu mzee alikuwa akitutia aibu

  • @abusalman5139
    @abusalman5139 6 лет назад

    Ndefu sana. Mnaboa

  • @luthdaniel3299
    @luthdaniel3299 6 лет назад +4

    eee jamani joti😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌salut broooo keep it up

  • @temyluyangi6540
    @temyluyangi6540 4 года назад

    Daaahhh kweli ukiwa unapesa unadhalaulika

  • @ayoubshaibu7147
    @ayoubshaibu7147 6 лет назад

    sipendi video zako kwa sababu ndefuu sana ,jaribu kupunguza angalau ziwe na dakika mbili tatu mpaka nne,
    from dodoma

  • @Quilant749
    @Quilant749 6 лет назад +9

    I like your walking style Babu, please guys likes zenyu zinanipa nguvu msininyime na mm pia

  • @meckmvanda6454
    @meckmvanda6454 3 года назад

    Joti nyie mnajua sanaaah

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 6 лет назад +13

    Joti kiazi sana 😂😂 ndomana napendaga ku koment kabla sijacheki ...

  • @fahadsalum1801
    @fahadsalum1801 6 лет назад +1

    dahh kipande yupo vzr anajuaaa dahh

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 6 лет назад +1

    JotiLegend....tunaihitaji haya mashati aisee

  • @nyasatumasanga7700
    @nyasatumasanga7700 6 лет назад

    Joti jmn,mjinga kweli eti nyumba imejibu fresh,😅😅😅mbona mi cjackia

  • @sharifachondechonde268
    @sharifachondechonde268 6 лет назад

    Na mimi leo embu nipeni like

  • @geofreysteven9964
    @geofreysteven9964 3 года назад

    🤣🤣🤣namkubali sana uyu mwamba🤣🤣🤣Yan kila uhalisia anaouvaa, anaustili ipasavyo👉👉Joti konki

  • @azorindege3583
    @azorindege3583 5 лет назад +1

    Beauwa Baba😀😀😀😀....mambo ya kuchamba koo

  • @somoefadhili7826
    @somoefadhili7826 6 лет назад

    Hahahahaha et we kaa hapo bhn na dela lako hiloo hahahaha

  • @aizohimself8537
    @aizohimself8537 6 лет назад +2

    Joti ni zaidi ya kipaji, nakukubalee sanaaa

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 6 лет назад

    Sana mzee baba

  • @nurdinahmed422
    @nurdinahmed422 6 лет назад +18

    🤣🤣 kila mtu anamkojo wake 😀😀

  • @neemajakobo1241
    @neemajakobo1241 6 лет назад +1

    Kama Kali....gonga like

  • @arafatihamza4204
    @arafatihamza4204 6 лет назад +7

    Hahahahhaha joti mtu hatari sana aisee kila siku ndiyo anazid kuongeza kasi anataka kuuza nyumba watu wakajitegemee huko....

  • @bashirujafali9139
    @bashirujafali9139 6 лет назад

    Haya haya tayar ile Tim yangu bora comedy imekiwasha nyau we kaa wewe na dera lako 🤣🤣🤣🤣

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 6 лет назад

    Million I hamsini...halfu baba yako anakaaa kwny mbao

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 6 лет назад +2

    Mzee Wa shinyanga !!!!😂😂😂😂😂#Wasukuma kma nawaona vile

  • @kisombolaestate8425
    @kisombolaestate8425 6 лет назад +4

    Nakukubali brother

  • @mapete2154
    @mapete2154 6 лет назад +16

    😂😂😂 Sitaki Like Ya Mtu Yeyote

  • @willymashaka5263
    @willymashaka5263 6 лет назад

    umetisha joti niko naww toka mwaka 2002

  • @beesmarttv3792
    @beesmarttv3792 6 лет назад +10

    Jot hatar sana! Gusa picha yng kusho ili usikilize nyimbo zangu. Asanten!!

  • @mwaminishakalili4120
    @mwaminishakalili4120 6 лет назад +25

    Yani joti na kipande nikiwaona nacheka kabla sijamalizia😂😂😂😂😂😂😂hakuna siku washaelewana😂😂

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 6 лет назад

      Mwamini Shakalili kaswida yangu.chukua muda kama ulivyochukua huku kwa jambo LA kheri ruclips.net/video/VEbezgrNzHw/видео.html

    • @charoharrison2077
      @charoharrison2077 5 лет назад

      Kweli kabisa

    • @elenzianjk5543
      @elenzianjk5543 4 года назад +1

      wanafarakana kinoma Hahah

  • @zawadimdete4870
    @zawadimdete4870 3 года назад

    Ongea kasikini jeuli 😃😃😃😅😅😂😂

  • @fredricklucian7155
    @fredricklucian7155 Год назад +1

    Joti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @ntufyelusako7330
    @ntufyelusako7330 6 лет назад

    Namkubali jot ataliiii

  • @LaBboogo
    @LaBboogo 6 лет назад +1

    From Oman mkojo wake wa tofauti hahaha kama umeipata gonga like na comments

    • @LaBboogo
      @LaBboogo 6 лет назад

      @Ali Ali ndo nini hio ndugu au ushantukana mana hamchelewagi waswahili kwa kutukana badala ya kitafuta pesa mnataftana

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 лет назад +13

    Shati kama mganga wa kienyeji😂😂😂😂joti wewe

  • @yahayakassimu6326
    @yahayakassimu6326 3 года назад +2

    Joti ni hatar yaan hyo jamaa wakati anaongea na sim kila akitaja hela anaitikia ehe😂😂😂

  • @neemamshana5800
    @neemamshana5800 6 лет назад +14

    kama unatamani ufanikiwe had kwenye familia baba yako akupokee hvyo...! gonga like hapa❤

  • @fahadkinq226
    @fahadkinq226 6 лет назад

    Hahaha et wape yoyote anachagua ana hela

  • @alfoncematuma4958
    @alfoncematuma4958 3 года назад

    we mshati kaa mganga wa kienyeji

  • @paschalkapande4519
    @paschalkapande4519 5 лет назад

    Daaah sichokagi kuiangalia kwakwel hahahaa Joti kibokooooo

  • @munyarubugaismailally111
    @munyarubugaismailally111 2 года назад

    Fanya kama una nambia mimi😅😅😅

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 года назад +1

    Ila haya mambo yapo jaman 😊

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 3 года назад +4

    Jot you have made my day
    Big up sanaa

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 6 лет назад

    Mama wachambe kooo😁😁😁😁