THE JUNGLE FIGHT | Pambano lote Katompa ampiga tena Dullah Mbabe - 25/11/2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 291

  • @noelypavementblocks6033
    @noelypavementblocks6033 11 месяцев назад +7

    ibrahim class, ni bondia mzuri sana, lakini kwa naona kama amejishushia hadhi yake, amezungumzia uzarendo na upendeleo wa ki home home vitu ambavyo vimekua vikiharibu mabondia wetu, kwa kuwafanya wajione kama wamefaulu, kumbe wanaendelea kudumaa kwa kulishwa upepo tu, bat fo me, nimeona dula kapigwa.

    • @jafarisalum2629
      @jafarisalum2629 11 месяцев назад

      Oya tunaweza wabongo ila figisunyingi mabondia wetu wakienda nje wana nyanya sika nashanga sisi watanzania hatupendani kwasababu yatonge

  • @feysalkhamis5539
    @feysalkhamis5539 11 месяцев назад +2

    Dula mbabe unaamini zaid nguvu zako Ila hauna mbinu na ujanja wa kupigana. Tafta kazi zingine ufanye ngumi huziwezi usiliaibishe Taifa la Tanzania.

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 11 месяцев назад

      Kweli kabisa hatumii akili kupigana ,nguvu bila mbinu ,hana utulivu pambano linapoanza

  • @HusseinAndrewMlagi.Mzeewasslow
    @HusseinAndrewMlagi.Mzeewasslow 11 месяцев назад +1

    Shekh mkuu ndugu pole shekh wangu ushauli wangu jifunze gadi mwanangu!.

  • @arnoldethan8699
    @arnoldethan8699 11 месяцев назад +3

    Ibrahim Class mwenyewe alibebwa na Pendo Njau.

  • @aloiskwete4906
    @aloiskwete4906 11 месяцев назад +2

    Bravo champion Katompa l'arbitrage était vraiment en dessous de moyenne

  • @mkatalunyadante2224
    @mkatalunyadante2224 11 месяцев назад +2

    Kwenye hili pambano la dullah na katompa refa na anamapungufu sana

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 11 месяцев назад +2

    Hongera dulla kwa kurud kwenye ubora wako ad umemaliza pambono kiduku akae kwa tahazari atapasuka

    • @philiponnkolima7950
      @philiponnkolima7950 11 месяцев назад +1

      Kapigane na wewe dura kapigwa ilibaki kunyosha mikono uvumilivu tu ndio ishindi wa Leo angepewa ushidi pambano LA ngumi lingekosa watazamaji ingekuwa mieleka

  • @gman3245
    @gman3245 11 месяцев назад +2

    Katompa small headed and speed work a very big advantage to him.

  • @mussayusuph627
    @mussayusuph627 11 месяцев назад +3

    Ibrahim Class Tanzania 🇹🇿 nzima Wewe peke ako ndio unajua kupigana ktk Ring Tunakutegemea Kupeperusha bendera na kuheshimisha Taifa letu la Tanzanian Ni Hayo Tu.

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 11 месяцев назад

      Kwaule ujinga alioongea baadayapambano nae nimjingatu

    • @maandaziimakavuu3790
      @maandaziimakavuu3790 11 месяцев назад

      Ibrahimu amejishishia heshima dula kapigwa kama mtoto na kama sio refa kumbeba alikuwa hamalizi round huyu!!!

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 11 месяцев назад +11

    Jaman mimi matus ctaki ila dulla na twaha kiduku wote awajui ngumi

  • @mamboleotv1
    @mamboleotv1 11 месяцев назад +2

    Ndugu yetu Dullah kiwango kimeshuka na power yake imepotea Sana anapaswa kubadili tabia ya kujiamini kuwa ngumi ni mdomo badala ya mazoezi ya kiufundi na mbinu nguvu pekee bila Akili na mbinu ipo siku heshima yake itapotea kabisa,,

  • @infotechtz5837
    @infotechtz5837 11 месяцев назад +3

    Dullah nmekuvua vyeo. Ulijisifia hamna ngumi za kuku utapiga ngumi utamu kunoga, ila ulivyopigana very disappointing hata master sidhan kama atakua amefurahia. Bora ujipe break kubwa ukafanye mazoezi ya technic.

  • @vistarog
    @vistarog 11 месяцев назад

    Nice one mbabe

  • @twalibkatuli5318
    @twalibkatuli5318 11 месяцев назад +3

    Dullah amejitahd ila uwezo wake kwa katompa hamuwez jamaa ni shegdar😂😂

  • @binseif2216
    @binseif2216 11 месяцев назад +1

    Ngumi za bongo zinafurahisha,comedian

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 11 месяцев назад +1

    Dulla katika maisha yako uwezi kumpiga katompa mpaka unakufa umuwezi katompa

  • @SaidSaid-hd1wv
    @SaidSaid-hd1wv 11 месяцев назад +1

    Dulla man katompa humuwez nasem ten humuwez ach lawam watanzania wote masha hid umepigw bro shid nin bro

  • @khalifatito6145
    @khalifatito6145 11 месяцев назад +5

    Kitu nilichojifunza kwa dula ni kumdharau selemani kidunda na kuhisi yeye ni zaidi ndio maana alihitaji kurudiana na katompa bila kusahau nusu mtu nusu jini ana mbinu nyingi za kivita ndio maana katompa aliomba poo

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 11 месяцев назад +3

    Nilichokiona uwezo wa dullah ni mdogo kwa katompa ,hivyo tunapaswa kumpongeza kwajitihada alizoonyesha zakukamilsha raundi na mtu aliemzidi uwezo

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 11 месяцев назад +3

    Naweza semaje kuhusu dulla mbabe? "ni mpiganaji mzuri sana mwenye matumizi madogo ya akili"

  • @abdukhan4718
    @abdukhan4718 11 месяцев назад +2

    *Nilichogundua kwanza Dula mbabe ni mzito wa kurusha ngumi.
    Lapili pia Hana techinic nzuri ya kumsoma mpinzani wake....
    Hapa lazima ukikutana na bondia mzoefu akupe kichapo.
    Kisha kujilinda hajui...

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 11 месяцев назад +3

    Nchiyetu maneno meengi mmtu kajipanga mudamleefu afu anacheza lound 3 ! Mi mbana kidunda mwakinyo nawakubali saana sema wengine wapo wanajua

  • @GulamFaza-fx8ik
    @GulamFaza-fx8ik 11 месяцев назад +3

    Dulla Wacha kulaumu majaji umepigwa,nenda kaangalie nawe hiyo video ndo utajua ukweri. Mi binafsi nilikuwaga nawalaumu saana majaji wa kitanzania kwa upendereo. Ila hii game pongenzi nyingi kwa majaji mmetenda haki

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 11 месяцев назад +2

    Dullah bwanaaaaaa UMEKUWA Dullayooo huyu Katompa Kawa msumbufu kwa Boxing WA Tanzania

  • @MbarukuMzee-p8w
    @MbarukuMzee-p8w 11 месяцев назад +3

    Umejiaribia ibra ila dula kapigwa bila nongwa iyo mcheza kwao hutunzwa Mambo ya kizamani unajiliza Kama choko vile uliaji wa kinafki

  • @adamsaid6217
    @adamsaid6217 11 месяцев назад +1

    Itoshe kusema dulla amshukuru sana refa

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 11 месяцев назад +1

    Kati ya siku nimewazarau Hawa vijana wawili wakitanzania nijana, ngumi nimchezo wazi Kila mtu kaona, Big-up sana rais wachama changumi,,, hawa vijana nimihemko TU, Dulla alipigwa haswa huyu mtt classic alitaka Dulla abebe? Kamejishusha sana haka karembo narasta zake

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 11 месяцев назад +1

    Watangazaji washenzi sana hawamtaki mbabe

  • @khaleedmohdy3972
    @khaleedmohdy3972 11 месяцев назад +1

    Dulla game umeipania Sana kiasi cha kwamba umekuwa fiti mpaka umepitiliza umekuwa mzito cku nyengine relax

  • @hassanmichael7068
    @hassanmichael7068 11 месяцев назад +4

    Mimi nashauri Dulla angerudi kijijini msanga akaanzishe kilimo cha bangi

  • @saidirandon
    @saidirandon 11 месяцев назад +4

    Katompa kashinda kialali kabisa lakn dawayake kidunda uyo😮😮

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 11 месяцев назад +2

    Kwangumi hizo dullah tena nyumbani???aaaah hufiki popote huwezi kuwa yanzania one!!😂😢😢😢

  • @abdulathuman5629
    @abdulathuman5629 11 месяцев назад +5

    Dulla amepigwa kazidiwa akubali tu

  • @mkata_umeme_kante
    @mkata_umeme_kante 11 месяцев назад +2

    Dulla mbabe pumbavu, umepigwa kihalali kabisa, na kwanza umshukuru Huyo refa amesaidia sana kukupumzisha la sivyo ulikuwa UNakula KO round ya 7, pumbavu

  • @juniorsonofgod5675
    @juniorsonofgod5675 11 месяцев назад +1

    Katompa🔥🔥🔥💪

    • @zainabukombo411
      @zainabukombo411 11 месяцев назад

      Unyam n mwing ERICK KATOMPA upw maua yak ..n pole San n kufiw n mzaz sku moj kbl y pigano dah😢

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 6 месяцев назад +1

    Dula amekata upepo😂😂

  • @aliymwazoa3051
    @aliymwazoa3051 11 месяцев назад +1

    Pole sana champion lkn mwanangu nilikushauri sana usirudie tena game na katompa.ila washauri wenzangu kwako walikua na uzito nanafasi zaidi kwako.

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 11 месяцев назад +1

    Hizo points Dullah kapendelewa

  • @Ndalolusulo-yt2ol
    @Ndalolusulo-yt2ol 11 месяцев назад +4

    Mnasemaje dulla anamuweza mwakinyo?

    • @zainabukombo411
      @zainabukombo411 11 месяцев назад +1

      Akimuwez mwakinyo mi nakuw wa kiume kimiujiz na ntapand ulingon na dula tuzichape🙌mwakinyo analeval zak sio dulla hamfikii

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 11 месяцев назад +2

    Sasa Dula alikua analalamika nini humuwezi huyu mwamba ata mpigane mara mia anakupiga zote. Dulla hajui ngumi hana tecknicks yeye ni kurusha mingumi kwa nguvu tu. Mtafutieni mabondia wale wachovu wachovu sio kwa Katompa. Hamuwezi.
    Ibra class unajiliza kiuongo uongo ili Dulla aone upo pamoja na yeye hiyo game dulla toka round ya 3 anapigwa mpaka ya mwisho

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 11 месяцев назад +4

    HUYU NI ABDALLAH PAZI NA SIYO MBABE TENA😪😪

  • @mateotours6179
    @mateotours6179 11 месяцев назад +4

    tunaomba pambano la jamaa alie mpiga twaha acheze na sele kidunda

    • @madalasela3984
      @madalasela3984 11 месяцев назад

      Kweli kaka nakuunga mkono daah itakuwa babkubwa

  • @abdulsintoro5797
    @abdulsintoro5797 11 месяцев назад +2

    Hapana Dullah!! Kapigwa japo hata refa kambeba kwa kumpumzisha lkn bado dulla haja bebeka…tena dulla ilibidi apigwe tko kaponea…dullah pumzi bado…

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 11 месяцев назад +3

    Huyu dullah hiyo pesa aliyopata hapo akanunue jembe awe mkulima hajui ngumi na hata jua ngumi milele

  • @michaelkitinga9594
    @michaelkitinga9594 11 месяцев назад +2

    Ibraclass anadhani anaweza kuwahadaa watanzania kwa machozi yake, lakini ukweli ni kwamba hata majaji wangetoka mbinguni Dulla alipoteza pambano hilo kihali kabisa.

  • @kimatikimati3872
    @kimatikimati3872 11 месяцев назад +3

    Umesha fanya meng kaka pumzika sasa unaendelea2 kualibu ulicho kutengeneza kw muda mrefu

  • @shabanimiyumbaniki6021
    @shabanimiyumbaniki6021 11 месяцев назад +1

    Onfire😅

  • @JoshuaHamisi-c2s
    @JoshuaHamisi-c2s 11 месяцев назад +1

    Dulla Bado sana kujua ngumi mikono Haina speed

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani 11 месяцев назад +3

    Angalieni gem ya tyson fiur na ngomau nani alipigwa nani alishindwa hapa hakuna usisi

    • @mateotours6179
      @mateotours6179 11 месяцев назад

      dula kapigwa ndugu hazarani

    • @gilbertjoseph5632
      @gilbertjoseph5632 11 месяцев назад

      Naungana na Ibrahim Classic pamoja na @BanabasFabian Kuna kitu kwenye fight yeyote ile ambayo ni uzawa. Mfano wako mzuri Tyson Furry na Ngomau mshindi ni Ngomau fighting nyingine kubwa ni Mywether vs Pacquiao. Hata kama mtu wako kapigwa unaangalia zile points zako za awali Ili kutia morali kwa wapiganaji. Maana boxing ni mchezo mgumu sana

  • @TwahaIddy-v2r
    @TwahaIddy-v2r 11 месяцев назад +4

    Ibra una heshima kubwa tz lakin mambo madgo yatakuvua heshima kubwa ulionay tuwe wawaz tuuu game katomp kapewa kihalali kabisaaa

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 11 месяцев назад

      Kama kunamtu anasema dula hajapigwa huyo mtu ni chizi

  • @SaidiJuma-b4k
    @SaidiJuma-b4k 11 месяцев назад +3

    Hata kama amepigwa amepambana bwana huyo jamaa si mtu mzuri

  • @menancemhombwe2267
    @menancemhombwe2267 11 месяцев назад +3

    Dulla hamna kitu heti nae ibra anaongea pumba. Pumbafu sana

  • @omaryally1532
    @omaryally1532 11 месяцев назад +1

    Refa kazingua sana dulla ameisha apumzike tu

    • @muhsiniissa8151
      @muhsiniissa8151 11 месяцев назад

      Katumia mbinu kibao za kustopisha mchezo ili kupoteza mda dula apumue kidogo lakini hazikusaidia chochote

  • @HossenMgaza
    @HossenMgaza 11 месяцев назад

    Nimeenjoy sanw

  • @hassanhussein-ow7qh
    @hassanhussein-ow7qh 11 месяцев назад +1

    Shout out to nasibu ramadhan

  • @dny..lgl..
    @dny..lgl.. 11 месяцев назад +2

    Mmh kila ngumi inapiga uso 😮 sasa dula analalamika nini

  • @emmanuelmapuga2671
    @emmanuelmapuga2671 11 месяцев назад +2

    Dulla hajui kukwepa radha kabsa kifup ngumi hajui kabsa

  • @ramadhanimohamed4190
    @ramadhanimohamed4190 11 месяцев назад +2

    Yaan mabondia wa tz wanajina lkn awana uwezo kabisa yaan dulla anapigana km bondia anae anza sasa ngum yaan ngum za dula zina toka mgongoni kabixa

  • @sigfreadtemba8667
    @sigfreadtemba8667 11 месяцев назад +1

    Cha kumshukuru Mungu ni kwamba hakupigwa knock out

  • @yahayarashidngabuja632
    @yahayarashidngabuja632 11 месяцев назад +1

    Tatizo la mabondia wetu wa Tanzania 🇹🇿 wanaendekeza ngono sana ngumi hazitaki hivyo

  • @universitylink
    @universitylink 11 месяцев назад +1

    Round ya kwanza mpaka nne dullah alikuwa vizuri baada ya hapo amekuwa kama amechoka

  • @MuuYascohy-oc7os
    @MuuYascohy-oc7os 11 месяцев назад +2

    Round ya kwanza ad ya 4 Dulla aliongoza kuscore kuanzia round ya 5 na kuendlea dulla alikata upepo

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 11 месяцев назад +2

    Ni huruma tu ya refa Dula angepigwa kwa TKO

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 11 месяцев назад +1

    Ibrah clasic ni mshenz sana pambano zima anamponda dullah tu halaf mwishoni anajifanya kuenda kuongea upumbavu

  • @hassansalim7673
    @hassansalim7673 11 месяцев назад +1

    Refarii wa ngumi ni yule dada tu😢

  • @hassannassoro5542
    @hassannassoro5542 11 месяцев назад +2

    Mimi Dura simuelewagi hata kidogo . Anachoka Haraka sana. Aaaache Mabange

  • @jumaiddy441
    @jumaiddy441 11 месяцев назад +1

    Tanzanian bondia niwawilitu Ibrahim class na Mwakinyo japokua mwakinyo wanampigazengwe sana kwaajiri yamisimamo yake

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 11 месяцев назад +1

    Kajitahidi dula jamani

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 11 месяцев назад +2

    Refa anapoteza muda sana ili Dulla apumzike

  • @maandaziimakavuu3790
    @maandaziimakavuu3790 11 месяцев назад +2

    Umepigwa kialali acha kujitetea utaonekana mvuta bangi!!?

  • @hussensharifu4884
    @hussensharifu4884 11 месяцев назад +1

    Dura kapigwa jamani

  • @reganuisso1256
    @reganuisso1256 11 месяцев назад +2

    Dula hanaga pumzi ya mda mrefu..pumzi yake inakata mapema Sana..alafu ngumi zake hazfkagi penyewe

  • @tnt5965
    @tnt5965 11 месяцев назад +4

    Ibra lakini unajua ku act,

  • @IbrahimuMussa-dt3tf
    @IbrahimuMussa-dt3tf 11 месяцев назад +1

    Pumzika ngumi kaka

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 11 месяцев назад +1

    Apigwe sana Dula ameshidwa ngumi akawa chawa wa Mwakinyo tu

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 11 месяцев назад +1

    Uyu dullah nae mnhhh ushuzi

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 11 месяцев назад +2

    Refa alikuwa upande wa dulla angekuwa alishapigwa mda kabebwa

  • @josephatmasawe5924
    @josephatmasawe5924 11 месяцев назад +1

    Kapugizwa vitasa vya maana sana

  • @Faidaozil
    @Faidaozil 11 месяцев назад +1

    Tabu ni ile ile

  • @HamisiMahala-s2s
    @HamisiMahala-s2s 11 месяцев назад +2

    Simba vs gang 1938

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 11 месяцев назад +2

    Duh! Mmtu kazabuliwa nyumban !!!

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 11 месяцев назад +1

    Dula nguvu ya Energy drink , usipigane tena na huyu msukuma waambie wakutafutie viazi viazi ili uendelee kupata ela kupitia ngumi kinyume na hapo nunua ata boda boda utafute ela kws njia hiyo achana na ngumi

  • @muadhihassan4486
    @muadhihassan4486 11 месяцев назад +1

    Ukitazama dullah anafanana na kiduku wote wako hivi

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 11 месяцев назад +1

    Ata ukiangalia tu urushaji wa ngumi, katompa anarusha kiproffesheno zaidi, dulla pumzi hana, pumzi imemuishia toka round ya 4, pia katompa stamina yake ni kubwa mno😅😅

  • @erickcharles1605
    @erickcharles1605 11 месяцев назад +1

    Dula Bora uwe mchawi tu ngumi uwezi.

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 11 месяцев назад +1

    Endapo ushindi angepewa Dulla,,,, Ngumi nisingeshabikia tena Bongo!!
    Dulla kapigwa kwa kila kitu

  • @sigfreadtemba8667
    @sigfreadtemba8667 11 месяцев назад +1

    Kiukweli Dula hana uwezo wa kupigana na Katompa kwani katompa kamzidi vitu vingi sana

  • @AbrahBuraheze
    @AbrahBuraheze 11 месяцев назад +3

    SASA APO IBRAHIM ANALIA NINI 😂😂😂😂😂😂😂😂 NIMETAZAMA MWANZO MWISHO HATAKAMA MM SUO JAJI KIUWELI DULA KASHINDWA KWA PWENT 😂😂😂😂😂😂😂AANGALIE MWENYEWE WAPI KACHEMKA

  • @kanukanute1514
    @kanukanute1514 11 месяцев назад +2

    Mbn amsem Kam dulla anawai kukata pumzi

  • @ALOYCEPETER-kp6rf
    @ALOYCEPETER-kp6rf 11 месяцев назад +1

    Dulla atafute kazi za kufanya so kudhalilisha tz kistyle itmeans mda wote aliokuwa akifanya training ndo upuuz gan kaja kuonesha ulingon sometime kuretire ni heshima

  • @abdallahussi2978
    @abdallahussi2978 11 месяцев назад +2

    Leo dulllar na ibra akili zao zikishatulia na wakishanawa futa machozi
    Waliangalie upya hili pamb

  • @FrancisNewton-y2n
    @FrancisNewton-y2n 11 месяцев назад +2

    😂😂😂 Abdala buanaa

  • @paschaljunior3478
    @paschaljunior3478 11 месяцев назад +1

    Dulla hajui Ngumi, lakini refa nae analeta Mambo ya kizamani, ndo maana marefa wetu hawauziki nje ya nje! Hawafuati sheria na walichosomea( Professional ethics and conduct) Hawafuati wanafuata matakwa au mapenzi binafsi. This is Boxing professional sio Ngumi za Buza na mbagala. Poor performance RUTA.. Mhaya wa ajabu

  • @sirpurkinje2836
    @sirpurkinje2836 11 месяцев назад +3

    Katompa kwa Bongo kwa sasa anapigwa na Seleman kidunda tu, huyo ndo babaake.

    • @HajiMbange
      @HajiMbange 11 месяцев назад

      KATOMPA ANAPIWA NA KIDUNDA TU NDO MASTA WAKE LKN DULLA NGUMI ZINAANZIA .MGONGO KWENDA KWA MPIMZANI

  • @philiponnkolima7950
    @philiponnkolima7950 11 месяцев назад +1

    Angepigwa katompa pambano la ngumi lingepungua ushabiki na mimi ningeacha kuangalia

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 11 месяцев назад +1

    Dulla acha utani umepigwa sana siyo kidogo hata kama wangeamua kukubeba kizalendo ngumi za Tanzania zingepata aibu kubwa. Huyu bondia amekuzidi kila. Kitu. Ibra Class umekosea kweli kumtetea jamaa wewe ni mtu wa ngumu ulitakiwa kusema ukweli sijaona round ambayo Dulla ameshinda

  • @nelsonmtaturu5298
    @nelsonmtaturu5298 11 месяцев назад +1

    Dulla angalia marudio theni jitolee point umepgwa kihalali😂

  • @JovitherJohn
    @JovitherJohn 7 месяцев назад

    Kabisa hujakosea

  • @Abdalah-k8v
    @Abdalah-k8v 11 месяцев назад +3

    Dull kz zp nyng me nakushaul achan na kz ya ngum kachez vang ndo fan yen wazalam usije fia ulingn

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 11 месяцев назад +1

    Katompa anaoneka anamsoma Sana Terence Crawford