This is beyond freestyle, this is pure inspiration. They will not celebrate you nor make you famous, but you're the best Swahili hip hop freestyle rapper. Wewe ni Kaa La Moto kwa ukweli tu.
huyu jamaa ni mkali mtuva kenya kuna rappers wawili wazito kaa la moto na khaligraph noma sanaa#anakula vingi mpaka wajanjanja wanasema dharau hahahaaa la moto kaa ni balaa
Kalamoto kiumbe mkali but huyo babake hapo kando ndio ni moto wa kuotea mbali aisee .hata kalamoto afanye nini lazima aheshimu chenye alifinya cannibal .yani anamrespect kama nini soo alikuwa hapa afanye kazi nzuri na hata ukisikia hii beat ni ya cannibal
Who is still watching 2019 this, In Kenya hakuna mc wa freestyle zaidi ya kaa LA moto Kina khaligraph,king kaka ,octo wote wachoraji!!! Hawaizi freestyle...
There's no rapper in kenya mwenye punchline kali kama kaa la moto ..this is pure magic and talent
This is beyond freestyle, this is pure inspiration. They will not celebrate you nor make you famous, but you're the best Swahili hip hop freestyle rapper. Wewe ni Kaa La Moto kwa ukweli tu.
Kaa La Moto ni mkali sana walai, huyu jamaa anastahili apige kitu na Kaligraph alafu na yule jamaa wa Tanzania pia
Hata mzazi anakukubali sana vile tu hasemi but wanakuona KING wa EAST AFRICA HIPHOP..Love your flow and style...Endelea nakuombea mugu kila siku
King of Freestyle. Kaa la moto
My grand Pa told about bob marley
My father told about 2pac
I will tell my grand-kids about kaa la moto
One of the best 254 gat
I salute this brethren
Kaa la moto is number 1.Mbona ako underrated?
Kaa Laa Moto is so slept on.
Kijana hatari mbaya sana
#my no. 1 rapper in +254
2023 bado freestyle iko lit sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯
Kaa la moto kiumbe best freestyle artist in Kenya
2021 still tuko na kaa LA moto best freestyle in 254
That Instrumental is good af
Kaa la moto the best rapper 254
Rappers should be taking notes...daamn he got bars
2019 bado nasikiza mpka nalia broo ❤❤ 😰😰❤❤
daaaaah brazaaa unaweza xana ebana ndio alafu hiyo beat naeza flow nayo xana tu nikipewa chance
2018 na bado nafeel hii freestyle wee kaa ni hatari
#kaa LA moto umeweza hakuna wa kufanana nawe wote majungu tw pendexa xnr bro big up,free style iyo Kali mbna
heshima kwako kaa la motoo u ar gud in rapping
Nimetii aiseh
the best freestyle on mambo mseto
dah...kaa la moto!!
Dakika kumi za Maangamizi inakungoja Raia - Beat Zaidi Upeo!
Kali sana..Eric omondi msafi zaidi ya diamondi
🔥🔥🔥🔥👊👊👊 wagwan 👊
Kaa la Moto hana mpinzani... 🔥
nmbona kaka huskiki,ulivo mkali,wanatrendisha matumbiri kina simple boy ,dah kweli dunia !!!!!
huyu jamaa ni mkali mtuva kenya kuna rappers wawili wazito kaa la moto na khaligraph noma sanaa#anakula vingi mpaka wajanjanja wanasema dharau hahahaaa la moto kaa ni balaa
kali xana media ndio zinabania tuu
Kalamoto kiumbe mkali but huyo babake hapo kando ndio ni moto wa kuotea mbali aisee .hata kalamoto afanye nini lazima aheshimu chenye alifinya cannibal .yani anamrespect kama nini soo alikuwa hapa afanye kazi nzuri na hata ukisikia hii beat ni ya cannibal
Utu mazuma salute
FELLOW B toka Mombasa is next up
Bado Niko hapa 2021
Kaa la moto is very underated
NAKBALI XANAA MKALI KAA LA MOTO AM ON THE WAY BRO NI DON PYZOR
hadi leo bado naskiza hii freestyle
wow - dope
inspiration mazee|| rap kali Kaa Laa Moto
The hiphop king of 254 halaaa
Bt,broo i need collaboration ya wwe na khaligraph johns ingine badae
he sounds like Bongo oriented
mambo bada kaa la moto
wooooww
Pure hip hop
hiphop king
kali saana
Hiyo instrumental inaitwaje aki
Muito bommmmmmmm
Kaa la moto moto kweli
Original beat tutafika by Akidah from turkana
wah yuko juu tuu sana
nimetii
Hahaha kaa la Moto Moto sana
Nomaree
Role model
NIMEPENDA,TALNTA IPO WATU WANGU,MISTARI HATARI
Kiumbe🔥
fantastic
Who is still watching 2019 this,
In Kenya hakuna mc wa freestyle zaidi ya kaa LA moto
Kina khaligraph,king kaka ,octo wote wachoraji!!! Hawaizi freestyle...
We bana kaa ni nom
KLM💥💥💥
Habari ndio ndiyo
Broo hio ulibomoa
KING
Nachekii carnibal
Hakuna kama KLM
Kaa La Moto ni mkali sana walai, huyu jamaa anastahili apige kitu na Kaligraph alafu na yule jamaa wa Tanzania pia
Apige collabo na akina ROSTAM
Kaa la moto Abbas kubaff ft stamina...
This is our Kenya. Dizasta