Ukiwa umefanya toba ya kweli basi acha kukumbusha ya nyuma. Ndugu yangu achana na hizo media siyo nzuri zitakupoteza. Mambo mengi ya kufanya kwenye uislam wetu.
@@allahisone6386 nimemuelewa fikka asema Kua wajitahidi kutoa ili wafanikiwe ktk kazi zao sasa jiulize kazi ZA hao wanaowataja ni nn kama sio miziki ,,,wapi kasema kuambia waache iyo miziki
@@allahisone6386 aa hivi twarika aruhusiwa kuimba miziki ya kasda ila salafi haruhusiwi sio ,,jamani waislam tumuogope ALLAH,,mtume na maswahaba zake wote walikua njia yao ni moja tu na sio ya ahlusunna waljamaa basi ,,,sio twarika wala nini ,,,sasa kujiita salafy sio mbaya mana itakua wajifananisha na wao ila twarika nini km sio njia ovu
@@sultanbakary4292 mm na wewe nani haelewi ,,wasapoti upuzi anao ongea wakati ALLAH alishakataza miziki ktk quran au hukiamini kitabu chako ww kwa ajili ya mtu
Abdulkareem Seif yy anaimba mashair ya kumswifu mtume muhammad wala haimbi mziki wa kidunia yan kuna watu cjui mnatak nn labda akiimba mziki wa dunia kosa na akimswlia mtume pia kosa unataka afanye nn sasa
Rey mshana mbona mkimya xnaaa ahoji chochote yy anaitikiya tu.wakati kwenye stej we ndi huwa unaamsha mizuka kama yote.kwenye show za wasaf festival., amna usiwe kimya kias icho bro
@@allahisone6386 hivi sisi watu kila kitu kumshingizia ALLAH hatuoni shida,,ALLAH asema ktk Qur'an yake nimekuteremshieni kitabu ili iwe uongofu kwa watakaomcha ALLAH,,,sasa sisi waislam kila tukifanyacho tuhakikishe kitabu na sunna ndio minara yetu ya kutuelekeza safari yetu tukiiacha hiii twapotea sheikh ,,,hayo makanzu na malemba na mandevu ni ktk suna ila tukifata njia isiyo ya haki ni mateso tu ndugu yangu ,,ndugu yetu bado yupo shimoni atakiwa apambane atoke
Gonga like hapa kama unamkubali sumalee m/mungu azidi kumuongoza
Mashaalwah umeachana na ushetani umeamua kumfata mtume wetu Muhammed swalwalwah wasalam wabilah Tawfiq
Mungu akuongoze suma lee naakupe mwisho mwemaishaallah 🙏🏽
God bless you brother suma lee 🙏🏽🇦🇪🇦🇪❤برك الله فيك وجزاك الله خير الجزاء
Suma Lee Allah akuweke tuzidi kupata dawa kupitia ww inshallah tunajifunza vingi sana kwako
Ukiwa umefanya toba ya kweli basi acha kukumbusha ya nyuma.
Ndugu yangu achana na hizo media siyo nzuri zitakupoteza.
Mambo mengi ya kufanya kwenye uislam wetu.
Suumaa unanisisimua kwer natamanii namii niokookee niweee kamaa wewe munguu akutanguriee
In shaa Allah. Kwawema huyu Nasib ABDUL atakufata In shaa Allah kwenye hiyo njiya yakheri
Sheikh Sumalee ana experience kubwa sana, anafaa kusaidia vijana
Interview Kali ya mwaka nimeipenda Sana nataman muike hata part 10 baada ya hiyo 2
Suma wewe ni zaidi ya mwalimu
Maa shaa Allah vizuri. Allah anamuongoza anayemutaka.Allah akupe musimamo huyo hiyo.
Nimelifatilia hii interview toka mwanzo. Kuomba.msamaha ni kitu kikubwa sana .allha atuongoze na tuwe na mwisho mwema
This guy is so real🤗🤗🤗😁😁😁😁😁👍👍👍👍👍😍😍😍😍
Nakukubali sana Bro SUMALEE 👍
Mashallah Sheikh Ismail🤲
Hii ni nzur sana nakubar sana wasafi chama lao
Hii interview mpaka nataman iwe Kama series yaan iwe na part Hadi 10 Suma ukimsikiliza ana vitu vingi vya kujifunza toka kwake!
Kidogo kidogo mungu atakuwepesishia
Bado wahamasisha miziki sheikh
@Abdulkareem, HUJAMUELEW KIAS FLAN
@@allahisone6386 nimemuelewa fikka asema Kua wajitahidi kutoa ili wafanikiwe ktk kazi zao sasa jiulize kazi ZA hao wanaowataja ni nn kama sio miziki ,,,wapi kasema kuambia waache iyo miziki
WASAFI media mko juu kileleni 🙌
Makin sna wcb media
The best presenters
DJ apewe kiti
Muanzilishi wa parklane nipo oman p mwadora ndio niliomfundisha sumaa kuimba na kumuingiza kwenye group langu
Dah nimekubali
Shekhe suma Lee naomba namba zako kuna msichana anafaham kuimba qwasida
Suma Lee ana kitu kinakuvuta kumskiliza
Mashaallah mola akuzidishie raha
Mashaallah
Ma shaa Allah,
Mnapp muhoji mtu kama huyo Wewe Dj hizi back ground song zako usiweke hizo nyau wee
Mashallah Suma lee
interview imekwenda poa
Good interview
Huyu mimi simuelewi kabisa umuombe Allah katika mziki, eti kama watu hawakubali mziki wako basi anza kujitazama wewe kisha muombe Allah
kama humuelewi bas utajiju..maana humsaidii chochote
@OMARY MNURU huyu jamaa anatumia mbinu ya kuwa kwao ili wamuelewe taratibu hata yeye alitolewa taratibu..
The mvp
da the switch nikipind kilicho bora dunian
Sumalee ana undugu na haji manara
Kitu kizuri sana
Naikumbuka hiyo ajara
Sumalee ana undugu na manara
Leee
LILOMY HATALI SANA
Suma lee
Naikumbuka hiyo ajar
Mashallah
Mbona mmetoa comments?
Eti miziki ya kiislam nyinyi wapuuziii
@Abdulkareem seif JARIB KUMUELEW, KUA YEY NI TWAREKA SI SALAFY, KUBWA TU ALLAH ATUONGZ SOOT&ATUJAALIE MWISHO MWEM
Mpuuzi ww ucieelewa chochote
@@allahisone6386 aa hivi twarika aruhusiwa kuimba miziki ya kasda ila salafi haruhusiwi sio ,,jamani waislam tumuogope ALLAH,,mtume na maswahaba zake wote walikua njia yao ni moja tu na sio ya ahlusunna waljamaa basi ,,,sio twarika wala nini ,,,sasa kujiita salafy sio mbaya mana itakua wajifananisha na wao ila twarika nini km sio njia ovu
@@sultanbakary4292 mm na wewe nani haelewi ,,wasapoti upuzi anao ongea wakati ALLAH alishakataza miziki ktk quran au hukiamini kitabu chako ww kwa ajili ya mtu
Abdulkareem Seif yy anaimba mashair ya kumswifu mtume muhammad wala haimbi mziki wa kidunia yan kuna watu cjui mnatak nn labda akiimba mziki wa dunia kosa na akimswlia mtume pia kosa unataka afanye nn sasa
Huyo JAMAA MWWNGINE MBONA HAONGEI ANAJAZA WINGI SI MUNTOE NJE
Rey mshana mbona mkimya xnaaa ahoji chochote yy anaitikiya tu.wakati kwenye stej we ndi huwa unaamsha mizuka kama yote.kwenye show za wasaf festival., amna usiwe kimya kias icho bro
Somaliii bado hujataka kushika njia ya hak ,,naona waropoka tu
achana na suma. Yuko sawa
@@mkambotv5418 kwako wewe ila si kwa dini
Jiangalie wewe usimuangalie mwenzio
@Abdulkareem FAHAM YA KUAفالكمال للهUKAMILIFU, NIWAKEE, ALLAH
@@allahisone6386 hivi sisi watu kila kitu kumshingizia ALLAH hatuoni shida,,ALLAH asema ktk Qur'an yake nimekuteremshieni kitabu ili iwe uongofu kwa watakaomcha ALLAH,,,sasa sisi waislam kila tukifanyacho tuhakikishe kitabu na sunna ndio minara yetu ya kutuelekeza safari yetu tukiiacha hiii twapotea sheikh ,,,hayo makanzu na malemba na mandevu ni ktk suna ila tukifata njia isiyo ya haki ni mateso tu ndugu yangu ,,ndugu yetu bado yupo shimoni atakiwa apambane atoke
WASAFI media mko juu kileleni 🙌
Suma Lee ana kitu kinakuvuta kumskiliza
Naikumbuka hiyo ajari
Naikumbuka hiyo ajar
Mashallah