MWINYI HAJI (BAGAWAY): YANGA WAMENIBANIA NAFASI YA KWENDA MAZEMBE/NAWADAI MAMILIONI/ME BEKI 3 BORA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 96

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 5 лет назад +7

    Yanga still loves you bro all the best,

  • @official_saidkijeshi4201
    @official_saidkijeshi4201 2 года назад

    Daaaaaaa inaniuma sana kumuona mmoja miongoni mwa LB bora kupata kutokea Tz na Zanibar anakosekana uwanjani Daa jamaaaa anamwaga maji sana uyu cross zake zipo perfect broo ww ni bora sana wachawi tu wengi

  • @alikadir2008
    @alikadir2008 5 лет назад +2

    Mtangazaji bigup

  • @jumafaki1697
    @jumafaki1697 5 лет назад +1

    Nakukubali sana Mwinyi Haji

  • @aliothmanhamad5841
    @aliothmanhamad5841 4 года назад

    Hatariiiiiiiiii fundi mpira

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 5 лет назад +2

    Asante sn broo baga nimekumis sn tulipokua KMKM, Zungu

  • @AlmahadHamza
    @AlmahadHamza 5 лет назад +2

    Dah pole bhana broo ila una high ditermination naamin utakwenda mbali zahera anatuzogoa sana wanajangwani tunamvumilia tu

  • @costamelaumollel501
    @costamelaumollel501 5 лет назад +1

    Good mzeee mbaba pamban

  • @suleimanmuhammad8766
    @suleimanmuhammad8766 5 лет назад +1

    Dah Pole san brooo komaaa utarud tu kweny reli la majuuu

    • @omarally2176
      @omarally2176 5 лет назад

      komaa baba utarudi chama langu utarudi yanga.

  • @oscarmosha9170
    @oscarmosha9170 5 лет назад +4

    Haji rudi Yanga bado mashabiki tunakuhitaji sanaa

  • @bahatimkumbo7298
    @bahatimkumbo7298 5 лет назад +2

    Nakupenda Sana bro ila yanga tumezingua Sana , beki tatu hatuna viongoz wakikuda kweli

  • @rachelbujuli7151
    @rachelbujuli7151 5 лет назад +5

    Wewe bado ni mzuri kuliko Michael ila sijui ilikuwaje tulia hapo hapo bado we ni mchezaji wa Tanzania Yanga hata iweje alafu nashangaa ni kwa nini uliachw eti wakamleta Marcelo

  • @ashililiganduka6739
    @ashililiganduka6739 5 лет назад +1

    One day yes boy

  • @eliakimisdory9774
    @eliakimisdory9774 5 лет назад +1

    One day yes bro

  • @bernbern1421
    @bernbern1421 5 лет назад +3

    Ulikuwa vizuri.ni ujinga tu na upumbav wa zahera mana katuletea lile wanaliita marcelo lifupi na linaruka halina lolote.pambana utatusua tu.

  • @kibwanamohammed5836
    @kibwanamohammed5836 5 лет назад +4

    upo vizuri ngware mitungi yako naikumbuka

  • @vailethsalim5952
    @vailethsalim5952 5 лет назад +2

    Pole sana Haji mwinyi lakini pambana hiyo ni changamoto tuu na ni mapito mungu ata kusimamia utafanya vizuri na utarudi kwenye form mwamba una mchango mkubwa sana kwrnye yanga

  • @israelmgimba4087
    @israelmgimba4087 5 лет назад +1

    Nakukubali haji mwinyi mnyamaaaa🙌🙌🙌

  • @daniikirunda7113
    @daniikirunda7113 5 лет назад +4

    NakubaLii Mzee Wa kuYamwaga maji....pambana

  • @abuumaryam1922
    @abuumaryam1922 5 лет назад +3

    Safi Haji nakukubali unajiamin wenimchezaji jasir upo njema

  • @maryamzuheir1633
    @maryamzuheir1633 5 лет назад +7

    YANGA INADAIWA NA KILA MCHEZAJI HII TIMU WANATHAMINIWA WACHEZAJI WA KIGENI TU , KUMBE HATA HAJI MWINYI ANAIDAI KLABU YA WANANCHI DAAAH !

  • @jumamagabugabu4351
    @jumamagabugabu4351 5 лет назад +4

    haji nakukubali sana nafasi yako ipo sure hakuna namba tatu kama ww

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 5 лет назад +3

    Yanga wazinguaji. Haji Mwinyi yuko wapi,mchezaji mahiri kweli kweli,na Juma Abdul naye you wapi? Yanga... .mrdisheni Haji Mwinyi na mchezesheni Juma Abdul.

  • @clausemsemwa3704
    @clausemsemwa3704 5 лет назад +6

    Mwinyi zahera turudishie beki letu

  • @damiansanga6771
    @damiansanga6771 5 лет назад +1

    Namkubali Sana haji

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 5 лет назад +2

    Subiri.ngwanda.ukabiziwe.geti

  • @oscarelion4394
    @oscarelion4394 5 лет назад +2

    huyo jamaa namkubali sana sijui kwanini klabu yangu haikumuongeza mkataba
    naamini ktk uwezo wake
    ktk mabeki3 bora tanzania yupo kwenye 3bora

  • @ramadhaniahmad1797
    @ramadhaniahmad1797 5 лет назад

    Nakukubali sana mwinyi

  • @yohanidimoso3711
    @yohanidimoso3711 5 лет назад +1

    binafsi ni miongoni mwa mshabiki mkubwa wa haji mwinyi na nina imani nae san kuliko beki tatu zte bongo imeniuma sana kuona yanga wamemuacha

  • @siamonkirumbi9298
    @siamonkirumbi9298 5 лет назад +1

    HONGERA HAJI MWINYI ANGALIA MBELE YANGA UBINAFSI MWINGI KOCHA MJANJA MJANJA AMEOKOTA WACHEZAJI HAWANA UWEZO ZAIDI YAKO SEMA YANGA MUDA SI MLEFU WATAJUA KAMA WAMEPIGWA ..WAPELEKE TFF WAKULIPE PESA ZAKO HAWANA SHUKURUNI HAO

  • @husseinmakame8035
    @husseinmakame8035 5 лет назад +3

    ""Nimekuwa hamza bilaliiih?????"aaaaaaah umeua brow

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 5 лет назад +1

    Utabaki.yanga.na.idaa.pesa.zangu.miaka.mnne.km.ulicheza.na.maisha.bc.ngojaa.uwajirewe.ajira.kama.sasa.km.km.upate.laki.na.hasin8

  • @zackofficial9840
    @zackofficial9840 5 лет назад +4

    Mwinyi Zahera namheshimu lakini najiuliza anavyoteseka kumpanga ALLI MTONI namba tatu anamzidi nini Mwinyi
    Daaa nakukumbuka sana kaka

  • @rachelbujuli7151
    @rachelbujuli7151 5 лет назад

    Safi sana mameneja wanaponza mzazi ndo kitu muhimu

  • @winchislausrweyongeza8184
    @winchislausrweyongeza8184 5 лет назад +8

    Tatizo lako madawa, mbona mwenzio kaenda Marekani hajabaniwa? Beki bora na hauko taifa stars? Acheni siasa

  • @sikandarsuleimanTV
    @sikandarsuleimanTV 5 лет назад +1

    Yanga wana laana kumbe wamewadhulumu sana wachezaji wao

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 лет назад +1

    huyu jamaa mimi namkubali basi tu

  • @samnaborliwemba7819
    @samnaborliwemba7819 5 лет назад +3

    Zahera mrudishe Ngwali

  • @francessinkala1756
    @francessinkala1756 5 лет назад +2

    Jifue mwinyi upo vizuri mzee wa microsi ya ukweli

  • @abdulhakim7638
    @abdulhakim7638 5 лет назад +1

    Broo kaza bado njia Zipo na pia tupo warisi wako Naamin tutachukua makole kutoka Kwako big up

  • @abdulkareemchande7204
    @abdulkareemchande7204 5 лет назад +2

    Kipige kwa muda tu hapo kmkm,jan unarudi nyumbani

  • @kijonalusay6498
    @kijonalusay6498 5 лет назад +5

    saiv anakwenda kufanywa fei toto nae kua kama huyu tusipo angalia wachezaji wetu wa kizanzibar watakua wanawabaniwa fursa Za kwenda nje Tueni makini

    • @mauchamakh4756
      @mauchamakh4756 5 лет назад

      Kijona Lusay huna akili wewe bwege

    • @mauchamakh4756
      @mauchamakh4756 5 лет назад +1

      Kijona Lusay huyo madawa ndo yamemfelisha

    • @maryamzuheir1633
      @maryamzuheir1633 5 лет назад

      Amkeni wazenj KWA WAMATOPENI SIYO KWAKWENDA NYIE.

    • @pakacha70
      @pakacha70 5 лет назад

      Hivi wazanzibar mbona mnakuwa wabaguzi kwa kila jambo? Wachezaji wangapi Yanga wameachwa? Wote ni wazanzibar? Acheni ubaguzi nyinyi mtakuwa hamuendelei daima

  • @husseinmakame8035
    @husseinmakame8035 5 лет назад

    Aaaaa ana mtaniiih sanaaaaaaaah kumbe huyuuu jamaaaa.

  • @allymtumwa3138
    @allymtumwa3138 5 лет назад

    wabongo ndo zaoo kutubaguwa wa zenji na ss hatuwapnd maan mechi ya leoo na burundi hatujamuona mzenji hata mmoja

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 5 лет назад +1

    Dhu

  • @yoelgurty7731
    @yoelgurty7731 5 лет назад +1

    Waku lipe

  • @franksaloon4231
    @franksaloon4231 5 лет назад +1

    Yanga awana winga wamekuacha wewe sasa wapo oi

  • @husseinkitingi8186
    @husseinkitingi8186 5 лет назад +2

    Mungu awe pamoja nawewe utafika tu mi shabiki wayanga ila uwepo wapo kwenye tim bado ulihitajika kocha kazingua

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 5 лет назад

    Hajilewwi. Huyoo.haji.mwinyi.bora.anketulia.to.akafanya mazoezi.kinywake

  • @ahmedmriga4111
    @ahmedmriga4111 4 года назад

    Mchezowaleo wasimba

  • @jesebayo5645
    @jesebayo5645 5 лет назад +3

    Papa mwinyii msengee sana gadiel kamkimbia afu kamuacha fundi huyu pumbavu zange huyu mkongo man

  • @vitukobongo9841
    @vitukobongo9841 5 лет назад +1

    Umekua hamza bilali..

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 5 лет назад

    Utaki.kisemaa.napata.wake.wa.kipemba.wanne.moja.hupati.bahati.umechezea.kwasha.kabisa

  • @jennahrajab1647
    @jennahrajab1647 5 лет назад +1

    Kocha hafai kazingua!

  • @mtambojr1815
    @mtambojr1815 5 лет назад

    Jamaa mpira anajua ila apunguze kuongea kama mchezaji

  • @hamzasalum6154
    @hamzasalum6154 5 лет назад

    Jembe

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 5 лет назад

    Hanaishuuu.matimu.kibao.bongo.hawakihitaji

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 5 лет назад

    Umefikambele.ww.umerudii.nyumba.wezio.mbele.kwambele.

  • @citystyle6338
    @citystyle6338 5 лет назад

    Ahahaha

  • @rahimholding513
    @rahimholding513 5 лет назад

    jamaa komedi sana 😂😂

  • @davidmanyilizu7351
    @davidmanyilizu7351 5 лет назад

    eti wake wa kipemba watatu nifanyie mchongo basi na mimi nipate mke wakipemba....!!!

    • @boblee7898
      @boblee7898 5 лет назад

      Wake wa kipemba ghali babq

    • @davidmanyilizu7351
      @davidmanyilizu7351 5 лет назад

      @@boblee7898 nifanyie mchongo ally ally nioe mpemba halafu kama uko zenji nikuagize mshikaji

    • @boblee7898
      @boblee7898 5 лет назад

      Nipo dar now bro zenji mpak December

    • @davidmanyilizu7351
      @davidmanyilizu7351 5 лет назад

      @@boblee7898 poah mkuu

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 5 лет назад

    Yanga lipeni madeni ya watu omba omba nyie

  • @mudrickkhamisi1974
    @mudrickkhamisi1974 5 лет назад

    Xxx

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 лет назад

    Dogo haupo sirias ww jaribu kujua unakwama wp

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 5 лет назад

    Kwisha.kabisa.huyoo.karudi.km.km.miakaaminne.yanga.hujajipanga.bado.umebaki.nawadi.yangu

  • @albassamjjamali9205
    @albassamjjamali9205 5 лет назад

    Ah nduguzetu wanaubabaifu sannna 😤

    • @wilsongeorge4061
      @wilsongeorge4061 5 лет назад

      Mwinyi mgwari namkubali sna huyo jamaa aludi tu, mwinyi zahela aondoke tu msenge hajui chochote

    • @jumajembe3570
      @jumajembe3570 5 лет назад

      @@wilsongeorge4061 wewe ndo msenge zaidi!