Rafiki yako ndie aliefaidika maana anakula kiulaini..Ila we ndo unapata shida..pole Sana tamaa mbaya.bora uridhike na kidogo ulichonacho..shetani atoi Raha maishani zaidi kuharibu na kuua
Yaan ukienda kwa mganga kwa ajili ya kutafuta pesa na akili zinapungua, ina maana huwezi kujiuliza hata mara 2kuwa cjafanya kazi lkn pesa zipo ndani kwa nini??!! Lkn ww ulichekelea tu🤔🤔
davista alikua kuku shetani ila huyo brodher mwenye kuhojiwa iko na ubin adamu nanimwenye kufikiria vyema nibora kujitoa kuliko kumtoa yyte hata usie mjua ila bora zaidi nikumcha ALLAH nakuacha yooote hayoooo ALLAH aendeleze chanelle hiyi ila usiwaungi mkono watu kwenda kwa waganga ila wakenda wamechagua wenyewe bora zaidi wasiendi wamkimbilie ALLAH.
@@vaghoghontweki9827 apo akuna msahada zaidi marast atawaomba majini watulie Kama miaka 5 ivi ili jamaa aone kasaidiwa akatangaze duniani kote marast kamsaidia kumbe ni uongo tupu ..kama apa anatajwa marast wengi wataamini na watamfata apo shetani atafrahi maana kapata wateja..yan uyu atafute kanisa la ki Mungu ndo atakombolewa bila ivyo soon ataenda gamboshi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mateso ya milelel
@@seasonepisode3328 Maskn ni kweli kabsa,,,ss kama atakua analitambua hilo maana hawa watu wakishaaminigi matunguli nae ni shida nyingne mwisho wa sku anakufa mtoto wa wawatu😥
Jameni jameni vijana acheni tama ya haraka kumbuka mungu alikuomba dunia bure sasa jini anakupangia maisha yako hilo ni ujinga ya hali ya juu na ubumbafu
Davista ‘ marasta Ndio Yule mwamba wa ile episode ya zablon aliyeishi gamboshi nini..? Aloo sema zablon noma sana..! Ila Huyu kama Ndio marasta Yule basi ni nyoko...!
Nandiomana nasema m sio masikin nasubr kidogo nifkie miaka 40 kama nitakuwa na uzima nikipata pesa sasaiv nitafirisika mapema alfu watesa alikuwa na ela yule wakat bado mdogo
Mtu asidanganyike, shetani akikukopesha ni lazima utalipa. Yeye hukuleta karibu, kukulambisha asali ya uongo na baadaye kukuangamiza. Mali inayopatikana na kuzimu huyeyuka haraka.
Binadamu bhana akili zetu😂😂😂😂😂ela za majini marast kazipokea apo ndo mjue marast ni agent wa shetani ..kijana kaona kashamaliza 😀😀😀😀shetani awezi mtoa shetani mwenzie wote Lao 1..nguvu ni moja tuu Yesu kristo ndo dawa yao
Wapiii like ya marasta
WAPIII MARASTAAAAA
Huyo Davista alivouliza Mara mbili Marastaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀
😂😂😂wa kwanza leo,nipeni likes
Hongera
😂😂❤❤
Hongera
Yakwel hayo
Nimesubiri sanaaa Hatimayeeeeee Safi Davista
Team USA 🇱🇷🇱🇷🇱🇷 twende sawa hapo....huku wanajeshi wanatukomesha jaman daah
pole kipenzi
Pole. Tuchukuwe na sie tuhamie USA
@@pilimusa7770 ushasikia wanajeshi wanarusha vichurachura wewe unataka kwenda wapi jamani ila ukifika nishituwe na mimi nije
@@sweetie6934 uchokozi nayo 😛
@@sweetie6934 kuja sasa 🥳
Uhai nimtamu eee😂😂😂😂ushawahidi wakulu mda ukifika wakuchukuwe. Unaanza kuhangaika hutaki kuchukuliwa😃😃😃😃shirki haina faida yoyoye nivyema tukaridhika na anachutujaalia mungu👏
kabsa
😂😂😂😂😂 anaogopa sasa.
@@pilimusa7770 mwezangu kifo kimeubwa lakini so kwakulazimishana ivo chumvi tamu sana aaa
@@fatmaalrshdii7615 kabisaaa. 😂😂😂
@@pilimusa7770 😃😃😃😃mbona mali kapokea iweje aanze kuogopa sasa
Mh nilikuwa nampango wa kwenda kwa waganga lkn kwa story hz wacha tu nikalime majaruba huko morogoro😆😆😆😆
😂😂😂😂😂😂
😀😀 Nenda tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bora
Nenda tu 🙈🙈😂😂
Ukoo unazdi kupanuka dk ya 12 ila wa2 shaz
Chapa nembo Davistar Nakubal
Wamwisho leo namii nawaombeni munipe likes pia😂😂
😂😂😂😂😂😂🤝🤝🤝
😂🤣Mie Ndo wa mwisho Leo
Subhanah Allah, kumbe yule kuku kwa bibi alikuwa anakuja kwako kama vile mda unakaribia aiseee pole sana kk
Aysha. Aiyam. Khulood. Jirani. Somoe. Nguwalo. Hamad. Fredrick. Najma. Fatma. Blessed. Amina. Sapna. Bady. Zabiya. Najma. Erick. Eric. Kawther. Griezmann. Mariam. Farhat. Njooni. i🎉🎊🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈
Helo helo 😂
@@nguwalofakhr5965 karibu karibu😍😍😍😍
@@fredrickjohn8412 kabisaa.
Nimekuja sweetheart
Nshafka kipenzi changu 😍😍😘😘😘😘
Marasta yupi uyo .....tuliyefanya nae stor au kuna mwengne ,🙄
marasta wa zabroni 😉😀😀😀
@@khadijaomari9344 dah ....bc marasta ni kiboko jmn ....tumuulizen ten kuhus shughul ya uyu kaka😛😛
Mbona hiyo story ya zabron ilinipita jmn inaitwaje hiyo niitafute
Miaka 7 i see bora nife na umasikini wangu
Rafiki yako ndie aliefaidika maana anakula kiulaini..Ila we ndo unapata shida..pole Sana tamaa mbaya.bora uridhike na kidogo ulichonacho..shetani atoi Raha maishani zaidi kuharibu na kuua
Sawa davistar kwa muendelezo👍
Yaan ukienda kwa mganga kwa ajili ya kutafuta pesa na akili zinapungua, ina maana huwezi kujiuliza hata mara 2kuwa cjafanya kazi lkn pesa zipo ndani kwa nini??!! Lkn ww ulichekelea tu🤔🤔
Hahaa binadamu bana tunausahaulifu umuhonge hela mganga akati ye ndo alokupa
Yan mm ndo nimeongea kwa sauti peke ang apa😂😂
Hata huna haya eti Mungu kabariki umepata helaa👹👹👹👹👹👹sema shetani nimwema kwako sio Mungu
Wadau tuende wote kuiskiliza hii naona inaanza kunoga 👌🏾
kabsa
Pia inaanza kutisha
@@ayshamahariq6665 ndio
@@pilimusa7770 sawasawa
@@salimsalim-lj9uz 🤝🤝
davista mbona humuulizi alinunua nyumba kwa tsh ngapi
davista alikua kuku shetani ila huyo brodher mwenye kuhojiwa iko na ubin adamu nanimwenye kufikiria vyema nibora kujitoa kuliko kumtoa yyte hata usie mjua ila bora zaidi nikumcha ALLAH nakuacha yooote hayoooo ALLAH aendeleze chanelle hiyi ila usiwaungi mkono watu kwenda kwa waganga ila wakenda wamechagua wenyewe bora zaidi wasiendi wamkimbilie ALLAH.
Kabisa
kabisa mungu ndo mueza wa yote
Mbili hapa airtel ma fala sana nilikua 1 mm
Ila davista kawa mpole sana hii story sijui kaachwa na pisi yake
😂😂😂😂😂 namwambia mwenyewe
@@pilimusa7770 ukipigwa Mimi simo na umbea wako
@@fatmaalrshdii7615 😂😂😂😂😂
Davistar ni bendera kufata upepo yaani msimuliaji akiwa moto na yy hvy hvy lkn hyu mpole sana ndio ttz
@@fatumakubo9463 davista akiwaga dar hua mpole tu sijui anaogopaga nn
Mmmh Dunia hii, utajir unapatikan kwa mungu
Wa kwanzaa🎉🎊🎈🎈🎈🎊🎊🎊🎉🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈
Nihadithie jamaa anasemaje maana umewahi sana au yy ndio ngapi anapiga
@@griezmannmhalaka4338 😂😂😂😂😂😂😂
@@ikabako2454 hongera. 😍😍😍
Hongera zako 🙌
@@salimsalim-lj9uz asante sana wangu
Alhamdulillah w mwishoooo😢😢🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
Nasikiliza hii part
Pole😂😂😂😂😂
@@pilimusa7770 upo wangu naona marasta kwa Mara nyengine
Pole my
@@fundiali4535 pamoja kipenzi 😍😍😍😍😍
Kama ndo huyo marast wa zabron wallah haendi mbinguni atapaskia radio Maria
Kk, kumbe ulienda kwa Marasta
WaAah tamaa baya mwishoni itakuaje kweli sio hela zote halali Mingi ya kwa shetani iyo nikama kujiuza heli kwa nabii kuliko kwq mganga.
Mmh ,huyo jogoo anayewika hapo 🤔🤭
Ni yule wakwamganga au🤣🤣
@@mwajumachao9151 😂😂
MARASTA YUPO TENA KWA HII EPSODE,,,,PAMOJA #MTUMAKINI
Cha ajabu marasta mpaka Leo ameshindwa kumtibu zabroni 😂😂😂😂😂sasa sijui anasaidia nn apo ndo nachoka
@@seasonepisode3328 😥Ngoja tumsklize na huyu kama alisaidiwa au m20 zneliwa😁
@@vaghoghontweki9827 apo akuna msahada zaidi marast atawaomba majini watulie Kama miaka 5 ivi ili jamaa aone kasaidiwa akatangaze duniani kote marast kamsaidia kumbe ni uongo tupu ..kama apa anatajwa marast wengi wataamini na watamfata apo shetani atafrahi maana kapata wateja..yan uyu atafute kanisa la ki Mungu ndo atakombolewa bila ivyo soon ataenda gamboshi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mateso ya milelel
@@seasonepisode3328 Maskn ni kweli kabsa,,,ss kama atakua analitambua hilo maana hawa watu wakishaaminigi matunguli nae ni shida nyingne mwisho wa sku anakufa mtoto wa wawatu😥
@@vaghoghontweki9827 kazi wnayo maana wanajialibia maisha
Jamaaa kaikimbiza sana hii story msimuliaji
Yaan kisanga cha ajabu ni kulala na nyoka tu
Jameni jameni vijana acheni tama ya haraka kumbuka mungu alikuomba dunia bure sasa jini anakupangia maisha yako hilo ni ujinga ya hali ya juu na ubumbafu
Davistaaaaa naomba namba za marasta babuuu chappppp
Ila vijana wenzangu, tusiharakie maisha ama mmbo mazuri kwa haraka mno manake kuna madhara yake badae
Mr facts 🤜🤛
Marasta wa Zabroni hoyeee📣🍹
Donoa hiyo ni noma sanaa mzigo haukatiii
Marasta wa Zabron alimtibu na huyu
Kabisaa
@@pilimusa7770 pili umeshampenda marasta dada angu au
Davista ‘ marasta Ndio Yule mwamba wa ile episode ya zablon aliyeishi gamboshi nini..? Aloo sema zablon noma sana..!
Ila Huyu kama Ndio marasta Yule basi ni nyoko...!
Mmmmmh watu mpo makini kweli sijui ndugu zangu wameenda wapi🙈🙈🙈🙈
Ndugu yako mimi nipo pamoja sana
@@fatmaalrshdii7615 Tenaaa sanaa😍😍😍😍
@@fatmaalrshdii7615 kalibu sana mamá izi pc kali zipo wapi🙄🙄🙄🙄
marasta wa zabron yupo kwenye hii epsod
Aiseee hiyo ilikuwa kazi kweli
Noma san
Part 4
Eti Mungu Kabari Mungu awezi barik shirk wewe
Pole saaana kaka ,life is not use
Kk imebidi mmbo na kula bata tu na kugawa hela
Ntapata wapi marasta namim 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Duh
Marasta wa Zabron huyo km sikosei Davistar Mata
Kabisaa
Number ya jamaa naomba
Kk ww ungezidi kula bata tu manake ulienda ukatafuta hela hiyo ss ww hungelifikiria hilo swala
Kumbee ndio yule chief godlove ndio anapata hela hivi😂😂😂nimejuwa leo gari milion 700 akirudi anakuta zingine
Nimtihan sheytwan ametuteka binadam aliona tunapenda pesa sana akaona hapo atatupata kirahisi
Mbn kwangu inazunguka tu no 3🤔🤔
Nimekutag no:4 chek notification fasta🤣🤣🤣
@@mwajumachao9151 🤣🤣🤣wew
Ungeogopa kufa katika kristu,, afadhali
Wapi nduru ya marasta anazidi kujizolea umaarufu kila kukicha
😂😂😂😂
Dah si mchezo😀💪💪💪💪🔥
Aiseee, kuku anatokea wakati unaenda kwa mganga mwengine
Dav, huyo Malasta ni hatari sana 😂😂😂
Nimewai jamani wa6🤪
Honger
Nandiomana nasema m sio masikin nasubr kidogo nifkie miaka 40 kama nitakuwa na uzima nikipata pesa sasaiv nitafirisika mapema alfu watesa alikuwa na ela yule wakat bado mdogo
Naombeni namba ya Marasta😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Nitafute
Wakwanza leooo
Aiseee tranker linajaa hela huku unatumia tu
Shetan ananguvu sana hata wachungaji walegevu hawataweza kukusaidia.
Jaman KCMC ndo home
Sasa ntalala vzr
Chezea malaster ww wapi zabron mpe hai
Kwel nmeamin pesa ni za shetan, yan wanaztoa wapi wanajaza kwenye traka?
🤣😂😂😂😂😂😂
Marasta siniyule mzee
Eeeeh
Duh miaka 7 .Bora nife na umaskin wang jmn
Marastar yuko vzr kiuganga 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️😥😥👹👈
13 like
💯✌
Mkatili kweli hiyo kuku!
Ebanaweeeeeeeee Marasta kwa mara nyengine tena
Yan kuzunguka kote huku lengo alikuwa anataka kutangaza biashara ya marastaa daah😂
Mtu asidanganyike, shetani akikukopesha ni lazima utalipa. Yeye hukuleta karibu, kukulambisha asali ya uongo na baadaye kukuangamiza. Mali inayopatikana na kuzimu huyeyuka haraka.
Mm shauku yangu ni kutaka kufaham je? Ni marasta yule zabron au mwingine? Km ni yy asee huyo marasta ni kiboko
Uchawi noma
dia
Huyu marasta yuko kila sehemu
Nilivimiss vipindi hivi
Mbona RUclips Mnazingu Na Airtel Feki Uyo Kuku Ni Dada Ulielala Nae Usiku Alikua Na Uruma Na Wewe
Umejuaje bro
Kwa Mara nyingne tena namsikia marasta
Utajiri wa kichawi na masharti yake
Kama umesikia yule kuku amewika gonga like
Naomba mwanza isitajwe maana da
Usihofu safari hii tuko Mbeya to Moshi.
unajua
marasta anakuwa mganga mzur koz hutumia mizimu na cıo mashetwan
🤔
santa davi
Wa 16 leo👌👌👌
Honger
💯💯
Haha masanduku yawe yanajaaa pesaa heiwaa hela ya majini
Doh rafiki wa dhati huyo
Binadamu bhana akili zetu😂😂😂😂😂ela za majini marast kazipokea apo ndo mjue marast ni agent wa shetani ..kijana kaona kashamaliza 😀😀😀😀shetani awezi mtoa shetani mwenzie wote Lao 1..nguvu ni moja tuu Yesu kristo ndo dawa yao
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
kabsa
Mambo
@@nguwalofakhr5965 poa
Duh nimechelewa 🥺
pamoja kipenzi 😍😍😍😍😍
@@ayshamahariq6665 Asante 🥰
Duh marasta sio mtu poa kumbe