Mashabiki we zangu tumpogeze SANDRA mashallah mimi nimeshaona kama tumeshinda ila naitaji like kutoka kva SANDRA ilave you so much from Burundi 🇧🇮 tem SANDRA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wote tuseme Maalim 😂😂 katika wale wakali kalim, wadali dalim na mimi nimo nimo 😂 Mnakuwa kama maadifaya ❤😂 Juma akili ulizipotezea wapi...! 😂❤ Japo nimechelewa lakini nimefurahi sana uwepo wa Juma kwa Sandra GANG 🤴🕵 SANDRA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sandra episode 20
ruclips.net/video/bQWs0B_sgzc/видео.htmlsi=q3XSPW-ddUhjLeHu
Sandra episode 19
ruclips.net/video/XPIpFulzsrQ/видео.htmlsi=sw-pZTucuKTzGxSS
Sandra episode 18
ruclips.net/video/PyZHa3q1qPs/видео.htmlsi=cj4gfLcpQGLteqKN
Sandra episode 17
ruclips.net/video/za66LGMABsI/видео.htmlsi=YrHVJ0seg0fu-B2X
Sandra episode 16
ruclips.net/video/kXropyF54SY/видео.htmlsi=jUrVXcv7INQoI2cC
Sandra episode 15
ruclips.net/video/niohI4EhWyc/видео.htmlsi=ErafpqS8BJpo67kY
Sandra episode 14
ruclips.net/video/XaOv9kNypSM/видео.htmlsi=IgFcc1mu1JmNaP4W
Sandra episode 13
ruclips.net/video/OjpHZtlEqhQ/видео.htmlsi=PF5sWX0DzsuDsE5D
Sandra episode 11
ruclips.net/video/PlFNMUAvqq4/видео.htmlsi=1ZeJc1Tpsc9hENzV
Sandra episode 10
ruclips.net/video/i1ednW2wyjk/видео.htmlsi=BbTgNypsWkJ_reRl
Sandra episode 9
ruclips.net/video/WHTUpPcfqLg/видео.htmlsi=BQkoYJAxeu5FU6iY
Sandra episode 8
ruclips.net/video/quZfZh9hxkM/видео.htmlsi=M1l7-glLZtCZrI3X
Sandra episode 7
ruclips.net/video/V119d-ku-Z4/видео.htmlsi=zV3SBOIbtnHrjzGl
Sandra episode 6
ruclips.net/video/EVFHWef1pfU/видео.htmlsi=Sml-MpMn4xJG_MXE
Sandra episode 5
ruclips.net/video/4etfPTUa6os/видео.html
Sandra episode 4
ruclips.net/video/bACm-XJtZyM/видео.htmlsi=EiXws9tSAnGKGiR2
Sandra episode 3
ruclips.net/video/Z1Emh1A9QCQ/видео.htmlsi=jaJh5HuXoxyPKzv6
Sandra episode 2
ruclips.net/video/gT1pxPbZwuY/видео.htmlsi=jsAMEJKXBYDT75di
Sandra episode 1
ruclips.net/video/imqzkqFrVT4/видео.htmlsi=oRFW5N_WWCSJrAsE
@@sandrahofficial255 napanda Sana movie zako
@@sandrahofficial255 weye Sandra nimuzuri sana nakupenda naishi malawi
Fika
ruclips.net/video/DPqTKlt1GBU/видео.html
❤❤❤
Nawafatilia kutoka Burundi 🇧🇮 ndabakunda cane team vevo ❤Sandra uko vizuri sana kabisa unatendea haki kila scene🎉
Fika
nikweli❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤
Sawa natwe turagukunda
tupo wengi jameni from Burundi
Napenda vle majini wa humu hawacheki cheki kama ilivyozoeleka bongo muv
Kiukweli wamefanya vizuri sana 👏👏👏
Hahah
Kwa kweli
Kabisa❤
Ndio
Wow kazi safi kabisa haijalishi kutokuwepo Kakoso..... Clam family let's go.
Heloo kaz nzur
Juma jicho ndo kawa kivuluge wa movie,😂😂😂😂😂
Hongera kazi nzuri mno. Tunashukuru kwa wakati mzuri AUNT SANDRA
😂😂😂😂😂😂😂niumama😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂JUMA. NINOMASANAA KAINOGESHA SANAAA MAUA YAKO SANDLA🎉🎉🎉🎉🎉
Kumbe nawe umeliona Hilo Yan juma jicho anachekesha bila kutumia nguvu
Namkubali sana ni kiungo😂❤🎉
Hivi sandra umemtoa wapi huyo juma yani akili zake dah😅
Nawapenda kwakwel mungu awajaalie muendelee kutupa burudani❤🙌❤️🔥❤️🔥
Nimewah sana jmn nipen like hata kumi nawapenda ❤❤❤❤
Oke sawa
Kipara ashakua jini na siku moja, kali hio 🔥
Sandra unafanya kazi nzuri sana, nimekupenda sana
Mashabiki we zangu tumpogeze SANDRA mashallah mimi nimeshaona kama tumeshinda ila naitaji like kutoka kva SANDRA ilave you so much from Burundi 🇧🇮 tem SANDRA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani msicheleweshe sana 😅mnajua kiasi gani naipenda hii move😅😅 Kam unanipenda Kam mim tujuane Kwa like 😅😅
Moto Moto leo 💥💥 kazi Safi Sandra tupe ingine
Kazi nzuri ila muna kawa sana huendeleza
toto langu ❤❤❤ mambo
Nakukubali sana Malikia Sandra 🤴 kuwakutanisha Juma, Kipara + Bonge imevutia sana 😂
Hii inapendeza ,kazi nzuri keep it sadra .......wewe ni moto🔥🔥
Kipande cha leo kipo vizur sana kuliko vyote sherep direct🔥🔥
Kwani hii series mbna waichelewesha wengine hatu movie zakuangalia twasubiri...ula ula tin taa NGA NGA NGAA 😂😂😂 team migomba kenya😂😂😂
❤❤❤❤❤❤Asante sandra leo umekuwa mshind hongera sana dada nakupenda❤❤❤Pia kaz nzur
Sandra una faaa kazi nzuri r.d.congo
big up sister allah azid kukupa umri mrefu inshallah
Nan ameskia raha baada y sandra kumuangusha suzzy☺️sandraaa nakupendaa ddngu❤
Sandra usichelewe kutuma ep13 movie iyi ninzur sana
Kama unamkubali kipara gonga like hapa 😂😂😂
Safi sana Sandra 🎉
Naombeni Likes zangu from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
nikweli😂😂😂😂😂😂😂💖💖💖💖💖💪🏾💪🏾❤️❤️🟥🟥🔴🔴🧡🧡🟧🟧🟠🟠💛💛🟨🟨🟡🟡💚💚🟩🟩🟩🟢🟢💙💙🟦🟦🔵🔵💜💜🟪🟪🟣🟣🤎🤎🟫🟫🟤🖤🖤🖤⬛⬛⬛⚫⚫🤍🤍⬜⬜⚪⚪🤍🤍⬜⚪⚪⚪🩷🩵🩶🩷🩵💛🩷🩵🩶♥️♦️♦️♦️♦️🅰️🆎🅱️🅾️🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇰🇷🇰🇷🇰🇷🇰🇷🇰🇷🇰🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Big ups from Kenya ..Nlikua nangoja hii episode sanaa
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kipara one man and Sandra❤❤
Jameni mlikua mmekawia kutupa vitu mue mnahalakisha maana kama isingetoka jamani duuuh nimei miss kwl❤
❤❤❤❤Sandra my favorite actor from Tanzania 🎉🎉🎉
Aki niseme ukweli hii movie naipenda naipenda sana❤❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪🥰🥰 n juma😂😂😂
Jamani tulofurahishwa na hii epsod tujuane alliw😅😅😅
habari
kama mkenya yuko hapa weka like yako
Wa kwanza toka drc kalemie naombeni likes zangu ❤❤❤❤
Uyu mdada mchawi ni ndugu yake sara mshangazi wamefanana sana ila yeye anayo nyashi ya mahana 😮😮😮
Yani juma kataka kutoroka kukimbia kwake anakimbia anarudi penye alitoka 😂😂😂😂😂😂😂😂 so love from Burundi 🇧🇮 to South African 🇿🇦
Ata wakina kipara mwenywe wameishi apo mda sasa hawaja katwa ata ubao...lakin yye ana week tu tayari kashakatwa makofi😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂juma hajawahig kuaribu katisha sanaaaaa
Mm cnalakusem ninacho subili2 ni kipande cha 13 metixha xana mm nawapa i like it ❤❤👌👌👌😂😂😊😊
Kazi nzuri sandra
Daaaaa hatari san yani mukimtoa maalimu mie sitazami tena sandar upo vizur sana maalim 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri Sandra wangu ❤❤❤🎉🎉 nakupenda kutoka Kenya 🇰🇪
Kipara anaenda kula mzigo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila hiii move naipenda inanipa raha sn wallah
Kazi nzuri lakini munatukawiza sana tunataka EP mbili Kwa kila wiki
❤❤❤leo nimechelewa kidogo kama unapenda sandra nipe like kutoka burundi
Fika
@@sergesntunzwenimanafika
Yeah of course,
Hakika pia tuna hitaji sison two najua ina muendelezo
Sandra nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Nakupenda sana Sandra , endelea na in azi nzuri ivo ivo
Namkubali sana SANDRA ameweza sana kazi nzuri team vevo tuko pamoja watu wa barundu🇧🇮 tuna wakubali sn
Ooooh, Sandra nakupenda saaan😘😘😘, ckua mauwa yko 🎉🎉🎉🎉, unaweza saan Dada yetu,Mungu abariki kazi za mikono yako akukinge na Vijicho.
kazi saf kabisa niitizama nikiwa apa sultan hamud
Kula mzigo kipara natamani ningekuwa mimi😂😂😂😂
Big up sana Sandra ,Umetisha mamii pia pongz kwa team mzima
HahahahahH eti shoo yasiku moja unakuja kwa kupaaa😅😅😅😅
😂😂😂😂
Ila sandra na juma kapu yenu ya kazi ilianza mda huko nyuma
Yaani juma amefurahisha eti anakimbia anajipata nyumbani kwenyewe 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 nmecheka yangu yote
Nime chelewa jamani juma wang maalimu yupo😂😂😂😂😂😂 acha niangalie movie kwanza
Movie nzuli sana jamani yani shehe juma amenichekesha kama sina hakili nzuli hongereni sana 🎉🎉🎉
Jaman juma jicho ananifurahisha sana😂😂😂😂 ety mm nitakuwa refa😂😂😂😂
Filamu zako nitamu kama asari am for episode 13❤❤❤ from Lusaka Zambia 🇿🇲🇿🇲🙏
Courage vraiment Clam VEVO Patrick kalumendo depuis beni vile🇨🇩🇨🇩
Mimi niwa burundi sehemu wanaita katumba kwa kweli ongera sana kwa kazi zenu kabisa❤❤❤❤
The best movie ever nafuatilia from Kenya ❤❤
Nawafwatilia kutoka Kenya Sandra uko fty sana❤❤❤
😂😂😂😂jmn kwakwel mnafurahisha mno tunawapenda sana❤❤❤❤❤❤
JUMA JICHO KANOGESHA SANA ASEE KAZI NZURI NIMECHEKA SANAAAA
Umeweza sana sandra kwenye hiu thamthilia
Kipara kapewa mzigo wivu naona mm maisha haya bwana 😂
Hahahaaaa nimecheka jamani 😂🤣😂🤣😂😂🤣
😂😂😂😂😂😂 Juma noma sana
Yaan kadri epsode zinavyozid kwenda ndo inakuwa tamu kama asali alooo wap kipala😂😂😂 jaman musicheleweshe saana14❤❤❤🎉
😂😂😂❤❤❤ juma jicho eti Shoo za jini atakua amezimia
Umetisha sanaa Sandra usichelewesha bas kutoa Kaz unajua tunamsubir sanaa
Sandra unafeli wapi ata ukatuchelewesha sana kiivo jaribu kujipanga ktk kazi zako ili utuwahishe huku Oman Sandra imepamba moto Kila mtu sandra
Kazi nzuri Sandra wangu 😊 nakupenda kutoka kenya
Kaz mzury komaa mrembo sandra utatoboa tu❤❤
Djuma jicho yeeh jasili kusema kweli
Hakika sandra anastahiki sifa zote ameweza kaza buti sandra nakuona mbali
Onger san my sandra kipenz cang❤❤
Kazi nzur san sandra nimeipenda hii move imenishinda tabia komed kama zote
Sandara nilikua naulisa mbona mmi sipatai notfication
Hongera kaz nzr 🎉🎉🎉
Juma 😂😂😂mungu anakuhona Sandra movie iposawa pambana maana mazuri yako mbele😂😂😂ati show 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 turabakunda nct please 🙏 can give me like
Wote tuseme Maalim 😂😂 katika wale wakali kalim, wadali dalim na mimi nimo nimo 😂 Mnakuwa kama maadifaya ❤😂 Juma akili ulizipotezea wapi...! 😂❤
Japo nimechelewa lakini nimefurahi sana uwepo wa Juma kwa Sandra GANG 🤴🕵
SANDRA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wasani wote mwaiyi série nawakubali sana
Love you sandra
🎉🎉🎉Bega kwa Bega Dada🎉🎉🎉
Sandra keep it up Yani Leo imenifurahisha mno mashaAllah
Ka🎉🎉🎉🎉🎉zi nzuri sana Sandra ❤
Sandraa weee kazi kazi ❤❤❤kazi iendeleee
Hiii beat mmehuwa sana ha haha haaa ehaha haaa eee
Naipenda sana Sandra
Te desejo mais sucesso 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Juma jicho noma sana😂😂😂😂😂😂😂😂 hongera yako mtoto mzuri sandra ❤❤❤❤❤❤❤❤
Shoo ya siku moja unakuja kwa kupaa🤣🤣🤣
Dada SANDRA uwe unaharakisha wengine tuna miss🇧🇮❤
Na furaha kuona akiwa bushindi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Big up sana Sandra kazi nzuri
Juma mshenzi sana
Kwer kabisa Wana yumba sana
Sandra nakubali san sister unajua bn❤
Kazi nzuri Sana mauwa yenu🎉🎉🎉🎉❤❤❤