Billnass Feat Jay Melody - Puuh (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2023
  • #Billnass #JayMelody #Puuh
    (C) Nenga
    SMS VCT 11035447 To 15577 Vodacom Tz
    SMS [Skiza 8091897] to 811
    DIRECTED BY HANSCANA
    Billnass Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/billnass
    Written & Performed by Billnass & Jay Melody
    For Booking : billnass16@gmail.com
    - Contact: +255 713 84 10 47 or +255 782 84 10 47
    Follow Billnass on:
    / billnass
    / bill_nass
    . BillnassTZ
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 7 тыс.

  • @sanjaybagave3911
    @sanjaybagave3911 Год назад +396

    Heard this song pooh pooh on RUclips a few days ago. Didn't even know the pronunciation of what it meant. But this song is very good. Bits of this song are mind boggling. I listen to this song on high volume in my car while commuting….🎉🎉
    ❤ From INDIA

  • @nellymukiri2947
    @nellymukiri2947 Год назад +14

    Hapo kwa... Ukipata nimelala unakuja juu... as KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumetiii

  • @user-qq8lp2cb1c
    @user-qq8lp2cb1c 4 месяца назад +27

    The part of Billnass hits differently 🔥🔥 anyone 2024

  • @isramukras2053
    @isramukras2053 Год назад +3

    Tanzania music hits differently, huku kwetu pia tuko na Bughaa akiiba maneno imechemkaaa, sijui nani aliroga nyimbo za Kenya.....khaaaaii imechemkaaaa

  • @Someone_gamezzx
    @Someone_gamezzx Год назад +12

    Muziki mzuri naapa nimewaambia wazazi wangu kuwa hii ni harusi yangu, pia ninatoka Uganda, Kenya na Rwanda nashukuru sana

  • @abubakarimsere
    @abubakarimsere Год назад +237

    Billnass is not only East African Musician but also he is international artist...... Let us thank God for having this talented Boy.....On behalf of Kenyans let me say we love you Billnass 🇰🇪♥️🇹🇿🙏

  • @official_tavee
    @official_tavee Год назад +61

    Hii ngoma hata ingefaa video maana ilikuwa ishahit tayari.. Kama unakubaliana nami nipe likes tukisonga 🇰🇪 #tavee

  • @Sanela7100
    @Sanela7100 Год назад +22

    I'm in love with this song and this beat 😍😍😍😍😍😍😍 even I don't understand a Word African songs and beat Just hit different and African womans are real beauty 😊😊 grettings from Serbia

  • @sharonpepela4946
    @sharonpepela4946 Год назад +8

    When he said "Ata wakisema wajiuza waambie mi ndio nae kununua"🥺🥺❤

  • @ramadhanjumale3962
    @ramadhanjumale3962 Год назад +49

    Kenyans 🇰🇪 approves this masterpiece 🔥🔥

    • @adamyare9554
      @adamyare9554 11 месяцев назад +1

      Kazi yenu ni ku approve tu nyie. Nendeni musikize muziki zenyu

  • @bricelyricshub
    @bricelyricshub Год назад +171

    ~Puuh lyrics~
    (Intro)
    Jay once again
    Mmmmmmh
    Nenga
    (Chorus)
    Aah ili penzi la ukweli baby nipe tu
    Na ukinikuta nimelala unakuja juu
    Tena kwa jinsi liko hoti linawaka wuh
    Na ukinikumbatia moyo unadunda pu
    Aah unadunda pu, pu, pu, puuh
    Oh unadunda pu, pu, pu, puuh
    Moyo unadunda pu, pu, pu, puuh
    Ah unadunda pu, pu, pu, puuh
    Ulala
    (Verse 1)
    Hi, wacha niseme kitu boo
    Swezi kukutoa machozi maana mi sio kitunguu
    Kilo siku kwetu siku kuu
    Valentines sio issue kwetu si ni siku tu
    Najua unapenda zawadi magifty
    Na ndio maana huawork hard nikufixy
    Iwe shida ya mavazi chakula na maradhi
    Sometime niko radhi nijirisky
    Nacho fraha hala nkikosa unaniombea kwa Mungu
    Wapo waliowahi nitosa kisa sina fungu
    Nakumbuka long time nimekua hard time
    Kabla haujintoa kwa ukungu
    (Pre-chorus)
    Usha ambiwa maneno shazi
    Usha ambiwa ni sina hadhi
    Ukaambiwa mimi jambazi
    Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji
    Usha ambiwa maneno shazi
    Usha ambiwa ni sina hadhi
    Ukaambiwa mimi jambazi
    Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji
    (Chorus)
    Aah ili penzi la ukweli baby nipe tu
    Na ukinikuta nimelala unakuja juu
    Tena kwa jinsi liko hoti linawaka wuh
    Na ukinikumbatia moyo unadunda pu
    Aah unadunda pu, pu, pu, puuh
    Oh unadunda pu, pu, pu, puuh
    Moyo unadunda pu, pu, pu, puuh
    Ah unadunda pu, pu, pu, puuh
    (Verse 2)
    Cheki ulivyopinda ukivaa unapendeza
    Team ishakuamini nichagua namba utayocheza
    Macho kichokozi yaani kama utayocheza
    Spending money for your love kwako unakonyeza
    Zu zu zu zu ushanizuzua
    Nshakuvisha vyeo na akuna atakaye kuvua
    Nakitu usichojua
    Hata akisema wanajiuza
    Waambie mi ndo nae kununua
    (Pre-chorus)
    Usha ambiwa maneno shazi
    Usha ambiwa ni sina hadhi
    Ukaambiwa mimi jambazi
    Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji
    Usha ambiwa maneno shazi
    Usha ambiwa ni sina hadhi
    Ukaambiwa mimi jambazi
    Tapl wa mapenzi na bado kanihitaji
    (Chorus)
    Aah ili penzi la ukweli baby nipe tu
    Na ukinikuta nimelala unakuja juu
    Tena kwa jinsi liko hoti linawaka wuh
    Na ukinikumbatia moyo unadunda pu
    Aah unadunda pu, pu, pu, puuh
    Oh unadunda pu, pu, pu, puuh
    Moyo unadunda pu, pu, pu, puuh
    Ah unadunda pu, pu, pu, puuh
    (Outro)
    Mmmh
    Mmmh
    Mmmh
    Mmmh
    Mmhmm
    Mmmh
    Mmmh
    Mmmh
    Mmmh
    Mmhmm

  • @kargeo6185
    @kargeo6185 Год назад +2

    Oh BillNass is that good? Tumekubali 🇰🇪

  • @samcosimiyu4160
    @samcosimiyu4160 11 месяцев назад +1

    U'shaambiwa maneno shazi
    U'shaambiwa mi' sina hadhi
    Ukaambiwa mimi jambazi
    Tapeli wa mapenzi na bado
    😊😊😊😊 ukanihitaji

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 Год назад +126

    African songs have something specific. Only your soul can describe it well. Let's continue supporting our African artists. More love from 🇰🇪🇹🇿🇺🇬🥰

  • @Sean1877
    @Sean1877 Год назад +13

    Two Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 kings representing the East

  • @mercymuasya2474
    @mercymuasya2474 Год назад +2

    Huu wimbo unawafanya wanangu 6&2yrs old nisipumue kila time ni pupuuu 💞💝 hapo mliuwa bill na jay..........🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @christinememo
      @christinememo Год назад +1

      😂😂😂😂😂my 3yr old niece pia

  • @collnsgamer
    @collnsgamer Год назад +4

    una dunda puuh ,puuh
    nipeni likes za wa Tanzania

  • @itzspoiler3560
    @itzspoiler3560 Год назад +132

    And on behalf of my family,friends,neighbours and village people let's gather here to approve this hit✨💪

  • @DjkingDee254
    @DjkingDee254 Год назад +24

    #BILLNASS & #JAYMELODY songs should be sold in pharmacies since they cure stress
    💯💯🔥🔥🔥. Awesome video. imefanya audio justice
    💯

  • @arkynongz8539
    @arkynongz8539 8 месяцев назад +2

    Love from meghalaya (India)

  • @josephmbogo3823
    @josephmbogo3823 Год назад +4

    Of the 1M views, 900k are Kenyan💯🇰🇪🇰🇪ke ke

  • @officialidakeys
    @officialidakeys Год назад +14

    Billnass Never Disappoint 🔥🔥🔥 Big Up For You My Big Broo Jay Melody umeua
    Jay Unajuwa Unajuwa Unajuwa Tenaaaaa

  • @juliuswambua
    @juliuswambua Год назад +13

    Kenyan 🇰🇪 in the house, tunawapenda nyinyi wa Tanzania 🇹🇿

  • @oreo2999
    @oreo2999 3 месяца назад +3

    Anything has jay melody can’t be bad

  • @nimunguronald8286
    @nimunguronald8286 Год назад +64

    Producer deserves some flowers for this classy beats

  • @YUMMYGLOBA
    @YUMMYGLOBA Год назад +73

    Nenga never disappoints ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @Djvoolume
    @Djvoolume Год назад +47

    AFRICAN MUSIC TO THE WORLD 🌎 ❤❤❤

    • @koppagekon
      @koppagekon Год назад

      ruclips.net/video/6yYXHj4cYaw/видео.html

  • @festusmugambi7317
    @festusmugambi7317 6 месяцев назад +5

    This guy is really taking over the bongo world💯💯👏👏👏keep up mahn🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @IaidkiPor97
    @IaidkiPor97 6 месяцев назад +5

    Due to the cherry blossom in India Shillong i found this song😁👌

    • @cardrive6448
      @cardrive6448 4 месяца назад

      Sngew kamkai bha leh kane ka jingrwai da sngew ba reels ,sngew ba tang ki ba ia shad kyrshut ki tem hynrei da lah sngap full pat biang hi 😂😂

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire Год назад +84

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @alindihezzywuodsarah9778
    @alindihezzywuodsarah9778 Год назад +6

    My daughters' favourite song❤❤❤❤
    Much love from Kenya

  • @LuciaMwaniki-yw9iy
    @LuciaMwaniki-yw9iy 3 месяца назад +1

    puuh😂watoto washakuwa obsessed na hii ngoma🎉🤝Jay Melody 🫂

  • @hellentyrah7789
    @hellentyrah7789 Год назад +2

    Hii imeweza karibu Kisumu leo atakua Da place in mamboleo

  • @27ktvaugstinendaya
    @27ktvaugstinendaya Год назад +57

    The chemistry is on another level 🙌🔥🔥

  • @MitchellAlmond
    @MitchellAlmond 11 месяцев назад +30

    Day by day this song gets played in my country. It has an awesome vibe to it and it's kind of hard to understand the language but, when you translate it you will notice it is one INCREDIBLE song. It will sure get the GLOBAL RECOGNITION it deserves.
    Love from Suriname ❤🇸🇷

  • @catherinewangui8413
    @catherinewangui8413 Год назад +2

    Jay melody umeweza bana

  • @fatumakasambula4299
    @fatumakasambula4299 Год назад +1

    Kwakwerii amenikosha jaymelody kwenye nyimbo hiii from kitangariii to leyla makulana

  • @yueleastafricanboys7370
    @yueleastafricanboys7370 Год назад +6

    Well done Guys much love from Eritrea 🇪🇷 🇪🇷 🇪🇷 🇪🇷

  • @htdit1396
    @htdit1396 Год назад +6

    i dont know how my daughter discovered this song, she brought me here...puuh

  • @Lovley23604
    @Lovley23604 Год назад +2

    Aki na penda hii wimba

  • @alexonyango4564
    @alexonyango4564 Год назад

    Nenga umeuwa🔥🔥 alfu melody ya jay ndyo basi🙌💯.
    Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @natalie9884
    @natalie9884 11 месяцев назад +14

    Been spreading y’all’s seed in the 🇺🇸& 🇨🇦!! 🙏😍

  • @chantynyambura3524
    @chantynyambura3524 Год назад +41

    This song is living rent free in my mind. 🔥🔥❤️

  • @sky_318
    @sky_318 Год назад +2

    🔥🔥🔥 very beautiful song.darassa ndio amekosa tu hapa

  • @puritywakochwe7894
    @puritywakochwe7894 Год назад +2

    This song I have listened to countless times hadi TikTok Iko huko trending finally nimeipata hapa,am happy am listening to it,,,

  • @Layla_n
    @Layla_n Год назад +4

    I'm loving this jam. Love from 🇬🇭

  • @patrickmburu3581
    @patrickmburu3581 Год назад +73

    the beats and the voices are blending i love you jay melody

  • @user-dr1pm5vs1u
    @user-dr1pm5vs1u 6 месяцев назад +1

    Tulio hapa juu ya Billnass💞💞💞💞✨💥 my favourite ✨✨💥💥💥

  • @jaymalo
    @jaymalo Год назад +2

    tapeli wa mapenzi puuh top

  • @fishwear391
    @fishwear391 Год назад +24

    This song is on another level
    Massive love from Nairobi ,Kenya

  • @angeloriodancer
    @angeloriodancer Год назад +4

    Guys 🙌🏾🔥 love from Burundi 🇧🇮❤️

  • @VictorOrora
    @VictorOrora Год назад

    Siwezi kukutoa machozi maana mi sio kitunguu 🔥🔥🔥

  • @williamogero7871
    @williamogero7871 Год назад

    Wimbo unaonikumbuza tukiwa na mrembo wangu ,congrats

  • @emilynyam653
    @emilynyam653 Год назад +8

    Much love 💘from kenya 🇰🇪❤trending song 🎵♥ 🔥

  • @DjFinestWorldWide
    @DjFinestWorldWide Год назад +28

    Billnass went on beast mode on that first verse

  • @experansia4397
    @experansia4397 Год назад +2

    Ooooh Big up sana broo umetisha dah 🙏🙏👊👊👊👊💋

  • @kaayainternet4516
    @kaayainternet4516 Год назад +2

    Mwaka huu watu wameamua🙂🙂🙂🙂🙂🙂🤔🤔

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 Год назад +6

    The video is on point.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fairlylatam7728
    @fairlylatam7728 10 месяцев назад +7

    I love the voice of the artist,and the music is just wow.❤❤❤ from india

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 3 месяца назад

    Duuuuuuuuh bills anasaiti nzurii duuuuh eti Leo ndio nasikiliza najua DUUUUUUH Lil brooooo❤❤❤❤❤❤hongera hii sauti tz mzima Hakuna ...Bro weka l'ingerenza sana kwenye nyimbo sauti hiii utatoboaaa sanaaaaaa duuu sauti inateleza kama wananigeria msauti huu wa USHINDI🎉🎉🎉

  • @eugenekimutai8786
    @eugenekimutai8786 Год назад

    BTW huyu jay melody namuamini sanaa anaimba real bongo flavor we love you kaka from kenya ...

  • @muznahamoud1351
    @muznahamoud1351 Год назад +12

    From Somalia 🇸🇴 🎉

  • @pluginsarts6947
    @pluginsarts6947 Год назад +9

    Jay Melody is such a vibe🔥🔥🔥🔥....LIKES PLEASE

  • @trevaroneomondi5559
    @trevaroneomondi5559 Год назад

    Billnas ananikumbusha Sana Sharomillionea zile enzi za mziki WA Bongo🇰🇪👊👊

  • @Viona-om9jp
    @Viona-om9jp 8 месяцев назад +2

    Kenyans are are talented trending from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @bwakilaluze7609
    @bwakilaluze7609 Год назад +5

    God Is Good

  • @geoffreynyabuba3077
    @geoffreynyabuba3077 Год назад +11

    On behalf of Bomokora, Riana ward and all Kerina residents who brought this song for approval, I APPROVE the song.

  • @aliciabandar
    @aliciabandar Год назад +1

    Hi wimbo ineweza

  • @limymasele21
    @limymasele21 Год назад

    Niulize swali tu hivi kwanini baadhi ya watu wanamdharau sana huyu Bilinas mie naona anajuwa sana

  • @deejayjeezlaskoste5020
    @deejayjeezlaskoste5020 Год назад +3

    l dont understand itbut l love it and they way you made it.....I'm from SA... love you guys..keep making us happy❤️👍💯

  • @castroydaimon3107
    @castroydaimon3107 Год назад +17

    Waaàaoòoh nice Song 🎵... Bill Nenga + Jay once again... super collaboration.... producer shoutout to you 👋

  • @josephinekamau7513
    @josephinekamau7513 9 месяцев назад +1

    Naweza iimba fully bila mistakes

  • @josephinekamau7513
    @josephinekamau7513 9 месяцев назад +1

    Naingia love na hii wimbo cool sana

  • @Best_tz
    @Best_tz Год назад +74

    Huu mwaka wa vibe Tu like za bilnass na ujambazi wake 🙃🙃🙃

    • @kariithicharles1474
      @kariithicharles1474 Год назад +4

      🤣🤣🤣🤣🤣ati wapi likes za bilnass na ujambazi wake.!

    • @faithchepngetich7585
      @faithchepngetich7585 Год назад +3

      @@kariithicharles1474 iiúi99í;;

    • @kariithicharles1474
      @kariithicharles1474 Год назад +1

      @@faithchepngetich7585 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hawache kuita mtoto wa watu jambazi

    • @limymasele21
      @limymasele21 Год назад +1

      Wakome kabisa kumwita shemeji wa Taifa Jambazi Famasiala famchezo nini

    • @chrisblackcb7972
      @chrisblackcb7972 Год назад

      👉ruclips.net/video/i-2UQZhyhiY/видео.html

  • @yuzlongodfrey1622
    @yuzlongodfrey1622 Год назад +12

    Nice Melody Nice outfit nice Video everything you see makes your heart do puuh 🙌🔥🔥

  • @langopanya4004
    @langopanya4004 Год назад +1

    Oyo ngoma ni nziriiii safi sana

  • @melvobahaa5594
    @melvobahaa5594 Год назад +1

    Wimbo huu unaniguza

  • @news-corner721
    @news-corner721 Год назад +154

    Ukukubaliana na mimi JAY ameweza kwa hii nyimbo wapi likes zangu from UGANDA 🇺🇬 💥💥💥

  • @denny_mlinzi
    @denny_mlinzi Год назад +4

    the song is sweetomatic 🥰😝😝😁🔥🔥🔥🔥

  • @ch3lseanotfc
    @ch3lseanotfc 10 месяцев назад

    “Hata ukisema unajiuza, waambie mi ndiyo nayekununua”😊

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Год назад +1

    Mi napenda udaku na umbea wa tz

  • @meblackrover
    @meblackrover Год назад +9

    Kama moyo wako ushawahi dunda #PUU Like tujuane hapa..🏌️🔥

  • @witnesswilson9971
    @witnesswilson9971 Год назад +4

    Big tune! I Was here at 2k views! Hascana Did That Ting! Nenga Akapikaa… Melody Akauwaaa 💥

  • @hassansaid-lo4qo
    @hassansaid-lo4qo Год назад +1

    Daaaah nyimbo hipo OG

  • @diva_mauryn5307
    @diva_mauryn5307 Год назад +1

    Jay melody love you so much from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abedikennedy1413
    @abedikennedy1413 Год назад +3

    Indeed remix ft. Darasa 🔥

  • @qulNt
    @qulNt 7 месяцев назад +4

    Music like this can’t describe in words. Thanks for making us all feel good

  • @BandalinLlyngkhoi
    @BandalinLlyngkhoi 13 дней назад

    50%understanding 100%vibe

  • @halimamilanzi-ge7wb
    @halimamilanzi-ge7wb Год назад +1

    Wimbo mzuri

  • @nomsconell0156
    @nomsconell0156 8 месяцев назад +4

    Heard this song on @soundcityradio abuja today (in the dark hours) cruising down the streets of Gwarinpa amidst the down pour….so soothing!

  • @abusnype
    @abusnype Год назад +5

    I always hear this tune repeatedly,so sweet Jay na Billy

  • @strikealpha-bh1vb
    @strikealpha-bh1vb Год назад +1

    Kali sana

  • @kesiojulius4228
    @kesiojulius4228 Год назад

    Umeweza weeee ninaipenda hio the wimbo ya Pugh

  • @samm_icon
    @samm_icon Год назад +77

    This guys never disappoint us let's show them some love ❤️🥰💯

    • @samm_icon
      @samm_icon Год назад +1

      ruclips.net/video/H7nIT4ve5zs/видео.html

    • @zackmwash7721
      @zackmwash7721 Год назад +2

      Zuzuzu umezuzua ,🔥🔥💯

    • @samm_icon
      @samm_icon Год назад

      @@zackmwash7721 ruclips.net/video/H7nIT4ve5zs/видео.html

    • @koppagekon
      @koppagekon Год назад

      ruclips.net/video/6yYXHj4cYaw/видео.html

    • @whiterabbit5600
      @whiterabbit5600 Год назад

      Tunapoteza fahamu wakati tumelala au kuzimia.
      Wakati hatuna fahamu, hatuna mawazo, hatuna hisia, na hatuwezi kuona ulimwengu.
      Tunapokuwa na ufahamu, tunajua kila kitu. Ufahamu ni mawazo, hisia, na kila kitu duniani.
      Ufahamu huu ni mmoja.
      Je, ufahamu utagawanywa mara mbili? Ufahamu haugawanyiki.
      Je! unahisi fahamu mbili unapozungumza na rafiki? Fahamu huhisiwa tu kama moja.
      Fahamu ni moja. Mimi ni Fahamu na Mimi ni Ulimwengu.
      Injili ya Thomas
      "Kwa maana wengi wa walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na watakuwa mmoja."
      Yesu alisema, "Wawili wataketi juu ya kitanda; mmoja atakufa, mmoja ataishi."
      "Kwa sababu hiyo nasema, akiwa mzima, atajazwa nuru; lakini akigawanyika, atajazwa giza."
      Yesu alisema, "Kwa nini unaosha kikombe nje?
      Je, hamfahamu kwamba aliyeumba ndani ndiye aliyeifanya nje?”
      Yesu alisema, “Mimi ndimi nuru iliyo juu ya vitu vyote. Mimi ni vyote;
      Kugawanya kipande cha kuni; Mimi nipo.
      Inueni jiwe, nanyi mtanikuta huko."
      Mtu mmoja akamwambia, "Waambie ndugu zangu wanigawie mali ya baba yangu."
      Akamwambia yule mtu, "Bwana, ni nani aliyenifanya mgawanyiko?"
      Akawageukia wanafunzi wake na kuwaambia, "Je, mimi si mgawanyi?"

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 Год назад +6

    Nenga to the world 🌎 💪💪

  • @ExcellentFelix
    @ExcellentFelix Год назад +2

    If you're here in 2099, I was here in 2023 when this song was released by Jay Melody. The song united a nation. I hope 2099 is awesome as you prepare for the year 2100.

  • @lscloudy3860
    @lscloudy3860 7 месяцев назад +1

    I'm from Northeast ❤I can't understand your language but I love thise song every minute every days & hours i play (keep it up bro❤❤

  • @joshuamartinpryce8424
    @joshuamartinpryce8424 Год назад +21

    Beauty of dance is expressive to the song. Beauty of spirituality is expressive to the personal awareness.

  • @bjy5595
    @bjy5595 Год назад +8

    Let sing like national anthem 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kalimbicharity4062
    @kalimbicharity4062 7 месяцев назад +1

    Jay melody is kind and may God bless him and may live forever