"Hatupendi kusikia mtu anazungumzia kifo cha Padre Francis/Mungu anajua kila kitu/Tumepokea"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025
  • Moja ya viongozi wa Shirika la Padre Francis aliyefariki Jijini Dar Es Salaam amesema wao kama shiringa wasingependa kusikia mtu yeyote akiendeleza mazungumzo kuhusu kifo cha Padre huyo kwa wakati wake wa kuishi umepita na Mungu anajua kila kitu.
    "Hatupendi kusikia mtu anazungumzia kifo cha Padre Francis/Mungu anajua kila kitu/Tumepokea"

Комментарии • 41