Msomali - Unitaki (Official Singeli Music video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 83

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic 7 месяцев назад +11

    UNITAKI LYRICS
    Future
    Pacheko midundo
    Vitamin Music forever
    Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
    Sms huzionii (nalia mama aah)
    Simu haupokeii (nalia mama aah)
    Naukipokea hauongei (nalia mama aah)
    Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
    Sms huzionii (nalia mama aah)
    Simu haupokeii (nalia mama aah)
    Naukipokea hauongei (nalia mama aah)
    Aahh
    Kamwe sitoacha kukusumbua
    Hata ukinivimbia nitavumilia
    Kamwe sitoacha kukusumbua
    Hata ukinivimbia nitavumilia
    Aaa
    Wewe ndio umefanya nikayajua aya
    Mwaya wewe akili yangu ukaitimua aya
    Mwaya wewe nilipopenda ndo nilipo bugi mie
    Uaminifu wangu ndio umeniponza mie
    Kama chupa limeamka na chai nashtuka
    Sijiwezi nipo hoi
    Kwani mi kuyajua nimechelewa
    Ama kwa penzi lake nimenogewa
    Kwani mi kuyajua nimechelewa
    Ama kwa penzi lake nimenogewa
    Eti kama kambale nateleza peke yangu
    We upo mbali sikuoni my wangu
    Eti kama kambale nateleza peke yangu
    We upo mbali sikuoni my wangu weeeh
    Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
    Sms huzionii (nalia mama aah)
    Simu haupokeii (nalia mama aah)
    Naukipokea hauongei (nalia mama aah)
    Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)
    Sms huzionii (nalia mama aah)
    Simu haupokeii (nalia mama aah)
    Naukipokea hauongei (nalia mama aah)
    Maumivu uliyonipa donda lisopona
    Nahisi nitazikwa aah nimekoma
    Maumivu uliyonipa donda lisopona
    Nahisi nitazikwa aah nimekoma
    Nikiuliza vip anajibu utajua ujuii
    Kwani vipi inamaana hanitambuii
    Inamaana sauti yangu haijuii
    Ama mi ndio sipendwii sijuii
    Inamaana sauti yangu haijuii
    Ama mi ndio sipendwii sijuii
    Mudy K shemeji yenu anijui
    Hata nikimtazama usoni hanitambuii
    We msizwaa shemeji yenu anijui
    Hata nikimtazama usoni hanitambuii
    (nilipopenda ndo nilipo bugi mie
    Uaminifu wangu ndio umeniponza mie)

  • @pilliycharles4895
    @pilliycharles4895 10 дней назад +1

    Msomaliii🙌🙌🙌

  • @CraigDevson90
    @CraigDevson90 Год назад +3

    Goma nalikubali sana mwanangu sana💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

  • @KhadijaRamadhani-w8v
    @KhadijaRamadhani-w8v 18 дней назад

    kaka ww nomasana ❤❤

  • @hassansukari5211
    @hassansukari5211 4 месяца назад +2

    Daah 2024 tujuaneee💔🙏

  • @maulid1950
    @maulid1950 2 года назад +8

    Vitamin forever tunaishi kwa roho saaafi pamoja mpaka kwenye malengo

  • @frankkabwe1848
    @frankkabwe1848 2 года назад +3

    Kaka unaweza kuomba halafu unasauti zuli hakika mungu aijalie kazi yako

  • @MariaDamas-g8x
    @MariaDamas-g8x 11 месяцев назад +2

    Unajua san msomali nakupenda mnoo❤

  • @bigirimanawilson6478
    @bigirimanawilson6478 5 месяцев назад +1

    Huyu mwamba namkubali kinoma❤❤

  • @JuliusMichael-w7g
    @JuliusMichael-w7g 2 месяца назад

    Msomaliii big up ❤🎉🎉 forever

  • @ChelestinaLinusi
    @ChelestinaLinusi 9 месяцев назад +2

    Unajua Sana msomali jaman nakupenda sana❤❤❤

  • @AlfredJeremia
    @AlfredJeremia 9 месяцев назад +4

    Unajua bwana😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤

  • @josephkazimoto-cc3tm
    @josephkazimoto-cc3tm 11 месяцев назад +1

    Oyah! Msomalii👊👊👊👊👊

  • @alexjohn-xx11
    @alexjohn-xx11 Год назад +2

    noma shekh♥♥♥

  • @pinkbabe5090
    @pinkbabe5090 2 месяца назад

    Bro unajua ❤❤❤

  • @Ibnansoo
    @Ibnansoo Год назад +1

    Broo una weza na unajuwa kwanza saut unayo big up

  • @KalimuAbasi
    @KalimuAbasi Год назад +1

    Ii ngoma kali sana kak

  • @yujnjuma9481
    @yujnjuma9481 2 года назад +2

    Iko vzr🔥🔥🔥🔥❤️

  • @iddymbonde5812
    @iddymbonde5812 2 года назад +2

    Tunaishi kwa roho saaafiiiii
    ✍🏼✍🏼 D Love Mc 📞

  • @KilokoKiloko-zt1yg
    @KilokoKiloko-zt1yg 9 месяцев назад +2

    Unajuwa sana msomali

  • @swaumsaidi2115
    @swaumsaidi2115 2 года назад +1

    Ngoma Kali sana kak unajua kuimba

  • @peterchibya
    @peterchibya Год назад +1

    Tunaish kwa roho safi🤝

  • @MuddYMuzunGu-e8j
    @MuddYMuzunGu-e8j 4 месяца назад

    Umetixha jeshi

  • @faridaabdul6708
    @faridaabdul6708 2 года назад +1

    Unajua sana kaka by natoria

  • @fareedbellah5537
    @fareedbellah5537 2 года назад +2

    Tunaishi Kwa Upendo ❤️
    Tajiri Fareed🥂

  • @GeorgeMabula-e1e
    @GeorgeMabula-e1e 2 месяца назад

    Unajua mwanetu ongeza bidii

  • @IsikeGerda
    @IsikeGerda 5 месяцев назад +1

    Umetish kk pamoj xan vitamin muxic phorever

  • @Malikiselemani-n1o
    @Malikiselemani-n1o 5 месяцев назад

    bonge la ngoma

  • @RaisiWakigoma
    @RaisiWakigoma 6 месяцев назад

    Nakubali sana kaka

  • @ballo59-k6n
    @ballo59-k6n 2 года назад +1

    Bonge la ngom msomali umetixh xan

  • @amyjofficial9890
    @amyjofficial9890 2 года назад +1

    Daah kaka mwanao meme ndo nahisi umeniandikia ili nimuimbie shemejiako daaah an nikifikilia

  • @mickdadyronaldo4113
    @mickdadyronaldo4113 Год назад +1

    Mwanangu unajua mno

  • @magezirajabu5654
    @magezirajabu5654 2 года назад

    Cjawai kukupinga💥💥💥

  • @everythingidoformybutterfly07
    @everythingidoformybutterfly07 Год назад +1

    I put you on my wallpaper 🎉

  • @JojiTarimo
    @JojiTarimo 4 месяца назад

    Oooooy bro wewe nifundi San mno

  • @noelgodson5793
    @noelgodson5793 7 месяцев назад

    YAN WW N WA KIPEKEE SAN KKA UNAJUA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  • @emmanueledward1956
    @emmanueledward1956 2 года назад

    respect broo sikupingi unajuaaa

  • @romeotv7954
    @romeotv7954 2 года назад

    Hii nyimb n Kal knm on trending

  • @youngcrazy-u6p
    @youngcrazy-u6p Месяц назад

    🎉🎉🎉

  • @BurnaboyMnyamwezi
    @BurnaboyMnyamwezi 5 месяцев назад

    Unajuwa kuimb san

  • @amyjofficial9890
    @amyjofficial9890 2 года назад

    Ni ukalii mzee

  • @SnanGraphix
    @SnanGraphix 2 года назад

    Safi sana blood

  • @abdallahomary5900
    @abdallahomary5900 2 года назад

    Mabalaa🔥🔥🔥🙌

  • @brian-wu1kw
    @brian-wu1kw Год назад +1

    Unyama ni mwingi

  • @thanoixjp4099
    @thanoixjp4099 2 года назад

    Ma gee 🔥🔥🔥🔥

  • @JosephHaule-y3p
    @JosephHaule-y3p Год назад

    Ngoma Kali m

  • @k.star_official2063
    @k.star_official2063 2 года назад +1

    Msomal 🔥🔥

  • @zulfakassongo1185
    @zulfakassongo1185 2 года назад

    Broo unajua xana

  • @AbdulaziziAbasi-r7l
    @AbdulaziziAbasi-r7l 3 месяца назад

    Kaka unajua

  • @mrishojordan6285
    @mrishojordan6285 2 года назад

    Uwezo mkubwa kizazi

  • @abilahxela
    @abilahxela Год назад

    Unajua ckupingi for lever brow

  • @chinaboy-26
    @chinaboy-26 7 месяцев назад +1

    👊🏿👊🏿👊🏿

  • @binjaji310
    @binjaji310 Год назад +1

    Blood

  • @feisaldasilvajr311
    @feisaldasilvajr311 2 года назад

    Tamuuu

  • @CollinsMollel-hl9lb
    @CollinsMollel-hl9lb Год назад

    Pure Talent🔥🔥🫡

  • @AshaKaborogo
    @AshaKaborogo 11 месяцев назад +1

    ❤❤❤

  • @rosadamrosso2744
    @rosadamrosso2744 Месяц назад

    Kama hakutaki muache aende

  • @osamatz9099
    @osamatz9099 2 года назад

    Kwani mimi kuyajuwa nime chelewa

  • @wazirinjou5333
    @wazirinjou5333 2 года назад

    Bega kwa bega

  • @lizousijumlixhewotesheeubw915
    @lizousijumlixhewotesheeubw915 2 года назад

    Msomali kideo ngom nilikuw naisikiliz xan

  • @FatumaSaidi-bk5jz
    @FatumaSaidi-bk5jz Год назад +1

    Oh VP kk

  • @RamosiKambowa
    @RamosiKambowa 7 месяцев назад

    Pamoja kk

  • @radenmizozo9707
    @radenmizozo9707 2 года назад

    Noma

  • @official_hussen_msanii6141
    @official_hussen_msanii6141 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @hassanikimosa3447
    @hassanikimosa3447 2 года назад

    Makini

  • @farlesfales918
    @farlesfales918 2 года назад

    🔥🔥🔥

  • @vintz338
    @vintz338 8 месяцев назад +1

    Producer ndo kaharibu ka play key ya chini sana alitakiwa akufate tu maana una pitch ya juu ila fresh tu

  • @Abbasbakarsth
    @Abbasbakarsth 2 года назад

    Salute

  • @mowzeehkapingo317
    @mowzeehkapingo317 3 месяца назад

    12/10/2024

  • @UpauSaidy
    @UpauSaidy 4 месяца назад

    good kk

  • @faridamashaka78
    @faridamashaka78 6 месяцев назад

    😢

  • @akramsaidmohammed9663
    @akramsaidmohammed9663 2 года назад +3

    Sorry brather he can happen to a wan

  • @wamalove_tv7652
    @wamalove_tv7652 2 года назад

    💥💥

  • @AnilyaSaloum
    @AnilyaSaloum Год назад +1

    Mkn

  • @Pilly630
    @Pilly630 2 года назад

    🤘💥💥💥

  • @lytnecnjau1715
    @lytnecnjau1715 2 года назад

    👏👏👏👏

  • @issamasanjala1541
    @issamasanjala1541 2 года назад +1

    Bonge la chupa kaka big up🧡✌🏾

  • @ubavutvonline7831
    @ubavutvonline7831 2 года назад

    Seyeee

  • @jack_traviss
    @jack_traviss Год назад

    fir

  • @MariaDamas-g8x
    @MariaDamas-g8x 11 месяцев назад +2

    Unajua san msomali nakupenda mnoo❤

  • @hamadiramadhani4578
    @hamadiramadhani4578 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥