Habari dictar mimi nilipata cku zangu tarehe29 nikimalza tarehe31 mwezi wa 12 sasa mpaka huu mwezi wa pili tarehe 15 leo sijaona siku zangu pia nakuwa na njaa kila muda naomba nipe majibu dictar tafadhali
doctor mimi nilikua na mimba kama ya mwez lakini nikaona damu galfa ilichanganyika na vipandevipande vya nyama ili toka nyingi sana Kwa mara moja na siku iliyo fuata I katoka kidogo haijatoka tena
Doctor mm nliingia period tare 25 mwez wa pili mpaka tare 29 mwez wa pili,,,,nkafanya sex tare 12 mwez wa tatu lkn naskia kama dalili za mimb tumbo linakua zito sana naomba nsaidie je ntakua mjamzito na saiv n wiki mbili toka nimefanya hivo plz jibu,,,,,alaf pia kit kingine mm hua siku zang zinaruka mwez huu naingia alaf ujao siingii
Doctor mm niliingia piriad yangu tarehe 21 mwez wa tano nikataja nikaingia tarehe 29 mwez wa sita nimeingia Tena 31 mwez wa Saba Sasa siku yangu ya hatar Ni ipi
doctor mi tumbo langu linakuwa km limejaa pia nahis km kichomi pia nikila kidog nahis kushiba sn na maziwa yangu yanauma kwa mbali je shida itakuwa nini
Dr ilikuwa niingie tar 17 mwezi wa 5 lkn nikapitiliza na dalili zote za mimba nlikua nazo lkn cha ajabu Leo hii tar31 mwz wa 5 nmeona damu ila ni nyepesi ina rangi ya zambarau natumbo linauma kwa mbali kama vichomi je hii inaashiria nn ? Lkn nlikua sijapima kama Nina ujauzito tafadhali nisidie
Naomba unisaidie doktar me nina dalili ya mimba,lakin mwezi uliyopita niliona tone,mwezi unafuata nikaona nyingi,sasa hapo sijaelewa,maana maziwa yanauma na kuvimba,sasa nikipima naambiwa sina mimba ni nini hapo doktar pana shida gani,naomba unijibu
Mimi mapigo ya moyo yamebadilika sana,naumwa na kichwa,ninahic uchov sio kawaid,naumwa kiuno,nahis kichefuchef lakn staapik..nlipima tareh 9 may sina ujauzito.. Nikikaribia hethi hua naumwa na ziwa moja sasa nimeanza kusikia likiuma tang jana..sasa hii ni nini dr
Asante kwa kutujuza. Ninaswali ukiwa na mimba ya mwezi mmoja tumbo linakuaje
Bado tumbo halijaanza kukua, halionyeshi chochote
Habari dictar mimi nilipata cku zangu tarehe29 nikimalza tarehe31 mwezi wa 12 sasa mpaka huu mwezi wa pili tarehe 15 leo sijaona siku zangu pia nakuwa na njaa kila muda naomba nipe majibu dictar tafadhali
Doctor samahan mke wangu ametumia uzazi wa mpango kwa njia ya njiti lakn anamwaka ametoa na hapati ujauzito tatizo ni mpaka apo
Asante
doctor mimi nilikua na mimba kama ya mwez lakini nikaona damu galfa ilichanganyika na vipandevipande vya nyama ili toka nyingi sana Kwa mara moja na siku iliyo fuata I katoka kidogo haijatoka tena
Doctor me nina wikii 1 na sk 10 cyaiona period yng je nitakuwa ni mjamzito
Pole sana njoo wasap tujadili hali yako
Dokta mm nlitumia trh 2 mwez wa 8 na trh 30 mwez wa 8 halafu mwez wa 9 sijatumia na huu mwez wa 10 Leo trh 2 lkn sijaona dalili yyt
Doctor mm nliingia period tare 25 mwez wa pili mpaka tare 29 mwez wa pili,,,,nkafanya sex tare 12 mwez wa tatu lkn naskia kama dalili za mimb tumbo linakua zito sana naomba nsaidie je ntakua mjamzito na saiv n wiki mbili toka nimefanya hivo plz jibu,,,,,alaf pia kit kingine mm hua siku zang zinaruka mwez huu naingia alaf ujao siingii
Doctor mbona mm naona damu nyepesi kma maji naweza kuwa Na ujauzito
Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
bongoclass.com/ushauri.html
Docta nisaidie hiyo damu iritoka kwa siku Tatu ikakata na siku zangu sijazio nikipima sion mimba je nitakua nina mimba na kicefuchefu napata
Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
bongoclass.com/ushauri.html
Doctar Nina mimba mwezi mmoja ila najisikia uzito sana ila ninaizitokibwa mpaka nashindwa kutembea
Doctor mm niliingia piriad yangu tarehe 21 mwez wa tano nikataja nikaingia tarehe 29 mwez wa sita nimeingia Tena 31 mwez wa Saba Sasa siku yangu ya hatar Ni ipi
Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
bongoclass.com/ushauri.html
doctor mi tumbo langu linakuwa km limejaa pia nahis km kichomi pia nikila kidog nahis kushiba sn na maziwa yangu yanauma kwa mbali je shida itakuwa nini
Nicheki wasap
Shukrn
Karibu
Tghhh@@bongoafya
Mimba ya mwez mmoja huwa kuna kitu kinatuna hapa pemben mkono wa kulia? Kila asubuhi
Nicheki hapa bongoclass.com/ushauri.html
Mzunguko wangu 35 niliingia period 3/5 siku za htr ni zipi
35 - 12 = 23
23 - 4 = 19
Ni kati ya 19 na 23
Tumbo la mimba huonekana kwa muda gan?
Kuanzia wiki 26 yaani miezi 3 linaanza kutanuka ika sio rahisi kugundua, baada ya hapo kadri siku zinavyoensa litaweza kuonekana dhahiri
Asante sana
Dr ilikuwa niingie tar 17 mwezi wa 5 lkn nikapitiliza na dalili zote za mimba nlikua nazo lkn cha ajabu Leo hii tar31 mwz wa 5 nmeona damu ila ni nyepesi ina rangi ya zambarau natumbo linauma kwa mbali kama vichomi je hii inaashiria nn ? Lkn nlikua sijapima kama Nina ujauzito tafadhali nisidie
Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
bongoclass.com/ushauri.html
Sauti yako cjaipenda doctor
Sorry
@@bongoclass 😊😊😊
Naomba unisaidie doktar me nina dalili ya mimba,lakin mwezi uliyopita niliona tone,mwezi unafuata nikaona nyingi,sasa hapo sijaelewa,maana maziwa yanauma na kuvimba,sasa nikipima naambiwa sina mimba ni nini hapo doktar pana shida gani,naomba unijibu
Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
bongoclass.com/ushauri.html
@@bongoafya dokta naomba msaada
Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
bongoclass.com/ushauri.html
.
Dokta mtu mwenye mimba changa anaumwa kiuno na miguu
Dokta na swali lingine ivi mwanamke mwenye mimba ya wiki tatu mapigo ya moyo yanaenda kasi wakat wa mchana
Mapigo ya moyo yanaweza kuongezeka,
Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
bongoclass.com/ushauri.html
Mimi mapigo ya moyo yamebadilika sana,naumwa na kichwa,ninahic uchov sio kawaid,naumwa kiuno,nahis kichefuchef lakn staapik..nlipima tareh 9 may sina ujauzito..
Nikikaribia hethi hua naumwa na ziwa moja sasa nimeanza kusikia likiuma tang jana..sasa hii ni nini dr
Njoo WhatsApp namba hiyo hapo juu