Ayubu - Acacia Singers || Ibada ya Sabato (Live Performance) Mwenge SDA Church

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2024
  • #Ibadayasabato
    #AlikoSimon
    #DjuristNgenzi
    #AcaciaSingers
    #Ayubu
    #NitakwendaKujihusisha
    #JihusisheYesuAnakuja
    Karibu katika Ibada ya Sabato 11.05.2024
    WAHUDUMU
    Djurist Ngenzi - Mwenyekiti
    Aliko Simon - Mhubiri
    Marco Inegeja- Maombi
    Paul Jeconia - FungunaOmbi
    Berezy Bisanda - Mhubiri Watoto
    Moses Mboje - Zaka na Sadaka
    Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049
    Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com
    SADAKA YA MAJENGO
    Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    SADAKA ya MAJENGO:
    CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka). Mungu akubariki.
    Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
    Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
    Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
    Facebook Page: Mwenge SDA Church Live
    Instagram: mwengesdachurchlive
    Mungu akubariki.

Комментарии •