SINA BAHATI 🌹 [ 5 ] LOVE STORY | Starring |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 183

  • @BlackSharle
    @BlackSharle 22 дня назад +6

    Mambo jamani nimeupenda Hu mziki uliowekwa kwenye filam ni msani gani nawaomba sana

    • @MalaikaActress
      @MalaikaActress  22 дня назад +1

      🙏❤️

    • @BlackSharle
      @BlackSharle 22 дня назад +1

      @@MalaikaActress muimbo wa sina bahati na wewe kaimba msanii gani naomba jina lake

  • @tototundu8159
    @tototundu8159 21 день назад +4

    Benlii sipendi vile munamufanyia cend❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @JumaAhmda
    @JumaAhmda 17 дней назад +2

    Matutu umeuwa sana kaka yangu🎉🎉

  • @ibunga6144
    @ibunga6144 23 дня назад +5

    All the way from Tz
    Nakubali sana kazi yenu nzuri🌹❤🥰

  • @ZAHARA-s2m
    @ZAHARA-s2m 23 дня назад +4

    Kazi nzuri sana 🎉🎉

  • @Nojabz
    @Nojabz 23 дня назад +3

    Safi sanaaaaaaa, from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @PeterLembele
    @PeterLembele 21 день назад +2

    Duuuuuu pole da candy Nakupenda cheupe wangu

  • @SamouOman
    @SamouOman 23 дня назад +3

    Kazi nzur jamn nampendag kaka matutu

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 23 дня назад +3

    Kazi nzuri mashaulllh 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @QueenAmanda254
    @QueenAmanda254 23 дня назад +4

    Mnanipea hasira kwa iii movie😂😂😂Acha tu

  • @PeterLembele
    @PeterLembele 21 день назад +2

    Upo vizur da candy wangu ❤❤❤❤

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 22 дня назад +2

    Kazi tamu

  • @MariamBakar-hb3pj
    @MariamBakar-hb3pj 20 дней назад +2

    Aaah ngoma droo😂😂😂

  • @KanyiKanyi-n9g
    @KanyiKanyi-n9g 23 дня назад +7

    Wanangu nimewai wakwanza kutoka kenya nawakukubali Sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @MalaikaActress
      @MalaikaActress  23 дня назад

      🙏❤️

    • @KanyiKanyi-n9g
      @KanyiKanyi-n9g 23 дня назад

      @@MalaikaActress salimia benlee Sana tumetoka naye mbali Sana kutoka kwa Siri ya huba

  • @ZuraAmisseAbudo
    @ZuraAmisseAbudo 21 день назад +2

    Wala amuna akili wote wawili NTU na dadayake mume nmoja,

  • @saimonchimosa
    @saimonchimosa 23 дня назад +3

    Oyaaaa we kunae wanae penda na wanao pendwa elewen Hilo ukiwa huna D mbili huwez elewa

  • @NuraSalumu
    @NuraSalumu 21 день назад +2

    ❤❤ félicitations benlee

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 21 день назад +2

    Matutu baki tu uku uku kule kwako unatujibug vibaya mpaka tunakukimbia kuna mtu kaandika et huw ammaliz mv malaika kamjib ulishawah watch hukunaikuisha nikamtetea nikamwambia ni matutu mana huku hii ndo ya kwanz kw maraik so matutu badilika tuanakupenda sema una majibu mabaya

  • @JacklineMashaa
    @JacklineMashaa 21 день назад +3

    Good work🔥

  • @SarahKimaka
    @SarahKimaka 23 дня назад +4

    Huyo mpunzi malaika anaboa yeye anachofanya anajiona kweli

  • @BentiM-q2c
    @BentiM-q2c 23 дня назад +5

    Jamani iyo nyimbo yanimaliz from kenya 🇰🇪 penda sana

    • @MalaikaActress
      @MalaikaActress  23 дня назад

      🙏❤️

    • @AidatAmadi
      @AidatAmadi 23 дня назад

      Sas ndonin jibu mtaiachia am ivy vya shuklni atutak​@@MalaikaActress

    • @MwanapiliCharo-s2n
      @MwanapiliCharo-s2n 23 дня назад

      😅😅😅😅😅 Malaika anafurahisha Sana akiulizwa hajibu​@@AidatAmadi

    • @SuleimanSalim-q9j
      @SuleimanSalim-q9j 22 дня назад

      Huyu malaika cjui ana shida gan Kwa kwel MBNA hatk kutuambia huu wimbo unaitwaj cjui hak

    • @MwanapiliCharo-s2n
      @MwanapiliCharo-s2n 22 дня назад

      @@SuleimanSalim-q9j 😁😁😁yeye nikushukuru tu

  • @JanethMkilangamili-t6r
    @JanethMkilangamili-t6r 22 дня назад +5

    Benlii unavyokuwa unatafuna mm sipendi

  • @Mamuuu-y7z
    @Mamuuu-y7z 23 дня назад +4

    Nice move🎉

  • @NtacobanzizaLeatitiazilfa
    @NtacobanzizaLeatitiazilfa 22 дня назад +3

    Uyo Malaika kumbe Hana Akili kweli Anataka mkubwa na mdo wote wawe wake Matutu sunaona kama Anawivu na ww Apo Sasa Apo Murigishie nayey Nahuyo Rafiki yake hadi Akome Mana kaonesha Anawivu na ww❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 22 дня назад +3

    Ila Matutu hujuwi kujibu yendo sio mujinga anaetoka namudogo wako cefu mukuki kwa nguruwe binaadamu mucungu kweli hana atahzyz Malayka

  • @SaidKilindo-r9p
    @SaidKilindo-r9p 22 дня назад +2

    Vipi 😂😂😂 apo akijua benlee amukua candi na marikia

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p 23 дня назад +4

    Malaika kumbe bado unampenda matutu

    • @DirectorMatutu
      @DirectorMatutu 22 дня назад

      @@FelistusAdhiambo-o3p HAELEWEKI 😄🙌

  • @AbediMwinuka
    @AbediMwinuka 22 дня назад +2

    Hebu benlii achakutafuna libablishi unaboa chii

  • @Joseph-u4g5z
    @Joseph-u4g5z 21 день назад +3

    Matutu unalia nn kwani dadako hiyo

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 22 дня назад +2

    Yaani malaika unatoka na benlee matutu amekaa kimya anaumia ivi ametoka na rafiki yako unakasirika mkuki kwa ngurue ni raha lakin kwa binadamu mchungu sioo😂😢😂

  • @MousaAmos
    @MousaAmos 23 дня назад +4

    Ila wanawake😂😂😂😂

  • @SuleimanSalim-q9j
    @SuleimanSalim-q9j 21 день назад +4

    Director matutu n heri kuongea na wew xaxa mm maana malaika nae anaringa san hatk kujibu text zetu tumeombe jina la huo wimbo wa sina bahata nan kaimba plzz jamn nimeupenda, sema malaika nae anazengua kweli yaan anaulizwa jina la wimbo hajibu xax ndo nn hio😢😢😢

    • @MalaikaActress
      @MalaikaActress  21 день назад

      BADO HAUJATOKA UKIWA TAYARI TUTA UPOST HAPA HAPA 🙏❤️

    • @SuleimanSalim-q9j
      @SuleimanSalim-q9j 21 день назад +1

      @@MalaikaActress saw nimeshukur pia Kwa kujib text

  • @MANGALEMRINZI
    @MANGALEMRINZI 23 дня назад +4

    Keep up

  • @edinashaibumpagama8186
    @edinashaibumpagama8186 21 день назад +2

    Zambi matutu jamani

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 23 дня назад +3

    Kila.mtu afe na.wakeeee akuna kuliaaa

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 23 дня назад +4

    Huyu matutu mm huniua jamani😢mlete tu kenya nipite naye jamani😢😂😂😂

  • @MADINATV-k9g
    @MADINATV-k9g 23 дня назад +5

    Kaz nzur❤❤❤

  • @CloudMasolwa
    @CloudMasolwa 20 дней назад +3

    ila da candy umekuwa mpole jamani sijategemea😢

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 23 дня назад +4

    Malaik hajui kuekit hata kidogo malay huy anaon matut anakosea kumbe yeye ndoanakosea boy wewe hiyo siy fani yako malaik kuekit muzi wewe unafaa muudum wa gesti

  • @KidoaSammy
    @KidoaSammy 23 дня назад +3

    Kazi safi ila nampenda matutu 😂

  • @TeresiaKalumu
    @TeresiaKalumu 23 дня назад +4

    Wa kwanza 🎉

  • @Mariahkahind
    @Mariahkahind 23 дня назад +14

    Weee malikia hebu jishikilie ...unavyo mfanyia matutu unaona ni xwa...imekuuma candy kulala na matutu.....ulivyo sikia wewe ndio matutu anasikia halafu...kumbuka wewe ulienda makusudi kuumiza mwenzio.....malaika plz...muache matutu apunguze stress..anatia huruma

    • @DirectorMatutu
      @DirectorMatutu 23 дня назад

      SINA BAHATI 😢😢😢

    • @Mariahkahind
      @Mariahkahind 23 дня назад +2

      @DirectorMatutu usijali mpenz...malaika anacho kifanya atakuja kukumbuka mara Mia saa hii ajifanye mujuwaji tu...ila matutu pole kwa wakati mgum unao pitia............ila matutu pole ..acha nikufollow mpenz......kaz nzuri sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @DirectorMatutu
      @DirectorMatutu 22 дня назад

      @@Mariahkahind AHSANTE SANA 🙏❤️

    • @HalimaKazungu-b4g
      @HalimaKazungu-b4g 22 дня назад

      Pole jmn ​@@DirectorMatutu

    • @HalimaKazungu-b4g
      @HalimaKazungu-b4g 22 дня назад

      Pole matutu

  • @NuraSalumu
    @NuraSalumu 21 день назад +2

    Félicitations ❤❤

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 23 дня назад +3

    Ndoo ishatokea.msamahaaa wa nn😅

  • @JilalaJohz
    @JilalaJohz 16 дней назад +1

    Jamani 2 jifunze ki2 kimoja ebu kama 2nadem 2we 2nawataburixha wadogo we2

  • @MekiAli-ub4ld
    @MekiAli-ub4ld 22 дня назад +3

    Malaika ebu kua n msimamo dda please ❤🙏

  • @NuhuNgole
    @NuhuNgole 18 дней назад +2

    wanaopenda hii movie wap likes

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 23 дня назад +3

    Malaika ebuji heshimu ujue kama upo ugenini aposio kwenu
    Candy pole sana

  • @Vivian-s7s
    @Vivian-s7s 22 дня назад +2

    Huyu Malaika hafai kufeel bad coz ako na benlee wa Cady

  • @sabatoager
    @sabatoager 23 дня назад +4

    mapenzi yanauma sana

  • @RogerKimaro-f2o
    @RogerKimaro-f2o 23 дня назад +3

    Wa kwanza kutoka DRC Congo

  • @RajabuShabani-s3b
    @RajabuShabani-s3b 23 дня назад +4

    Nakubali benlee

  • @amranally9915
    @amranally9915 20 дней назад +2

    🤝

  • @AishaAthuman-g6o
    @AishaAthuman-g6o 23 дня назад +4

    😂matutu kabakwa na candy looooo😅

    • @DirectorMatutu
      @DirectorMatutu 22 дня назад +1

      ILA KWA MBINDE 😄🙌🌹

    • @LoiceKatana-ci1tx
      @LoiceKatana-ci1tx 22 дня назад +1

      Imebidi akubali ivo ivo

    • @CandyVois
      @CandyVois 21 день назад

      😂😂😂😂et na yeye anajiliz😂

    • @MalaikaActress
      @MalaikaActress  21 день назад

      ​@@CandyVois😂😂😂😂😂candy hufai kabisaa wewe😂😂

  • @josephinajoachim3552
    @josephinajoachim3552 23 дня назад +3

    Cand una moyo mi nisingeweza kuvumilia

  • @kanudamaduhu3345
    @kanudamaduhu3345 23 дня назад +4

    Mpumbavu matutu unalia nini😅😅😅

  • @paulmartin7018
    @paulmartin7018 20 дней назад +3

    Cendi pole mamy

  • @Nadzuwamangale
    @Nadzuwamangale 21 день назад +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZoyaAli-qy3tg
    @ZoyaAli-qy3tg 23 дня назад +4

    Ila malaika unavyo mfanyia candy sio poa😂😂😂❤🎉

    • @MalaikaActress
      @MalaikaActress  23 дня назад

      🙏❤️

    • @fatuma6011
      @fatuma6011 23 дня назад +1

      Candy akiulizwa shida nn hasemi 😂😂😂

    • @CandyVois
      @CandyVois 21 день назад

      ​@@fatuma6011yani acha tu😢

    • @LinusNtamobwa
      @LinusNtamobwa 21 день назад

      Malaika hana kosa maana Candy mwenyewe hasemi shida nn

  • @AishaJuma-yu6yq
    @AishaJuma-yu6yq 22 дня назад +3

    Ila can na matutu wanamakosa na....sababu malika alivyomuelezeaa candy alitakiwa amueleze ukweli na matutu alitakiwa amwambie ukweli mdg wake....kuwa malaika na ex wake....

  • @SeiaBonga
    @SeiaBonga 23 дня назад +4

    Aa😅

  • @josephinajoachim3552
    @josephinajoachim3552 23 дня назад +3

    Malaika unakera kati yako na matutu nani malaya

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 23 дня назад +5

    Pole cand

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 7 дней назад +1

    Hayo mapenzi yenu kitaalamu yanaitwa mapenzi mikorogo 😂

  • @KAONGO-d7z
    @KAONGO-d7z 19 дней назад +3

    🇺🇬❤️

  • @mariamnzemeri
    @mariamnzemeri 22 дня назад +2

    Benlee na malaika walipatana maana wote Wana dharau .

  • @jackroidabinbongo7817
    @jackroidabinbongo7817 21 день назад +2

    Invest heavily on quality pictures..... camera 📷

  • @RahimaAa-g2v
    @RahimaAa-g2v 23 дня назад +3

    ila Malaika cjapenda unavyomfanyia candy😢😮

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 23 дня назад +4

    Dogolake Matutu silipendi kilamala mdomo wake hupu mziki kutafuna vitu nadharau yaki jinga

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter 22 дня назад +3

    pole kipenzi matutu

  • @AminaMdoe-s7f
    @AminaMdoe-s7f 22 дня назад +2

  • @Mizzoh-j7s
    @Mizzoh-j7s 15 дней назад +1

    Jina la wimbo bas

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 17 дней назад +2

    Ona malaika alvyo mjinga kheee,,,unamuonea wivu matutu na umemkataa,,,pimbi wewe

  • @NgalamnyaziScolasticah
    @NgalamnyaziScolasticah 23 дня назад +2

    Malaika jamani kati ya wewe na matutu nani malaya😂😂juu wewe
    Umetembea adi na kakake hujione apo,,ama kweli nyani haoni kund,,,,le😂😂😂