KAULI YA KOCHA RAMOVIC BAADA YA KUWATEMBEZEA DOZI NZITO MASHUJAA FC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 15

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 12 дней назад +3

    Yote kwa yote tumushukuru mwenyezi MUNGU,sisi tusinge weza peke yetu,, Asante Baba kwa msada zaidi, aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 12 дней назад +3

    Daima mbele nyuma mwiko yanga bingwa inshaallah 💚💚💛💛

  • @RamsoPedro
    @RamsoPedro 12 дней назад +3

    Bravo bravo wananchi

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 11 дней назад

    Siku zote mtangulizeni Mungu na mmtegemee kwa Kila jambo wata wote watawaacha matatizo mengi yatawakumba ila Mungu hatowaacha kamwe na kama Kuna sehemu mlikosea tubuni kwa mola wenu na kuomba sana awaepushe na hasadi za walimwengu

  • @charlesshekibula6070
    @charlesshekibula6070 12 дней назад +3

    yanga juuu

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 11 дней назад

    Yanga Sc chini ya Sead Ramovic iko mikono salama kabisa.

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 11 дней назад

    Mungu ndiye muweza wa yote

  • @issahpaul4510
    @issahpaul4510 12 дней назад +1

    Great game today 🔥🔥

  • @NyayoniNyooni
    @NyayoniNyooni 11 дней назад

    tumepata matokeo lakini timu bado inachangamoto kipa ajifue sana pamoja na baadhi yawachezaji

  • @GalaxyA-yw7eg
    @GalaxyA-yw7eg 12 дней назад +1

    💚💛💚💛

  • @selemanihasani1333
    @selemanihasani1333 12 дней назад

    Allihamdulillah

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 12 дней назад

    Muwe Mnaweka Subtitle Jaman

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku 12 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @babacaren1801
    @babacaren1801 12 дней назад +1

    🫡🫡🫡🫡🤝