Pole sana dada ila huo ugonjwa unapona tu Mungu ndiyo kila kitu katika haya maisha mimi niliugua na nimepona kabisa kabisa kwa msaada wa Mungu jitoe kwa Mungu utapona kabisa na utasahau hayo mateso.
Kuwa karibu na Mungu glady Mungu Ndio faraja na furaha ya kweli..Kila jambo lako lolote liwe kubwa ,liwe dogo, liwe na kuchekesha liwe lakuliza mshirikishe katika maamuzi yako Yoyote yale jambo lolote mshirikishe utaona mambo yanavokuw mepesi..Katika maisha Haya asikudanganye mtu peke yetu hatuwezi dunia inamambo hiii dunia inamitihani hiii uwiii..Tumfanye mwenyezi Awe kiongozi kwetu na atutangulie .

Mpaka Leo hii hatujapona
We dada ndo unaumwa uchizi Leo watu tumeumwa tangia 2015