Tumia mbegu YA Gama Rz F1,Jarrah F1,Abale F1 kutoka Rijk Zwaan Tanzania KWA KILIMO CHA NYANYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 окт 2024
  • KILIMO CHA NYANYA 2022 CHENYE TIJA TUMIA MBEGU BORA ZA NYANYA KUTOKA Rijk Zwaan Tanzania
    JARRAH RZ F1
    Mbegu Mpya chotara ya NYANYA,
    Nyanya fupi kwa kulima nje, kwa wakati wa kiangazi na joto kwa kutumia umwagiliaji, instahimili magonjwa ya virusi kama TYLCV wanaoenezwa na nzi nyeupe.
    Sifa Kuu za Jarrah RZ F1
    • Mmea wenye nguvu na majani ya kutosha kufunika matunda yasiungue kwa Jua
    • Matunda ya rangi moja na magumu, hivyo ni rahisi kusafirisha na hukaa muda mrefu baada ya kuvunwa.
    • Matunda yana umbo la nyanya mshumaa inayokubalika sana na wanunuzi/soko la Tanzania
    • Uzito wa tunda ni 80-100gr, wastani wa uzao ni kg kwa mmea, sawa na tani kati ya 36 kwa ekari (Tenga 1000)
    Uwezo RZ F1 ni aina ya nyanya inayofanya vizuri sana kwa kilimo cha ndani yaani Green house, ina uzao mkubwa na matunda yenye rangi nyekundu, yakungaa na matunda magumu yenye maisha marefu baada ya kuvunwa.
    Gamhar Rz F1 ni nyanya yenye sifa zifuatazo:
    -Inakoma mapema siku 65 hadi 70
    -Inastahimili msimu wa mvua na baridi
    -Inazaa sana
    -Matunda magumu na yanayong’aa
    -Matunda yake yanavumilia kusafirishwa umbali mrefu na yana maisha marefu baada ya kuvunwa, Gamhar RZ F1 ni Suluhisho kwa mkulima na hufanya vizuri sana kipindi cha mvua nyingi na baridi
    Holland GreenTech Tanzania
    ABALE RZ F1 (71-103)
    FORTESA RZ F1 (72-152)
    GAMHAR RZ F1 (71-101)
    JARRAH RZ F1 (71-102)
    MASHADU RZ F1 (73-522)
    MONTEAZUL RZ F1 (73-173)
    MOSCATEL RZ F1 (74-104)
    NANCY RZ F1 (74-116)
    UWEZO RZ F1 (73-183)
    VALOURO RZ F1 (74-672)
    kilimo cha nyanya dodoma
    kilimo cha nyanya chenye tija
    kilimo cha nyanya kwa heka moja
    kilimo cha nyanya kiangazi pdf
    kilimo cha nyanya cha kisasa
    kilimo cha nyanya arusha
    kilimo cha nyanya morogoro
    kilimo cha nyanya 2022
    #mkulimasmart
    #shambadarasa

Комментарии • 6