Muonyesheni Dennis Wanjala heshima anayostahili. Yeye ni mwanabunge muhimu wa bunge la Jakaranda Kama nyinyi. Isitoshe, kila mmoja ana umri wa kutosha kuelewa ya kwamba kitendo cha kumdhara mtu muungwana kama bwana Dennis Wanjala ni kisu yenye makali pande zote mbili.
Nuru Okanga alionywa ya kwamba akipewa pesa kiasi hicho, yawezekana akawa mwehu. Hebu mtazame Okanga hivi sasa. Je, anaonekana kuwa mjeuri kuliko tulivyomzoea ? Tazama alivyompapasa mbunge mwenzake kichwani kama mbwa ? Hiyo ni ukosefu wa nidhamu na ni madharau kali sana. Mtazameni Okanga kwa makini. Ni fursa ya kuongeza maarifa.
Kwani hii jacaranda ..iwexi funguwa..tafuteni kaxi.guys
Muonyesheni Dennis Wanjala heshima anayostahili. Yeye ni mwanabunge muhimu wa bunge la Jakaranda Kama nyinyi. Isitoshe, kila mmoja ana umri wa kutosha kuelewa ya kwamba kitendo cha kumdhara mtu muungwana kama bwana Dennis Wanjala ni kisu yenye makali pande zote mbili.
Waambie
Best bunge today
Genzs msianze tena
Hapa kenya hKuna mutu akoswa..hata mweke okanga...wewe amma moja yenu...hiyo kele mutawacha.ngoja mutaona
Kelele Gani hata wewe piga kelele.
Nuru Okanga alionywa ya kwamba akipewa pesa kiasi hicho, yawezekana akawa mwehu.
Hebu mtazame Okanga hivi sasa. Je, anaonekana kuwa mjeuri kuliko tulivyomzoea ? Tazama alivyompapasa mbunge mwenzake kichwani kama mbwa ?
Hiyo ni ukosefu wa nidhamu na ni madharau kali sana. Mtazameni Okanga kwa makini. Ni fursa ya kuongeza maarifa.
Bahati ni yake, Nini kinakusumbua kama sio wivu.Achana na mtu na bahati yake wewe ngoja yako kama hauna
@@chrispinesimiyu Sina haja na mafanikio ya kifedha ya mbunge Nuru Okanga. Ninakerwa na ukosefu wake wa heshima kwa wabunge wenzake.
idleness, Christian Ronaldo looks at these people and then wonders.
CR isn't our Kenya god..keep him....let Kenya keep their business
@@decoloniz_afro crying for another man to feed you and your family.
sakaja atafute jia ya Western
Mwizi mkubwa ni Ruto
😂
sakaja atafute jia ya Western