Hawa wachezaji wamechoka Sana wametumika Sana wanahitaji kufyekwa wote ili kikosi kisukwe upya vyenginevyo Kama wachezaji watabamia Hawa Hawa mafadha wasiojituma Basi shida iko pale pale hata aje gadiola ,,,,,,😁😁😁
Mbona haya mambo timu zote zinapitia ni moments ambayo kila timu inafikiwa na wengine wanashuka daraja lakini wanajipanga wanarudi mchezoni lakini kukaumiana haina afya tunazidi kuharibu na wachezaji wanaingiza hofu tupeane moyo itasaidia
Ayo matokeo yanatufaa kulingana na ukubwa wa timu tuliyonayo Kwa sasa.Arf Bora tutolewe mapema kuepuka haibu kubwa ya magoli mbeleni
Nyie do mnaosababisha wachezaj wambovu kujiona wazuri
Tangu Tulivyoukarabati Uwanja Wetu Nakufufua Matunguli Yote Waliyoyazika Timu Malalamiko F.C Haijashinda Nabado. Mpaka Waseme.
😂😂😂😂mawe tenaaaa dah
Acha ujinga Ahmed Ally anacheza mpira simba timu kubwa
Shida mna midomo sana
Hawa wachezaji wamechoka Sana wametumika Sana wanahitaji kufyekwa wote ili kikosi kisukwe upya vyenginevyo Kama wachezaji watabamia Hawa Hawa mafadha wasiojituma Basi shida iko pale pale hata aje gadiola ,,,,,,😁😁😁
We tamk aljini umerogaje hapo
Bangi zingine hizi , yanga waliteseka miaka 4 lkn now imetulia wanapiga soka, Simba tujipange tujenge timu acheni kelele
Nawewe unataka upigwe miaka minne do uliziki inamana unavyo tafuta pesa ukipata Hadi umalize do ukatafute zigine acha bangi wewe
Ahmed ali kosa lake nn
Ahamed ali apigwe mawe kwa kosa gani
Anaogea uogo mwigi
😂😂😂
Yeye ndo anawaambia watu waende uwanjani😂😂😂
Bado hujasema
😂😂😂😂😂mawe tena
Yani mpaka tuseme
CHUKUA WEWE TIMU UIENDESHE KAMA UNADHANI RAHISI
Mlisema mpaka waseme ndo washasema
😂😂😂 😂😂😂Ahmed Ali mawe yanakuhusu 🖐
😃😃
Bora robertinho angekuwepo tungeshinda na pira kokoto kulko hivi.
Manura kazengua hamn kipa nishati
Mbona mapema 😅😅😅
Kwendaa Kwani usipokwenda wewe mpira hautochezwa😂😂😂😂😂
Nawewe Usije Mbagala Ukija Wewe Na Ahmed Ally Mtakiona.
Nchi ngumu hii,, ,,hadi mpira nao shidah
Mbona haya mambo timu zote zinapitia ni moments ambayo kila timu inafikiwa na wengine wanashuka daraja lakini wanajipanga wanarudi mchezoni lakini kukaumiana haina afya tunazidi kuharibu na wachezaji wanaingiza hofu tupeane moyo itasaidia
Toka amekufa marehemu
bado hamjasema 😂
Ahmed Ali umpige mawe kakufanya nn? Boya ww
hii imeenda
Ashamed hachezi yeye
Ww unaropoka tyuu .ww uache kuingia wanasimba wengine wataingia .afu pia umashindwa kuelewa wachezaji kisaikolojia hawapo sawaa.
Haendi mtu
Yule mbana pua lazima apigwe 😂
Nawe mtoa matako lazima ufilwe nyokowe 😅😅😅😅😅
Kudadeki aishie huko huko kwa wajinga wenzie mbagala labda amfuate mangungu. mwaka huu mpaka msemee
Ukistaajabu ya simba utaona yawaidadi
😂😂😂
Ahmed ali kosa lake nn