Njomana sihami kwa team kiba kwasababu na elewa anacho imba hakitiyi haya hata kidogo iwe ka bibi awo kwa baba awo kwa maman hakuna nyimbo ya alikiba inamatusi king atabakia kua king 🥰🥰🥰👑👑👑🤲🤲🙌🙌🙌🔥🥰
Miss bela kasema ukweli kina diamond wanauwa bongo fleva...kwann ao wanajeria na wasouth hawaimbi Bongo flevaa... diamond aache ufalaa kuiga muziki sio wetu no ushamba tujiulize mbona wachina wanaimba kichina hata waindi wana imba kiindi. Wasanii wastick kwenye identity yetu
Asante ! kweli too much ! show off nyingi wakina Diamond ! kwani sisi pia tuna nyumbani na magari hatupendi kuonyesha ! Zamani kweli Diamond alikuwa anaimba yeye na Harmonize sasa hivi mavi tu !
Tulianza kuwa copy wanigeria tukaporomosha mziki wetu kwenye nafasi flani sasa hv tunawakopy wa south africa.... Nafasi yetu itakuwa ni ipi baada ya kukuza Amapiano....
@@xembogasd1725 NI SAWA NA KUSEMA TUSINUNUE NGUO TUVAE MAGOME YA MITI. MAANA TUNAUWA VIWANDA VYA NDANI.TUPO KWENYE FREE MARKET. UNACHAGUA UNACHOPENDA. KILA MTU MAISHANI ANAPAMBANA KUPATA PESA
Uki sema matusi naona uli mwengu wa leo una penda matusi sana, maana inge kuwa watu hawapendi matusi wa singe kuwa wana jirikodi ma clips na ku post 📫, nyimbo za injili zipo kibao kwenye RUclips ila watu wana jirikodi ma clips yenye nyimbo za matusi tu that means wana penda matusi
We mlevi wa mnazi kanumba watanzania mulisema haijui kiengereza kumuangusha na kiengereza sio lugha yake wa Africa shida yenu roho ya korosho we huna taaluma ya mziki
Upo Tanzania ipi usimjue bella??? Huyu alikuwa miss mtwara zamani kidogo kama mwaka 2007 au 2006 kama sikosei pia ni msanii alikuwa kwenye kundi linaitwa scorpion girl pia alikuwa mchumba wa kalama msanii wa kundi la TMK wanaume wakaachana pia alikuwa mchumba wa Marehemu Godzilla nazani mpka hapo utakuwa umemfahamu japo nimemuelezea kwa ufupi..
Uyu Dada naomba awekewe ulizi jamani ana very points 👏👏👏👏👏
Umewambia kweli dada wanaimba sana matusi alikiba ipo sawa
Nakupenda sana dada umeongea point ❤️❤️❤️
King kiba mfalme wa wafalme alikiba
Miss Bella kaogea vizuri
Njomana sihami kwa team kiba kwasababu na elewa anacho imba hakitiyi haya hata kidogo iwe ka bibi awo kwa baba awo kwa maman hakuna nyimbo ya alikiba inamatusi king atabakia kua king 🥰🥰🥰👑👑👑🤲🤲🙌🙌🙌🔥🥰
Unaongea point sana dada yani mondi sijuwi anaimba Nini utopolo tuuu mashairi hayaeleweki
Ubarikiwe 🙏 dada yetu
dada ubarikiwe umeongea point
Tanzania saivi hatupendi mziki wetu na kupenda uteam zaidi ya mziki mzuri
Ukweli umesema dada asiyekupenda anamatatizo
sure ruby anaimba sanaa
Waambie hawo waikuze Bongo flavour kama Alikiba anavyofanya
Wakunipie power horse ntlipa king kba frever 💪
King ni King tu, Ali mfalme
True kwel sema bhan
Always I love you ❤️❤️❤️❤️
miss bella uko sawa kiba anashobo na mtu
Kweli king ame wakalixha katow zaidi ya ngom kum zot hiti mpak aliz xhirikixha
Nakubali DADA salute to you
🤴👍👏👏👏Nakupenda sana dada
Kwa Mara ya kwanza namsikia mtanzania anaongea ukweli kuhusu mziki wa ALIKIBA nakupongeza
Yes anatumia nguvu sanaa bwana mdogo!!! Ila kwa kiba nooomaaaaa
Music ni nether dada muziki wa alikiba ni toka ubabuni sasa nando mana hawezi kushuka kimuziki
Yebabaaa
Waambie bhna
Diamond hawezi kamwe kuimba live. Ana lipsing. Live zero pale. Labda matusi ndo alofundishwa na mamaake
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Umeongea point sana dada
Safi sanaaa unajua miss bella
Wewe Dada hunaga uteam wasema kweli
Nakuelewa saana Dada kingkiba4life
Shikamoo wewe Dada nakupendaga unavosimamiaga ukweli
Nikumiss Sana miss bela
Miss bela kasema ukweli kina diamond wanauwa bongo fleva...kwann ao wanajeria na wasouth hawaimbi Bongo flevaa... diamond aache ufalaa kuiga muziki sio wetu no ushamba tujiulize mbona wachina wanaimba kichina hata waindi wana imba kiindi. Wasanii wastick kwenye identity yetu
We mtangazaj unakera inaoneka shabiki w diamond wew maana KWA maswal hayo
Asante ! kweli too much ! show off nyingi wakina Diamond ! kwani sisi pia tuna nyumbani na magari hatupendi kuonyesha !
Zamani kweli Diamond alikuwa anaimba yeye na Harmonize sasa hivi mavi tu !
She on point 🥰❤️👏👏
ruclips.net/video/wKHgu8kMIK0/видео.html
Boraa ww unaejua maana ya king
Ni kweli kabiiisa
Ukwelii kabisaaa dada umeongea kitalaamu hawez mond kupiga music live pesa ndio inambeba anamua vyovyote. vile
Umeongea ukwel sana
Sema kimeumana
Ukweli humueka mtu huru dada
🤣🤣🤣🤣🤣🔊🔊🔊🔊🔊🔊wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
RUBBY IS BEST NI KWELI
😁 facts…
Kweli umeongea ukweli
Nice
Miss bella jamani nakupenda sana ❤️❤️❤️
King kiba
Tulianza kuwa copy wanigeria tukaporomosha mziki wetu kwenye nafasi flani sasa hv tunawakopy wa south africa.... Nafasi yetu itakuwa ni ipi baada ya kukuza Amapiano....
Ruby fire
Kweli kiba ndo mwenyemuziki wake awa wengine mmmm
Wow mama you are on point,🔥☄☄🔥🔥🔥☄🔥🔥🔥☄
Kweli huyu dada anmumemzuri sanaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn jmn natamn kumuon huyo handsome
Mume wake huyu dada mzuri Sanaaa.
DIAMOND NA HARMONIZE NI BUSINESS MEN KWA SASA!! HATUTAKIWI KUMSHANGAA!!!! ALIKIBA SIO BUSINESS MAN
Tunautangaza miziki ya watu tatizo
@@xembogasd1725 NI SAWA NA KUSEMA TUSINUNUE NGUO TUVAE MAGOME YA MITI. MAANA TUNAUWA VIWANDA VYA NDANI.TUPO KWENYE FREE MARKET. UNACHAGUA UNACHOPENDA. KILA MTU MAISHANI ANAPAMBANA KUPATA PESA
Uki sema matusi naona uli mwengu wa leo una penda matusi sana, maana inge kuwa watu hawapendi matusi wa singe kuwa wana jirikodi ma clips na ku post 📫, nyimbo za injili zipo kibao kwenye RUclips ila watu wana jirikodi ma clips yenye nyimbo za matusi tu that means wana penda matusi
We mlevi wa mnazi kanumba watanzania mulisema haijui kiengereza kumuangusha na kiengereza sio lugha yake wa Africa shida yenu roho ya korosho we huna taaluma ya mziki
Mziki ni kazi kma kazi zingine na nikama biashara ndomn ni lazim waende na upepo. Mfano ww 😄😄😄huwez jilinganisha nao coz huendi na upepo
Fact
Sikinde sio bongo flavor. Hii bongo flavor mnayosema iliigwa tu
👍👍👍👍
👑👑👑
Miss apewe ulinzi
Saf san
Tatizo nivibendela fata upepo hakuna chamapiano muziki wetu nimzuri xanaa kuliko semzingine zotee king kibaaaa wewe ndo mflme wanyoshe namuziki wetuu
😁😁😄🤣
Umesema kweli mia kW mia hamna utani
King olywes be king kiba for everyday
Upewe ulinzi
Wew endelea kushangaa wenzako wanapiga ela
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Makorokocho kweli
😂🤣🤣🤣 Makorokocho 🤔
Acha ujinga wewe pumbavu Niko CONGO sikubali
Mmmmmmmm
Ukwer usemwe to hamna namna
I mutu yawapi kwan mbona inatumia nguvu nyingi sana kuongea tatizo nini
Huyu ndo nan na anahusika na nn mbona simfaham
Kuwa kuwa utamjua tu usjal
😃😂
Upo Tanzania ipi usimjue bella??? Huyu alikuwa miss mtwara zamani kidogo kama mwaka 2007 au 2006 kama sikosei pia ni msanii alikuwa kwenye kundi linaitwa scorpion girl pia alikuwa mchumba wa kalama msanii wa kundi la TMK wanaume wakaachana pia alikuwa mchumba wa Marehemu Godzilla nazani mpka hapo utakuwa umemfahamu japo nimemuelezea kwa ufupi..
Usijali utafahamu siolazima umfahamu ila kikubwa maneno yake yamwkuingia
Utamfaham veep akati umezaliwa kweny utawala wa mama samia so level zako akna bella
Bona amejipodoa vitu via mzungu ana sunglass. Na lipstic
Fatilia mziki ww aujuwi njo manake !!! Aupasi elewa wewe uko zilipendwa.
Sasa huyu nae aongea utopolo tuu
Kila kitu na wakati wake sai upepo wa mziki umegeuka na ni biashara so hujui kitu unachokisema
Sasa wewe utafanyeje biashara ya mwenzio alafu yako unaisahau!!!!!;
Acha na biashara tunaitaji muziki unaishi na wenye eimu ndani yake!!!!
@@bama9271 sai watu wanasaka hela mziki kuishi ilikua zamani tu
@@bama9271 Sasa hela atapata wap?tupo kibiashara mziki mzur nenda kwa kiba
Amapiano nimziki wawatu walioishiwa cha kuandika
@@bama9271 kunywa powerhorse nakuja kulipa
Tatizo nivibendela fata upepo hakuna chamapiano muziki wetu nimzuri xanaa kuliko semzingine zotee king kibaaaa wewe ndo mflme wanyoshe namuziki wetuu
King kiba
Nice