SAKINA - Latest Swahili Movie | Adam Leo | Bongo Movie
HTML-код
- Опубликовано: 22 дек 2024
- SAKINA - Latest Swahili Movie | Adam Leo | Bongo Movie
#adamleobongomovie #mauricesamtv #swahilimovies
This amazing movie will make you want to fall in love, Very emotional and interesting.
A must watch for all the singles.
#bongomovie #swahilimovies #bongoseries #nollywoodmovies #nigerianmovies #africanmovie #2024movies
PENZI LA KIDENTI | Love Story
ruclips.net/video/-P7HTlBgNwk/видео.html
Blaza adamu ww noma sana kwa kuingiza pia unafikilia sana na kutumia akilinyingi sana aise daaaaa nakukubali sana broo👏👏👏👏👏👏👏
Shukrani
Wow Adam umerudi tena💪💪 napenda sana kazi yako. natamani niwe muigizaji kaka,,,
Karibu
Nakufata kutoka Australia. Huge big up br Adam
Movie nzuri saana hasa ukicheza na huyu dada hata muliipocheza naye movie ya wake wenza
Nipe Namba yake jamani
Je, itaendelea
Itaendelea!
Nakubali iyi movie nabado sijaona ata nusu wa Tanzania munakipaji
Shukrani
Adam we ni fundi sana kaka, ila mpe hongera pia Mansoor kaz anaiweza sana.
Zimefika
Masudi 🎉🎉🎉yako ayo nimekupenda bure kwauwamuzi uliocukuwa Sakina nimusali akipata wa kukuzidi angeenda Sakina ,Adamu hakuwa nakosa asingekubali rafiki yake aangamiye kipindi alikua anajuwa kama unaukimwi nawendo ulimusibitishiya Adamu yuko sahihi ❤
Shukrani san sana
Hongera sana kazi zuri wadada wenye tamaa wamejifunza nilikumic sana❤❤❤❤❤❤
Shukrani
Kazi nzuri sana❤❤❤🎉🎉 ila mnaniumizia Adam wangu jamani😢😢😢😢
Yaani 😂😂😂
Karibu tutengeze msafara tuandamane kaka Adam 😅 umetueka sana ila filamu njema kweli🎉🎉🎉 tamaa mbaya
Endelea ku enjoy
Nakupendaa Adam mpk nakupendaa tenaaaaa.....big up 🎉🎉munguu akupe afya njema uendelee kutuletea vitu vzr kaka
Ameen
Kazi nzuri sana Adam leo,,ww unajua sana kaka big up na enjoy nikiwa saudia arebia ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani
iko vizur filam tunapenda sana tunakubali adam ❤❤❤❤
Shukrani sana
Hujawahi kutukosea fans wako kazi nzuri sana hongera kaka🎉🎉🎉
Shukrani
Kazi nzuri from Oman brother Adam.
Ila sakina alikuwa sahihi kutafuta ndowa kwa njia iyo
Yaani😔
Adam nakupenda sana na napenda sana kaz zako lakini unatucheleweshea 😢usitufanyie ivo pls 🙏😢
Sawa tutajitahidi kuwahi!
pole kaka adam mungu atakupa mwengingine umpendae insha allah
Ameen
Hongera sana my brother adamu lakini hao watu wasiwe wanakuumiza hivo maana mimi sifurahii kukuona ukiumia hivo❤❤❤
Sawa aisee
Eee eeeeh Adam hongera 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani
Waaooo wa kwanza leo like zangu
Enjoy mkuu
Hongera sana Adam movie zako ni za mafunzo 🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana
Kazi nzuri sana inafundishaa hongereni sana kwakutuelimishaaaas
Asante sana
Hatimaye baada ya kusubiri kwa muda mrefu🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Shukrani
Adamo kaka yangu Mapezi ni Game🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😮
Mnoo
Leo umetisha Adam ❤❤❤❤
Shukrani sana sana
Movie nzuri sana hongera sana kaka 🎉🎉 huo wimbo sasa ukiwa umeumizwa unaweza kulia hadi ukazimia😅😅😅🤣
Nomaa🥲
Move nzuri sana Kazi nzuri sana kaka Adam 🎉🎉🎉❤❤
Shukrani sana sana
P1 sana @@AdamLeoStudios
Hongera sana Adam ❤❤❤❤
Shukrani
Mmmh ni mda nilimiss move zenu🎉🎉🎉
Shukrani endelea kuenjoy
Hongera san Adam huna Kaz mbovu nakukubali from burundi
Shukrani
Wow Movie nzuri sana❤❤❤❤
Asante
Dada anafanana sana Chizi Alichi wa Nigeria. Nampenda sana. Kenya, Nairobi
Shukrani
Napenda uigizaji wa Mansuly anaigiza reality hata Sakina pia 😘
Yaah
Adam tulikumiss sana ❤❤❤🎉
Nimerudi sasa
Napenda kazi yako adam.keep up🎉🎉
Thanks
Namba 2 ya Filamu hii ya SAKINA hii hapa👇👇
SAKINA 2 - Adam Leo | Bongo Movie
ruclips.net/video/RwNEhFup0QA/видео.html
Iyo dialogue ya bi maza ni 🎉
Asante
Maua yako Adam ❤❤❤❤
Shukrani
Congratulations san Adam ❤❤
Asante
Move kali sana ila mnamuumiza Adam wetu😊
Wananitesa mno😀
Wakwanza leo naombeni like ata 5
Karibu sana
Haya nimewahi leo
Mariam from saudia
@فاطمهكينيا-ذ8ش enjoy
@@AdamLeoStudios kazi nzuri sana bro
Hongera sana bro na mim naomba nafas ya kuigiza
0652393960 whatsapp
Nani anakubari Sakina nipungu Selina! Anamlaumu adamu kwalipi!? Hali yenye ndo wakulaumiwa🎉🎉❤
Umeonaa eh
Adamu KAZI zako zinafurahisha
Shukrani endelea kuenjoy
Funzo zuri sana ❤hongereni
Asante
Ila Adam wewe ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naam
@AdamLeoStudios Wa maana sana jameni🤗
Hapo umeweza kaka
Shukrani
Nakubali sana move zako unajuwa sana
Shukrani sana
jaman masikini wa mungu adam niko hapa
Shukrani
Ma sha allah keep it up adam❤
Thanks
Heko kwa kazi nzuri Adamu
Shukrani!!!
Adam mbona kimya kk yangu ❤❤much love 💕
Kaka part 2 hujaiona bado mbona ipo
Sakina wa nn bhana!, mpende akupendae asokupenda chana nae😏
Kweli aisee
Adam leo uamuzii uliofanyaa ni mzuri..napenda kazi zako
Shukrani sana sana
@@AdamLeoStudios naomba nambari lako mi mkenya tunaeza kupa support
Adam nakukubali sn ku film zako zote
Shukrani
Mama mdogo mweusi 😂😂😂
Yaani
NZuri❤❤❤❤❤
Asante
Mimi leo wakwaza naomba like zenu😅😅😅😅
Endelea ku enjoy
Kaz nzur ❤❤❤🎉
Asante sana sana!
Filamu nzuri adamu
Asante sana
Nakukubali sana mwanangu sikupingi
Shukrani sana
Tunakupenda sana Adam uku Congo 🇨🇩🇨🇩
Shukrani sana nawapenda pia
Fan wako mkubwa sana Adam nko Kenya
Shukrani sana
Leo nimekuwa wa kwanza kutoka Gauteng Pretoria
Enjoy mkuu
Kazi nzuri sana nawafatilia nikiwa Sweden 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪see By Nepanepa Comédien 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝💥🙏❤
Shukrani sana sana
Kazi nzuri adamu
shukrani sana
jamni, nilipotea nimerudi tena kwa Adam
Asante
Adam umeweza sana
Asante sana
Kazi nzuri 🇧🇮
Asante
Nimekua wakanza kwa dakika moja 😅
Shukrani
Adam njoo kwangu 😂 achana na sakina
Eti eh
Sakina weeee kakosa mwana na maji ya moto😂😂😂
Yaani
Dada wa adam kaharib ladha ya movie 🙂
Atakaa vizuri tu, mpe muda.
Good Kaka 🎉🎉
Thanks
Nakukubali ❤
Asante
Huuu sakina atajuta baadaae😂😂😂
Umeona eh
From Germany 🇩🇪 watching
Thanks
Kali🙌❤️
Asante
Jaman i song inayoimba umu inaitwaje
Mapenzi yanauma
Mamuzi magumu yanataka moyo❤ safi sana Adam
Shukrani sana
Nimempenda Mansour anajua kuigiza😊
Asante
Adam anajua🤗
Asante sana
Hiyo michoro ya hapo kwenye uchochorro wa adamu na sakina nimeipenda
Ajhahaha jamani
Adam umenimaliza kwa hii movie nimeiregerea mara kumi
Asante sana
Adamu una saut nzur mashaaalah
Asante sana
Bro adamu ww ni mwanaume na nusu ❤ ❤❤ ❤
Naam Asante
🎉🎉❤adam leo
🙏🙏
Kaka ukopoa❤🎉
Mno
Na Kwann sakina 😂😂😂😂😂 nacyo fatuma?
Hahaha mwenye Sakina umefikiwa😂😂
@@AdamLeoStudios ahaaaa sijapedraaaaa🤣🤣🤣
Nizuri sana ❤❤
Shukrani sana sana🙏🙏
Una staili TUZO🎉
Unajua xna Adam Mpka basi bro..... ufanye mpango utowe na Amanda hua mwaua xna....hilo vibe twali mis cc mashabiki😅
Sawaa
❤❤❤ from 🇧🇮
🙏🙏🙏
Asanteni Mama kusema ukweri wewe ni mama sahihi kabisa
Naam
Mwendelezo kaka storry nzuri pia inaruhusu kuendelea kama vip sakini aolewe ma mansuri akapate kipigo huko mpaka akukumbuke mara miatano we unaonaje 😂
Hahhha yaani ngoja tuone!
Nakubali bro adam
Asante sana
Zinapendeza hizi filamu
Asante
Nzuri+camera iko clean sana
Asante
Brother mim ni Fan wako sana na hizi movies zako za mapenzi.
Huwa unafanya nakumbuka mambo mengi sana ya kitambo but.
Also hii song umetumia hapa imebeba hii movie kabisa yaani 10/10.
Share please this song if you don't mind brother ❤
Niko tayari hata kulipia hiyo song brother
Tutaiweka RUclips kaka
Kazi zuri Adam
Asante