| HEKAYA ZA LOLIONDO | Tiba ya Babu wa Loliondo [Part 1]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Takriban miaka tisa iliyopita, mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki walifunga safari na kuelekea hadi kijiji cha Samunge nchini Tanzania kutafuta miujiza ya uponyaji wa magonjwa aina aina. Eneo la Loliondo likageuka na kuwa sehemu iliyosifika hasa miongoni mwa Wakenya. Dawa za uponyaji ambazo wakati huo zilionekana kuwa miujuzia zilikuwa zinatolewa na mhubiri aliyestaafu kwa jina Ambilikile Mwasapile maarufu Babu. Mwishoni mwa mwaka wa 2012 zaidi ya watu milioni 6 walizuru kijiji cha Samunge, sehemu anayoishi Babu hadi wa leo. Hii leo runinga ya Citizen imeandaa makala kuhusu matukio baada ya Loliondo ambapo wengi walifariki baadaye na wengine wakizungumzia masaibu yao. Huyu hapa Jamila Mohamed na makala ya Hekaya za Loliondo.
    #HekayaZaLoliondo #TibaYaLoliondo

Комментарии • 108

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 5 лет назад +6

    Have mercy oooh lord.. Just trust in him who lives forever... Health comes from God.. Please lets trust in Jesus.

  • @charlowmathew9762
    @charlowmathew9762 5 лет назад +24

    Walay huyu mzee ndio mkora mkubwa kuliko wote Duniani na inabidi Iwekwe kwenye historia kama Mtu hatari zaidi duniani kwa ukora

    • @annastasiajackson3329
      @annastasiajackson3329 5 лет назад

      Charlow Mathew😂😂😂😂😂

    • @bekathiongo359
      @bekathiongo359 5 лет назад

      Kabisa😀🤣🤣🤣

    • @rumpelstiltskn5574
      @rumpelstiltskn5574 5 лет назад +1

      Charlow Mathew ...a fool and his money are soon parted! 😒😏😂😂😂😂🤦🏿‍♂️ hakuna ukora hapa! Watu wengi ndio wajinga! 😂😂😂😂🙆🏿‍♂️

    • @yasmininder3620
      @yasmininder3620 5 лет назад

      Kweli

  • @geoffreyokonda2562
    @geoffreyokonda2562 5 лет назад +21

    Let people learn.....health is the greatest wealth one can have

  • @wanjiruthuni7126
    @wanjiruthuni7126 5 лет назад +3

    Peter my long lost customer,nimekuona and u look Soo healthy

  • @ARTCELLENCY
    @ARTCELLENCY 5 лет назад +11

    Msilaumu mzee, nyinyi ndio mlipeleka kiherehere

  • @kahunakorteze2763
    @kahunakorteze2763 8 месяцев назад

    Legend. Every year, Every generatin has their hype/narrative/scam. It is not unique to Kenya but similarly present the world over.

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 лет назад +4

    Watu waliacha dawa kwa kweli inasikitisha sanaaa ni UONGO wa ajabu

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 5 лет назад +5

    Nimeona naekana sacco nikajua wakenya Sana Sana wakikuyu WAliende, 👏👏🤣Africa hatukosi vituko,, babu WA loliondo biguni ataonea viusasa

    • @pj3497
      @pj3497 5 лет назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @Desamz23
      @Desamz23 5 лет назад

      I know some who went and 2 died before they arrived.

    • @eunicewairimu5015
      @eunicewairimu5015 5 лет назад

      @@Desamz23 y are u commenting u genius??! Nipe brains zako nitumie

    • @kahuhowanjoki7227
      @kahuhowanjoki7227 5 лет назад

      😂😂

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 5 лет назад +1

    Mimi hata kama ni jirani anasema ako na tiba siwezi. Yesu alisema tuwe maskini sana na hawa watu Mat 24.
    I can pray for myself with faith and get healed.

  • @aminashabani2850
    @aminashabani2850 3 года назад

    Babu mshenzi sana ingekua awam ya tano angefungwa maishaa

  • @faithchepkemoi473
    @faithchepkemoi473 2 года назад

    Wonders shall never end!!

  • @wangagirl3508
    @wangagirl3508 8 месяцев назад

    Nimetoka kwa citizen kuja tena kuona loliondo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 3 года назад

    Huyu mzee alikuwa tapeli sana" mpaka Rais Bush wa marekani alikuja kugonga kikombe"urithi wake wa utapeli kauchukua mwamposa

  • @WairimuMuya
    @WairimuMuya 5 лет назад +2

    So this man alkua anaplan kuwamaliza wah, part 2 naisubiri

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 лет назад +1

    Yupo Babuuuu eeeeeheeeeh

  • @elpinarichard1884
    @elpinarichard1884 5 лет назад +1

    Duh nakumbuka huko mwaka 😋

  • @nzamul1446
    @nzamul1446 5 лет назад

    This is sad. I totally understand why this guys went. God help you guys thru this journey.

  • @dylanimbili3818
    @dylanimbili3818 5 лет назад +2

    uyo mzee Samunge ni mkora

  • @Geoffreynyachae
    @Geoffreynyachae 5 лет назад

    Waiting for part two

  • @aziondeshirazybwoy6495
    @aziondeshirazybwoy6495 5 лет назад

    Babu kumbe bado yupo mngu ambatiki sanababu

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад +2

    Tusisahau kwamba Kuna mwingine katokea hapa Kenya na maiti ziko hospital walifariki Jana na wagonjwa wako hospital

  • @tashkariuki7652
    @tashkariuki7652 5 лет назад +1

    Ngai nilikua nasikia ati huyo mzee alikua ameambiwa na mungu atakufa after kupatia watu ndawa

  • @hanifajuma342
    @hanifajuma342 5 лет назад

    😁😁😁 watu wanapenda mababu.

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 5 лет назад +1

    Wanyakyusa ni wavivu sana ndo maana alitumia akili kupata hela

  • @najmerry2977
    @najmerry2977 5 лет назад +1

    Waja bhana binti anazikwa bembeni ya mji

  • @makelula3240
    @makelula3240 5 лет назад +3

    mzee alipata utajiri kwa kuuwa watu 🚶🚶🚶

  • @sweetmelodyintlband
    @sweetmelodyintlband 4 года назад

    Pesa haipatikani kwa njia ya haki

  • @ammbuthia2740
    @ammbuthia2740 5 лет назад +3

    Mwaura 😂😂😂😂 nyumba ya mūmbi nitwethire indo

    • @thykingdomworld
      @thykingdomworld 5 лет назад +1

      Nimeona Naekana sacco ikipeleka watu huko 😂

    • @felixmakinda7689
      @felixmakinda7689 5 месяцев назад

      @@thykingdomworldNimecheka sana 😂

  • @wanjiruwanganga5707
    @wanjiruwanganga5707 5 лет назад

    Woiye

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 5 лет назад +3

    Mzee hakuita mtu. Walijipeleka wenyewe na magonjwa yao

  • @themortonhub
    @themortonhub 5 лет назад +2

    People have problems but they don't know the real problem, many have refused to go to hospitals for the fear of the worst. Some look for who to blame family members, others neighbours etc. Let not be fooled by people who play our psychology by brain washing.

  • @lydiaagwuma656
    @lydiaagwuma656 5 лет назад +1

    Alitajirika,akajenga nyumba na rentals. Akawekewa stima na Magufuli,,nyambafu hii

    • @rumpelstiltskn5574
      @rumpelstiltskn5574 5 лет назад

      Lydia Agwuma ...😂😂😂😂😂😂🙆🏿‍♂️

  • @hanifajuma342
    @hanifajuma342 5 лет назад +1

    Watu wengi walikufa baada ya kuenda kwa babu na kuacha dawa za ARV. hatari.

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 лет назад +3

    Kakamega walikua wameenda kijiji mzima

  • @rynelorandrichierynelorand4515
    @rynelorandrichierynelorand4515 5 лет назад

    Everyone is desperate for cure, I mean in today's lives everyone is suffering from something you don't know so GOD help us

  • @salimmohamedsalim2837
    @salimmohamedsalim2837 5 лет назад

    Mzee ww ingelikuwa awamu ya 5 ingekushughulikia ipasavyo magu ninavyo mjua

  • @tonnynamasaka4605
    @tonnynamasaka4605 5 лет назад +4

    DCI na DPP ichangamkie hii scandal 😁😁😁

  • @Iam_rehema
    @Iam_rehema 5 лет назад

    People were desperate for cure.Babu took advantage of their illnesses and desperation.

  • @reubenrubie4200
    @reubenrubie4200 5 лет назад

    Part 2 itaekwa lini?

  • @qtrqmadilu6390
    @qtrqmadilu6390 5 лет назад +1

    Zangu nirudishie...eeehh

  • @Sherl9
    @Sherl9 5 лет назад

    I can feel the desperacy ya kutaka kupona. I will not throw a stone as am human and not perfect. Nobody chooses anataka kuwa mgonjwa ugonjwa gani. Lack of knowledge itatumaliza....

  • @sir_felix.
    @sir_felix. 5 лет назад +1

    That babu should be arrested for scaming and putting lives at risk

  • @vincentorina1039
    @vincentorina1039 5 лет назад +2

    Makomakoooo???

  • @mikechali1052
    @mikechali1052 5 лет назад +1

    Kweli duniani kuna mabo

  • @marymaina6612
    @marymaina6612 5 лет назад +1

    Inakaa mìratina

    • @marymaina6612
      @marymaina6612 5 лет назад

      Kwani walikuwa wamengojeka wengi aje?

  • @teresiakinuthia6215
    @teresiakinuthia6215 5 лет назад +1

    mzee huyo bado ako hai ama ?

  • @FreshCreater
    @FreshCreater 5 лет назад

    Waa

  • @ismailtarimo1257
    @ismailtarimo1257 4 года назад

    SIPENDI MAUJINGA!!

  • @thomasmachuma9271
    @thomasmachuma9271 5 лет назад

    eeh hatari

  • @sophiatessia3914
    @sophiatessia3914 5 лет назад +1

    Hako kamzee yafaa kafungwe kwenye jela

  • @brightkalan133
    @brightkalan133 5 лет назад

    Wololo

  • @mcwilliesyoks6276
    @mcwilliesyoks6276 5 лет назад

    How much were they paying for the medicine?

  • @nobaso620
    @nobaso620 5 лет назад

    Life is one big trap

  • @millicentayango3879
    @millicentayango3879 5 лет назад +1

    Wapumbavu hao

  • @umiy1971
    @umiy1971 5 лет назад

    UJINGA NI WENU WENYEWE , UKIAMBIWA NA WEWE JIAMBIE ...huyu babu ni muuwaji na anastahili kushtakiwa kwa kuwa ni chanzo cha maafa ya wengine

  • @sallysarch9441
    @sallysarch9441 5 лет назад

    This conman is still conning and killing people he needs to be stopped

  • @magimagi234
    @magimagi234 5 лет назад

    People ignore the blood of Jesus too much and run to all form of witchcraft.

  • @frunkkiongo7209
    @frunkkiongo7209 5 лет назад +1

    Kuna watu walishuhudia kupona kweli bona hawa ni kinyume?. I met a guy from Sudan and his wife confessing of recovery

  • @qtrqmadilu6390
    @qtrqmadilu6390 5 лет назад +1

    Mlipewa uchawi tupu

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 лет назад

    Loliondo my foot

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 лет назад +1

    Wajinga ndio waliowao ni nykti za mwisho watu walikufa mnooooooooooo

  • @diversitychannel007
    @diversitychannel007 5 лет назад +1

    If you believe this nonsense you need help! like serious help..... con of a new age!!

    • @rumpelstiltskn5574
      @rumpelstiltskn5574 5 лет назад

      _Alxvndr Aleky ...no con job here, just natural selection!😂😂😂😂🤦🏿‍♂️

  • @jamilaishmail48jamilaishma2
    @jamilaishmail48jamilaishma2 5 лет назад +1

    Loliondo Scam!!

  • @aminattai5178
    @aminattai5178 5 лет назад

    Kama ingekuwa muislam angekuwa na kesi ya kujibu kwa mauwaji ya watu wakati akijua sio dawa ya kiukweli,lakini ni mkirisitu ndio yamepita na kubasi story na yeye uyo mzee alipoulizwa wakambana sana vile watu wengi walifariki yeye alisema dawa hii utapona kama utakuwa na imani.from zero to hero na sasa ni tajiri mkubwa kule kwako.

    • @annsommer9640
      @annsommer9640 5 лет назад +3

      Haijasemekana dini yake huyo ni kama mganga na mganga hana dini musipende kuingilia wakristo hivo

    • @benjohnson1763
      @benjohnson1763 5 лет назад +2

      Mambo ya Imani na dini za watu inatokea wapi sasa?

    • @sureshyash4277
      @sureshyash4277 5 лет назад +1

      watu wengi wanafanya sarakasi kwa jina la ukristo hio inaamana kua kuna NGUVU KATIKA YESU KRISTO hivyo wengi kujaribu kuiga mfano tu ila hawana NGUVU ZENYEWE.
      nabii Mohammed aliponya nani katika uislamu, alifufua nani na alipatia nani matumaini alipokua dunia hii😀😀😀😀
      hivyo hamna haja ya yeyote kuiga mfano wake wala matendo yake na wanaojaribu kumuiga ni hawa terrorist wa kuua kwa jina la allah akbar.
      ushawai skia mtu akiua huku akisema kwa jina la yesu🙂🤔🤔🤔🤔

  • @sallysarch9441
    @sallysarch9441 5 лет назад

    This guy doesn’t look like he has HIV

  • @sintoderrick6277
    @sintoderrick6277 5 лет назад +3

    Wajinga ndio waliwao. Scientists spend sleepless nights and millions of dollars to come up with cures and remedies halafu mnaenda kuchemshiwa mizizi na kamzee hakajui vile virus hufanya kazi???!!!

    • @rumpelstiltskn5574
      @rumpelstiltskn5574 5 лет назад

      Sinto Derrick ...wewe na scientists ndio mjinga kushinda wote! 😂😂😂🤦🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🤷🏿‍♂️

  • @Sadaamberlin8307
    @Sadaamberlin8307 5 лет назад +1

    Con