AM SHOCKED!! Inside the New capital city of Tanzania DODOMA. Magufuli city built from the scratch

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 окт 2024

Комментарии • 99

  • @chesadennis254
    @chesadennis254 Год назад +8

    ❤ hongereni ndugu zetu. Kenya tuige

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 Год назад +3

    TANZANIA is growing and developing so fast. Bravo to late Magufuli and current gvt.

  • @RoseObonyo-nn7hb
    @RoseObonyo-nn7hb 2 месяца назад +1

    I'm glad to see no kenyan who typed anything bad and envious 🤗lakini sisi wakenya tukioneshana konza city watz wanajaza matusi na uwivu jamani majirani weee😢😅lakini hata hivyo hongera sana

  • @kuolnhialruot504
    @kuolnhialruot504 Год назад +6

    Absolutely, this is a great achievement. Around of applause to the people of Tanzania 🇹🇿

  • @kennedychanda9961
    @kennedychanda9961 Год назад +7

    I like it because you're thinking great stuff, the project is huge and quite encouraging this is the way to go coming up with morden cities and its structures, a big hand to the people of Tanzania, from Zambia.

  • @noriegacapadona9340
    @noriegacapadona9340 Год назад +13

    Don't be shocked may friend this is how we do in TZ we do things slow but sure that's why we use to say in our language (polepole ndio mwendo)or you can say (mdogo mdogo)that is TZ

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Год назад +2

      Sure

    • @josh_versal8180
      @josh_versal8180 Год назад +4

      Kuna mtumishi alishasema kwanini Tanzania tupo kama ivi tulivyo akasema MNYAMA ANAEWAKILISHA NCHI NDO JINSI INCHI ILIVYO HATA WANANCHI WAKE NDO WALIVYO muhangalie twiga sifa zake zote utakuja gundua hata watanzania ndo tulivyo kwanzia upole ukarimu,kuala majani ya juu na hata upeo wetu wakuona mbali ila kulifnyia kazi tunayo ona mbali ni taratibu

  • @berthatz
    @berthatz Год назад +7

    Unafanya kazi njema sana mdogo wangu..🫡👏🏾👏🏾👏🏾❤️🙏🏾

  • @B-horbir
    @B-horbir Год назад +6

    I love Tanzania couse its the country of my grandfather

  • @SalumSeif-w5y
    @SalumSeif-w5y 3 месяца назад +1

    nimekulia dodoma video hii imenigusa sana

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 Год назад +3

    Kazi nzuri Sanaa ndugu. Pongezi kwa uzalendo wa dhati. Salaam toka mwanza 🐟.

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 Год назад +4

    Magu mungu akupe punzko jema

  • @johnrugendo8521
    @johnrugendo8521 Год назад +3

    Vizuri sana kazi ienderee

  • @LightPlayMediaKe
    @LightPlayMediaKe 8 месяцев назад +2

    beautiful

  • @IreneZab
    @IreneZab Год назад +6

    woow,this is amazing

  • @utopolo543
    @utopolo543 Год назад +3

    Nice video Bertin

  • @SAMSONMSIMON
    @SAMSONMSIMON 2 месяца назад

    Beultiful magufuli city😊😊

  • @ezmexplores
    @ezmexplores Год назад +5

    Nice video man 🎉🎉🎉🎉

  • @seekinggodfilms6966
    @seekinggodfilms6966 Год назад +2

    Great video Kaka Asante sana

  • @magazijuto7991
    @magazijuto7991 Год назад +4

    Kazi nzr sana Bertin

  • @bazilmwakajila2923
    @bazilmwakajila2923 Год назад +5

    U have finally delivered on ur promise. Nice work Bertin.P'se cover for us NCC-Link area,where public institutions are being built.

  • @VeekoReal_space
    @VeekoReal_space 8 месяцев назад +2

    Waao, super video. Love it. Are you using latest Gopro 12? Very clear video. Editing is perfect and above all Magafuli was a hero. Tanzania shall be great 👍

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  8 месяцев назад +2

      I was using the phone. Google pixel. Currently I am using DJI pocket 3.

  • @ototek8037
    @ototek8037 Год назад +13

    Ni wachache sana wanaofaham kuwa myaka m5 ijayo Dodoma utakuwa mji wa pili kutoka mwanza, Dodoma ni kubwa sana hata wenyeji inawachangaya, kwa mgeni inabidi uzunguushwe nje ya mji kuanzia klomita 25 hadi 40 ndo utaelewa

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Год назад +3

      Ni kweli Dodoma ni kubwa sana....

    • @chamajoseph
      @chamajoseph Год назад +1

      Itazidi mwanza

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 10 месяцев назад +1

      ​@@chamajosephbaada ya miaka 5, mwanza na Arusha, ni cha mtoto kwa Dodoma!!

  • @bentaomari4272
    @bentaomari4272 Год назад +6

    Appreciation to you 🎉 toka kitambo nakufuatilia hatimae umefika jiji la asili yangu . Lini utakuja Kilimanjaro?

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Год назад +1

      Soon nitafika huko...Ni mkoa kwa mkoa....hadi watu waijuie Tanzania yote

  • @shattaWale-go2zr
    @shattaWale-go2zr Год назад +5

    Well planned,, the city will be big and morden
    I can't see any different between Tanzania and Nigeria
    Nigerian cities and Tanzanians are the same

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 9 месяцев назад +1

    Safi sana

  • @flalji2166
    @flalji2166 Год назад +2

    Very educational experience. Now it is no more PWD ( public Works Division)

  • @robbynasenya
    @robbynasenya Год назад +2

    Nice video kwakweli .......

  • @helsingvanny3199
    @helsingvanny3199 Год назад +9

    dodoma inahitaji train ya mjini maana mji wa serikali, bunge,mahakama, ikulu, soko, stand, airport mpya na taasisi za serikali ziko mbali mbali kweli kwaio train inahitajika!

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Год назад +3

      Kabisa...niliona pia wanampango huo wa kujenga trams na njia za BRR

    • @htx1873
      @htx1873 Год назад +7

      Commuter Train is much needed in these cities Dodoma , Dar es salaam , Zanzibar, Arusha and Mwanza . It will help a lot grow our economy & beautify our cities and become competitive in AFRICA . Viva Tanzania 🇹🇿

    • @thebossman4875
      @thebossman4875 Год назад +1

      ​@explorewithbertin Wow 😮 They are planning to build trams there? Where did you here this?

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Год назад +1

    Safi sana❤

  • @robertkabanza3210
    @robertkabanza3210 8 месяцев назад +1

    I have seen like 10 office buildings with the same design. That's boring. Each institution should its unique design and the designs should be complementary for the city's uniqueness. But thanks for the video.

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  8 месяцев назад +2

      There is another city called NCC link behind the parliament of Tanzania. It has different archtectures

  • @jamesjerome9476
    @jamesjerome9476 13 дней назад

    The Capital since 1973, officially 1977

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 Год назад +1

    Extremely good!

  • @AmriHaruna-l4z
    @AmriHaruna-l4z 7 месяцев назад +2

    Huu mji wawekezaji binafsi wataruhusiwa kwa mfano modern hotels

  • @jelenazivkovic3657
    @jelenazivkovic3657 Год назад +1

    Gde su ljudi?

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 Год назад +1

    Fenced walls why?Why not making gardens?

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Год назад +2

      Lets wait and see...

    • @picdotstudio4785
      @picdotstudio4785 Год назад +1

      It is a GOVERNMENT CITY, and All Assets belongs to Government should all be protected. I think they do so to make a Proper Management of their Assets.

  • @kiatu
    @kiatu Год назад +5

    Mmh our “Dodomangton” shaping up 😅. Seems like well planned

  • @SelijusiMalambo-c8k
    @SelijusiMalambo-c8k Год назад

    ongea vizri kingereza

  • @noriegacapadona9340
    @noriegacapadona9340 Год назад +1

    Don't be shoked this is how

  • @elishangoma8235
    @elishangoma8235 6 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣Hapo kwenye i am talking too much sasa, mtangazaji una ua kinoma😂😂😂

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Год назад +3

    Street lights hazivutii, bus stand hazivutii pia viko vidogo na sio standard sijui nani ame design uchafu huo, njia ziko nyembamba wangeenda kujifunza Ivory Coast na Abuja Nigeria , Kwa nini wasingejenga commuter trains

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Год назад +7

      Hebu tuwape muda kwanza....

    • @malikkb6444
      @malikkb6444 Год назад +6

      Abuja toka ianzishwe inamiaka 33. Huwezi kulinganisha na dodoma . Give it time. Pia maendeleo ya miundombinu ya mji yanaendana sambamba na population ya watu.

    • @mubarakacloud9698
      @mubarakacloud9698 Год назад +5

      Kuna watu wao wameumbwa kukosoa tu na kuringanisha na wengine yaani akili zako ni mgando

    • @mubarakacloud9698
      @mubarakacloud9698 Год назад +2

      @@explorewithbertin Achana nae huyo

    • @bazilmwakajila2923
      @bazilmwakajila2923 Год назад +7

      Abuja nje ya mji ndiyo kuna superhighways e.t.c lakini katikati ya mji au katika CBD huwezi kuweka dual carriageway pana kama hapo mtumba.Kwa maoni yangu wapo sahihi kwenye barabara za ndani ya mji kunatakiwa kuwa na walkways ,parks e.t.c.Hata hivyo kuna ring roads tatu zinajengwa Dodoma ambazo ni dual carriageways kama outer ring road, middle ringroad na inner ring road ambazo zitakua pana sana.

  • @theodoltheophil7858
    @theodoltheophil7858 Год назад +1

    Fika Bukoba City😅

  • @rebeccawinter472
    @rebeccawinter472 4 месяца назад

    Le Corbusier would be proud. Yikes, looks really awful and spread out. Can’t walk anywhere and everywhere is nowhere. Maybe it will get better as more buildings are finished and transit is provided for people,. Are those curbs going to be bike lanes? Or bus lanes? 🤔

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  4 месяца назад +1

      The city is Still under construction

    • @rebeccawinter472
      @rebeccawinter472 4 месяца назад

      @@explorewithbertin it will be interesting to see once people have made taken the houses and made them homes. Have taken the space and made it a *place*.

  • @jonathanmayifilua4266
    @jonathanmayifilua4266 Год назад +1

    THIS TOWN IS BUILD BY CHENESE INGENNEERS OR TANZANIANS

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Год назад +4

      Tanzanians.... through the building agency of the country known as TBA... Tanzania Building Agency

    • @edwinnanyaro6717
      @edwinnanyaro6717 Год назад +1

      And National Housing Corporation (NHC)... Chinese Firm has just 2 out of 25 buildings in this government city...

  • @nehemiaayo9527
    @nehemiaayo9527 Год назад +1

    Ukuvizuri kaka