MAGOLI YOTE HAYA HAPA || DODOMA JIJI 0 - 4 YANGA SC || HIGHLIGHT || NBCPL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 34

  • @sarailomo-z6d
    @sarailomo-z6d 15 часов назад

    Daima mbele nyuma mwiko❤❤❤❤❤

  • @jumakivumbi-xs1of
    @jumakivumbi-xs1of 18 часов назад +1

    Yanga imesha anzakukiwasha yaan ni Moto ya gesi ,gusaachea

  • @salumjuma3153
    @salumjuma3153 13 часов назад

    Unaumia ukiwa wapi mbona wale kila mechi penat hata hatujasema

  • @abdullkangomba782
    @abdullkangomba782 День назад +2

    Yanga bingwa 🏜️🏜️🏜️

    • @rachelmshana9741
      @rachelmshana9741 День назад

      Upo nafasi ya ngapi 😂😂

    • @gililwise
      @gililwise День назад

      Lile la jana la simba mlinunua sh ngapi

  • @jumakivumbi-xs1of
    @jumakivumbi-xs1of 18 часов назад

    Gusa achia twende kwao huhuhuu full mautam

  • @rachelmshana9741
    @rachelmshana9741 День назад +5

    Mmepewa penati ya bure acheni kununua marefa

    • @AishaPeter-mz2fw
      @AishaPeter-mz2fw 23 часа назад +2

      Ukiona hivyo watu wa simba ndo zao kununua marefa ila sie ni juhudi zetu tu maana tunajuwa nini tunafanya karbu yangaaa maana yanga ni bingwaaa

    • @khamissehel-jr1cs
      @khamissehel-jr1cs 22 часа назад +3

      nyinyi wenyewe robo tatu ya magoli yote mliyofunga ni ya penati, sisi pelnat moja tu inawauma

    • @GiftiKimario
      @GiftiKimario 21 час назад +1

      Hay mengine wamepewa w vp gg man

    • @DominickMkumbo
      @DominickMkumbo 21 час назад +2

      Nunua na weww

    • @MarryMwamwezi
      @MarryMwamwezi 21 час назад +2

      Fara wewe

  • @francismacha1693
    @francismacha1693 18 часов назад

    TANGU LINI UKAONA TIMU ANAFUNDISHA MECKY MEXIME IFUNGE YANGA 😂😂 ATAPANGA KIKOSI CHA HOVYO ILIMRADO WAFUNGWE WAO NDIYO FURAHA YAKE NDO MAANA HATA KIPA WAKE ALIKIRI WAZI KUWA HAKUWA TIMAMU KWA HII MECHI. HIVYO HAISHTUI SAANA KWANI MATOKEO TULIKUWA NAYO